Risper nakupenda mm kma team bebii coz ww ni rafiki mnzuri❤❤❤❤❤❤
@careenn.m25392 ай бұрын
Bebiii ❤behave like mluyha akuna vile mgeni atanitembelea na akose kukula ama kukunywa hata kama hajaniletea kitu ni lazimu that is how my parents walitulea. Watching live from Dubai Deira UAE 🇦🇪🇦🇪
@selinaingado15232 ай бұрын
Ata mm nmeshangaa yuakunywa kinywaji naapatii wageni Hata kachai🙄 mamayooo
@careenn.m25392 ай бұрын
@selinaingado1523 inatengemea vile ulilelewa, kwetu dear. Hata kama umekosa but mgeni asitoke bila hata maji
@Ashinagaltoto78762 ай бұрын
But I think is her behaviour ata last time tulimshow venye Obinna alikuja ata Maji ng'o..too bad
@KeruboBebs2 ай бұрын
Mimi nilimwona tangu ile day ya ile house yk ingine wakati obina walipika, yaani ht kukaribisha watoi ngoo, aliinamisha kichwa chini akila but obina akaita watoto ety kujeni but hawakukam.but that behaviour not good ,acha tu tumwambie ukweli, tutarushwa mawe hadi tujengee but hatuna ubaya wowote, wala wivu@Ashinagaltoto7876
@risperadventures8842 ай бұрын
Mgeni akinitembelea na maziwa hiyo maziwa ndo nitapika chai tukunywe. But I guess alilelewa hivo😅😅
@DolphineOmukuba2 ай бұрын
Si hata nyinyi mumeona waluhyia tunapendana😸😸🥰risper is a vibe
@winniembula3922 ай бұрын
Mnapendana kama wakamba 😂
@judymemz2 ай бұрын
Alaf wanalaumu riggy g aty ni tribal 😂😂nani hapendi tribe yake
@KevinochiengOtieno-md3eb2 ай бұрын
@@judymemz wacha upuzi Riggy G ni national leader tumbaf ww
@MarryPendo2 ай бұрын
Wagen wakama wanakuja dada eka biscuits kwa plate na juice wa serve huku mkiongeaa halafu usirambe juice cake usiguse na kidgo ww n kioo cha jamii watu wanakutazama so jarb kukukaa chini tulia uachekuruka ruka juu ya vitu kaa kama dem
@Elsykkirimi2 ай бұрын
So nyinyi wote mnaongelelea etiquette akuna mtu anaona iyo portrait iko apo nyuma😘💯💯💯🥰🔥🔥🔥
@sashasash78062 ай бұрын
Etiquette kwanza 😂hiyo ni aibu kubwa.
@Elsykkirimi2 ай бұрын
@sashasash7806 unajua na nini awakua wamepewa juice😁.nkt
@sashasash78062 ай бұрын
@Elsykkirimi wewe unajua walipewa? Nkt
@cecilwachuka2 ай бұрын
3:48 if not official.....no dowry paid, Not of important. ...I wish her success and Abundance
@ritasaisi9592 ай бұрын
Wow Resper finally amefika Kwa bebii ❤️❤️❤️❤️
@anitanyambura37182 ай бұрын
Beb next time serve wagani kwanza nakama hawataki ngoja waede unywe Sasa your are our kababy
@JudyAchieng-j8d2 ай бұрын
Nimeona hii kitu mara mingi ajui kutreat wangeni
@paschalia80922 ай бұрын
May be walisema wako sawa. Huenda ikawa she was starving due to prior engagements
@Fanwabebinagold2 ай бұрын
Yaaaaaaayyyyy 🎉🎉🎉welcome home Risper ❤❤❤❤❤❤na uchagulie bebii outfit za event zote starting from homecoming kisumu to birthday ❤tunakuaminia wewe
@Janice-sd7hl2 ай бұрын
Safe safe journey the obbinas,and all the entourage, more grace to yuall
@carolineakelo60762 ай бұрын
Risper is a nice gal and kindhearted.❤❤❤❤❤❤ Blessed is the hand that giveth than the hand that receiveth.
@EstherMakabira2 ай бұрын
Obi hataki atembee na wamama anasema anaambia bebii vitu na hasikii😂😂😂😂
@Waaheda_Red2 ай бұрын
The new curtains are beautiful. They have elevated the look of the house
@gracembua44292 ай бұрын
Loving the two Luyha friends,hio nywele ya Bebi gal siende Kisumu yawa❤❤❤
@SharonKhayosa2 ай бұрын
Eeeeh bebi ukiwa na wengine c unawapa pia wao class ya juice ama maji yawa😅
@FridahKanana-kp3oi2 ай бұрын
I love the friendship,may it last long.goodvibes only
@SurprisedCells-ee2ul2 ай бұрын
Do your magic Risper and make bebi looks like a queen for obinna"s homecoming. Make mother in law love our gal ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@EstherMakabira2 ай бұрын
Washasema wanaendea tunguo tufupi so get ready to talk na hatujadikia wakiongea maneno ya nywele😂😂😂😂😂
@marybenton50522 ай бұрын
@@EstherMakabiranywele nikuoshwa tu but hii nyele for me ni no
@veronicaatieno85802 ай бұрын
I agree with you @@marybenton5052
@EstherMakabira2 ай бұрын
@marybenton5052 my dear,alilipwa na Ratino pesa mingi kuwa ambassador wao what choice do we have.alisema atatoa akienda kidumu akirudi anaweka coz ni kazi
@linetcheptoo28082 ай бұрын
This two are just vibes😂😂❤❤❤❤i love them
@DorothyMutegi-dl4rr2 ай бұрын
Risper you are one in a million may God bless you Mightly ,walk with bebi you have alot to teach her ,mtu akurangi peke yake wageni kwanza .You and Obina you are God sent to change her life continue teaching her I'm glad akirekebishwa haskiangi vibaya .That house needs some decor too.All the best bebi.
@juliashighadi2432 ай бұрын
Risper najua hutatuangusha team bebii, dress ikuwe ndefu alafu bright
@hellenoponyo24152 ай бұрын
Risper Bebii akae smart akienda kisumu , ang'are kabisa
@QueenMary-r4l2 ай бұрын
Asante sana Rispa umekuja ahki we were so worried ni nani Ata mderess huyu mtt wale wengine Hua hawamtakii mazuri wana address kama Ile kitu hukaa shamanic kulinda nyani lkn ww Risper uko mmmwaaah God bless u so much sai twajua our baby gal Ata shine
@Soonly20002 ай бұрын
Risper, much love baby girl ❤ Ng'arisha bebii kabisa
@florenceamedi41052 ай бұрын
Risper I'll follow you vibaya sana,endelea na hiyo roho God bless you Risper
@Ashinagaltoto78762 ай бұрын
Aishhh gal teach yourself kuserve watu ata maji... How can you drink Juice Infront of visitors alone..soo bad ..😢.. mgeni hawe amebeba chochote or la... Learn please
Advisers mnafikanga mapema 😂😂😂🤣 Risper you are a good friend🥰🥰🥰🥰
@Sisline2 ай бұрын
Hadi mtu unashangaaa hawana family members wao wakuadvive😅😅😅😅
@HustlerNation-vx9oc2 ай бұрын
Imagine with there whole mind they think bebi did not serve the visitors with something behind the camera 😮😮
@valentinekerubonyangara2 ай бұрын
Wanaboo kwani hawana mafamilia zao Wana advise nkt
@vinphilo19922 ай бұрын
@@HustlerNation-vx9ockama ange wapea juice wambea wange comment nini hawa watu wanani boo kujifanya wazuri kila saa advice 😏😏
@jescahnaliaka562 ай бұрын
😂😂😂😂@@HustlerNation-vx9oc
@sashasash78062 ай бұрын
Haki wewe na Risper you are mad 😅😂😂😂😂
@Safiya_said2 ай бұрын
Nipitie dear
@estaromambia322 ай бұрын
Bebii acha kukunywa juice peke yako.Serve your visitors with something hata kama ni maji.Alafu etiquette ni hakuna kuramba juice imemwaguka while pouring.Wipe it out na serviette si ulimi.
@rosekandie56242 ай бұрын
Aki she needs someone to take her through etiquette..
@joylinejeptoo63122 ай бұрын
Wewe unajuwa alifika huko sangapi ama umeona tu ka wameketi
@gracekingoro67082 ай бұрын
Hii nayo ni ukweli,mtu amrekebishe Kwa upendo,baby girl anachoma,but tunampenda😊
@Winnie-ii5fb2 ай бұрын
Hiyo juice Risper ndiye ameleta, alafu ni vile tu ako kwa camera otherwise most of us do the same, let's not be so petty aki
@KENYANQUEENOFFICIAL2 ай бұрын
@@joylinejeptoo6312 nipitieni guys
@dorcasakoth58302 ай бұрын
😂😂😂😂😂 when the two meet. Jesus. I love the way Risper was demonstrating the guinea guy.lol.kisumu dresscode loading.
@emilynyoike19862 ай бұрын
Reading this watching the same time 😂😂😂
@MaxSupper-u5b2 ай бұрын
Risper thank you for your service. God surely will bless you.
@soffieanah96792 ай бұрын
i love these 2people so much❤❤❤❤
@Maaabduly2 ай бұрын
First to comment team bby npeni like ❤❤❤❤❤ thanks risper kwa kumtembelea bebii ❤❤❤❤❤❤
@cynthycynth22222 ай бұрын
Dem wa fb learn kupea watu juice ama maji...what a shame kukunywa juice mbele ya watu alone
@agneskasimu69112 ай бұрын
Yeah na sending strangers to her bedroom to fix the curtains 😢😢😮
@sharo79082 ай бұрын
Hii nyumba ni yenyu ama ni yake na wageni ni wake ama ni wenyu ,tulia na umsupport na chenye umeona kwanza umesubscribe😂😂@@cynthycynth2222
@sharo79082 ай бұрын
@@agneskasimu6911wewe nyamaza umesubscribe ama nikuambia mtu kwa nyumba yake vile wee unataka🤨🤨🤨
@KENYANQUEENOFFICIAL2 ай бұрын
@@cynthycynth2222nipitieni
@kkkssiMJAnsnsnn2 ай бұрын
Wow luhya wawili in the house ❤❤❤ bebii Risper uko n roho safi aki
@juliesakong33112 ай бұрын
Bebi akajimwagia juice mwenyewe...wueeh
@Shqn-12y2 ай бұрын
Risper ur one only friend hana vivu team bebii tupitiane kama munapeda risper ❤❤❤
@mariamsulubu2 ай бұрын
Lady Risper tumekumiss uku kwa bebii...we love you dearly ❤❤❤❤❤
@kemumakeya33442 ай бұрын
They are happy souls when together
@Flo-t232 ай бұрын
She is a good frd indeed
@EmilyNafula-d6o2 ай бұрын
Aki elewa and always ajue kupea wageni Tu,,,she is young teach her,,,with her every thing is comedy,,we love you darling Risper,, don't give up on her msaidie kabisaa,,,
@EmilyNafula-d6o2 ай бұрын
I mean kitu,,,
@DeeVio-x3y2 ай бұрын
gai😮@@margaretatieno-t4y
@annitamisiko35972 ай бұрын
Kitu nme notice kwa comment section ..... nkiona comment mrefu na haina ata love imoji hua najua2 nima chief advisers 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wenye utafuta2 makosa kwa bebii any way mimi hapa ni positive vibes2 nkingoja 9to15❤❤❤❤❤❤🎉
@cecilwachuka2 ай бұрын
@@margaretatieno-t4y ni Kama Hana ukalimu....she need to put others b4 herself, not being mean, else, ikuwe alifanya deliberately ndio watu waongee.....if not that she need change Asap
@margaretatieno-t4y2 ай бұрын
@@annitamisiko3597 Sawa but corrections hapa Na pale Sio mbayaaa that's how we learn ptho
@hassanmakokha2742 ай бұрын
Your vibes are matching and effortlessly pure 🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@GraceJeptanui-hi1vy2 ай бұрын
❤❤❤Aky Rispar we love you so much, this time tafuta bebiiiii wa bebi nguo mzuri. Ya home camping ya bebi , wewe ndio utavalisha bebi wetu vizuri we love you Rispar
@Roselyne254-p3j2 ай бұрын
An not worried about Sato now❤❤❤ Risper thanks mama🎉🎉🎉very ready for tuesday
@MaryRuai-w7g2 ай бұрын
Sijui kama munaona hio picha ya obinna ya bebbi paleeee❤❤❤
@lizy84122 ай бұрын
Woooow we are happy naw na nywele pia uchange
@QueenEsther-d1w2 ай бұрын
Walai nimevaa earphones maskio inaniuma 😂😂😂😂😂😂aki si nyinyi ni vibes tupu❤❤❤❤
@annnasieku23092 ай бұрын
Nice to see you again,had missed your vibes,mbarikiwe
@IceChampakaWolf8882 ай бұрын
My luhya sister, next time, serve visitors hata na juice or something. Mtu akikataa ni yeye. Serve hata kama ni fruits since now you are blessed and you're not struggling financially. Sijasema kwa ubaya
@faithmbithe11552 ай бұрын
This two are crazy😂😂😂😂❤❤❤❤❤
@lovenest0012 ай бұрын
Nipitie nikupitie pia❤❤❤❤❤❤
@JoyJoyours2 ай бұрын
Bebi na Risper nawapenda sana❤❤❤🎉
@gloria_justgloria20132 ай бұрын
Risper is such a vibe🥰,iyo kicheko ya risper😂😂😂🤣🤣
@metrineendekwa1752 ай бұрын
This combo is a vibe 😂❤❤❤ we love you guys
@faridayusuf27582 ай бұрын
Huyu dem hapeangi wageni kitu ya kukula wakimtembelea jamani, Millicent wacha uchoyo na laziness.
@SsasaUG2 ай бұрын
So happy to see you two together ❤️ 💗
@carebiandiva57332 ай бұрын
Haya risper umeleta nguo mapema ama naoverthink😂😂😂much love❤❤❤🎉🎉
@SilvajulieMalahoАй бұрын
Si tabia mbaya got me 😂😂😂😂😂
@LeslieSam2 ай бұрын
Wow Risper you are a true friend.❤❤❤❤
@Makenakaren_052 ай бұрын
Our two beautiful souls❤❤❤❤
@sabuhahakim45812 ай бұрын
Risper na bebi mambo fire...watu wa roho safi
@judymemz2 ай бұрын
Risper faith ni wewe tunakutegema kwa homecoming kisumu our girl should shine hatutaki ianguke kama ile ya kitale
@MareMare-h5y2 ай бұрын
I love this people ❤️❤️❤️
@linnetritah45222 ай бұрын
Team bebii from Oman,piga likes tukisonga😂😂
@marthawairimu2 ай бұрын
Pia niko oman😢
@MamakeTyler2 ай бұрын
You guys plz mniwahi agents wenu plz
@MidevaMachayo-yu6qs2 ай бұрын
@@MamakeTyler nitafute
@NeemaChikodi2 ай бұрын
Risper we trust your touch!! Usituangushe.
@Esthermbute2 ай бұрын
Good job risper we now trust the look on Saturday in advance. The curtains are complementing the the seats dopely. Your house is mwaaaaah.
@Safiya_said2 ай бұрын
Nipitie nkupitie dear
@glowmujera46782 ай бұрын
Dwf please learn a warm welcome to your visitors ,,mgeni akija mpee hata maji jamani
@FunnyDalmatianPuppies-qd9mj2 ай бұрын
Two luhya babe in the house, bebii and risper i love your vibes😂😂😂🔥🔥🔥🔥❤❤❤we need more content both you together
@ioicemauda46042 ай бұрын
Nimeenda vacation kidogo syllabus inakimbia good job faith ❤❤❤❤
@faithjepchirchir3962 ай бұрын
Risper pongezi dear,,,,,,, ghaaai bebii na uko tu hapo ukikunywa pekeako pea hata maji basi😢
@mercynjoki52282 ай бұрын
Woooooi bebii pea unakunywa juice peke yako😅😅😅😅
@Waaheda_Red2 ай бұрын
Min 8:08 hata kama hampendi criticism huku, hapo pa kulamba mdomo wa chupa ya juice.....hapana.
@brendamwabe94532 ай бұрын
@@Waaheda_Red 😂😂😂
@holinesschao49592 ай бұрын
Woii Team bebii na bebii ogaaobinna nawapenda sana naomba kuungia team babii ni doha quatr
@lynneaseya13752 ай бұрын
Aki bebii si uni bless na hizo curtains umetoa, now that u have new ones. Will be very happy. Bless me ooh
@kenya1sdaughter4372 ай бұрын
aki Andrew whatever you're going through may you overcome soon uendelee job na dwf
@tabbykamau20512 ай бұрын
Kwani kuna shinda kwa andrew 😢
@hellenoponyo24152 ай бұрын
Risper hata nguo ya happy birthday kuanzia Kwa nywele Hadi viatu.umupange
@EdithGichuki2 ай бұрын
Bebii wakunywa juice peke yako, siunge serve hata visitors halafu walamba chupa ya Juice mbere ya watu ai
@FaithNyabuto-z1d2 ай бұрын
Mbere gani?😂😂😂😂
@puritykeraro48022 ай бұрын
UUUUI seriously this is not good at all, kulamba chupa ya juice is a big No hata kama hakuna wageni.Good etiquette wanting here!
@shirleyachieng2 ай бұрын
Ukiingia kwa bebii unajua tu kuna mzee😂😊❤ bebii wa bebii ❤
@monicabarmao962 ай бұрын
Bebii haki wawekee kina Risper hata coffee or fruits wakule wakiongea. Risper is just a good heart lady..❤❤
@Keicysly2 ай бұрын
Upcoming KZbinr nipitieni team bebii
@Terry-e8e2 ай бұрын
Risper nakupenda bure dear❤❤❤❤
@FhinomenaMuthoni2 ай бұрын
Babei mimi nikama mama yako wageni wakikuja wapatie ata kama ni glass ya maji wacha uchoyo ata kama hawataki ngonja waede dio ukuywe juice nivibaya
@nicholasmbembe78212 ай бұрын
Ameni boo sana.....
@RandB_Channel2 ай бұрын
Sasa ako analiya kuolewa na Obina na hajuwi kutekeya wageni uyu ateza Leta ayibu kwawageni haki
@Treding2542 ай бұрын
Ukweli kabisaa
@SSASeniorSecretary2 ай бұрын
hhehehhehe my two luhya ladies on it hahahahahaha I looove
@milyngaira77562 ай бұрын
Wazimu wawili 😂😂😂😂i love this gals
@shantelminoo2 ай бұрын
It's good when you have visitor unawapea a glass of juice or water just something to bite beb❤❤❤bila hata kuwaulinza ,,it shows being welcoming and caring kaswetee,,
@JudyAchieng-j8d2 ай бұрын
Ajui kutreat wangeni
@ubahhussein71412 ай бұрын
When our risper is around...i just feel happy...we believe she will do her things for kisumu event❤❤tunamuaminia sanaaa
@ZainabukwambokaBosire2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣aky hawa wambea jamani hizi n mawhich aky mnaongea juu ya mgongaji🥱🥱🥱
@lynneaseya13752 ай бұрын
Aki risper na bebii ..uuii aki nawapenda sana ,u make me laugh and laugh waaaaa....u guys ur vibing vikali❤❤❤❤
@blessedlady5882 ай бұрын
Our two lips breaker 😂😂😂nilikua nimewamiss kuwaona pamoja😂😂😂
@thumajey2 ай бұрын
❤me too😂❤
@hemedihawa27482 ай бұрын
Sana😂😂
@KENYANQUEENOFFICIAL2 ай бұрын
Nipitieni guys @@hemedihawa2748
@roseliku5312 ай бұрын
Hiii kitu huwa anaambiwa sana😂😂😂😂
@MondeKerry2 ай бұрын
Bebi pea wageni juice leta glass zingine
@NellyKavai2 ай бұрын
Aki nawapenda bure
@lilianlihavi72562 ай бұрын
Wooooow🎉🎉🎉🎉🎉risper na bebii basss❤❤❤❤❤❤
@Carohjohn2 ай бұрын
Dont be mean aki be a giver pia do not only be areceiver its not good for lady especially 😢😢unakunywa juice ajy ukiwa na wageni na huwapei nxt time improve its called an etiquette 🎉🎉🎉
@JaneDreda2 ай бұрын
Napendako risper na bebiiii wakishikana hehehe vibe
@tushabejuliane4122 ай бұрын
Good vibes lady Risper and Bebi.
@leahkikuvi97952 ай бұрын
Mbingu ifunguke tuingie😂😂😂😂 Risper ❤❤❤❤huku ni 🔥🔥🔥🔥🔥
@JemimaMokeira2 ай бұрын
Unakuwanga muchoyo unakunywa mwenyewe juice
@vinphilo19922 ай бұрын
Hapa ni mjini sio kijijini
@valentinekerubonyangara2 ай бұрын
Madam advicer 😅 yaaani mko Na wifu mbka unashindwa kutype😅😅😅