MashaAllah. Shukran kwenu nyote. Allah awajaze kheri
@musachirunje46523 жыл бұрын
MashaAllah, its true the boy child have been neglected for so many years and we need to change this for the better future.
@zaynabmazrui73953 жыл бұрын
Great topic, great talk ma sha Allah. Its an eye opener to all of us.
@anwaralialbakr10223 жыл бұрын
awe-inspiring topic Sis....keep the good work
@omarmselem81733 жыл бұрын
Masha Allah great topic.
@fatmasuffii86353 жыл бұрын
MashaAllah great teachings.
@hassanambarakmbarak87593 жыл бұрын
Huyo mwanamke jombooooo mashallah izzuddin mumpendeza kwenye hiyo mada haiiiiiii ❤️
@hamza899453 жыл бұрын
Munisamehe ndugu. Turudini katika kitabu na sunna. Tutafaulu kwa mwendo ule ule wa Mtume na maswahaba. Hamna njia zengine. Tusiupake uchafu Uislamu.
@faizasmekitchen3 жыл бұрын
Great Initiative Mashallah.
@asyaahmed16453 жыл бұрын
MashaAllah thnx for an educative talk😘
@zaynabmazrui73953 жыл бұрын
Plz eka pt 2... theres alot
@democracy4803 жыл бұрын
Very good topic.Jamii nyingi za ki-Islam ni hivyo.The focus is on the girls growing up as if young men are expected to know everything.
@athumanetshisekeditshilomb67703 жыл бұрын
Please host him again
@rahmatahmed18713 жыл бұрын
Asalam Aleikum warahmatullah wabarakatu...MashaAllah tabarak Allah. Darsa zuri sana MashaAllah
@samiratahir98153 жыл бұрын
Maashallah good topic
@athmanmohamed61803 жыл бұрын
KEEP DA GOOD WORK INSHA-ALLAH!
@moridohome47903 жыл бұрын
Wanaume wengihawana mudawakukaana watotowao
@fatyus90383 жыл бұрын
Ma Sha ALLAH
@zaharakaranja47083 жыл бұрын
Ada , mila , desturi na malezi Sharti ziambatane na Dini
@Ukhtyzuhura3 жыл бұрын
Ma Shaa Allah
@letuslearn75483 жыл бұрын
Nice topic nice work shukran please can you keep a different seat for male guests
@ReelWithNusrat3 жыл бұрын
Insha'Allah we will. It was an oversight on our part 🙏🏾
@halimaramadhan29753 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@asinakassim15483 жыл бұрын
Mashaa Allah
@DevilsWithEgo3 жыл бұрын
Nice one
@hamisamaundi56613 жыл бұрын
MashaALLAH MashaALLAH
@kungurumjamzito45283 жыл бұрын
MashAllah
@TheHuss073 жыл бұрын
19:30 vipi sheikh wataweza kufanya waislam wa zoroteke kama hawato chagua wasio faa??
@rashidabdullah49843 жыл бұрын
Have our religious organisations failed us in community service? - Yes! I would argue that an entire generation of "men" has failed and been failed by the religious educators and their parents. Terrible work ethic and reliance on "others" to get the job done. I am very happy you posted on this topic. I'm not exactly sure about how I felt about sheikh Izudeen, but the topic was spot on!
@sakinavora78303 жыл бұрын
alhamdilla, hii topic imegonga ndipo. to get married to a Swahili man is a total nightmare! they think women do not get tired , they are like invalids in the house. never assist
@mwanamisikasirani58293 жыл бұрын
I love this 😍
@soummohd23163 жыл бұрын
Masha Allah, masha Allah
@mohammedyahya9723 жыл бұрын
Ya Leo kali
@realdealz46173 жыл бұрын
Keeping it Reel : )
@dadijamoahmed52873 жыл бұрын
Mashaallah
@josephkariuki85823 жыл бұрын
Mashallah
@ashuashu38433 жыл бұрын
Mashaa Allah mashaa Allah
@fetysukafetysuka88113 жыл бұрын
mashaallah
@maryamtemba17603 жыл бұрын
Wanaume wafundishe kuish na mke wanawake sisi twastahimilia tu lkn wanaume sio
@ahmedamana21263 жыл бұрын
Keep it up!
@TheHuss073 жыл бұрын
Sheikh izzudin @ 16:00 vipi tuta fasiri seera ya sayedtna fatima radhia LLAHU anha? Hakuwa aki chughu lika nyumbani hadi mikono yake sharifu zika fanya sugu? Na sayedtna fatima ana faa awe ni kudwa kwa ndugu zetu wa kike. Lakini awe kudwa kwa kuchukua mafunzo yake na ku ya tabiq katika maisha ya sasa na si maanishi kua kwa mfano watu wavae nguo kama za watu wa zamani. Naomba utu fafanulie hapa sheikh. Na kama siku eleweka maybe naomba nijulishwe.
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
Matatizo mengi sana ktk ndoa/familia ukiyachunguza unakuta chanzo ni m'me. Unakuta m'me anajisahau au anapenda ubwerezo mpaka mke anaenda sivyo anaanza kumlaumu m'ke.
@marymwetu47983 жыл бұрын
Asalam alaykum vp sheikh wetu ungefanya darsa hii hali ya kuwa nusrat kavaa niqab ingependeza zaidi
@TheProvidencefilms3 жыл бұрын
The issues if the boy child are universal, not coastal. Simply, his to become a man.
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
Na kwa wakti huu ni wakti mgumu sana kwa mama waliowengi/wote kulea watoto peke yao. Wna'ke nao wanafanya kazi na kuchoka km wan'ume. Kwann wazee hawashirikiani kulea watoto ikiwa wakti wa sasa wenyewe kuna mambo mengi yanayoendelea duniani ambayo yanaeza kumpoteza mtoto.
@ibrahimabanur67943 жыл бұрын
Sauti iko chini
@fatmamafazy89993 жыл бұрын
Assalam alaikum shukran sheikh lakini desturi au culture ndio imetutatiza. Baba hamuhishimu mama kabisa kama upasavo