2024 wapi like ❤❤Jamal we n professor ❤❤❤I like it bro.🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@JosephatMaisori2 ай бұрын
Oyaaaa,, umujaaa ono no omokari😊
@theopisterleonard60362 жыл бұрын
Proud to have a fellow Tanzanian like this 🇹🇿
@dadyshunaydah94212 жыл бұрын
Tunaomkubali Jamal April Tujuane Kwa Likes Nyingi Hapa👍🏿
@bigdreams8192 жыл бұрын
Tazama hiikzbin.info/www/bejne/n3-uq4V-bM6Ab68
@bigdreams8192 жыл бұрын
Tazama hiikzbin.info/www/bejne/n3-uq4V-bM6Ab68
@wambuakyalo39452 жыл бұрын
Naic
@victormulari3112 жыл бұрын
@@bigdreams819
@JosekaMary Жыл бұрын
www.youtube.com/@user-gw3js1bh6z
@chidiomari.652 жыл бұрын
Professor Jamal we ni zaidi ya Jina Lako 🤝💪, lakin hebu tuletee story book inayoelezea vita ya Russia na Ukraine tupate kujua chanzo chake na madhara tutakayo yapata miaka ijayo. Much love from Helsinki Finland 🇫🇮🤝
@haido.992 жыл бұрын
Kabisa
@directorimmah_vfx30432 жыл бұрын
Apa aujakosea kabxaaa
@allanothuman29412 жыл бұрын
Andik mwalim isay Benson youtube utapat unachitaj
@judychepkirui53132 жыл бұрын
Kabisa.. namkubali huyu jamaa Sana
@charlesmyamba85312 жыл бұрын
Kbsa
@greyloso97892 жыл бұрын
Urembo na uzuri vipo ndani kwa nje mnajiongopea, muuza sura usikose amani makunyazi yakikutokea ~ Fid Q 🔥🔥🙌🙌
@rashowshine78492 жыл бұрын
Huu wote ni mchango wa Diamond hakika Kuna watu wamezaliwa kwa maslahi ya wengi big up professor Jamal 💪💪💪
@bigdreams8192 жыл бұрын
Tazama hiikzbin.info/www/bejne/n3-uq4V-bM6Ab68
@bedechorray54822 жыл бұрын
Diamond?
@verosteve36122 жыл бұрын
@@bedechorray5482 tushangae sote😄
@hildamasonda65282 жыл бұрын
Diamond??????? Kwan diamond ndio kampa karama hiyo ni karama aliyojaaliwa na Mungu sio diamond who is diamond by the way 😳
@MatridaGodfrey-xf1zn9 ай бұрын
Punguzeni kumuabudu diamond
@NiaKelly-sh4hj9 ай бұрын
Nawakubali Sana wasafi munatufanya tujuwe mengi Kama tuko wengi tunayo ikubali wasafi gonga like tujuwe the story book ni 💯💯💯💯💯💯💯
@Lïghtdēsïgn-r7x9 ай бұрын
Napenda sn istoria zako broh ❤
@leilaomary35742 жыл бұрын
Mr Professor ungenifundisha darasani ningepata A zote nikisikiliza vipindi vyako nakuwa way calm zaidi ya nikiwa darasani I have been a misfit all my life, thank for giving me hope and make me smile.
@yunusrama36252 жыл бұрын
Ebwana we kama kweli unamkubal Jamal na unajal kazi yk gong lik bx
@Olivapascal6 ай бұрын
Uuuuuuuuuh
@josephsilayo59922 жыл бұрын
Prof Jamal.napenda sana kazi zako.na sasa nimeona huko mitandaoni kuna stori mpya sijui a man from3036.amesafiri kutoka 3036 had2020 na alikamatwa ndani ya supermarket akijichukulia bidhaa bila kua na pesa.tuletee hio
@emmanuellangas91052 жыл бұрын
Mm kama Emmanuel Langas Papactock nimejifunza vingi kuhus the story book and I'm proud of being part of better audience wa the story book,. Mm nadhani najua kwann binadamu anapiga chafya, means,to realize the internal muscles inside,coz kujinyoosha huwa ni relize out muscles coz kunyoosha mikono na mbavu,and misuli ya migongo na tumbo huwa ni kurilize misuli ya nje ya mwili
@bigdreams8192 жыл бұрын
Tazama hiikzbin.info/www/bejne/n3-uq4V-bM6Ab68
@haido.992 жыл бұрын
Hatuwezi kukupinga prof....... MUNGU AKUBARIKI SANA
@CKMO8 ай бұрын
Thank you brother Allah akupe uwezo mkubwa wa kuzidi kutuelimisha tunakupenda sana ❤
@PhilipoMabula-ky9vs9 ай бұрын
Kwanza shukran za dhati zimfikie Mzee baba simba a.k.a zombie diamond kafanya makubwa katika hili taifa na kimataifa zaidi naomba MUNGU ajalie maisha marefu pamoja na team ya WCB kwa ujumla Jamali ni zaidi ya teacher ❤❤
@littletv31772 жыл бұрын
Nakuelewa Sana kaka much much respect for you naomba tu Mungu akujahalie afya njema uendee kutufungua macho mambo mengi ambayo yamkini tungendoka duniani pa si kuyambua 👏
@mustafamajanimussa74632 жыл бұрын
Allah..akujalie maisha marefu...na sisi sote...Amin
@muharramhamisi51402 жыл бұрын
Allah akubariki katika maisha yko na katika elimu yko professor Jamaly
@bigdreams8192 жыл бұрын
Tazama hii kzbin.info/www/bejne/n3-uq4V-bM6Ab68
@jumannemohamedy14562 жыл бұрын
Hakika ww ni professional kweli Hakika ww ni genius
@rahimramadhan12192 жыл бұрын
Mnaokubali story nzuri weka like
@abdoulhakeem29292 жыл бұрын
Hakuna zaidi yako WCB yote professeur
@bigdreams8192 жыл бұрын
Tazama hii kzbin.info/www/bejne/n3-uq4V-bM6Ab68
@nassoronassoro40902 жыл бұрын
My role model icon 🔥🔥linajua mpk linaboa
@helenagelwini17862 жыл бұрын
Mungu akuweke profes jamal
@malikijuma27592 жыл бұрын
profesa uzidi kubarikiwa ,kwasababu unaleta mchango mkubwa sanaaa katika utambuzi wa mambo.god bless you and your team.
@bigdreams8192 жыл бұрын
Tazama hii kzbin.info/www/bejne/n3-uq4V-bM6Ab68
@charlize_2542 жыл бұрын
Ever since I discovered this channel people think am really learned 😂. I have learned alot of things 💯 Keep it up
@zubeirkhamisabdallah80902 жыл бұрын
I'm proud to be a human Alhamdulilahi
@bigdreams8192 жыл бұрын
Tazama hii kzbin.info/www/bejne/n3-uq4V-bM6Ab68
@gloryoisso37962 жыл бұрын
Safi Sana Jamal tumekuelewa 💖💖💖💖💖
@babalaobabalaobicrendi87612 жыл бұрын
Natamani sana utusimulie simulizi yashetani alipo kuwa mbinguni na chimbuko lake ni wapi na nikizazi chanani na kwanini yupo hapa dunia kama mutihani kwetu na wakati amemuasi Mungu
@sallyjambo53162 жыл бұрын
Wow great job. I’m from kenya n I really appreciate this education.
@neemabernad43292 жыл бұрын
Same me
@rashiddula23312 жыл бұрын
@@neemabernad4329
@Verteller12 жыл бұрын
Aisee nakubali sana elimu kubwa sanaa unaitoa Prof jamal
@sophiajamali87302 жыл бұрын
Ahsante babaangu kwa darasa tamu
@rugenzirugenzi35622 жыл бұрын
Mwamba Prof Jamal April makofi kidogo kwake tafadhari 👏👏👏👏👏
@khalidirashidi66182 жыл бұрын
Aisee respect sana umenifungua Allah s.w akuzidishie ujuz zaid Ameen
@hashilalkharusi59262 жыл бұрын
Asante professa leo nimejifunza mengi mnoo asante ALLAH bless you
@babalaobabalaobicrendi87612 жыл бұрын
Asante sasa umekuwa una tupa mafunzo back to back
@nasorhaji30642 жыл бұрын
Mashallaa Mungu akupe maisha marefu ya kheri utufunze ..hii ndio elimuntafaubih" pia
@bigdreams8192 жыл бұрын
Tazama hii kzbin.info/www/bejne/n3-uq4V-bM6Ab68
@kudramutabazi5032 жыл бұрын
Thx a lot coz nimeelew vile ambavyo nimuhim saaana katika maisha ... forever with the story book
@rehemabahati58092 жыл бұрын
Much love from 254 salute frofessor, may God bless you
@Pro_Hacker992 жыл бұрын
Na at Sisi kamwe hatutachoka kusikiliza unachisimulia maana utashi na maarifa yako ni ya kustaajabisha Jamal....mwenyez mungu akulinde professor🙏🙏
@hamisshaibu58762 жыл бұрын
He is abnormal. Great mind. GOD be with you all the days bro jamali.
@bigdreams8192 жыл бұрын
Tazama hii kzbin.info/www/bejne/n3-uq4V-bM6Ab68
@officialcalmero21242 жыл бұрын
@@bigdreams819 hivi hii ndo kazi unayoiwez sio?
@jackmahero962 жыл бұрын
Hio tafiti kuhusu kidole Cha mwisho nakubaliana nayo💯
@khalfanfekhir73092 жыл бұрын
Kaka wewe cio mtangazaji 2 na wala cio mtayarishaji kaka wewe ni zaidi ya mwalimu unaefundixha bila wa2 kujua kama unatufundisha Mungu akupe umri mrefu na baraka kaka jamaly mustapha
@stande6742 жыл бұрын
Pamoja Sana Jamal pongezi kubwa kwako Na team nzima thanks Kwa elimu
@bigdreams8192 жыл бұрын
Tazama kzbin.info/www/bejne/n3-uq4V-bM6Ab68
@NabwikeLusekelo10 ай бұрын
My best storyteller of all the times ❤❤❤
@phofysdick3812 жыл бұрын
Asante kwa kutufahamisha tusiyoyajua🙏🙏
@galusoch85452 жыл бұрын
Professor hongera kwa elimu unayotupa, mungu akujalie uzima
@bigdreams8192 жыл бұрын
Tazama hii kzbin.info/www/bejne/n3-uq4V-bM6Ab68
@abelmbilinyi12622 жыл бұрын
Mungu azidi kukufungua zaidi ❤️ wewe Ni balaaaaa
@bigdreams8192 жыл бұрын
Tazama hii kzbin.info/www/bejne/n3-uq4V-bM6Ab68
@janephermacharia51502 жыл бұрын
Asante kwa yote Prof jamal ila nilikua na swali inawezekanaje mungu kuiumba sayari nane ila moja tu ndilo lililokua na uhai kwa hekima yangu naona kuna vitu zingine ambazo zikomo katika sayari hizo zingine ill sijui ndio kwa maana nilikua naomba ufanye utafiti wako kisha utueleze asante
@mohamedidd73852 жыл бұрын
Darasani tena Ahsante Prof Jamal💪🔥
@joshkomen62312 жыл бұрын
Napenda story book 🙏🙏🙏🙏 jamal
@fakiimohamed61632 жыл бұрын
💥
@bigdreams8192 жыл бұрын
Tazama hiikzbin.info/www/bejne/n3-uq4V-bM6Ab68
@lajahbuoy2 жыл бұрын
Jee harufu ya mtu Mzee iyo nayo nii nini
@ngowi31362 жыл бұрын
Subscribe plz
@yvepaulen43802 жыл бұрын
My first time to comment on this guy’s story much respect to because we learn something that we never learn or heard before 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🔥🔥🔥
@paulmalindi26002 жыл бұрын
Paul malindi
@bigdreams8192 жыл бұрын
Tazama hiikzbin.info/www/bejne/n3-uq4V-bM6Ab68
@fadhilamohd98392 жыл бұрын
Thank you
@mariamramadhani38602 жыл бұрын
Amesimulia kiswahili unajibu kingereza ndio nini
@fatmazullu49332 жыл бұрын
@@mariamramadhani3860 ajabu!!
@anny51932 жыл бұрын
Shukrani sana Ila niongeze kusema kama binadamu anauwezo waku kojowa bila kunyamba ila hawezi nyamba bila kukojowa 💯
@rajabramz90312 жыл бұрын
I use to love the way you end the story bro...Big Time 🙏
@NickTrickaddictedboy182 жыл бұрын
Definitely 💗💗
@bigdreams8192 жыл бұрын
Tazama hiikzbin.info/www/bejne/n3-uq4V-bM6Ab68
@gabrielsylvester62712 жыл бұрын
Ila professor Jamal hua unanibamba Sanaa mb zangu ziko sehem sahihi kabisa ubarikiwee
@jabirabdalla22002 жыл бұрын
Nimepata Somo prof Jamal
@TheSalma19992 жыл бұрын
Asante kaka hiyo ya watoto kuuliza maswali ni kweli Yani nimejifunza mengi sana leo asante professor
@ramadhanmaisa7882 жыл бұрын
Aiseee sauti tu umebarikiwa mr. Jamal april🥰🥰
@jackmah-zx8hh Жыл бұрын
Ahsante sana kwa elimu hii
@Nahadi-Said Жыл бұрын
😮😮😮😮 This is Too Amizing!!!!!
@htvtanzania34832 жыл бұрын
Mashallah wewe ni Prof wa kweli
@giftsimpamba9882 жыл бұрын
tunashukulu Sana tumejifunza vitu vingi Sana bila kujitambua asante Sana!!
@bigdreams8192 жыл бұрын
Tazama hii kzbin.info/www/bejne/n3-uq4V-bM6Ab68
@bovickpascal65542 жыл бұрын
Hivi up to now wasifi wame kwisha kupa gari la zawadi kwa kazi Bora unayo fanya
@shariftawakal36312 жыл бұрын
You're the best teacher
@bigdreams8192 жыл бұрын
Tazama hiikzbin.info/www/bejne/n3-uq4V-bM6Ab68
@gofurebaguma27812 жыл бұрын
Atukuzwe Mungu Baba Mungu mkuu
@mrfady-swahilifx84922 жыл бұрын
Nimekuelewa hapo kwenye wingi wa kamasi vichwani mwetu kuliko akili na maarifa
@imranihussen57642 жыл бұрын
thank you professional jamal🔥🔥🔥🔥🙌🏾
@bigdreams8192 жыл бұрын
Tazama hiikzbin.info/www/bejne/n3-uq4V-bM6Ab68
@nyodukingaboy19562 жыл бұрын
💪✊✊
@emmanuelkimeli93972 жыл бұрын
Love you bro from Kenya utakuja lini
@shenaazkajee2 жыл бұрын
Shukran saana . Jamal April. Nakubali video zako. Nazipenda saana mafunzo mengi ambayo tulikua hatujui. Mungu akuzidishie na kuweza kutuma zaidi.
@PriscilleLovoyo3 ай бұрын
Mungu akubariki sasa❤❤❤❤
@meekman18052 жыл бұрын
Kwa kweli nimejifunza mengi. Asante JMA
@titussarkai27402 жыл бұрын
Thanks jamal for this master piece of information we love you 😍 ❤ too from Kenya 🇰🇪
@qvinnajudy67052 жыл бұрын
Professor Jamal shukran 🙏🙏hakika nimejifunza mengi ambayo sikuwa nayajua 💟
@jamilmwinge36952 жыл бұрын
Asante sana ila mm nataka kujua historia yako kuanzia utotoni adi sasa na umri ulionao na vingine vyote kama elimu, mapito ya maisha, ikiwemo shida na Raha na kadhalika .
@bigdreams8192 жыл бұрын
Tazama hii kzbin.info/www/bejne/n3-uq4V-bM6Ab68
@ShabikiDigital2 жыл бұрын
Nenda katafute interview yake aliifanya na channel ya simulizi na sauti andika Jamal april sns
@juxbouy46852 жыл бұрын
Bwana we tunaotaman like like atujawai kuziona tujuane hapa
@andrealuhanya24072 жыл бұрын
Napenda sana the story book lakini ombi langu siku moja uje na story book ya MICHAEL SCOFIELD aliyeigiza kwenye movie ya Prison Break
@bigdreams8192 жыл бұрын
Tazama hiikzbin.info/www/bejne/n3-uq4V-bM6Ab68
@learnenglishandfrench49102 жыл бұрын
Aisee Bwana Jamal Aprili unatuelimisha Mungu akubariki Big Brother
@BLACK.ANGEL_585 ай бұрын
Tuseme mungu ni mjuzi ukiwaza sana utakufuru❤❤❤
@ElJannatyKhanDior11 ай бұрын
Napenda sauti yako wallah bila unafki🥰🥰🥰
@abduldandy30772 жыл бұрын
Sawa professional #Heretostay 👍❤️
@samuelmburu50692 жыл бұрын
Thanks for revealing thing's that I have never even imagined of. Watching from Kenya 👍
@rachypsalms28692 жыл бұрын
Shukura professional💖💖💖
@SalmaYahya-h4b10 ай бұрын
Love you tunakukubali🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@emilyaholi90092 жыл бұрын
Woooh..love this..mafunzo maxuri👌👌shukrani
@amanipetro83512 жыл бұрын
Nakukubali sana mwanangu🙄🙄
@simonwait54082 жыл бұрын
I enjoy the show from Kenya 🇰🇪
@zairosrashidi27882 жыл бұрын
Powa sana mtu wangu kwa kazi hii... Usichoke kuhifanya. Mungu akubariki
@glorymushi65072 жыл бұрын
How blessed you are 🤴🍭👌👌👌👌👌👌🥰??? Congrats my model 💖
@melkionpaulhaule2 жыл бұрын
From Nigeria 🔥🔥🔥
@damajojo2 жыл бұрын
Hahahahaha Yaani Nimefurahi Hadi Nimeamua Nicheke Tuu , Ni bonge Moja la story Afu pure truth
@bigdreams8192 жыл бұрын
Tazama hii kzbin.info/www/bejne/n3-uq4V-bM6Ab68
@respikius36852 жыл бұрын
daaaaas
@JosephLeonard-xy8mg7 ай бұрын
broo unajua 👏👊
@kevinaanangwe5352 жыл бұрын
watching from kenya betifull story
@MasoudNyoni-g8o Жыл бұрын
Ahsante Kwa ujumbe mzuri ktk maisha.
@newboytzbrn65662 жыл бұрын
Nakubali sana kazi yako professor juu unanifanya nijuwe Niko wapi adi Leo --🐉👋🤳🏾😊💫💫💫
@bigdreams8192 жыл бұрын
Tazama hii kzbin.info/www/bejne/n3-uq4V-bM6Ab68
@ratnarashid77452 жыл бұрын
Jamaaaal April I respect you 💎💎💎💎🙏🙏🙏🙏🙏
@mgasa_tz2 жыл бұрын
Daah.! Acha mungu aitwe mungu tu.!
@sammyhassan60332 жыл бұрын
prof Jamal respect 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@bigdreams8192 жыл бұрын
Tazama hii kzbin.info/www/bejne/n3-uq4V-bM6Ab68
@omarimorisho71382 жыл бұрын
Thank you prof jamal
@bigdreams8192 жыл бұрын
Tazama hiikzbin.info/www/bejne/n3-uq4V-bM6Ab68
@bigdreams8192 жыл бұрын
Tazama hiikzbin.info/www/bejne/n3-uq4V-bM6Ab68
@frankmshana13312 жыл бұрын
ebwaaaanaaaa eeeeeh leo umenisanua mambo mengiii saaaana much respect