Kazi ya kuhukumu tumwachie MwenyeziMungu☝️ siku itafika tu ukwel tutaujua mungu tujalie maisha ya kukutii ww na mwisho mwema🙏🌍🙏
@mangishop66432 жыл бұрын
AaaaAaaaaamiiiin ya rabil aalamiin
@africanicon40062 жыл бұрын
Fact zake ziko understandable wanadamu n wepesi.kufuata mapokeo yeye kawaA tofauti n wajinga wengi
@dostovan51422 жыл бұрын
Lakini huyu jamaa sio
@beautyjaydenbrockbelgety1722 жыл бұрын
Amen
@phinaswai47182 жыл бұрын
@@dostovan5142 mtakua wote huko
@Papaa_Hillary_Mrema2 жыл бұрын
Kanye West ni Mtu Mweusi pekee maarufu Nchini Marekani ambaye ana Utajiri wa Ardhi ana hekari 4,000. Ni ngumu sana kwa mtu mweusi kumiliki Ardhi katika Taifa la Marekani. Kanye West ni Genius. Professa Jamali naomba utuletee Story Book ya Ellon Musk Tajiri namba 1 Duniani.
@rihannadaima76062 жыл бұрын
Unamjuwa tuyeye kwasababu nimsan kuko watuwesi msheni marekani wakumjida Mimi ninaishi marekani nanimeona wengi san
@mchagashop13422 жыл бұрын
@@rihannadaima7606 unaishi pande zipi mamii
@africanicon40062 жыл бұрын
@@rihannadaima7606 sikupingi ni wengi je ni wengi wenye ardhi kubwa kama yeye.....huyu ni genious anastahili heshima
@Divinelinna2 жыл бұрын
Akuna Tajiri marekani aliye fanyikiwa na nguvu zake zote ni nguvu za giza
@abboushen83352 жыл бұрын
Kabisa
@partnersah88022 жыл бұрын
Biblia ndo kitabu Cha Mungu kinacho sakamwa saaaaana. Allah anajua zaidi kilicho jificha. Mwenyezi Mungu tujaalie mwisho mwema
@partnersah88022 жыл бұрын
@lionel nibitanga Kinachozungumzia Mwenyezi Mungu
@gospelman37202 жыл бұрын
@lionel nibitanga sio kitabu cha mungu wako
@geofray01322 жыл бұрын
@lionel nibitanga ni mti wenye nn unaopigwa mawe...?? hutumii ata akili ww, ukiondoa maneno ya kwenye biblia ktk Quran itakuwa kituko, lkn biblia hamna neno la kwenye Quran baada ya Muhammad, sasa nambie wapi una shaka nayo....???
@shijaolomi68002 жыл бұрын
Jumanne kanye anapotosha watu Mungu ni mmoja hakuna wa kufanana naye tumuombee huruma Mungu asimwangamize big up J aprili
@shijaolomi68002 жыл бұрын
Asante bro kwa kuona comet yang na kunipa like za kutosha big up
@shijaolomi68002 жыл бұрын
Big up bro tuletee mastori makali kama hayo hunayotuletea
@robertsimba50812 жыл бұрын
Anacheza huyu aulize pharaoh ....usicheze na Mungu anaeza kukushusha ulie!!!!🇰🇪2022
@salma-fc4xc2 жыл бұрын
Hamjui vizuri mungu huyu ana msikia tuu.
@dadyshunaydah94212 жыл бұрын
Tuliokua Tunasubiri Story Ya “KANYE WEST” Kutoka Kwa Legendary Professor Jamal April Tujuane Kwa 👍🏿Hapa👇🏻
Emu nambie jaman iv the story book haionyeshw tena ijumaa au mana kila niki taim kipind wasaf tv ijumaa sio naona matangazo yao tu ya mchongo pesa
@Seulvrai2 ай бұрын
I'm addicted to watching tour story books brother! I admire you, your work is awesome! Tungependezwa pia kupata simulizi ya P Diddy.....
@530thecarmissinng6 ай бұрын
Kanye is the goat ...the greatest artist of our generation ...show some respect
@abdulbakali68922 жыл бұрын
Jamal April Kaka unaweza sana mungu akulinde
@youngrappertz17352 жыл бұрын
jamal hana mpinzan, aya ile 1000 kwake😋🔥
@geofray01322 жыл бұрын
Mwambie jamila aongee na mazuri yake, km hayajamaliza masaa 6.
@mkisisimba86762 жыл бұрын
Kaka nimekuvulia kofia your the top#jamal
@kelvinkeita3192 жыл бұрын
Sjawahi comment kwenye stor zako ila huku mwisho umeongea vizuri sana salute bro
@vivianoforo47602 жыл бұрын
Mungu ni mmoja tuu hawa wengine ni miungu tu .
@kichenjewillian57202 жыл бұрын
bro..jamal wewe ni miongoni mwa ma great thinkers......naapreciate saaaaana
@rosemarykaduma42462 жыл бұрын
unatufinza mengi yakale sante kaka mungu akuongeze miaka ya kuishi love by AISHA
@thieryalex75472 жыл бұрын
Jamali leo umetuingiza chaka wazi wazi acha kusimulia mambo ya social media kuhusu kanye unajiharibia brand yako... fuatilia maisha yake ww si umeamua kusimulia sasa fatilia kwanza kabla hujaharibu kama hivi... yote uliyo sema ni sawa Umsimulie Diamond Platnumz kwa kutumia Social medias...yaan humo uweke story za mwijaku zoooteeeee ndo ulicho fanya sasa hapa. KUWA MAKINI
@vickydan28692 жыл бұрын
Hahaha kwakwel Ig haina uhalisia wa mtu
@shabaniisumaili76652 жыл бұрын
kitu ninacho amini bro jamali hajamfuata mtu akamuomb afuatilie story zake... hivyo ikiwa unahisi anadangany acha kufuatilia na siyo kuja kutoa comments za ajabu... Ukiona vip mfuate mwenyw muelekeze ukiona atafaidi san anza ww kutoa zako.... BIG UP SANA JAMAL.... KEEP IT UP na usikate tamaa kwa sababu ya manen ya watu ila mtegemee allah atakuongoza.....
@treasur_beaugus42302 жыл бұрын
@jamal April @jamal April!!! Mimi nime mu elewa uyu jama sana tena sana!!!! Sio kama anampinga mungu ila naitangaza injili bila watu kujuwa
@vickydan28692 жыл бұрын
Saana namkubali
@bish_daddiyao2 жыл бұрын
Ubinifu Ni Hapo Mwisho Bana Asante Sana Bw Jamal Umetisha Sana Mafunzo mema
@pendomarco89282 жыл бұрын
Neno la Mungu litasimama milele
@omarysaidy55242 жыл бұрын
Subhanaallah Allah amjalie atubu kbla ajafaa maana kishakufur hyu jmn
@uzungupoint Жыл бұрын
Kwa hakika, tuwe na tabia ya kujisomea wenyewe na kufuatilia mambo bila kutafutiwa na mtu lasivyo na matango pori tutalishwa. Mfano, hapo sehemu anayosema Kanye anajiita MUNGU, wala hakusema kuwa yeye ni Mungu, alikuwa anaeleza kwenye interview BBC RADIO kuhusu CLASSISM kama UBAGUZI wa namna nyingine, na akawa anaeleza kitu positive sana, ila namna Prof Jamal kaieleza daah! Nipo disappointed sana, namheshimu sana JAMAL MUSTAPHA, ila tafadhali tupe taarifa za kweli ili tuyajue mengi ya ulimwengu huu. Ahsante
@fridamarkalios167910 ай бұрын
Kwn mwenzetu hujui maana ya "I am God"?
@zuu__952 жыл бұрын
Ni moja ya vituko tu vya dunian ila end of the day dunia itabaki tupu ✌
@BISHAZAGAMESTZ2 жыл бұрын
Prof Jamal mungu akuweke maana najifunza vitu Ving kupitia story zako
@ezekielmugeta24272 жыл бұрын
Dah kwel MUNGU ana kazi ka binadam ndo hawa🙌
@missmwayway47042 жыл бұрын
Tena ana kazi kweli kweli hata sio uongo 😀😀😀😀
@Iga_idini_yawe2 жыл бұрын
Jamal on the top most creativity professor kuwahi kutokea
@yussouphluambo9592 жыл бұрын
Eeeh mungu nusuru hivi vizazi 🙏🙏🙏🙏
@yusuphbaracha61372 жыл бұрын
Nmependa jinsi ulivyosimulia,Mtindo wako ulikuwa poa pia ... Lakini shida umechagua pande moja tu ya story ya kanye ambayo ni mabaya yake na jamii inavyomchukulia. But Kanye is the Best Artist ever happened to live in this world ..... Nimemfuatilia Kanye tangu Anaanza Art yake what i see from him is the true man in the world .... KANYE WEST is Tupac Shakur of our Generation.
@thieryalex75472 жыл бұрын
Huyu professor anafikiri sisi hatufatilii mambo kanikera anadhan hii shoo wanao angalia ni wasio fatilia vitu tu damn !!!
@yesayamwamakasi47922 жыл бұрын
Amefeli anaogopa migongano ya iman ndo mana story yake imebez kumponda kanye
@vickydan28692 жыл бұрын
@@yesayamwamakasi4792 kanye ni mtu mzur sana sema dunia haijamjua tuu
@MaldyMaldwex10 ай бұрын
Ww huelewi kichwa cha habari au,sasa mtu anaepingana na weusi wenzake nyie itakuwa mashoga sio bure...yani mtu anawapinga weusi wenzake toka kipind cha obama
@MaldyMaldwex10 ай бұрын
@@vickydan2869 mbn mwishoni amesema ata saa mbovu inahumuhimu au hamjaelew...
@polyglot05311 ай бұрын
Irmão! Você é muito criativo, sem inveja, deixe-me parabenizar pelo seu trabalho. Acompanho todo o seu trabalho a partir de Moçambique 🇲🇿 porém peço uma coisa, isto é, quando está se falar sobre ano, por exemplo 1962, então deve legendar aí no vídeo, isso irá ajudar muito na percepção do telespectadores. E a mesma legenda deve ser feita em algarismo (#). Mungu akubariki! 🙏💪❤️
@esperancehavyarimana86492 жыл бұрын
Prof jamal nakupenda sana mpenzi now naanza kuw nakuota mwanzo nilidhani ni kawaida coz napnd sn story zako but now imekuwa too much plz niunganishen nae mumwambie na mpenda ❤️😔
@alaikemode45962 жыл бұрын
😆😆😆🤣
@venantchami9602 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@rahabuRichard-re1cy Жыл бұрын
Wabongo bana
@samsonnjonanje954911 ай бұрын
Congratulations brother, unasoma sana, unajua vingi... Thank you for the lesson!
@shadrackmwampote46152 жыл бұрын
Haaa I'm happy to hear the story of this man,thank u proffessor I have been waiting your story for so long.
@fallykhan23832 жыл бұрын
We unadizain vzr Sana kwanza umekua mbunifu sana kuhusu kideo zako. Nakumbuka umepanda mtumbwi, nfaransi nk Pia umewahi kushuti kama upo vitani🤣🤣 umetisha sana plof wamchongo
@mnyampaa_kisasa2 жыл бұрын
achana na wamarekani aseee kiki zao ziko katika next level...kanye kajitoa tu ufaham mambo yake yaende aongelewe nini thats business na kanya mfanyabiashara sio bongo kiki zetu dhaifu sana
@aswaneliphas227111 ай бұрын
Much from Kenya like back guys❤
@salumubolenge2892 жыл бұрын
This man is Complicated bro None can stop him Until he passed away or God 🙏🏿 because he will learn Lessons
@feludhe2 жыл бұрын
What lessons?
@collinsbella83602 жыл бұрын
Absolutely right
@alindingo13822 жыл бұрын
The story book ibaki milele...!!
@MrBm3692 жыл бұрын
Hatari sana. pia nimekuelewa sana!! hasa hapo mwishoni. ndipo umenichanganya kabisa
@youngjames83545 ай бұрын
❤❤❤ nzuri sana Leo mwishoni kigumu flani braza ulivovaa mwishoni wapiga boxing makalate
@thestonetown33022 жыл бұрын
Duhh the story book umezidi Kachimba Hatari sana…..
WENGI tumevaasana tisheti ya YEEZUS bilakujua ni album ya huyujamaa na bilakujua maanayake
@godfreyotieno18482 жыл бұрын
napenda kazi yako so much creative ,,,,,, endelea buda
@agentcoulson11012 жыл бұрын
Kanye West is a Genius, Wachache sana tunamuelewa wengine mmbaki kusiikiliza wazungu na uongo wao
@blueeyes59522 жыл бұрын
Maneno yako na picha yako ni tofauti
@missmwayway47042 жыл бұрын
@@blueeyes5952 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hatari
@karowanjeri40772 жыл бұрын
Thanks Jamal ,,,,Kenya well represented
@marthamuinde68742 жыл бұрын
Hey,inakuga saa ngapi kwa tv
@maryjohn14362 жыл бұрын
Following
@karowanjeri40772 жыл бұрын
@martha stay tuned at wasafi tv for more information I'm an online big fan
@winicatewainaina44562 жыл бұрын
Bomboo 👌
@fatmazullu49332 жыл бұрын
@@marthamuinde6874 fuata huku tu ndo tupo sisi wavivu wa tv! Hata hatujui kwa tv kipindi lini
@mubarakhassan26182 жыл бұрын
Wao nilikuwa nayisubiri kwaham
@PeterMalima-fc4tf11 ай бұрын
Kanye ni genius na mkweli sana ndo vitu vinavyomfanya kuonekana wa tofauti
@yzzarcamel72862 жыл бұрын
Kanyee hongera
@yahayanicholas10822 жыл бұрын
Broo wew ni hatar sana 🔥🔥🙌🙌
@mohamedidd73852 жыл бұрын
Intro ya kizazi sana, Creativity is on Top
@PresenterSilah2 жыл бұрын
Prof Jamarl, what an introduction!!
@riksonforever11692 жыл бұрын
big five broo nakubar unachokifanya na najifunza nakujua mengi
@stephanomkumbwa1622 жыл бұрын
Hujawai kukosea broo❤
@kirop78062 жыл бұрын
Hatari Sana ❤️
@abdulnoor80032 жыл бұрын
Tumuombe Mungu atupe pepo yake na sio pesa,
@brownmhulle80962 жыл бұрын
Nakubali juu ya maneno yako ya mwishoo nimeelewaaa mno
@abelmbilinyi12622 жыл бұрын
No body can stop J 💥💥
@ShukuruOsward-s6n12 күн бұрын
Yuko sawa binadamu ni Mungu
@coolzeddy_official92162 жыл бұрын
This guy is dangerous😎
@justinkoko28902 жыл бұрын
Thank you so much bro you're the best
@Kombevisuals2 жыл бұрын
His choir look quite impressive i like that❤️❤️❤️❤️❤️
@Jishushe.na.ujikute57892 жыл бұрын
🇧🇮🇨🇩🇹🇿🇺🇬🇷🇼🇰🇪 WE AR RESPECT YOU PROFFESER JAMALLI MAZNA WANGU👏👏👏👏👏👏👏
@shabiruponera43232 жыл бұрын
Story % kubwa in base negative side kuliko positive story ya Kanye west
@salumubolenge2892 жыл бұрын
Ndo alivyo brother 🔥 ataongelewa negative tu ndo ivyo
@vickydan28692 жыл бұрын
Amemfichia mazur ila katika mabaya yake nimeona maZur mengi sasa cjui mazur yake nikiyajua
@nyovestkaslati59712 жыл бұрын
Keep it up jamaar April 💸💸💸🎶🎶🙌🙌🙌🙌🙌
@PlatonJohn-dg9vw9 ай бұрын
Brown Kanye iko freshi na mwamini❤❤❤
@mwanashagladys45812 жыл бұрын
Story nzuri sana Jamal tuletee story ya mom Hussein mjukuu wa mohamad kwani uku Bahrain watu wanashiriki sana iyo
@Uplifiting2 жыл бұрын
Wewe ni Kanye kabisa! I salute you Brother.. live fancy chau😇
@relaxionmusic37792 жыл бұрын
I support kanye❤️love from kenya
@faisalaziz81572 жыл бұрын
Subhanallah
@almasially65092 жыл бұрын
hii story book ya leo tamu sana😅😅😅
@msomishaule61722 жыл бұрын
Huyu Kanye na akanye vizuri mabalaa yanayo mkuta hakomi nakidevu chake kilefu kama pumbu za mbuzi aache kujifananisha na Mungu , Mungu anatisha hafanani na Wala hafananishwi kikubwa tuombeane tusikufuru kupitiliza aongee mengine
@KinyanjuiKiuna Жыл бұрын
Alituumba kwa mfano wake
@onlygame51102 жыл бұрын
Suala la kubadilika ghafla kwa mwanadamu kukasirika na kuchekeka ni kuwatisha mahasimu wako ila kwayeye linakua na umarufu kulingana naustaa wake
@Nahadi-Said Жыл бұрын
Hatar!!!! Yaan hadi now watu bado wana jifananisha na mungu sa mbona hyo ni dalili ya kuelekea Kiama😭
@youngplatnumzwordwide3162 жыл бұрын
Dah kanye✍️
@Faustabrayan Жыл бұрын
Hapo tuuu kwenye kujiita Mungu ndio anatufanya tusimuelewe
@tomsylvanus212 жыл бұрын
One of the best stories ever👌
@naymaofficial80972 жыл бұрын
Brother good job buh can u give us beyonce or Jay z story
@aishaabdullah41722 жыл бұрын
Hapa ambao si Waislam wathibiyishe kuwa Ukristo sio Dini wala hizo dini nyengine 7bu hakuna aliyeweza kuibadili kwa kuongeza wala kupunguza jambo Lake ktk QUR-AN 🥰😍💖 ALHAMDULILLAH A'LA NEEMATIL ISLAM WALHAMDULILLAH A'LA NEETIL QUR-AN 😍🥰
@angellightness5785 ай бұрын
Mfatilie shehe Hussein mubaraka utobe
@geofray01322 жыл бұрын
Mwishoni nimekuelewa vzr sana,
@Uplifiting2 жыл бұрын
I really appreciate your search and presentation. Ido People in this community, they don’t value your time spent on collections. They can talk like parrots, Kanye called himself God, it’s okay but, which God? There’s a lots of god’s, you and me we don’t have idea of which one he’s up to! Please, save this community by sharing impressive contribution’s. Acha tukana hujui kitu wewe !!!! Thanks to you Professor Jamal.👍🏽👍🏽👍🏽👍🏽😇👋🙌🙌🙌🙌🙌
@benirungu1011 Жыл бұрын
🤞
@danielmasaba89692 жыл бұрын
Hujamtendea haki bwana West yaani umeeleza taarifa nyingi potofu kumhusu. Huyu jamaa ni mwanamuziki hodari, mtayarishaji mahiri wa muziki, mwanamitindo na mjasiliamali mwenye ushawishi mkubwa na aliyefanikiwa sana.
@StevenKapugi-y7bАй бұрын
Daaaah eti yeye ni mungu
@ramatonsa20332 жыл бұрын
Unyama Sana kk
@deviskunenge67752 жыл бұрын
Best of professor
@stephenrwaich10782 жыл бұрын
You can't tell me nothing.Naikubali ngoma hiyo
@salsashmomy2 жыл бұрын
Jamali unaweza sana hongera professor
@darkplatnum90062 жыл бұрын
Wabongo bhn sis akil zetu ndgo unataka kujifany unamju amungu wakat hat uhakiki wa kuish bila was was hauna njaa tupu zimetujaaa tunajifany kumjua mungu wakat yy mwenyw mungu katuumba kwa kutubagua
@badeehuliya89622 жыл бұрын
Kakubagua nini
@darkplatnum90062 жыл бұрын
@@badeehuliya8962 kwann aliumb wengin watesek na wengine waish maish ya kifahar huo si ubaguz kam kwel yy ndy mtoa rizk mbon alifany ubaguz wa furah za watu kuna watu tok wanazaliw mpak wanakuw hajui kam kuna maisha mazul na wengin tok wanazaliw mpak wanzeek neno shida wanaskia kweny vyomb vya habar hakun ubaguz unao tesa watu kam huu hapo penyew mungu alifeli
@rhodachristopher43982 жыл бұрын
@@darkplatnum9006 Mungu hatubagui hao matajiri na maskini waangalie lifestyle Yao Iko wazi kwenye biblia jinsi ya kuwa tajiri na mifano inayoleta umaskini kosa la Mungu lipo wapi ?Mungu anatupenda wote anachukia uovu TU na Wala hambagui mtu ,kusema watu matajiri nao wanamateso Yao wewe unalalamika hukusu maskini wengi shida Yao pesa tu
@darkplatnum90062 жыл бұрын
@@rhodachristopher4398 matso ya tajil hayawez kuw kam mtu maskie asie jua hat mlo wak kwa sku ww chakula tu kwak ji tatz alaf bado unatak kusem me na tajil ni sawa wakat mungu mwenyew katutofautish ila kila mtu na uelew wak ww elew hvo kuw ni saw lakin kwang me siwez elew kuw tajil na maskim kuw ni kitu hapan na hapo mungu alifel
@NoelChimunguКүн бұрын
Kanye west asaiv amempokea Bwana Yesu na ametubia dhambi zake waziwazi
@gaashbwoyke98902 жыл бұрын
Moto sana kaka naifurahia nkiwa kenya
@timochazze98452 жыл бұрын
Jamari I love you so much. Story zako ni noma
@edwardngamba60782 жыл бұрын
Aisee tuna taka na story ya boss diamond 🔥
@abdulkabila7872 жыл бұрын
Kweliii
@edgartz33672 жыл бұрын
Tunahitaji stori ya eloni mask tajiri no 1 wa dunia
@johnaseneka20242 жыл бұрын
Ibrahim hakuwahi tupwa kwa moto. Meshach Abednego n Shadrach. Ndio waeleweka kutembea ndani ya tanuli ya moto.
@cocotz18922 жыл бұрын
My crush "YE" 😍❤
@haafidhaboubakary30972 жыл бұрын
You're not serious my dear
@hoseakibona20832 жыл бұрын
daaah apo mwanzo unavyo introduce kipindiii n kalii sana unatisha mzee sio pouwah aniii
@TenTo102 жыл бұрын
Ye is always the best I appreciate and love him
@aliabdulrahman99612 жыл бұрын
🤠🤠🤠respect juu ya mti top 1 ttz dadak
@vincentayua94352 жыл бұрын
Huyu naye atajua kunya ama kuwa Mungu, aende akanye kwa ibilisi abwage mzigo zaidi ya ndovu