THE JUNCTION S2: E5 | JOL MASTER & PRISCA LYIMO

  Рет қаралды 13,345

iRoc Networks

iRoc Networks

Күн бұрын

Пікірлер: 57
@deogratiasgemini7792
@deogratiasgemini7792 Күн бұрын
sound mix mbovu every episode mnarudia same problem
@jacksonmayunga199
@jacksonmayunga199 6 күн бұрын
Haita tokeaa kama hiii 🙌🙌🙌🙌
@deogratiasgemini7792
@deogratiasgemini7792 Күн бұрын
hii concept ya mshahara na kodi ameongea vzur sana lymo
@MellanieKay
@MellanieKay 6 күн бұрын
Hi 5 Mzee Lymo! Wachagga uzungu unatufikishaga mbali sana...very understanding and very mindful 🎉🎉🥳🇺🇲🇺🇲
@habylyimo62
@habylyimo62 Күн бұрын
Sema mzee matukio ufanye kitu utuletee baba levo na shilole kwa pamoja😅
@silverman6930
@silverman6930 7 күн бұрын
Finally . Happy news year all 2025 .. another excellent show .. my guy is back 🌶️🌶️📌♨️♨️🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
@AADILKHAMIS
@AADILKHAMIS Күн бұрын
show kali saaana...... Ila position ya vinasa sauti kwa hao wagen iweken vzr kama ya bro matukio hapo inawafanya wasiwe comfortable alaf pia sound mix iboreshwe
@MenejaCossie
@MenejaCossie 7 күн бұрын
Khaa nimeisubiri sana 🙌🙌
@JoshuaJames-h7l
@JoshuaJames-h7l 6 күн бұрын
Ila Jol master mjinga sana 😂, the show is very interested and attractive sana salute 🔥🔥
@adambakari3200
@adambakari3200 6 күн бұрын
You killed it guys
@GilbartJackson-bd8mq
@GilbartJackson-bd8mq 5 күн бұрын
Kmmmkee jolmaster msenge sana😂😂😂
@DavidChuwa-j3y
@DavidChuwa-j3y Күн бұрын
This episode ni ya moto sanaa
@patroidtv2922
@patroidtv2922 7 күн бұрын
best show in TANZANIA so far
@levieburton9057
@levieburton9057 5 күн бұрын
Hii ya leo is the best ❤
@nienproduction7304
@nienproduction7304 2 күн бұрын
kaka matukio leo kacheka na kucheka tena😂😂😂😂
@ErickHenry-z6f
@ErickHenry-z6f 6 күн бұрын
nimeangalia the junction zotee hii nimechekaa mpakaa basii
@DavidChuwa-j3y
@DavidChuwa-j3y Күн бұрын
Charles tuongezee episode kama hizi aiseee
@OthinielKweka-bm9mf
@OthinielKweka-bm9mf 7 күн бұрын
umetishaaaaa sana mwanngu matukioooo😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@maltech40
@maltech40 7 күн бұрын
bonge la show 😂🎉
@IdiHassan-v1j
@IdiHassan-v1j 7 күн бұрын
The junction leo moto big up jol mastor🫡
@sharifamunisi4378
@sharifamunisi4378 6 күн бұрын
Nilikua nasikiliza vizuri mlipo Anza ukabila machame mmeniboa kinyama
@ReggieMasai
@ReggieMasai 6 күн бұрын
MAMNISHI
@lightnessnangasu289
@lightnessnangasu289 Күн бұрын
Baba yake Prisca ni kama baba yangu mimi . Hakuna kitu kizuri duniani kama kua na Baba rafiki
@JohWilly-x4n
@JohWilly-x4n 4 күн бұрын
Mkute joel hana akili kweli 😂😂😂🙌🙌🙌🙌
@braxler4660
@braxler4660 5 күн бұрын
Sauti sio poa mkuu mwangwi mwingi na hivo vicheko hatusikii ata mnachoongea
@romessjunior5643
@romessjunior5643 5 күн бұрын
show ya moto kinoma
@m-touchez1978
@m-touchez1978 5 күн бұрын
Daaaagh Olympio, Diamond, Aga khan, Al-Muntazir those days
@issajuma5032
@issajuma5032 7 күн бұрын
Nimeisubiri hii podcast Kwa muda mref sana
@AbdulraufSalum
@AbdulraufSalum 6 күн бұрын
Show kali lakn punguzeni zogo
@StatDataCompanyLtd
@StatDataCompanyLtd 6 күн бұрын
Episode hiii, ni kali kuliko zoote zinatakazo fanyika kwenye season 2... Vibe la moto sana
@maltech40
@maltech40 7 күн бұрын
bonge la show mzee 😂
@peternyaisazacharia7370
@peternyaisazacharia7370 4 күн бұрын
im appriciate it bro
@ErickShayo-y9y
@ErickShayo-y9y 6 күн бұрын
20:20 Ndo maaaaanaaah😅😅😅😅
@peterbpeter9683
@peterbpeter9683 2 күн бұрын
Saut inapaa sana
@hmanyinja
@hmanyinja 3 күн бұрын
Archimedes' principle
@hamsha_tz2297
@hamsha_tz2297 6 күн бұрын
Ni nomaa👍
@rebbywealth9869
@rebbywealth9869 5 күн бұрын
Nimeshindwa kusikiliza sababu ya echo
@edgarfuraha
@edgarfuraha 5 күн бұрын
🔥
@silverman6930
@silverman6930 7 күн бұрын
The echo on the sound was a bit off .. but it’s all good otherwise
@maltech40
@maltech40 7 күн бұрын
for sure😂
@ZawadiJuma-l2k
@ZawadiJuma-l2k 6 күн бұрын
Exactly
@lildnnc2936
@lildnnc2936 6 күн бұрын
Sound???🎉🎉🎉
@The_city255
@The_city255 5 күн бұрын
Master kauwa inabidi apewe ep nyingine
@jonasezekiel5699
@jonasezekiel5699 5 күн бұрын
Shetani hakuwa malkia pembeni ya Mungu,,Shetani ni Shetani ndio maana yeye aliumbwa kwa moto sawa na majini
@eddiegd289
@eddiegd289 5 күн бұрын
Nitaanza kufatili hii show kunavitu najifunza
@GilbartJackson-bd8mq
@GilbartJackson-bd8mq 5 күн бұрын
Kmmmkee hapo kwenye Tunda wote mmeongea usenge
@tamaraalexis5369
@tamaraalexis5369 18 сағат бұрын
😂😂😂
@AgnesAgnes-fm8wp
@AgnesAgnes-fm8wp 5 күн бұрын
Haha haha uwiii haha mbaaaaaaavu zangu nyieeeeee
@danieljohn3631
@danieljohn3631 6 күн бұрын
sound kuna muda ni mbovu hatar
@maryglorysalala6216
@maryglorysalala6216 7 күн бұрын
unyamaaa mwingi🤣🤣🤣🤣
@shukranimwambene6311
@shukranimwambene6311 7 күн бұрын
Jol kamuuliza uyu dada anamuona kama nan?? Sijaipata, aloipata anisaidie
@Godson_by_BABO
@Godson_by_BABO 7 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥
@kalebuernest1662
@kalebuernest1662 7 күн бұрын
Kaka kuna echo
@thabitdaudi9815
@thabitdaudi9815 6 күн бұрын
We are in sad where a woman thinks before a man approaches her ,he should evaluate her "monetary" value first. sad times indeed. Find a job b!tch relationship is not financial opportunity
@SALUMURAMADHANI-d8z
@SALUMURAMADHANI-d8z 7 күн бұрын
sauti kaka haiko pw
@AminaRashid-hp8xd
@AminaRashid-hp8xd 7 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 6 күн бұрын
LEO KIPINDI KIMEZIDI KUWA KIBOVU, TUMEWAZOEA NA UBORA, ILA NOWADAYS MUNAZINGUA.. VIPINDI KAMA HIVI, UBORA WA SAUTI NDO KITU MUHIMU KULIKO KILA KITU, KWASABABU KUNA WENGINE SISI, HATA HATUANGALII TUNASIKILIZA TU.. ILA LEO NIMESHINDWA HATA KUMALIZA KIPINDI, MANA LEO NI KAMA MUKO BENJAMIN MKAPA, MUNAANGALIA MPIRA WA SIMBA VS YANGA.. FUJO NYINGI KAMA MUKO KARIAKOO.. ECHO😢
THE JUNCTION  S1:E34 | LEONARDO & KHADIJA MZEE
1:30:14
iRoc Networks
Рет қаралды 46 М.
BSS 2024 SE15 EP05 DAR | FULL SHOW
1:30:47
BongoStarSearch
Рет қаралды 97 М.
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
THE JUNCTION S2: E03 | IDRIS SULTAN & EVELYN BYARUHANGA
1:55:20
iRoc Networks
Рет қаралды 23 М.
By The Way Hatuko Saaame! - BTW Ep 14
54:51
Celestine Ndinda
Рет қаралды 92 М.
TS Dabrina-collection interview
23:12
Taifa Star Media
Рет қаралды 10 М.
THE JUNCTION S2: E04 | SHEIKH ABDULRAZACK & QUEEN PETER
2:27:09
iRoc Networks
Рет қаралды 17 М.
THE JUNCTION S2 : E05 | AALIYAH & DANIEL KIJO
1:51:54
iRoc Networks
Рет қаралды 20 М.
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН