karibu kutazama mahojiano ya the light bearerstz na clouds fm usisahau kushare pamoja na KU SUBSCRIBE katika channel yetu
Пікірлер: 46
@Krizadh4 жыл бұрын
Mungu awaneemeshe mfike mbali.. Maisha yake Yesu is my all time favorite song 💚
@bensonjoas4782 Жыл бұрын
sauti nzuri sana.,Bwana awabariki sana
@newengwashi26624 жыл бұрын
Amina barikiwe Ni LB
@BongoCryptos4 жыл бұрын
Amina, Mungu awabariki sana
@yessesamson7414 жыл бұрын
Mbarikiwe Sana lb
@salamasylivie60184 жыл бұрын
Ongereni sana jamani,nawa penda sana toka RDC Congo.
@sammatekere4 жыл бұрын
Roho Mtakatifu! Nice Song.
@gidionnyangaka89404 жыл бұрын
Ukiachana na kuimba vzr light bearers mna wadada wazuri mpaka sio vzr,
@Krizadh4 жыл бұрын
Eti 😀
@amanielias46142 жыл бұрын
Nawapend amen
@sixmundkiyugy11813 жыл бұрын
Mungu azidi kuwabariki sana wapenzi katika Bwana, ila mnapoimba live bila vyombo mjaribu kuvuta pumzi katikati ya wimbo kwa zamu ila kuepusha kusikika kwa uvutaji pumzi wa pamoja especially sauti ya kwanza, ili kuleta mvuto mzuri zaidi katika wimbo.Mungu awatangulie mnapoenda kulirekebisha hilo.
@leahnyange95934 жыл бұрын
Waao barikiweni
@herryphillip21734 жыл бұрын
Keep pushing the gospel through music to all nations. God bless you LB 🙏🏾
@charityngala45204 жыл бұрын
Wow nice God bless u LB
@samwelygilyaofficial71604 жыл бұрын
Amen nimebarikiwa sana jamani nanyimbo zenu nzr zenye bashsha.
@mohamedhaji25052 жыл бұрын
Amazing enough
@emmanuelsimoni60524 жыл бұрын
Barikiw
@watwegopnina64803 жыл бұрын
Amina na Amina Mungu awabariki sana sana
@shadrackymwesigye89513 жыл бұрын
Muko kwa kazi yakutolewa boo asante mungu asante saana...
@julesbelliot47104 жыл бұрын
Peace and grace t to the light bearers from GOD our fathers
@juliuskambarage64754 жыл бұрын
Utumeeee unaendeleea bado , mbarikiwe
@Macma12tz4 жыл бұрын
That was awesome! You rock the cloud guys. May God lift you higher. Keep it up, we are so much blessed.
@mswanawamswana31294 жыл бұрын
U rock the show
@jamesmedard55384 жыл бұрын
Barikiwa sana ndugu zangu katika Bwana.
@nuruamry4 жыл бұрын
Mungu azidi kuwainua mbarikiwe sana kwa huduma njema
@emmanuelbunyinyiga39313 жыл бұрын
Great
@shadrackymwesigye89513 жыл бұрын
Aaalo u gandan man thank for introducing Ugandans to Tanzania we appreciate
@farajamaduhu19814 жыл бұрын
Kudos to the light bearers and the clouds media for such an outstanding occasion, Fred kirya ni genius wa harmony na arrangement ktk muziki wa injili. I bless their ministry. Pigeni kazi ya Mungu mpaka Shetani akiwaona ajiharishie.
@dianamylovelysongkoligo64634 жыл бұрын
Nawapenda Sana hakika mnatubariki .... Mbalikiwee sana watu wa Mungu
@joachimmbenga34434 жыл бұрын
Amazing
@estherpeter51034 жыл бұрын
Mbarikiwe Sana lb,, you always bless me,, nawapenda sanaaaaaaaaaa😘
@kampalaplus3 жыл бұрын
#MuchLove from Uganda. I Love You guys, thanks so much
@nyebelida4 жыл бұрын
Barikiweni
@basomageofrey60313 жыл бұрын
You people are great. Glory and thanks to the almighty God. SDA JUUU!!! THANKS TO BROTHER KIRYA FRED
@soloartist_ivanvespalusind16094 жыл бұрын
Thanks for your good representation, God bless his church.
@Segerethom4 жыл бұрын
Good presentation, Glory to God.
@mariejulmeus9555 Жыл бұрын
👍👍👍
@jeremiahoumaonditi82854 жыл бұрын
Amen brothers and sisters
@jastincostantin49193 жыл бұрын
Upend amos upo apo
@neemahpeter37342 жыл бұрын
🥰🥰🙏
@petrokimages88204 жыл бұрын
You really sing well. I love you and I never regret using my megabytes. Be blessed more.
@nyabokeomwoyo74634 жыл бұрын
Very true. Music is part of evangelism.
@stanleypius33653 жыл бұрын
God bless them
@jackyluns82244 жыл бұрын
Nishawah uliza swali hawa lightbearear huwa ni wa arushaa ama dar es salaam