Kapela yaawa 😢😢 mungu anakuona haki 😭😭😭😭💔 Hira mother in law kweli 🤔 nyinyi mko na sida kubwa sana 😭
@Scolayusuph558Сағат бұрын
Yan uyo ma mkwe kama ma mkwe wangu 😂 lkn tofaut ni moja tyu wangu Mimi anashundwa kutuachanisha maana mwanae askii ambiw 😅😅
@MulhamWaziri3 сағат бұрын
Nimekubali sana nahiki mnachokifanya kwenye hii movi ❤❤❤❤
@OengaMildred5 сағат бұрын
Eeee mungu wangu,mtoto wako naumia sana na hii maisha ya mwezangu 😭😭😭😭wanaume naomba like yenu hapa😂😂
@zenamtembezi49217 сағат бұрын
Mama feki uyoo
@mwajumasaid73063 сағат бұрын
Yaan hii move inakutoa machoz kwakwel wanawake tunapitia changamoto sana
@Okanatz-019 сағат бұрын
Love from nairobi🎉
@everdhekay49247 сағат бұрын
Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪kapela umzidi bna🤣
@WandaGidion7 сағат бұрын
Mama mkwe sijapenda😏😏
@MoosesKuloba4 сағат бұрын
Pole sana dada
@EglyneAngadia9 сағат бұрын
🔥🔥
@omarbosiomar86086 сағат бұрын
shukran
@fatumajuma93883 сағат бұрын
Na kuna watu wako kwenye ndoa wapitia mmbo km aya 😢😢😢Mungu tuajalie ss ambao atuja ingia kwnye ndoa tupate waume wema😢🙏🙏Much love from 🇰🇪🇰🇪
@AlexendreBob8 сағат бұрын
Love from Zambia ❤❤
@Samiyabahatinanti2 сағат бұрын
😢😢😢kapera anatabiya mbaya inanicosha
@augustinesombi62855 сағат бұрын
Mama mtu mzima ovyo kama kijana wake,, kama huwezi suluhisha na kuleta upendo kwenye ndoa ya mwanao, c bora ufunge mdomo wako huo
@MillycentSidi6 сағат бұрын
❤❤❤❤❤
@MwanalimaMwalimu-c4m7 сағат бұрын
Niko na nyinyi Kila mahali ❤❤❤❤🎉
@ZanaaIssaa5 сағат бұрын
Hadi.huluma.jamani😢
@nicodemusmbithi41509 сағат бұрын
Much love from meru Kenya
@HéritierBema9 сағат бұрын
Bitriss judhi lavida Niko sambambaa nanyinyiii
@Samiyabahatinanti2 сағат бұрын
Maman mkwe anatabiya mbaya kama mwanaye kapela😏
@hamisahamisa58966 сағат бұрын
Wanawake wengi wanapitia magumu kwenye ndoa zao ila wanabaki kisa watoto kama unaweza kujishugulisha ukapata hela ya kula panga chumba ondoka kaa na wanao
@ISSACKFRANK5 сағат бұрын
Punguzeni kuigiza kitoto mtu huna hela unalala et unaacha pochi pembeni
@IrakozeHami-t9mСағат бұрын
Kumbe kun wa mama mkwee wengine hovyooo kwl ni maigizo lkn wa mom kama hawa wapo
@EmmanuelMutchoma5 сағат бұрын
Like father inaishiya wapi bwana kapela
@HafswaKhalfan5 сағат бұрын
Ila wanaume wengine wanaroho ngumu Hadi mtoto wako yaani uchukue pesa yakua itasaidia watoto wako duuh 😢
@INNOSENSIALIWEWA4 сағат бұрын
Sisemi mengi ila niliwahi ishi na mume wa mtu kama mchepuko 😭😭😭
@AishaJoslin5 сағат бұрын
Kumbe huu mwanaume mjinga kwakweli ndo maana wachawi wapo mm huu nauwa kbs
@AishaJoslin5 сағат бұрын
Adi uluma walahi duuh
@GHgh-hq3zj2 сағат бұрын
😢😢😢❤❤❤❤
@DILAXOG9 сағат бұрын
Shab juu☄️☄️
@MaisaraMasoud3 сағат бұрын
Mamamkwe una sura nzuri ila una maneno makali
@TheReporter-A4739 минут бұрын
Hii movie mbona inasikitisha sana jamani
@SusanJulius-cu8xp4vx4mСағат бұрын
Ila wamama wengine nothing sana yaan mama mzima kumpoteza mwanae mm nachukia kuolewa kisa haya heri niwe single my mom aliyapitia haya
@rolahemanuel9 сағат бұрын
mbona khajira anapitia magum sanaa
@rahemh12348 сағат бұрын
Aliyesema wanaume wote mbwa hakukosea isipokuwa babaangu tu wengine wote nimbwa pori 😅😅 yani wanaume mnanipa hasira kapela kapela 🧐🧐🤨🤨🤨
@sharifftwaha88822 сағат бұрын
Astaghafiru allah
@rahemh1234Сағат бұрын
@sharifftwaha8882 bado hujasema 🙃🙃🙃
@sharifftwaha8882Сағат бұрын
@@rahemh1234 mtoto wa mbwa naye ni mbwa ujue
@rahemh1234Сағат бұрын
@@sharifftwaha8882 hahahaha 🤣 nimesema wanaume wote mbwa ispokuwa my Dady ❤️❤️
@FatimaFati-pu4lb9 сағат бұрын
Mi wangap leo😢😢😢
@SaidBwanamkuu-d8j9 сағат бұрын
Watching from mansura qatar 🇶🇦
@AliMunga-c8n8 сағат бұрын
Good job watching from doha Qatar umm salal Muhammad location
@mohdsaad27368 сағат бұрын
@AliaMunga umm salal mademu wako unipatie mmoja 😂😂😂