True kwaja nie maa Kuna teacher anambia Mtu maliza 8 ukadikwe House maid narobi 😅😅😅😅😅😅
@lasttreasures12 күн бұрын
Nilikuwa nmeboeka kupata Sec Gen. hayuko lakini huyu jamaa amenifurahisha sana😂Shule yetu ukiwa na hio kadish inagawanisha ugali na nyeni ulikuwanga ata upewe cheo ya prefect. Na mum alikuwa na tabia ya kupee pussie chakula.