Ukisha tazama zote rudi hapa uniambie ipi nyimbo yako pendwa
@susanonyangi-lh6yn7 ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪 1.salute 2.Napepea 3.acha nishukru mungu wangu 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲 4.Ni Kwa nguvu zake. My people from mother land Kenya like tukisonga na injili safari bado🙏
@anisetbutati7 ай бұрын
🙏🙏🙏
@officialandy_ke7 ай бұрын
Yako na bonny mwaitega
@anisetbutati7 ай бұрын
@@officialandy_keAsante🙏
@ashlinendiema15597 ай бұрын
Wakati wako ukifika,I watch everyday.
@MyresKagoro2 ай бұрын
Muheleze simu butati aisee kuna wakati unapitia unatamani umpigie simu yako ndugu,rafk au mzazi ili upate faraja ila badala yake wanaishia kukukatisha tamaa ila wakati ukifika wa kuinuliwa na Mungu hakika watakuheshimu
@gosbertmuta542111 күн бұрын
Jmn muhereze butati simu 😂😂😂😂😂😂ila mwaitege🎉
@Deny8593 ай бұрын
Huu mwimbu WA Aniset Butati unanikumbusha bahati sana kupitia maisha yangu Kuna watu walinikatia tamaa kimaisha sasa wananipigia Saluti🫡🫡
@mkojeragodsonofficial46647 ай бұрын
Kuna kipindi unapita hata ndugu wanasema huna namna but MUNGU ana namna ya kukutoa hapo ulipo yusufu alipouzwa ndugu walisema hamna namna Ndoto Zeke zingeweza kutimia lakini kule kule walikoona hamna namna Mungu alifanya namna akawa waziri na Ndoto zikatia KUNA NAMNA MUNGU ATA FANYA KWENYE HIO HALI AMBAYO INAONEKA HAMNA NAMNA. I LOVE YOU ALL bone vs batuti.
@anisetbutati7 ай бұрын
🙏🙏
@ortonjr35475 ай бұрын
Kabisaa
@user-snaida4 ай бұрын
Amen
@SharonSuma3 ай бұрын
Hata wazazi hata weza weka mpaka kwa katikati ya wenginge wakasema Una nanna lakini kwa halla uko number moja🙏🏾
@nathanmutwiriofficialkenya18282 ай бұрын
❤
@AssinaAntoinette12 күн бұрын
C'est bon 🔥🔥🔥🙏🙏🙏❤️❤️
@freddybarakasolo6 ай бұрын
Nihiii Yako na babu mwaitege mimi namuita babu sababu anastahili..... Sasa hapa Bukavu tunawapenda saaana tupo congo
@jamesmuseveni46795 ай бұрын
Hawa ni waimbaji wakubwa Africa wa nyimbo za kiswahili...
@rachelbahige26097 ай бұрын
Amen, Zambe azwa lukumu. Ngai naza bana 4 oyo baboyanga,papa nabango ayebisa bango ke ngayi na bwakabango pobaza bandiki.
@vincentkipruto11155 ай бұрын
Tuko shambani kweli ya yesu, mbarikiwe nyote
@RahmaIbrahm-jz3hp6 ай бұрын
jaman MUNGU muwwzesha wa yote hazidi kuwainua wote mmeimba vizuli nawapend sana nyimbo zote zipo sawa 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@dorisochieng45462 ай бұрын
Mungu awainue kabisa nyimbo nzuri sana
@SharonSuma3 ай бұрын
Nampenda nyimbo zako mwaitege❤❤
@aliciaallyson46787 ай бұрын
Make it downloadable
@محمدمحمد-م6ض7خАй бұрын
Ooh! hallelujah! Glory to God 🎉sisi ni wale maneno maneno hayatusumbui wala kutuvuruga 🙏🙏🔥
@TediSadoki7 ай бұрын
Aminaa zote niushuda wangu na amini wataulizwa na nashukulu Mungu🙏🙏🙏🙏
@dominadomnick8623Ай бұрын
Zote nzuri ila mpigie simu nzuri zaidi
@AmosGuzman7 ай бұрын
Alilopanga mungu litatimia. Kwenye maisha yako Litatimia 😍 🥰
@gloryvictor70137 ай бұрын
🙏🙏🙏
@happymponzi52046 ай бұрын
Collabo na bony mwaitege huu wimbo naupenda mnoo
@SylviaMalali-rm1ic5 ай бұрын
Nikijiona nmefika mwisho nikiuskiza huo wimbo najihisi kuinuliwa kiimani,,,,wakati wa mungu
@HappinessShayo-k3o2 ай бұрын
Ameeen mtumishi
@aggybona76587 ай бұрын
AMEN nyimbo zote barikiwa sana mtumishi wa MUNGU endelea kumtumikia Bwana
@Olivierahadi2 ай бұрын
Unyumuimbaji anaitwanani kwasababu napendaka ni télé charge nyimbozake
@jeanmarie6736Ай бұрын
Like your song
@hillarykiplimo462Ай бұрын
Aki watakuheshimu ni kweli wwe tu mungu i love you my God
@albertinasaria24887 ай бұрын
Mungu awainue zaidi ya hapa 🙏🙏🙏
@eliyakiza93277 ай бұрын
Ila na ile nyimbo ya usinikumbushe, mambo yazamani, ikopowa sana
@AnnaMsuva2 ай бұрын
Mungu wa Mungu azidi kuwainua kwa viwango vya juu watumishi wa Mungu
@HassanLikaluka6 ай бұрын
Alilopanga Mungu litatimia imenigusa sana
@rosemaryadego-x4c6 ай бұрын
Huu ni ushuhuda wangu kwa hakika, nangojea Mungu ajidhihirishe tu wakati wake
@AnnaMsuva2 ай бұрын
Maneno hayatusumbui Mtumishi ,na Mungu azidi kukuinua usonge mbele
@selestinemayodi33847 ай бұрын
Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Jarida-r3h2 ай бұрын
Nafurahia
@CatharineNasipwondi-lk2hl4 ай бұрын
amen wonderful song may God bless you 💪💪💪
@LucyMwenda-u1x6 ай бұрын
Nyimbo zote zinabariki 🙏🙏🙏
@ebbyjaremba19845 ай бұрын
Nyimbo nzuri sana zainua moyo
@WitneyZulpha4 ай бұрын
Nyimbo zote zko saw aky mungu awainue viwango vya juu
@MitshAngel2 ай бұрын
Barikiweni sana katika jina la YESU KRISTO
@FurahaMireille2 ай бұрын
Naipenda tena sana
@paulinembithe38476 ай бұрын
Nyimbo zako zone zinanibariki
@ChristineMakokha-te3eg5 ай бұрын
Zote ujumbe tofauti kwa kila majira unayoipitia nakubali zote kabisa
@valentineakola8887 ай бұрын
All of them are good ❤️ message matters alot💯
@gloryvictor70137 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏 naamini ntainuliwa na mungu zaidi wakati wangu ukifika🙏🙏🙏🙏🙏
@WilberforceLuvai7 ай бұрын
Watakuheshimu yanibariki sana
@RasskinongoKinongo-ig1wd3 ай бұрын
❤❤❤❤zuli sana
@eliyakiza93277 ай бұрын
Hinyimbo, uliipatia ikopowa sana, Mungu akubaliki sana,
@LilianAmukoya-v8p5 ай бұрын
Wow inaniguza moyo kweli mungu n mkuu mbarikiwe na aweke kwa viwango vya juu zaidi
@KaluwaManyani6 ай бұрын
Bless 🙌
@valeryatieno635 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️am much blessed with the mix keep up glowing dear 😊❤
@Maleshblessed7 ай бұрын
Wakati wangu ukifika Wimbo umenfarji sana god bless you 🙏🏻
@DivineKwizera-u3h7 ай бұрын
Mung awazindiz nguvu kwakazi zenu zauimbaji nyimb zaijili nawapenda sana kbx❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@OfficialSamwelNgasa7 ай бұрын
Nyimbo zote ukishirikisha huwa unafanya kweli ww ndio mwimbaji bora wa kila mwaka
@abigaelwanyonyi6 ай бұрын
All so powerful be blessed from kenya wapi wenzangu
@DorcusTumatuma-vq8tv5 ай бұрын
Amen zote zinabariki so mubarikiwe nyote🙏🙏🙏
@AmisDeshommes6 ай бұрын
Nyimbo zote ziko sawa kabisa 🙏
@AokoObwanda7 ай бұрын
I really love your songs may almighty grant you more. Wisdom for these arts a men
@Phoebenafula7 ай бұрын
Hongera sanaaa watumishi wa mungu, Continue shinning in jesus name🙏🙏
@EstherMmbone-h8k4 ай бұрын
That's a good mix
@FatumaNamboko4 ай бұрын
Watakuheshimu huu wimbo unanikumbusha mbali sana
@rachaelngwatu79706 ай бұрын
Nyimbo hizi zabariki Sana Sana
@dinahegaba76233 ай бұрын
Amina 🙏🙏 wapi link ya download ❤😊
@nabeajulius16826 ай бұрын
Yaani zote ziko tu sawa,ujumbe mzito sana
@evertheobald18116 ай бұрын
Watakuheshimu ndiyo umetishaaa! Maana hata mimi wameanza kuniheshimu hakika!❤❤❤🎉🎉🎉
@aminachiziamina6 ай бұрын
Yanii huna baya zote zina ongeza iimanii❤❤😊
@BrilianOmukubi5 ай бұрын
Usinikumbushe yaliyopita❤❤❤
@Ronaldkimbio0017 ай бұрын
Nikwa nguvu zake🥰🥰🥰
@agnessndabhalu3 ай бұрын
Naupenda sana wimbo huu
@roselinekhadija55477 ай бұрын
Amejibu maombi ndo kali
@Kasiti-f3fАй бұрын
Aki huu wimbo wa muhereze simu butatat aki unanifarij xna
@JulianaEmanuel-yi6pf6 ай бұрын
Waliniita mlala hoi ila Sasa mungu amesimama nami. Hakika usimwache mungu.
@FrankOsward7 ай бұрын
Analo panga mungu lazima litime.
@SusanGichuhi-yf1ho6 ай бұрын
Umebariki moyo wangu
@RodgersRangle-ux9eb3 ай бұрын
Ya kwanza
@naumonyamai57205 ай бұрын
Zote zabariki
@BernadetteSalima-t6p2 ай бұрын
Amina baba nikwanguvu zake mungu 🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@annetimbayi5 ай бұрын
Mwaitege ,usimwache Mungu
@AngelinachindeleMateus-hb9ki7 ай бұрын
Deus é tão fiel para quem confia Nele aleluia 🙌 Deus abençoe vocês e todos que amam Ao nosso Deus em nome de Jesus Cristo ❤
@dorisbosibosi79456 ай бұрын
Why don't you allow us to download??! please! Mumefanya nimebuy Wifi
@SamuelKarisa-mm3omАй бұрын
Mueleze butati hii imenibamba sana
@desaumwaweza7 ай бұрын
Hongera mtumishi wa Mungu
@GuelordKazimoto3 ай бұрын
Kweli kabisa
@susanshikuku15675 ай бұрын
Nina sababu ya kushuru amen 🙏
@AmisDeshommes6 ай бұрын
Wale wale watakupigiya saluti
@ElizabethMwangwale2 ай бұрын
Mchumba angu kupewa rafiki yangu 😢😂😂😂😂😂
@AngelinachindeleMateus-hb9ki7 ай бұрын
Deus sempre a de surpreender os incrédulos para exaltar aqueles que o temem mesmo estando na humilhação hoje Deus vai permitir que não moram os nossos inimigos ou os que nos humilharam para ver como Deus nos honrou cá na terra aleluia aleluia sorte e estar na presença do pai celestial ❤❤❤aberto aleluia linda jóia do cordeiro de Deus que tira o pecado do mundo Mungu baba está com os que se tornaram seus filhos em nome de Jesus Cristo João 1 V12
@jonathanmwakai28217 ай бұрын
Zote zinabariki ❤❤❤
@teresachepkemboi59954 ай бұрын
Aah butati your wifee is pretty treasure herrr😊😊
@DorinCherop6 ай бұрын
Naomba link ya kudownload please
@JohnNgayeOfficialАй бұрын
Butati
@daxmtiwandege50637 ай бұрын
Hiyo ya Mjomba bony ni balaa 🔥🔥🔥
@daxmtiwandege50637 ай бұрын
But zote ni za baraka sana ni nzuri sana hujawahi kuniangusha
@IvonMaika-w2r6 ай бұрын
Safi sana
@Rukiadenge-pt4xw2 ай бұрын
Make it down loadable
@SamuelKadzungu4 ай бұрын
Bonny mwaitenge ft butati
@aswa33384 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️🌹❤️❤️❤️
@JeanneNiyokindi-fw2jw4 ай бұрын
❤❤
@Winfridankalupia-t8d6 ай бұрын
Yeah 👏👏👏👏👏👏
@asmaraentertainment6686 ай бұрын
Amina sana
@susanshikuku15675 ай бұрын
Imebaki story
@NeemaDamaris2 ай бұрын
Hata nikipitia magumu bado nitaendelea kumsifu coz nimapito