safi sana haya ndio maendeleo ya kweli. God bless Tz.
@jackobhalla79196 жыл бұрын
Hongereni viongozi wetu kwa kazi nzuri
@jaafaryothman84426 жыл бұрын
Duh ninavyo ipenda inchi yangu tanzania nafarijika kuona maendereo mungu tubaliki watanzania ibariki tanzania
@t1910j6 жыл бұрын
Jaafary Othman .... ni maendeleo....... Mungu ibariki. Sio maendereo na mungu ibaliki.
@ramadhanichilumba36106 жыл бұрын
Mamae kwa hii speed tulichelewa sana aiseee
@maryammurshid96486 жыл бұрын
Manshaallah mungu aibariki Tanzania yetu tuishi kwa amani tuendelee kuneemeka kabisa kwa uwezo wa mungu tena haki sawa kwa kila mtanzania pia atupe viongozi wazuri wasio penda rushwa
@nicholasmpangala44516 жыл бұрын
Great , this is what Tanzania need !! Ila ni la zima kujifunga mkanda coz these projets are highly cost
@jerrykikuli37006 жыл бұрын
safi sana. Ila tuu naomba serikali itie maanani swala la mizigo jamani. Wizi au upoteaji wa mizigo ni aibu . upotevu wa mizigo hutokea hata kwenye airports za nje. Lakini si kwa spidi ya kwetu ya bongo. Tafadhali sana sana mizigo ni dhamana. Ninajivunia na maendeleo ya nchi yangu. Hongera kwetu wa Tz na pongezi kwa mheshimiwa JPM
@josephsaghana10566 жыл бұрын
Mungu ibaruki Tanzania yetu watanzania
@salhysalhy11276 жыл бұрын
ya rabi ibarik nch yetu tanzania aman utulivu .watanzania wenzangu nauliza uwanja huuu utaanza kualfanya kaz lini
@aduanobella46716 жыл бұрын
Mmmm!.....Looks good, can't wait to see
@LeBleuPapillon6 жыл бұрын
OH MY GOD!!!!!!!!! I thought I understood full swahili but have lost the practice of speaking it and now I am listening to this and hardly understand a word of it! WTH??? LOL! It's been forever since I heard proper swahili.
@princegabytv72516 жыл бұрын
Nice job tz
@jaffarimguwa68696 жыл бұрын
Welcome Tanzania
@amanichomola66966 жыл бұрын
Da asante kwa makala hii mmenikosha sana Nasubiri kwa hamu
@sumatraveler19575 жыл бұрын
Haya Ndio maendeleo live nasio siasa zakijinga magu oyeeeeee
@mayusahussein47216 жыл бұрын
Namani nikija tz aiport mpya iwe imekwisha
@mohammedputta58216 жыл бұрын
Mbona Morogoro hamjautaja kuna mbunga ya mikumi tukose bahari hata airport pia!!!
@lucasmhagama81666 жыл бұрын
Mohammed Putta 😂😂😂😂😂😂😂
@lizb20126 жыл бұрын
Kila mtu akisema airport ipelekwe kwao tutafika kweli? Mi nadhani ule mradi wa treni ya SGR unatosha, ukitua Dar utafika vizuri kwenu morogoro.
@albanbros72105 жыл бұрын
@@lizb2012 Mikoa yote inahitaji airport.
@zawadix95746 жыл бұрын
Mashalla
@adyaa89226 жыл бұрын
Safi sana
@Mwakasyuka18036 жыл бұрын
Tujenge pia hata morogoro
@freddymello32276 жыл бұрын
benn mwakalonge benn mwakalonge ubinafsi ndio tatizo la waafrika.ungepewa uongozi wewe kila kitu ungejenga kwenu.Tubadilike,serikali iko makini na inajua wapi pa kufanya miradi hii. Moro inaweza kuhudumiwa na uwanja wa Dar,kama reli ikikamilika,unatua Dar unaenda kwenu mkude.