It’s sad how kids have to be enjoined in crime at this tender age ,there is an evil spirit hovering over east lands couple with poverty and drugs ,people need to pray over their kids daily …
@EugeneRani3 күн бұрын
God 🙏 akubless sergent
@felixomondi90917 күн бұрын
Sergent ati wr ni mfupi juu ma spinal cord zimechoka??
@SharonAdhiambo-s9s9 күн бұрын
Eiiih kijanangu kareform😩🤧😂😂
@josephmaina-vm1lc8 күн бұрын
Uyu bado anakula ma c jo awache kabla akule cooper😢😢
@joashkeya48129 күн бұрын
huyu si ni mtoto sana...alianza crime last month akareform jana🤣
@ellegantpun14 күн бұрын
anawhisper tusiskie😂😂😂
@KelvinWambua-y4y12 күн бұрын
Kunywa maziwa wacha gwethe boy 😂😂😂
@BALOZIWAGHETTO11 күн бұрын
Daah hii lugha SI inabamba😅
@KevinDola8 күн бұрын
Kijana bado ako vitu ata labda hajui kama ni yeye anafanya interview ati alikua apo class 7,5,4 apo😂😂
@movie-time28968 күн бұрын
😂😂😂nilichorea muste hapo class 7, lakini 8 bado nilikua smarter😂😂