The Story Book : Kisa cha Shetani ‘Lucifer’ Kulaaniwa (Kwa Mujibu wa Bibilia)

  Рет қаралды 314,734

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 670
@autoroyaledubai
@autoroyaledubai 5 ай бұрын
jamali april ni zaidi ya anachokifanyaa..pure talent mzee🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@NiaKelly-sh4hj
@NiaKelly-sh4hj 5 ай бұрын
Nawakubali Sana wasafi munatufanya tujuwe mengi Kama tuko wengi tunayo ikubali wasafi gonga like tujuwe the story book ni 💯💯💯💯💯💯💯💯💯
@douglasmuthee1458
@douglasmuthee1458 4 ай бұрын
Eeeeeee
@kwayazetu
@kwayazetu 2 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/jnzTppygo9yUaqMsi=KwUOJMaRt8KuK2zT
@denishonest7355
@denishonest7355 5 ай бұрын
Nimekuwa wa60 Leo naomben like jmn sijawah PATA ata moja
@SALUMUKATANI-u8b
@SALUMUKATANI-u8b 3 ай бұрын
Jamal April ndio heart ya wasafi media💯
@addojustine
@addojustine 4 ай бұрын
Nice story Jamal... The best, binadamu tuishi maisha bora tukimpendeza Mungu Amen!!! ... But nakaa nikijiuliza ivi Adam angewahi akala na Tunda la uzima sjui ingekuaje....All in all Mungu ni Mkuu.
@YvetteOmbeni
@YvetteOmbeni 3 ай бұрын
Nikweli jamani tu mkubali only Jésus n'a basi❤❤❤❤
@MoksMokah
@MoksMokah 4 ай бұрын
Nafuatilizia nikiwa Mombasa Kenya,nipeni like hata kama ni 10.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@IvanIbracku
@IvanIbracku 5 ай бұрын
Naomba like Jesus is king
@abubakarimsere
@abubakarimsere 5 ай бұрын
Wakwanza leo jamani naomba like 100 tu😢
@ErickMwendwa-c3d
@ErickMwendwa-c3d 5 ай бұрын
Chukua
@JosephSylvester-tt4nk
@JosephSylvester-tt4nk 5 ай бұрын
😂😂😂😂 atutaki jilike mwenyewe😂😂😂
@mg_panther
@mg_panther 5 ай бұрын
Mmbwa wewe
@Daniel-g2f6v
@Daniel-g2f6v 5 ай бұрын
Kwani hizi like zinamsaidia mtazamaji nini maana utakuta jitu Zima linaomba like tena kwa kutia emoji za kulia
@georgejovin6873
@georgejovin6873 5 ай бұрын
Sikiliza story acha kuomba likes
@SilaGichamba
@SilaGichamba 5 ай бұрын
Si pia Mimi mnipe like ata kama ni 10
@PetercyprianMalanda-qx1jz
@PetercyprianMalanda-qx1jz 3 ай бұрын
Aisee tuwe watiifu kwa mungu tusiwe wakaidi kama shetani.
@GloryDhahabu
@GloryDhahabu 3 ай бұрын
❤ hakika mungu anatisha sifa nautukufu zirudi kwake maneno yanafunza mengi
@mohameddiggar3136
@mohameddiggar3136 5 ай бұрын
Watching live from Romania let goo naomba like hapa
@samwelkavwanga4491
@samwelkavwanga4491 5 ай бұрын
Napenda zaidi story za historia za WANASIASA au story za manabii wa zamani na wafalme WALIOPITA
@greydonalds4286
@greydonalds4286 2 ай бұрын
Tafuta kitabu kinaitwa BIKIRA WA 72
@MagrethChuwa-yr7lo
@MagrethChuwa-yr7lo 5 ай бұрын
Asante sana Jamal mwenyezi mungu mwingi wa rehema azidi kukupa maarifa .... ubarikiwe kaka
@BenekambaleElecticien-oy7jy
@BenekambaleElecticien-oy7jy 5 ай бұрын
Jamani mbona wanadamu muna upendeleo mimi sina hata like Moja 😢😢
@Bim941
@Bim941 5 ай бұрын
Jishikilie
@wrenpendo2023
@wrenpendo2023 5 ай бұрын
Aya likes ndizo hizo enda kachemshe
@SimonPeter-du6pj
@SimonPeter-du6pj 4 ай бұрын
Nime ku like sasa
@RoseMarry-r9u
@RoseMarry-r9u 4 ай бұрын
Jishikirie
@ImanMbillah
@ImanMbillah Ай бұрын
Aa pole
@alexandersangi1724
@alexandersangi1724 5 ай бұрын
Prof Jamar nina swali au maswali kwako. Kama huy rusfa alifahamu ili inamaana naye alikula tunda au yeyee alikuwa ni tofauti na sisi binadamu make alifahamu Mwenyezi Mungu ni chini yake kulingana na maneno yako .
@gibran254
@gibran254 5 ай бұрын
Malaika waliumbwa kabla ya Dunia kuumbwa Lucifer aliingiwa na tamaa ya mamlaka alipo fukuzwa mbinguni ndipo mungu aliumba mbingu na nchi na baadae akamuumba Adam na Hawa mungu aliwapenda sana ndiposa Lucifer akaamua kuenda shamba la Eden kuwadanganya wale tunda Lilo laaniwa
@anastaziamathias8861
@anastaziamathias8861 4 ай бұрын
Maraika wote hawajaumbwa Kwa udongo kama binadamu Sisi tumeumbwa Kwa udongo wao wameumbwa Kwa moto
@allydavy6919
@allydavy6919 19 күн бұрын
Kwa nuru siyo kwa moto
@MsangoDiesel
@MsangoDiesel 5 ай бұрын
❤prof.naomba kuliza swali kwenye eppo na ngano Kuna Siri gani ukiangalia mashirika makubwa yana nembo ya mmea wa ngano na eppo Kuna sili gani naomba msaada wako. Asante kwa kazi nzuri kwa kutukumbusha kumujua muumba
@amalone0
@amalone0 5 ай бұрын
Wafuasi wa ibilisi
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp 5 ай бұрын
The Story book Ya kuamkia Weekend ni tamu sana😂 Alaaniwe Shetaniiii 😢
@amanijackson8085
@amanijackson8085 5 ай бұрын
Naomba like zenu jamani am watching from Zambia
@RoseeyRoseey
@RoseeyRoseey 5 ай бұрын
We story book inabidi uokoke Yesu anakupenda.
@brightjulius5851
@brightjulius5851 5 ай бұрын
Wa kwanza
@DestinyMusicKE
@DestinyMusicKE 5 ай бұрын
Nipokee likes zangu jamani kutoka🇰🇪
@LadislausOdilo
@LadislausOdilo 5 ай бұрын
Jamal okoka umpokee Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yako uende mbinguni
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 5 ай бұрын
Mashaaalah ya salam ya salam the story book is back a gain
@terrywatahi1203
@terrywatahi1203 5 ай бұрын
Najifunza mengi kweli...jamal, you're really a talented man ❤❤❤
@captainb.o.b568
@captainb.o.b568 5 ай бұрын
Ni muda wa the story book tujuane hapa 🔥🔥
@aliabdi7542
@aliabdi7542 5 ай бұрын
Please please 🥺...I have been requesting bout download.
@jaymapepefatma5936
@jaymapepefatma5936 5 ай бұрын
This is love From mozambique 🇲🇿❤🥰🤗
@georgejovin6873
@georgejovin6873 5 ай бұрын
Very good story. Inamafundisho makubwa sana
@richardkayange4953
@richardkayange4953 5 ай бұрын
Sema bro siku izi umelizika sana uleti stori mara kwa mara kama zamani
@evaerasto8189
@evaerasto8189 5 ай бұрын
umetisha prof.Jamal maarifa makubwa sana as long as the devil is here on earth, we need Christ our lord and savior to rescue us from the evil one (devil)
@honeyflower254
@honeyflower254 5 ай бұрын
Si mnipe like jameni mi mkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mathanhamad3593
@mathanhamad3593 5 ай бұрын
Na mie mzanzibari nipewe like zangu
@personpeter2221
@personpeter2221 5 ай бұрын
Mwambien rais wenu aboreshe viwanja vya mpra hko kwenu
@honeyflower254
@honeyflower254 5 ай бұрын
@@personpeter2221 Hilo sio jukumumu langu bana sasa wacha kilamtu ashugulike na yanayo muhusu.
@honeyflower254
@honeyflower254 5 ай бұрын
@@personpeter2221 Hilo sio jukumumu langu bana sasa wacha kilamtu ashugulike na yanayo muhusu.
@personpeter2221
@personpeter2221 5 ай бұрын
@@honeyflower254 mwakaa huu hatuwapi mahindi yetu 😂😂
@sophiaissay6307
@sophiaissay6307 5 ай бұрын
Wa mwisho naombeni like at 10😔
@MakeMake-t5g
@MakeMake-t5g 5 ай бұрын
Like itakusaidia Nini hebu wacha ushamba
@yumnasuleiman
@yumnasuleiman 5 ай бұрын
@@MakeMake-t5g😂😂
@ElvisOchieng-l7h
@ElvisOchieng-l7h 10 күн бұрын
life's good my people
@rashidyrashidy3923
@rashidyrashidy3923 5 ай бұрын
Baada ya simba kufungwa nimeona nijikiwaze kwa story book huku nikisubir Drama za boss Mudy
@josphatwambuasikuku9142
@josphatwambuasikuku9142 5 ай бұрын
This is a well researched story. Keep up the good work.
@gladyskerubo6075
@gladyskerubo6075 5 ай бұрын
Mimi mgeni apa jameni nawapenda Sana 🙏🏾
@patrickyuda3906
@patrickyuda3906 5 ай бұрын
Hichi anachokisema Profesor Jamal ni ukweli mtupu mimi nilishawahi kukutana na mmoja wa malaika walioasi walio anguka na shetani kwa msaada wa Mungu nilikuwa nampambania mtu mmoja asichukuliwe na huo ufalme wa huyo malaika fallen Angel guys this things is real kwa akili ya kawaida huwezi elewa mpaka siku utakapo ona mazingira ya nje ya mwili wako au mpaka pale macho yako ya kiroho yatakapofunguka❤🙏🙏🙏
@globaltv_online
@globaltv_online 5 ай бұрын
Ulikutana vipi na Malaika huyo?
@patrickyuda3906
@patrickyuda3906 5 ай бұрын
@@globaltv_onlinemimi mtumishi wa Mungu huwa nafanya huduma ya deliverance kuna roho nilikuwa napambanazo na hizo roho zili sema siwezi kuzishinda mpaka nijue majina yao bila wao kuniambia roho hizo sio mapepo ya kawaida wanafahamika kama wanefili ni watoto wa malaika walioasi so ilibidi nifunge na kuomba ili Mungu anipe ufunuo wa majina ya hao viumbe ndio siku iliyokusudiwa na Mungu katikati ya ule mfungo nilijikuta nimetoka nje ya mwili wangu na nikajikuta pande za chini ya bahari ndio nikapata encounter ya kumuona huyo malaika aliyeasi na siku hiyo nikasikia jina lake na kutokea hapo nikawa nasikia majina ya viumbe wa rohon.... siwezi nikaelezea vyote ni kwa kifupi tu ...na vitu hivi sipendi kuvizungumzia maana si rahisi kwa binadamu wa kawaida kuamini mambo kama haya that's why kuna mtu mmoja mwenye hekima akasema "a man who knows more than others, he becomes lonely"🙏🙏🙏🙏
@MariamNakoa
@MariamNakoa 3 ай бұрын
Amazing one atlist tunkajua ukweli😢😢😢😢
@henrylugendo280
@henrylugendo280 5 ай бұрын
Safi sana jamal
@gibran254
@gibran254 5 ай бұрын
What a beautiful lesson
@Devine_revelations
@Devine_revelations 5 ай бұрын
Jamani mnipitie pia mmi
@hallin9561
@hallin9561 5 ай бұрын
Kaka Jamal tunapenda story zilizotokea reality sio izi za kusadikika kwa maandishi ya kiyahudi bhana.
@Calisthenicslova
@Calisthenicslova 5 ай бұрын
😡😡😡
@johnmungai4206
@johnmungai4206 5 ай бұрын
Watching all the way from Germany
@sureboyofficial6473
@sureboyofficial6473 5 ай бұрын
NYIE WAONGO SANA SIMNASEMA MUNGU ANAUWEZO KULIKO ,IKAWAJE AANDAE JESHI LIPAMBANE KWAAJILI YAKE , MH HAPA NI STORY BOOK KWELI
@husnamusa3178
@husnamusa3178 5 ай бұрын
Umeambiwa shetani alipambana na malaika walioongozwa na mikael kwamba kabla shetan hajaanza kufuru zake malaika wakamwambia hatuta kuruhusu ufanye unachotaka! Mungu anaweza kufanya chochote kwa wakt wowte ila alitaka ibilisi alipe kutokana na ukaidi wake ili kumthibitishia yy ni kiumbe mdogo sana kias kwamba hawez ht kumface mikael
@jamestiracy3059
@jamestiracy3059 5 ай бұрын
Kwann mbaka leo. Mungu unaweka picha za wazungu. 😢
@anastaziamathias8861
@anastaziamathias8861 4 ай бұрын
Wewe ushawahi kuziona picha za Mungu?
@mtajandaki7383
@mtajandaki7383 5 ай бұрын
Unajua sana mwamba Kwa Kila story hujawahi kufel unatisha sana
@AshelyMbegu
@AshelyMbegu 5 ай бұрын
❤❤❤
@simulizinastory
@simulizinastory 5 ай бұрын
NAFANYA SIMULIZI WADAU NAOMBA MNISAPOTI JAMANI☝️☝️☝️☝️🙏🙏🙏
@YelemiaElidadi-cq9dj
@YelemiaElidadi-cq9dj 5 ай бұрын
👊👊👊nakubali
@Jetzider
@Jetzider 5 ай бұрын
Lucifer Son of God🙏..
@MethodJulius-fu9hf
@MethodJulius-fu9hf 5 ай бұрын
Kunawatu wanamtetea na kumpigania😢😢
@rasmartohtiger3859
@rasmartohtiger3859 5 ай бұрын
Point of correction, ezekiel 28:15 sio Lucifer alikua anarejelewa
@KhalifaShukuru
@KhalifaShukuru 5 ай бұрын
Awesome ❤
@ReginaElisha-fq1pn
@ReginaElisha-fq1pn 5 ай бұрын
Mungu akulinde jamal
@RachelMalekela
@RachelMalekela 5 ай бұрын
Ahsante
@Mamateekatuni
@Mamateekatuni 5 ай бұрын
Daaaah Malaika Mikael sasa si angemuua Shetani shenzi zake,Kwanini alimuacha aje kutusumbua 😂😂
@emncharlz
@emncharlz 5 ай бұрын
Umetisha
@sirleemally5314
@sirleemally5314 5 ай бұрын
Nice
@husseynmohammed1189
@husseynmohammed1189 5 ай бұрын
Excellent bro
@richmasagati
@richmasagati 4 ай бұрын
Worth it❤
@nicksonmusa3457
@nicksonmusa3457 5 ай бұрын
Nimependa unavyochambua biblia professor
@PatrickMaradji-s4f
@PatrickMaradji-s4f 5 ай бұрын
Ahah Jamal anatufanya tuwe na furaha
@sudistar4985
@sudistar4985 5 ай бұрын
Unatupa dalasa kubwa sana
@michaelphares9411
@michaelphares9411 5 ай бұрын
Wa 16 leo naomba likes😅
@HananKhalfan-r6b
@HananKhalfan-r6b 4 ай бұрын
Subhaanallah 😢😢😢
@fedhavanbility2187
@fedhavanbility2187 5 ай бұрын
jamani mimi sijawahi kupata like hata 10
@ernestijalis04
@ernestijalis04 4 ай бұрын
mm nilidhani tungekuwa tunajadili neno jinsi tulivyosikia ingekuwa bora zaidi kuliko hizo like,kwani like zitaongeza nini kweye neno la MUNGU
@JacksonChacha-dn4nr
@JacksonChacha-dn4nr 2 ай бұрын
Jaman daah
@DorcasNerima
@DorcasNerima 5 ай бұрын
❤❤jamal April professor 😊❤
@gizzoforshizzo
@gizzoforshizzo 5 ай бұрын
kwani ukiwa na like nyingi unapewa hela, mbona watu wanaomba likes kila kona
@ALBATWA5-zh4zk
@ALBATWA5-zh4zk 5 ай бұрын
Professor tunaomba utuletee story ya john cena.
@mussaramadhani4840
@mussaramadhani4840 5 ай бұрын
Malaika kamwe awawez kumuasi Mungu
@adrianomaulaga1599
@adrianomaulaga1599 5 ай бұрын
Kwasababu quran inasema hivo eti baki hivo hivo mkuu
@chijatugala4825
@chijatugala4825 5 ай бұрын
Siwezi kudanganjwa nikadaganyika
@yusufibnabdallah779
@yusufibnabdallah779 5 ай бұрын
Yah malaika ameumbwa kufata maamrisho ya mungu tu na hawana jinsia
@adrianomaulaga1599
@adrianomaulaga1599 5 ай бұрын
@@chijatugala4825 kwani wewe unaodhani ni ukweli umo kichwani mwako si ulisoma kwani uliona mwenyewe how sure you are na icho unachofikiri ni sahihi? Ni Mungu alikuotesha au kwasababu quran imesema daaa Mungu aingile kati kwakweli
@adrianomaulaga1599
@adrianomaulaga1599 5 ай бұрын
@@yusufibnabdallah779 kwasababu Muhammad aliwaambia kwenye quran eti pambaneni wanetu mtatoboa mfike peponi huko mpewe hao mabikra 72 komaeni wenzetu...
@GideonLemahOg
@GideonLemahOg 5 ай бұрын
LAKINI UWACHE KU DELAY KUTUPOSTIA SASA ADY LINI TENA NDIO UPOSTI TENA ANYWAY GOODWORK
@fredericmbokobest
@fredericmbokobest 5 ай бұрын
Siwezi ni kaikisa hii history kaka Jamal Appril
@MathayoKalembo
@MathayoKalembo 5 ай бұрын
Nimependa sana hapo mwishoni
@eladiusmjuni7041
@eladiusmjuni7041 Ай бұрын
Kwani hizo like mnazipeleka wapi?
@JorroMboya
@JorroMboya 5 ай бұрын
❤🙌🏿
@nyanziratatou5404
@nyanziratatou5404 5 ай бұрын
Alipata kiboko yake ,pogo litakatifu.
@jameskinuthia4480
@jameskinuthia4480 5 ай бұрын
Perfect 👌
@Chris-px5ek
@Chris-px5ek 3 ай бұрын
Mambo bro
@RodgersOtieno-nm7jh
@RodgersOtieno-nm7jh 5 ай бұрын
Tufike 10k ata Leo tu
@PapaaMikuto
@PapaaMikuto 5 ай бұрын
Nakipenda sana ichi kipindi aisee
@salmabasil385
@salmabasil385 4 ай бұрын
Hapo utapata picha kwanini wanadamu hawasikii mana na wao walitupwa hukuhuku duniani kama shetani jamani tutubu
@GodloveEssau
@GodloveEssau 5 ай бұрын
jamal april 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@simonmjema7352
@simonmjema7352 5 ай бұрын
Tutafutie jamn bustan ya eden inapatiakana wapi, kwa mujib wa watafiti
@ismailjuma9308
@ismailjuma9308 5 ай бұрын
Nakukubali sana kaka Jamaal
@fellybenard5459
@fellybenard5459 5 ай бұрын
Jamal the best
@clewis520
@clewis520 5 ай бұрын
… Lakini ujue kwamba, mungu, malaika, shetani na roho wote hawana mwili wa nyama.
@eidmaulid6655
@eidmaulid6655 5 ай бұрын
Jamal.. Hadithi ya muhamad alli na fidel castro
@marthaGithaiga
@marthaGithaiga 5 ай бұрын
Wagalatia 5;19-22
@samsonlokor7274
@samsonlokor7274 2 ай бұрын
Mbona video zako nyingi sio downloadable
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 5 ай бұрын
Kerubi jitu kutoka mbinguni❤❤❤❤❤❤❤
@patient0slam920
@patient0slam920 5 ай бұрын
You change the voice my brother 😢 we like your last prononciation.....
@lukasismaily8107
@lukasismaily8107 5 ай бұрын
Fireeee😅😅
@FrankBizo
@FrankBizo 5 ай бұрын
Story iko poa kbisa n vio upande wa pili kwa msahafu
@simonmjema7352
@simonmjema7352 5 ай бұрын
Aliyokuandikia hii story ya kikristo amekosea kidogo,,, ulitakiwa uwafuate wachungaj au watu waliosoma bible vzur
@simonmjema7352
@simonmjema7352 5 ай бұрын
Hii story book, ina mapungufu kidogo,,,, umechanganya baadhi ya vitu, mfano yesu aliposema amemuona shetan anashuka kama umeme , aliwaambia wanafunz wake walipomwambia walikuwa wamekemea ... Kingne shetan kabla ya yesu ndio alikuwa anaend mbingun, lkn baada ya Yesu, shetan kafungiwa ,, na ndio maana alikufa ijumaa akaenda kuzimu kumpokonya funguo na j2 akafufuka
@JoackimuGeorge-t8y
@JoackimuGeorge-t8y 5 ай бұрын
Anaitwa jamal April c.e.o
@gerry_macopper3808
@gerry_macopper3808 5 ай бұрын
Mnatuchanganya hapa, na vp kuhusu Lilith
@abedymtore2707
@abedymtore2707 5 ай бұрын
Bola wangejua Wangekula tunda la muti wazima tusingekufa adi raha yan
The Story Book : Kweli Kula Nguruwe Ni Haramu Au Uzushi Tu !?
37:44
Wasafi Media
Рет қаралды 504 М.
iPhone or Chocolate??
00:16
Hungry FAM
Рет қаралды 39 МЛН
How To Get Married:   #short
00:22
Jin and Hattie
Рет қаралды 21 МЛН
Hakikisha umepanda miti hii nyumbani kwako
8:04
Topten Tv
Рет қаралды 101 М.
Yona kumezwa na Samaki- (Book of Jonah 1-4)
2:40
Hadithi za Biblia
Рет қаралды 13 М.
The Story Book : JINAMIZI ni Jini , Shetani AU Mchawi?
28:47
Wasafi Media
Рет қаралды 126 М.
THE STORY BOOK: MPINGA KRISTO MASIH DAJJAL ANA MAMBO MAZITO
36:25
Wasafi Media
Рет қаралды 1,3 МЛН
THE MOST POWERFUL RUQYAH REMOVES Djinn IN THE HUMAN BODY AND BLOODSTREAM
1:40:25