Kiukweli katika kujifunza kwangu katika kusoma vitabu na kuwasikiliza moja kwa moja watumishi wa Mungu nimeona watu kwanamna nyingine mbali nakuanza kumlaumu kila mtu kwanamna ya maisha yake husika, Kiukweli mtumishi wa Mungu Bela nimeona anavyoendelea kukua kiutumishi na kimwonekano, Maisha yana hatua nyingi na mapito mengi mno nakatika hayo tunapaswa kuyajua nakuona tunaheshimu kila mtu nakusimama nae katika hatua zake za ukuaji.
@pheisalmedia41072 жыл бұрын
Mombasa kenya we honour and love you.....Anytime I see you in ministry there's a special nourishment, healing and awesome expirience of God nampenda Bella we call her "MWEMA."
@rosemofuga81012 жыл бұрын
Kwakweli mm napenda unavyotokelezea kwanza unapendeza sana ,achana nao wanaokuhukumu kwa MUONEKANO wako me I like you are the best sis Bella
@madamcolletha56652 жыл бұрын
Bella hongera sana Mungu akutunze
@rosemofuga81012 жыл бұрын
Karibu sana mtumishi wa MUNGU kwetu IRINGA
@gmdalalimchamungu_tz11702 жыл бұрын
Asante sana sana brother Mfinanga, Mimi naendelea kujifunza kupitia mahojiano kama haya lakini naendelea kukuomba kaka, Tukuombe tupate watumishi kama akina Mwalimu Mwakasege walau tupate siri kadhaa na hekima zao namna ambavyo wameweza kudumu kwenye utumishi kwa mda mrefu na wakiwa na mguso na msaada mkubwa kwa jamii kubwa. Tuletee na watumishi kaka.
@judyzacharia79332 жыл бұрын
We love yuu bella katika hali zote you have inspirational to our life hivyo hivyo ulivyo narudia we love youuuuu
@noelmgina2 жыл бұрын
I get your point sister ishi ukweri usiishi kwamaigizo nabarikiwa na kazi yako
@merie82652 жыл бұрын
the w3ay you appreciate your people
@Loudlovealways2 жыл бұрын
The greatest woman of GOD🤍💯
@ashumarobert50822 жыл бұрын
your testimony of how God transform humble heart is amazing, what even disappoint is when we are quick to judge a person whom God has called and is slowly working on him or her. Kazi njema dadangu na Mungu akutiye nguvu na azidi kukutumia kuwaleta vijana katika ufalme wa Mungu na zaidi ya yote mahasidi waibike. God bless you
@merie82652 жыл бұрын
mfinanga you have also grown love from Nairobi
@agneshans22112 жыл бұрын
Kazi yako ni njema,Kaza mwendo Bella,endelea kutumika kwa Bwana
@elizaberthgastor50672 жыл бұрын
You bless me a lot sister..Mungu akutunze sana ..
@gilbertherman56522 жыл бұрын
I'm really blessed with you WOMAN OF GOD! YOU ARE AN INSPIRATION IN GOSPEL MUSIC AND MINISTRATION AS WELL! MAY GOD KEEP USING YOU MIGHTLY IN HIGHER DIMENSIONS OF HIS GLORY! WE LOVE YOU. BE BLESSED🔥🔥❤❤❤🙏💎💎🙏🙏🙏🙏🙏🙏🍻🍻
@merie82652 жыл бұрын
bellaaa apana umekosea ,eeh sisi kabla ufanye mwema tulikujua na bwana wa majeshi
@oliveramani56292 жыл бұрын
Mungu aendelee kuku inua mtumishi tuna barikiwa na nyimbo zako
@winniekamau5942 жыл бұрын
You are a blessing to us here in Kenya personally am blessed by your ministry,unifinyange is my prayer too ,more grace
@pastormwashambwa40752 жыл бұрын
God bless you,welcome moshi
@Loudlovealways2 жыл бұрын
Hahaha yaan kwanza ncheke🤣🤣🙌🏽
@mbonimanafungo2491 Жыл бұрын
helo. naamini unaurafiki na togolay tv naomba uwaambie ivi wafute video ya zoravo waliyoipost. waambie kama wananijua vizuri waendelee kumpost na watangazaji wengine waendelee kumpost