nani kali machozi ya furaha na family ya mzee mahmood na mzee frank tujuane hapa 😂😂😂
@saay42734 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@irenewilfred77674 жыл бұрын
Ferix upo vzr aise Yan
@theopisterjovent34832 жыл бұрын
Nimecheka mie mbavu zinaumaaaa 😂😂😂 kitumbua kimepigwa teke 😂😂😂 Edger na Felix mtaniuaaaaa 🥰😍😘
@micumass19892 жыл бұрын
Hahah
@sososonia19562 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ashurapandu41162 жыл бұрын
Tujuane wale wa kusoma comments kabla story haijaaanxa,😀
@allyciza2 жыл бұрын
Number moja 🇧🇮🇧🇮🇧🇮😂
@hffvchgff15934 жыл бұрын
Asanti Sana kaka felix kwa muendelezo,, taaribu hajui ataozea jela
@umisidi18164 жыл бұрын
😘😍😭😭😭😭yani hadi raha suraya aolewa na higino tamu hadi raha
@umisidi18164 жыл бұрын
Watu mnapenda kurauka jamani hata nashindwa kuwa wakwanza mmmmh punguzeni mumezidi wadau lkn biggp simuliz mix
@nibigiramwajuma79254 жыл бұрын
Asante sana baba felix mwenda na mkali edgar mbogo mbarikiwe sana
@lavenalol59444 жыл бұрын
Asante sana kk felx sasa mbona mrembo kipofu hatumuon
@neemajonas56284 жыл бұрын
Jmnii mrembo kipofu ndo mmegoma kuileta jmniii had hii inaisha yenyewe Bado mbn had sio poa jmnii 😭😭😭😭 tn hii inapostiwa hat mala mbili jmniii, #simulizimix nickieni bc hat kdg
@annasamson67344 жыл бұрын
Kaka Felix na mtunzi wako mnahatari
@sarahsarah49194 жыл бұрын
Asateni Sana simlizi mix fellix mweda Edgar mbogo Yani hii simlizi nikiboko
@mwajumatwalib2604 жыл бұрын
Leo tunachukua mke Shukran simulizi mix
@aminasuleiman38254 жыл бұрын
ni kweli tunachukua leo
@saay42734 жыл бұрын
wacha tu tukamchukue
@mwajumatwalib2604 жыл бұрын
@@saay4273 umeona eee
@mwajumatwalib2604 жыл бұрын
@@aminasuleiman3825 mtoto mzur mzuri
@aminasuleiman38254 жыл бұрын
@@mwajumatwalib260 ndo hivyo mzuri sana tu
@khaijajumanne13174 жыл бұрын
Shukran San kaka mambo ni moto
@scollamwanisisi27395 ай бұрын
Ila mama sulaya sijampenda kabsa 😢
@fatmas73384 жыл бұрын
Mke wa mzee njogopa ndio nn kumpiga mwenzio teke la kitumbua 😀😀😀😀
@sitinassy87724 жыл бұрын
😂😂😂🙌🙌🙌🙌🏃♀️🏃♀️🏃♀️
@alexfidelis76452 жыл бұрын
😂😂🤩🤩
@ummusulaish55864 жыл бұрын
Pamoja sana kaka, Asante Simulizi mix
@geequeen11164 жыл бұрын
Jamn mrembo kipofu😭😭😭tutaacha kuwafatilia sasa bakieni na simulizi zenu😂😭😭😭
@uwimanaalia94504 жыл бұрын
🥰❤️🌹nawapend simuliz mix
@najmasaid36894 жыл бұрын
Kaka felix. Tuletee. ep. 16. Pls.
@fauzjibaba59564 жыл бұрын
Smixapp tunasubiri musitusahau
@fatmaabdallah28874 жыл бұрын
Tupo pamoja bro
@kcscampan5964 жыл бұрын
😂😂😂😂raaaahaaaa.....
@Winniequinepretty-wm7rr Жыл бұрын
Shukran i love you guys
@fatytz5854 жыл бұрын
Asante ila mariza na mrembo kipofu bac
@shyrosetemba86684 жыл бұрын
Jamani uendelezo
@AmenahAmenah-i7f9 ай бұрын
Ihatali
@Nurukhamis-j8vАй бұрын
❤❤
@doricehungu58174 жыл бұрын
Thank you Simulizi Mix
@fauzjibaba59564 жыл бұрын
Wadau wenu wa smixapp leo munatupa tabu kila Dakika tunaenda kuchungulia
@angelwadavid53534 жыл бұрын
Ipo bure lakini hamjazifungua😥😥
@fatumaramadhanmashaallahal99664 жыл бұрын
Tamu sana
@eca-mlondanyiabokyo44163 жыл бұрын
Je ndugu yangu msimuliaji Felix Mwenda inge kuwa wewe unaona kitumbua cha mama tembele na anatamuka kama una ngufu za Kuku japo palikuwa watu kadhaa ungefanyaje? Au ungekipiga teke kama huu alivyo kipiga teke? Au unge sema njo nilambe kwanza kisha mengine aendelee kufuata....heee...
@marthajohn91203 жыл бұрын
Asante sana❤️❤️❤️👌
@hasinaali47614 жыл бұрын
Shukran
@estermussa2954 жыл бұрын
jmn mrembo kipofu vip kaka ulituahid ijumaa lkn mpaka wa leo bd
@neemakadzo78554 жыл бұрын
Hapo sasa
@aminasuleiman38254 жыл бұрын
leo ndo leo muwahi huku
@Miss_Gemah4 жыл бұрын
Woyooooo
@Miss_Gemah4 жыл бұрын
Asante sana
@Miss_Gemah4 жыл бұрын
Bado mrembo kipofu😔
@scollamwanisisi27395 ай бұрын
🎉🎉🎉😂😂😂😂😂
@امينهالبلوشي-ع2ت3 жыл бұрын
Nice
@mercyelijah71704 жыл бұрын
Shukran sana
@bellbell92944 жыл бұрын
Shukraan
@hafsaalfarsi54604 жыл бұрын
simlizi mix
@saay42734 жыл бұрын
Asante sana
@mwagotimwanamvua58834 жыл бұрын
Patamu hapo
@taupenisanshimirimana33844 жыл бұрын
Thank you
@saay42734 жыл бұрын
huku tu jomoni na kule jeee
@aminasuleiman38254 жыл бұрын
ni kweli acha tusubiri kidogo
@saay42734 жыл бұрын
Yani acha tu
@zubedaally28074 жыл бұрын
Nimewahi
@eca-mlondanyiabokyo44164 жыл бұрын
Rakini msimuliaji wangu Felix Mwenda je wakati ukiwa unasimulia simulizi hii hukucheka kweri wakati mama Tembele La Uwani akipigwa teke kwenye Kitumbuwa chake ? Weeeeeh ...hapo mimi nikawa mfu kwa kicheko.... Wakati anasubilia Dudu kusukuwa kitumbuwa aka sukuliwa teke kwa kitumbuwa..... Weka comment yako hapo kabla hujaendelea...