Bt i love the family kasolo keep it up you have made my day bt usisahau kutoa pilipili kwa poket
@angelambithe1629 Жыл бұрын
Huyu wa kitambi yawa ebu atuambie jina lake😂😂
@mbuvikana773 Жыл бұрын
Kana chauferi
@agnesmacharia6055 Жыл бұрын
Wow love you kasolo. Unapedwa na wengi. May God keep you together with your team and your family Amen
@Bathlia Жыл бұрын
Ama bottle game,,nyinyi wote mfunike uso zenu,,mmoja akae chini mkiwa nyuma yke,mnampiga na chupa anageuka ana point mwenye amemgonga akipata huyo amemgonga anakaa chini asipo pata mnaendelea kumgonga hdi apate😂😂😂😂hivo round,
@masaiwangaa1216 Жыл бұрын
Actually Shiny akona Mungu wake, nyinyi mkiangukia mayai na pilipli yeye anaangukia vitu poa Shiny am proud of you ❤️❤️ 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@stacymuli Жыл бұрын
Mama shine congratulations baby no .2loading
@ElizabethMbithe-ys3ls Жыл бұрын
Wa musyi kasolo naona game ni moto😅😅😅
@THEESUMMERFAMILY Жыл бұрын
I'm always addicted to your channel, Sending Love❤️
@salmazimba5365 Жыл бұрын
Aki kasolo unenifanya nikavukuzwa na waiguru juu ya kicheo 🤣🤣🤣🤣 mumeona solo akieka pilipili kwa mfuko na hawajamuona ni mm tu pekee nimeona halafu akawa bz kwa sm🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@FlorenceMMutiso-qb7ln Жыл бұрын
Kasolo utatuonyesha mambo ,,,, surely mpaka mtoto
@Bathlia Жыл бұрын
Next mshindane kula mkate na soda mwenye atamaliza wakwanza within 5mnts apewe gift
@kenstarmutua Жыл бұрын
Aky mama shine amesongwa smart
@Terrytess-nm5gk Жыл бұрын
Kwani Grace aliacha kufuza malili girls
@maggymaghz Жыл бұрын
😂😂😂😂😂nani ameona kasolo amecheat ameweka pilipili kwa mfuko
@noramukamie403 Жыл бұрын
Amazing sana 🎉..and congratulations Grace 🥰👏
@annexmakau8527 Жыл бұрын
❤❤nyota ya Shine inashine🎉
@GukuGuga-fu4lb Жыл бұрын
Huyo wa mayayi gai😢😢😂😂
@user-nm6me3qz4h11 ай бұрын
I always likes what u normally post keeps up Kasolo much love ❤❤❤
@paulinanduku2748 Жыл бұрын
Shine spare my ribs😂😂😂😂😂the vibe is lit🔥
@josephinewayua9393 Жыл бұрын
,😂😂😂😂kako na kiherehere,ati ndanu anafanya kazi akiwa amechelewa
@lutherkingkweka3016 Жыл бұрын
Woooow ❣️Iko Bomba sana sana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🥰
@miriammwesh9033 Жыл бұрын
Nice game nawapenda sana guys
@user-jh3be5by1q11 ай бұрын
Kuna mtu mjanja apa anaitwa kasolo pilipili yake ameweka kwa poketvn akawa buzy kwa simu weee kula io pilipili although hawajaona bt mh nmeona
@liliandavid7163 Жыл бұрын
Can't miss anything on Kasolos KZbin 🔥🔥🔥🔥 Love your content guys
@james008BOND7 Жыл бұрын
Nakubali dady😂😂😂😂naona shine ako rada 😂
@annemwikali6366 Жыл бұрын
io game wah,,sema kucheka ni kama nko apo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂