Ni bayana kuwa wimbo huu ni mtamu ajabu.Wanipa imani na kunivuta karibu na Mungu
@vyllahisoe42565 жыл бұрын
Wow I like the song ...be blessed who is watching 23rd Dec?? Nipe likes pliz hata mbili..
@ombuinicodemus3 жыл бұрын
Nyimbo nzuri meanwhile punguzeni make-up our dear ladies let's not be counted among the world let's remain the light
@lundankonshi72172 жыл бұрын
This is my favorite song from this choir may God continue blessing you 🙏
@takeoff25474 жыл бұрын
napenda sana nyimbo zenu hasa mwingi wa huruma na pokea sifa,kwa kweli zaninigusa sana,mbarikiwe sanaaaaaaa, toka +254
@thelightbearerstz4 жыл бұрын
endelea kubarikiwa rafiki
@macochieng58725 жыл бұрын
Baada ya kuimba na wengi kusikiliza muziki na ujumbe basi tuokoke tuache dhambi tuende mbinguni.Wahubiri wamemaliza ,waimbaji wamemaliza ya kwao sasa bado kuna majitu mengine wakatili na vichwa vigumu na wivu na jeuri kupindukia , ukokeni tuache dhambi kha!
@julesbelliot47105 жыл бұрын
Indeed a great message in song it’s always about lifting up Christ the lord our savior I sense God’s spirit working among his light bearers keep praising and glorify the blessed name of Jesus Fl USA
@gloriahmutindi34385 жыл бұрын
What a song!God bless you all.nawapenda bure... watching from Garissa Kenya...🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@phinerwilliam81375 жыл бұрын
Mungu awaabarikii kwa kazi yake muliyokubali kufanya ili kuokowaa roho 🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@gracekimambo29825 жыл бұрын
Kwa style hii ya make up sasa!!!! Sijui. Vaeni na hereni kabisa ili tujue moja kuwa nyie hamko tofauti na hao wengine.
@jeniphermakwi64915 жыл бұрын
Hao wengine akina nani
@nepomuscenekaberuka56635 жыл бұрын
Naupenda wimbo huu. Mnasema ukweli anastaili sifa. Ahsante ndugu, nawapenda mno.
@elizabethmwandu69375 жыл бұрын
Hongereni sana kwa kulitangaza neno la Bwana kwa njia ya uimbaji Mungu awabariki sana.
@rukiajackson79862 жыл бұрын
Am blessed 😊😊
@mechanicalengineering12695 жыл бұрын
Love you kuva muri kaminuza y'u Rwanda. Najua munajua kinyarwanda sana!!
@yucabethdavis40725 жыл бұрын
Baraka tele kwenu wana kwaya nyimbo zenu zenye mavunzo ya Bibilia. Watching you from NC USA
@johabosofficial4 жыл бұрын
Mbarikiwe sana zaidi ya sana! Tunawapenda!
@njiletungu79885 жыл бұрын
Huwa nabarikiwa sana na nyimbo zenu pia frah yang n pale nlpobarikiwa kuktana nanyi pia kuwaona live ktk campus outrich mungu awabariki sana kwa kaz ya utume mnayoifanya.AMEN
@josialuhunga90034 жыл бұрын
Mbarikiwe na bwana
@Njengahhum4 жыл бұрын
THE MUSIC IS WELL ARRANGED AND DRIVING THE MESSAGE OF HOPE HOME
@victoriamaximillian43274 жыл бұрын
.I like this song
@annexaba1551 Жыл бұрын
Beautiful ❤❤
@ellymaxnameofthesongplz55482 жыл бұрын
the song is amaizing
@imanihezron84264 жыл бұрын
Wimbo mzuri hakika, barikiweni sana The Light Bearers. In deed may God bless you abundantly, mwende mbali kwa utumishi wenu.
@jamalogistics4125 жыл бұрын
Mjitahidi msiyumbe,maana kwaya za kisabato zinakufa kwa majungu,uzinzi na kwa wachache kunufaika na jasho la wenzao,huku wengine wakipigishwa dili tu na kuchechemea kwa ufukara.
@ongusnjaywe5 жыл бұрын
This video is better shot than ile ya Mwanamke Mmoja. The lighting in that video makes the song sound and appear depressing. Big Up Josh! Kazi kubwa! Hongereni jamani!
@josephmasona70873 жыл бұрын
May GOD bless you abundantly...nice song.
@denismiya45734 жыл бұрын
Big up Josh. Am blessed
@frankgeorge2134 жыл бұрын
God bress u light beares
@bundaadventsingers81785 жыл бұрын
Mbarikiwe mi sina lakusema sina swali ninawapenda mwende mbali
@donaldsheymc91793 жыл бұрын
Beautiful song
@gudbwoy35695 жыл бұрын
video is looking so 👍👍👍
@amanibwire44235 жыл бұрын
Mungu azid kuwapa hekima na amani ktk kumtumikia nawapenda sana
@zabronvedastus35725 жыл бұрын
Good music...good video👍
@nyamtondomakwasa82824 жыл бұрын
Mungu awabariki sana
@rachelmatiku57635 жыл бұрын
Mfike mbaliii... tunawaombea
@walterlisutsa83494 жыл бұрын
Another great number from the LB. You bless my soul. Soft voices, enriching lyrics, beauty in simplicity.
@apollobupolo98845 жыл бұрын
Hongereni sana wanakwaya Mungu mkubwa
@juicymann15 жыл бұрын
Blessed music with a great message! God bless LightBearers Tz
@deboranjiro57985 жыл бұрын
Tunabarikiwa sana na nyimbo zenu.ila waimbaji niliowazoea nawaona wachache jaman!
@epicstudioznrb5 жыл бұрын
Rosemary & Fred...love the combination.....this song just blesses my soul
@amonTVgusu5 жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa kazi nzuri.
@felisterjoseph23505 жыл бұрын
Mbarikiwee sana
@rachelharisson20385 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbo zenu Mungu awe nanyi daima🙏🙏
@gidionnyangaka89405 жыл бұрын
the video is too dope, mmependeza, good music as always so I had to like and comment.
@triplem50389 ай бұрын
Amen ❤❤❤
@johnsengerema4258 Жыл бұрын
Kuna nafasi za kujiunga
@hildastanford95915 жыл бұрын
Nimebarikiwa sanaa
@gloriousnp5 жыл бұрын
Happy sabbath 🙏👌🇹🇿 How I wish y’all ladies had the woman at 3:14 look👌👌🙏🙏🙏
@edithanahozya45505 жыл бұрын
As blessing as always....May GOD enlighten your ways
@realreen23495 жыл бұрын
Amen Amen vyote ni vya muumba wetu
@valeniceweena53224 жыл бұрын
I love this this choir very much. Which church in TZ are they attached to? I watch you every second......Kenya
@thelightbearerstz4 жыл бұрын
CHUO KIKUU SDA CHURCH
@judgethomas62094 жыл бұрын
Kanisa la chuo kikuu udsm
@isaiahthomas30595 жыл бұрын
Barikiweni from austria
@BongoCryptos5 жыл бұрын
Hii tunaita amazing!
@faninyatjipito32645 жыл бұрын
Beautiful guys
@juliethzqchariazacharia14315 жыл бұрын
Mumependazaa
@finesmwiiya52545 жыл бұрын
I really like your music guys may God bless your ministry
@emmaculatemwikali27585 жыл бұрын
My all time❤
@jeftahangwenyi7024 жыл бұрын
Be blessed
@bholimjoho19755 жыл бұрын
Good song
@barakacharles98525 жыл бұрын
God bless you abundantly 😍😎😍
@catherinepunga9204 жыл бұрын
Nice
@rizayohana485 жыл бұрын
Woow nice song. But if I want to join what are qualification that I suppose to have????
@stancelousnanjala71365 жыл бұрын
Wonderful... Be blessed angels of God.
@fredrickokoth45415 жыл бұрын
Nice song
@marcomartin78395 жыл бұрын
God bless you all
@ndatulumalugu15335 жыл бұрын
Stay Blessed. Dear Brethren.👏👏👏
@nadamata13035 жыл бұрын
Ameen
@ruthakinyiantipaschaulo56845 жыл бұрын
Amen
@sarahshadrack50595 жыл бұрын
Mungu awabariki! Mmenibariki sn asubuhi ya leo
@dinahmoses88055 жыл бұрын
Ameeeeen
@King_Of_Everything3 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
@suleimannzamilisi9965 жыл бұрын
Good chord arrangement &video shot na landowners.Maoni yangu punguzeni kurudiarudia chorus inabore though hata kumuziki haitakiwi kurudiarudia a cetain part of a song unless otherwise you have a strong reason
@edwinotieno91895 жыл бұрын
Why don't you produce yours we watch. These kind of critics serve no purpose at all
@suleimannzamilisi9965 жыл бұрын
@Edwin otieno it's my musical suggestion concept to musicians and not you
@musakandie34015 жыл бұрын
Ameeen
@elizabethogutu40174 жыл бұрын
Suleiman truth be told thanks for reminding them
@gracekimambo29825 жыл бұрын
Nyimbo zenu ni nzuri sana, Mungu awabariki. Lakini mnanipa shaka na make up zenu. Maana naona kama hamna msimamo na vile ninavyowajua
@lydiachembe93765 жыл бұрын
Ndoivo mm mwenyewe nilikua najua wasabato hawasiki hawavai ulembo wowote lakini naona ndo yaleyale tushafanana
@masasimgengeli57105 жыл бұрын
Nyimbo nzr ila haziendan na mlivyo mecap nyng,wanja,vimin ndo usiseme ukwel badiliken mnatia aib kwa vimin ambavyo huwa MNA vaa bora hii gaun in ya heshima
@amosjumamost4 жыл бұрын
Where can I get a DVD that contains this song. Wonderful singing.