Dada malkia mie ĺeo nimejaribu kutengeneza mafuta ya nazi aiise nimefanya kama ulivyoelekeza hapo yaan yametoka vizuri😊😊 ahsante mno dada yangu Mungu akubariki sana🙏🙏🙏
@neemasamwel896828 күн бұрын
Ndo mara yangu ya kwanza kutengeneza na nimeweza uwii ahsante Mungu, nilikuwa naogopa kujaribu😂
@ChristinaSumbiАй бұрын
Nimepika na mimi bhn niseme tu wewe ni mwalim mzuri yani yananukia ❤
@ReocadiaBerenadoАй бұрын
Nmependa kama hauna frij huwez tengeneza
@JaniceGahutu4 ай бұрын
Na kama sina friji na fanyaje
@ZenithaSimon3 ай бұрын
Asante kipenzi nimejifunza
@rachelemmanuel52744 ай бұрын
Thank you malkia
@zawadilija36354 ай бұрын
Hongera dear
@debbylaizer5 ай бұрын
Dada angu mzuri Utunzwe na Yesu You are the best♥️
@malkiafoods5 ай бұрын
Ya kawaida
@malkiafoods5 ай бұрын
Amen mdogo angi
@emmawanyonyi29955 ай бұрын
Asante sana dear Kwa mafunzo mazuri.
@beatriceakily89135 ай бұрын
Ahsante dear... 🙏
@elizabethjoseph84515 ай бұрын
Waooh your blessed sis ..thank you so much
@malkiafoods5 ай бұрын
Karibu babe
@FurahaMunyi5 ай бұрын
Asantee sana mwalimu wangu wa muda wote❤❤❤
@malkiafoods5 ай бұрын
Karibu love
@EsterLuvanda-p2z5 ай бұрын
Vp kama hauna friji unafanyaje
@clementinafute26225 ай бұрын
Asante
@monicanzali5 ай бұрын
Maji yaliyotumika kukamua ni yale ya uvuguvugu au ya kawaida ya bombani??
@malkiafoods5 ай бұрын
Ya bombani tuuu
@carolinelivingstone65235 ай бұрын
Maji ni ya moto?
@malkiafoods5 ай бұрын
Ya kawaida
@ashathbyela13515 ай бұрын
Yanaweza kuishi kwa mda gani baada ya kutengenezwa
@malkiafoods5 ай бұрын
1yr
@glorylema56525 ай бұрын
Kama hauna friji
@malkiafoods5 ай бұрын
Unapika hvyo hlo tui mpaka maji yaevaporate na yabaki mafuta. Ila itachukua muda mref kupika
@HappinessMihayo5 ай бұрын
Unaweza kupikia
@malkiafoods5 ай бұрын
Ndio
@MsMauah5 ай бұрын
😍😍😍😍
@ZUBEDANASIBU5 ай бұрын
❤
@ericmwakasitu5 ай бұрын
Ur so brainy❤ big up malkia. tunaelimika sana
@malkiafoods5 ай бұрын
Thanks babe
@BahatiRamadhani-o4yАй бұрын
𝔴𝔞𝔬𝔬
@tayanamasanja39525 ай бұрын
Woow nijaribu savi
@missdaniel98105 ай бұрын
dada tui la kwanza na pili yote ukaja kuchanganya baada ya kujitenga?