Lyrics: Mmmm wajua, Zuena wanichanganya Kila siku anan'gaa Kila saa namwona anibambaa Mmmm naona, ni mwana atanipa, ndiyo maana wanifaa na wewe nikifa, tunafaana Mmmm wajua, Zuena wanichanganya Kila siku anan'gaa Kila saa namwona anibambaa Mmmm naona, ni mwana atanipa, ndiyo maana wanifaa na wewe nikifa, tunafaana