The Story Book: MFALME ALIYEULIWA NA MBU KISA ALITAKA VITA NA MUNGU

  Рет қаралды 1,172,592

Wasafi Media

Wasafi Media

4 жыл бұрын

#wasafi #thestorybook

Пікірлер: 985
@lkshmykomar5472
@lkshmykomar5472 3 жыл бұрын
Qulhu Allahu ahadu Allahuswamadu Lamiyalid walamiyuladu wanamiya qulahu qufuwan ahadu
@rukiakipande186
@rukiakipande186 3 жыл бұрын
Kama wote tunaamini mungu ndie mwenye uwezo wakumfanya mwanadam chochote gonga like hapo
@allyramadhani9081
@allyramadhani9081 3 жыл бұрын
Xijawaiii pata like aixeeee manzeeee embu fanya kama unapita chap nalike wadau wng
@drraizkidume867
@drraizkidume867 4 жыл бұрын
Tangu nianze kukomenti story book sijawai kupata like 😭😭😭.. From Mozambique..
@shaelscott779
@shaelscott779 4 жыл бұрын
Aya sasa sherekea 🤗🤗
@joycedecostas7610
@joycedecostas7610 4 жыл бұрын
Moz hapa 🇲🇿❤️
@samkg6337
@samkg6337 4 жыл бұрын
Likes zina maana gani?
@alinemauwa4780
@alinemauwa4780 4 жыл бұрын
Haya kazipike kwenye kisamvu
@matugatm695
@matugatm695 4 жыл бұрын
Hizoooo
@amosmwanga4027
@amosmwanga4027 3 жыл бұрын
Kama una amini wasoma comment ni wengi kuliko watoa comment like Hapaa🤣 👇
@deborahdavi6593
@deborahdavi6593 4 ай бұрын
Binadamu hawakosangi madharau😂😂😂
@NiaKelly-sh4hj
@NiaKelly-sh4hj 3 ай бұрын
Nawakubali Sana wasafi munatufanya tujuwe mengi Kama tuko wengi tunayo ikubali wasafi gonga like tujuwe the story book ni 💯💯💯💯💯💯💯💯
@Isack_Leo
@Isack_Leo 4 жыл бұрын
Daaah...angeomba msamaha Mungu angemsamehe na kumponya ...sisi wanadamu bhana daaah Mungu si wa kuchezea
@deopende8202
@deopende8202 3 жыл бұрын
Tuogope Mungu,tusichanganye mambo yetu na Mungu,tufanye yaki binadamu na ya Mungu yabakiya Mungu, ubarikiwesana kwa kipaji chako ambacho Mungu amekupa wandelee hivyo hivyo barakaza Mungu ziwenawe,siku zote.
@musampate279
@musampate279 4 жыл бұрын
Jamal, jamal, Jamal nimekuita Mara tatu bro uko juu mpaka sasa walikukataa mwanzomwanzo ila sasa wameanza kukuelewa big up bro kweli umejua kunyamazisha watu
@sammanexofficial1511
@sammanexofficial1511 2 жыл бұрын
Mungu atabaki kuwa mungu milele na milele🙏🙌
@ngachezsammy5893
@ngachezsammy5893 Жыл бұрын
amen
@elishafanuel
@elishafanuel 4 жыл бұрын
Bora Kama ume jua kua Mungu wa kweliii yupo mmoja tu alie juu
@zainabmohamed9124
@zainabmohamed9124 4 жыл бұрын
Hakika mungu yupo😭😭
@dornadamos9025
@dornadamos9025 3 жыл бұрын
N
@dornadamos9025
@dornadamos9025 3 жыл бұрын
Daah kwa neema ya mungu tuokoe wanako tunateseka na dhambi tufanyazo
@abuubakarali3090
@abuubakarali3090 3 жыл бұрын
Vye ma
@simontamba1285
@simontamba1285 3 жыл бұрын
Hakika
@venancemwasakipala256
@venancemwasakipala256 4 жыл бұрын
Jamal Jamal Jamal nimekuita Mara Tatu jamaa nimekuekewa una fact na unaeleweka, keep moving bro
@hassanyussuph4407
@hassanyussuph4407 4 жыл бұрын
Jamal namkubali sana
@AmCool_
@AmCool_ 4 жыл бұрын
Mlimponda sana mwanzoni kisa Mtiga, mtaelewa tu
@nawwarsultwaan6404
@nawwarsultwaan6404 3 жыл бұрын
@@AmCool_ wacha majungu
@boysmile6405
@boysmile6405 2 жыл бұрын
@@hassanyussuph4407 r
@princesanita46
@princesanita46 Жыл бұрын
Kibri siyo kitu kizuri na kujikweza itatuweka sehamu mbaya milele tumshukuru alie juu siku zote 🙏🙏
@mossesjr4990
@mossesjr4990 4 жыл бұрын
Hii ki2 ni fire namkubali sana uyu jamaaa km na wewe upo pamoja nami gonga like apo iwe ishara yakuwa 2namkubali
@allymbogoally7451
@allymbogoally7451 2 жыл бұрын
You're the best to narrate the history, Well done my brother?!.
@vanessaemanuel849
@vanessaemanuel849 Жыл бұрын
Aise mwenyezi Mungu ndiyo muweza wayote na pia Mungu nimwema kilawakati🙏🙏🙏
@lydiaingolo1678
@lydiaingolo1678 4 жыл бұрын
Jamani kuna Mungu mkuu mwenyewe uwezo wa ajabu na nguvu na mwenye mamlaka, atukuzwe milele baba yetu aliye mbinguni
@jacksonjosephkungunde6337
@jacksonjosephkungunde6337 4 жыл бұрын
Amen
@iraqgirl2143
@iraqgirl2143 4 жыл бұрын
Ameen
@mweucchunda4244
@mweucchunda4244 3 жыл бұрын
Amen
@mwantumuakida24
@mwantumuakida24 3 жыл бұрын
She he shafii
@papaesco5198
@papaesco5198 4 жыл бұрын
Tulidhani story book ingeisha pale alipotoka mtiga but Jamal Ametuhakikishia kuwa anaweza big up mzee baba
@geoffreymakana5677
@geoffreymakana5677 Жыл бұрын
I like how this guy puts his story
@ShawnBeatz
@ShawnBeatz 4 жыл бұрын
Jamal umekuja na sauti yako mwenyew, so unique cdhan Kuna mtu anaweza kuiga hii saut
@aminaanatuwaziamemavivian4978
@aminaanatuwaziamemavivian4978 4 жыл бұрын
Chezea vituvingine sio mungu
@samehemwakisale4375
@samehemwakisale4375 2 жыл бұрын
Kweli nimrodi Huyu bwana Alikuwa n zooba 😊😋
@ummyazizkimaro6378
@ummyazizkimaro6378 2 жыл бұрын
I just came across THE STORY BOOK today and i loved it i cant wait to listen to the rest of the stories
@mrlimixfilamu
@mrlimixfilamu 10 ай бұрын
❤❤❤God creat us in order to pray for him❤❤❤
@rezikomer9552
@rezikomer9552 3 жыл бұрын
Mashallah story tamu sana haya wenyekiburi hi ni funzo zuri kwawenzetu subhanallah
@stansilauseliasi7883
@stansilauseliasi7883 4 жыл бұрын
Tunaomba muwe mnawaisha. Hiki kipidi tunakipenda sana mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi
@abdulrahmanallykipanga5338
@abdulrahmanallykipanga5338 Жыл бұрын
Kwan Hiko kipindi kinaitwaje na kinapatikanaje na wapi na lini
@khaijakadija2082
@khaijakadija2082 2 жыл бұрын
Subhna Allah Mola wetu tuhifadhi na kibri
@sharifaallan2386
@sharifaallan2386 4 жыл бұрын
Allah atunusuru tusije kukufuru
@alawiali3475
@alawiali3475 3 жыл бұрын
Amin
@mengimatiku7167
@mengimatiku7167 3 жыл бұрын
Stori ina ukweli na uongo
@mwalimubaydah6755
@mwalimubaydah6755 4 жыл бұрын
Historia zako nakupenda sana Allah akupe mwisho mwema na akuzidishie elim na akukinge na dunia na vilivyomo
@simontamba1285
@simontamba1285 3 жыл бұрын
Sote ni wtoto WA Baba mmoja Na Hakika Mungu ni Muweza Tupendane
@siasamweli372
@siasamweli372 3 жыл бұрын
Mungu hazihakiwi!Nakupenda Sana mungu wangu
@clintonbleya1634
@clintonbleya1634 4 жыл бұрын
Hakuna Kama Mungu Mungu Anaweza Mungu Samehe Zambizetu Sisi Ni Waovu Hakuna Mkamilifu Mbele yako 🙏🏽
@sieleclaus4430
@sieleclaus4430 3 жыл бұрын
God is greater than anything nothing can be compared with him😁😀😀😀😀
@shabanimwinchea2696
@shabanimwinchea2696 4 жыл бұрын
Tumuogope Allah .
@sariyaissa2497
@sariyaissa2497 3 жыл бұрын
Kweli
@Erryboy_brahck_tz
@Erryboy_brahck_tz 3 жыл бұрын
Mungu ndie mkuuuu kuliko chochote ameniiii
@mwanzashinyanga8060
@mwanzashinyanga8060 2 жыл бұрын
acheni mungu aitwe mungu 🙏
@abdulkadiryusuf7213
@abdulkadiryusuf7213 Жыл бұрын
Mungu ni mkubwa na mwenyewe nguvu💪
@vannesaClaude
@vannesaClaude Ай бұрын
Mungu hafananishwi na chochote daima matendo yake n makubwa
@mwinyimkuu2023
@mwinyimkuu2023 4 жыл бұрын
KAMA UNA AMINI MUNGU WETU MWENYE HURUMA SEMA CHOCHOTE KWA KUTUPA PUMZI🙏🙏
@fatimaabdulla1320
@fatimaabdulla1320 4 жыл бұрын
Kubwa nitasema subuhanaka ametakasika mfalme wa azi alhamdulillah
@queenwinnie256
@queenwinnie256 4 жыл бұрын
Mungu mkubwa
@rehemafungo5042
@rehemafungo5042 4 жыл бұрын
Aaamina
@victoryustas1847
@victoryustas1847 4 жыл бұрын
Ni wewe tu
@danielsamson1013
@danielsamson1013 4 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@sifajacky7779
@sifajacky7779 3 жыл бұрын
Tumuombe Allah wetu mtukufu Subhanah wataala atupe mwisho mwema inshaalllah
@jojobae739
@jojobae739 3 жыл бұрын
Inshallah
@user-lk6ms2py7k
@user-lk6ms2py7k 11 ай бұрын
Mungu ni mwaminifu kila wakati
@Yuzzowgrapher
@Yuzzowgrapher 4 жыл бұрын
dah jamaa anajua sana.....kama unapenda kuwa na IQ kama ya huyu jamaa weka like yako hapa
@nextlevelmusic9276
@nextlevelmusic9276 4 жыл бұрын
thestorybook
@AishaAisha-fy1pl
@AishaAisha-fy1pl 4 жыл бұрын
Zuchu safi
@tundurustorkitaa5378
@tundurustorkitaa5378 4 жыл бұрын
Nakukubali Adi bsi....daaaaaa
@celvinevod8391
@celvinevod8391 4 жыл бұрын
Kf
@mu-crzymahez9229
@mu-crzymahez9229 4 жыл бұрын
u y u zunch kwel au
@davidevarist8345
@davidevarist8345 4 жыл бұрын
@@mu-crzymahez9229 sio mwenyew uyo
@jacquelinealinanuswe9639
@jacquelinealinanuswe9639 3 жыл бұрын
Ukuu wa Mungu God is so merciful
@sumaiyamahamoud2488
@sumaiyamahamoud2488 4 жыл бұрын
Mungu tupe imani daima tuamini uwepo wako
@mweucchunda4244
@mweucchunda4244 3 жыл бұрын
Amen
@tonnymkoya8790
@tonnymkoya8790 2 жыл бұрын
Napenda kufuatilia historia yako.Great
@godfreystephano4992
@godfreystephano4992 4 жыл бұрын
Jamal nakubali nakubali.. Fanya kushusha na kitu cha Ghekis khan wa mongol empire
@polytarimo324
@polytarimo324 4 жыл бұрын
Daah hii simulizi nimeipenda niliisikia kwa mbali ikirushwa kwenye wasafi tv jana nikaitamani hatari
@josephkalamazoo7979
@josephkalamazoo7979 4 жыл бұрын
Napenda saana uongezi wake na historia zake big up Jamal, congratulations keep it up nice job
@amosfabian8326
@amosfabian8326 4 жыл бұрын
It's very potential, this video has helped me expand my knowledge
@christopherfadhili5312
@christopherfadhili5312 4 жыл бұрын
Kama na wewe nii mpenzi wa hichi kipindi namba like hata 30 tuu jman
@allymwachuma3132
@allymwachuma3132 4 жыл бұрын
UMEJITAHIDI LKN HAPO KWENYE KUUWAWA WATOTO WA KIUME NI ULIKUA UTAWALA WA FIR AUN NA UTABIRI YALIKUA NI MAZAZI YA NABII MUUSA ALAYHI SSALAAM.
@monicahovda4524
@monicahovda4524 4 жыл бұрын
Ni kweli. Kumbe Biblia inalingana sanaa na Koran
@janethsamson9123
@janethsamson9123 3 жыл бұрын
Naipenda sana stoli zake
@bakaryhamza7377
@bakaryhamza7377 3 жыл бұрын
@@allymwachuma3132 kweli
@sturidamsesa7958
@sturidamsesa7958 3 жыл бұрын
B. N
@glorrineshoo2444
@glorrineshoo2444 4 жыл бұрын
Mungu ni fundi jmn apo kwenye kuwapotezea kwa lugha
@mjuba
@mjuba 4 жыл бұрын
Acheni MUNGU aitwe MUNGU🙏🙏
@mosesmwasi4795
@mosesmwasi4795 4 жыл бұрын
Jamani watanzania toeni maoni, badala ya kuomba likes!
@JaphetCaptain-tq2dv
@JaphetCaptain-tq2dv 11 ай бұрын
Thank ya 🙏 congratulation 🥳
@mayamerali9264
@mayamerali9264 4 жыл бұрын
Allah is the one,, hashindwi kwa kitu alichokiumba yeye.
@salehabri6957
@salehabri6957 Жыл бұрын
I am proud to be Muslim, peace and mercy up on you..
@yustomwaisomania2587
@yustomwaisomania2587 9 ай бұрын
Ni utumwa kuwa hivo
@josephsamuel1073
@josephsamuel1073 4 жыл бұрын
Mpaka nimemsahau mtiga abdalah,story book imenoga sana
@nomatter1239
@nomatter1239 4 жыл бұрын
Oya kam unaanza kumuelewa jamal mpe lik zk hp zifike 30 tt atafurah snn
@queenwinnie256
@queenwinnie256 4 жыл бұрын
Hakuna namna lzm tuelewe tu,
@nomatter1239
@nomatter1239 4 жыл бұрын
@@queenwinnie256 ahhh p moj jam mkali
@daudisamson8981
@daudisamson8981 4 жыл бұрын
Hongera Sana kwa kutukumbusha
@daudisamson8981
@daudisamson8981 4 жыл бұрын
Usicheze na Mungu aisee
@ezraezron2017
@ezraezron2017 3 жыл бұрын
Yuko vizuli
@jumampony4346
@jumampony4346 4 жыл бұрын
Unafanya vizuri jamal
@estachengula5499
@estachengula5499 4 жыл бұрын
Sauti ya Jamal April ni nzuri lakini inanitisha nikiisikia love u
@zillahmgozira1006
@zillahmgozira1006 4 жыл бұрын
Ata yang pia n nzur cjui na mm utanipenda
@salmamussa786
@salmamussa786 3 жыл бұрын
Ata mimi inanitisha
@clementpeter8918
@clementpeter8918 4 жыл бұрын
Daaaaaa hiii The storybook ni nzuriii snaa semaa mnachelewa kuiwekaa online tengenii sikuu ilii tuwe na siku mahalumu ya kuifatiliaa jmn
@Ngangabwite
@Ngangabwite 3 жыл бұрын
Mke wa Tera hakuwa Sarai, Sarai alikuwa mke wa Ibrahim
@gramsraymond4643
@gramsraymond4643 4 жыл бұрын
Me nataka like tu
@hadijasalimu5481
@hadijasalimu5481 4 жыл бұрын
MUNGU hazihakiwi wakuabudiwa yeye SIFA na UTUKUFU nizake milele
@mtorosaidkassim9587
@mtorosaidkassim9587 4 жыл бұрын
Hakika
@henrynganga8336
@henrynganga8336 4 жыл бұрын
amen forever
@henrynganga8336
@henrynganga8336 4 жыл бұрын
MUNGU
@queenwinnie256
@queenwinnie256 4 жыл бұрын
Ameen
@minabuelysee8
@minabuelysee8 3 жыл бұрын
ndio maana kila anaye abudi kinyume na Mwenyezi Mungu atapata adhabu kubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu
@samirasadasalum5974
@samirasadasalum5974 Жыл бұрын
Shukrani sn kwa simulizi mzuriii sna MUNGU atuhifadhi tukiwa wenye kumkufuru ktk hali yeyote Amiina.
@MasudiKisumo-lf1dn
@MasudiKisumo-lf1dn 11 ай бұрын
I like it
@daudisulle8410
@daudisulle8410 3 жыл бұрын
Kiburi Cha imani ni hatari sanaa,tunatakiwa kumwamini MUNGU tu,ametuumbaa kwa kusudi inatupasa kumweshimu na kuishi katika kusudi lakee 🙏🙏
@issamwenda6813
@issamwenda6813 2 жыл бұрын
Very good professor
@juliaayieta2578
@juliaayieta2578 4 жыл бұрын
I love the story book 📖 😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘
@eliuskamwelwe1018
@eliuskamwelwe1018 4 жыл бұрын
muandaaj ,mtafiti , muandishi na msimulizi 💪🏿💪🏿
@samwelylaurent4301
@samwelylaurent4301 4 жыл бұрын
Bro nakukubali sana japo mwanzo w2 walikuponda sana lkn nimeamin maneno ya dimond platnum alisema ukiwa na juhud katika kaz zako bac unanafac kubwa yakufanikiwa na pia ukikataliwa na jamii ndo neema inaingia leo hii nimejifunza k2 kwa jamali maana mwanzo alikataliwa na kila m2
@neemamayco3238
@neemamayco3238 4 жыл бұрын
Alikua anatangaza chanel gan?..
@petrolambe
@petrolambe 4 жыл бұрын
Jamal ndo alikua anaandka zile story alizokuwa anatusimulia mtiga kwahyo ndo alkuw mkuu wa kitengo
@jamesmbegeze4122
@jamesmbegeze4122 4 жыл бұрын
Kwa kweli
@neemamayco3238
@neemamayco3238 4 жыл бұрын
Asante petro
@queenwinnie256
@queenwinnie256 4 жыл бұрын
Samwely Laurant ndio maana ukaambiwa mwanzo mgumu
@nomoboy152
@nomoboy152 4 жыл бұрын
Sema unajua kusimulia kinoma chukua namba1
@fasanitzfasanitz9631
@fasanitzfasanitz9631 4 жыл бұрын
Kama unamkubali jamary April like hapa👍👍👍
@jonnesmongare5530
@jonnesmongare5530 Жыл бұрын
Always put your trust and faith in God 🙏 and we shall never compire ourself with our creater who is heaven course he knew us before we were born and he can finish us anytime anywhere 🥰🥰🥰
@mahfoudhcalender2747
@mahfoudhcalender2747 3 жыл бұрын
( وَإِذْ قَالَ إِبْرَاهِيمُ لِأَبِيهِ آزَرَ أَتَتَّخِذُ أَصْنَامًا آلِهَةً ۖ إِنِّي أَرَاكَ وَقَوْمَكَ فِي ضَلَالٍ مُّبِينٍ ) الأنعام (74) Al-An'aam (Na pale Ibrahim alipo mwambia baba yake, Azar: Unayafanya masanamu kuwa ni miungu? Hakika mimi nakuona wewe na watu wako mmo katika opotofu ulio wazi) Huuu ni ushahidi wa Quran
@wivinemwamini9110
@wivinemwamini9110 3 жыл бұрын
Munguwetu nimwema
@bintichausa4744
@bintichausa4744 3 жыл бұрын
Allah akbar ... Subhanakallah inkuntumina dhwalimiin
@dicksonlwiza
@dicksonlwiza 4 жыл бұрын
Nakubali jamaa upo vzuri tupe mastory ya kutosha nataman kupata story za Mambo ya historia ya Vita za majimaji na ushujaa wa watemi wetu Kwa indani zaidi namna wazungu walivyo tulaghai Kwa mikataba mibovu
@Bigboy-nx3nc
@Bigboy-nx3nc 4 жыл бұрын
Unajitahidi thumbs Up 👍
@user-cw8zn2dn6m
@user-cw8zn2dn6m 5 ай бұрын
Mungu ni Mungu. Amen.
@mawazoboniface6370
@mawazoboniface6370 4 жыл бұрын
We jamaa unajua hadi unapitiliza aisee,pamoja sanaa
@KILLERGAMER009
@KILLERGAMER009 4 жыл бұрын
kama ww unaamini dini ya kislam gonga like hapa
@allpotentials8420
@allpotentials8420 4 жыл бұрын
Acha udini ndugu yangu, mbona nyie mnajifanya ni watu Bora Sana kuliko wenzenu. Cc wote ni wamoja uislam na ukristo zote ni dini nzuri lakini majitu yasiyo na akili Kama wewe ndo yanaleta migawanyiko pumbavu Sana.
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 4 жыл бұрын
@@allpotentials8420 Tunakuw saw kiubinaadamu tu ila kiidini hatuwez kua saw Uislami na ukisristo sio saw
@rehemafungo5042
@rehemafungo5042 4 жыл бұрын
@@allpotentials8420 amina kakaangu
@hamadamaan9800
@hamadamaan9800 4 жыл бұрын
@@allpotentials8420 hakuna dini ukiristo
@allpotentials8420
@allpotentials8420 4 жыл бұрын
@@hamadamaan9800 sawa lakini me naamini hata mtume muhamad sws anaamasisha umoja baina ya watu wote lakini mabinadamu fedhuri Kama nyie ndo always mnaaribugi hata twaswira ya dini yenu wakati ni dini nzuri tu, kwa kuleta migawanyiko. shame on you all.
@maryamfaraji2364
@maryamfaraji2364 3 жыл бұрын
Binadam sisi ni machizi eti waende wakampige mungu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ALLAH AKBAR umetakasika Mola wetu😢😢😢😢😢😢ALLAH AKBAR😢😢😢😢😢😢
@ronnyprisc2175
@ronnyprisc2175 2 жыл бұрын
Inshaala mungu akutende mema jamal ufike mbali zaidi proffesor
@salmaluhombero8466
@salmaluhombero8466 4 жыл бұрын
Unajua sana kuhadithia kiswahili ni lugha tamu duniani najivumia story mno asante
@stanslaus7775
@stanslaus7775 4 жыл бұрын
Vitamin Story ✨ 'God is the Greatest'
@issaduncan5146
@issaduncan5146 3 жыл бұрын
Cc
@sheemaryam
@sheemaryam Жыл бұрын
Wallahi Allahu wakbar (God is great)
@derickrozy3213
@derickrozy3213 4 жыл бұрын
Mwacheni MUNGU aitwe MUNGU
@elishamwita2276
@elishamwita2276 4 жыл бұрын
acheni MUNGU aitwe MUNGu
@ezrasituma822
@ezrasituma822 4 жыл бұрын
Amen
@turantv3392
@turantv3392 4 жыл бұрын
MUNGU MKUBWA🙏💯💥⭐👑
@jojobae739
@jojobae739 3 жыл бұрын
Bila shaka mwenyz mung ni mkubwa
@stansilauseliasi7883
@stansilauseliasi7883 4 жыл бұрын
Oya unajua sana mtinga hawezi kujua hivi vitu hadi uwe mwamba
@abubakarsalimu6930
@abubakarsalimu6930 4 жыл бұрын
Stansilaus Eliasi we ni boya2 haandai yeye story boya ww mtiga mtu mwengne ww mbwa
@mwinyimussa167
@mwinyimussa167 4 жыл бұрын
Hahahaha jidang'anyeee
@ezekielmanyesela3846
@ezekielmanyesela3846 4 жыл бұрын
@@abubakarsalimu6930 huyo mtiga mwenyewe unayemsifia alikuwa anaandikiwa na Jamal Kama hujui
@peterpaulinuce4316
@peterpaulinuce4316 4 жыл бұрын
@@abubakarsalimu6930 mtiga alikuwa anaandikiwa na Jamal fuatilia story book za nyuma mkuu acha matusi
@greysonchogga4636
@greysonchogga4636 4 жыл бұрын
@@abubakarsalimu6930 unakosea mtiga yeye kazi yake nikusoma story tu lakini Jamali yeye anaandaa story na anasimulia story
@sabatoelia312
@sabatoelia312 4 жыл бұрын
Kama unachanganyikiwa na majina ya kiislam na ww ulisha sikia stori hii kwa biblia kwa majina tofauti kama mm .. gonga like hapa🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
@barklesbarkles7733
@barklesbarkles7733 4 жыл бұрын
Nani hajawai hata..kusikiza.. legendary. THE STORY BOOK
@barklesbarkles7733
@barklesbarkles7733 4 жыл бұрын
Mimi
@rehematawalani733
@rehematawalani733 Жыл бұрын
HASANTEE Hii story inanikumbusha mbali sana mamayangu alikuwa anatusimulia wakati tupo wadogo
@jumamofu9573
@jumamofu9573 4 жыл бұрын
Thanx kwa hii nimependa nimetazama leo 02/June/2020
@jacklinendinda7851
@jacklinendinda7851 3 жыл бұрын
God his God Alpha and Omega we trust in him amen 🙏🙏🙏
@christabelathiambo3038
@christabelathiambo3038 2 жыл бұрын
Amen
@user-hi2el8ll5j
@user-hi2el8ll5j 2 жыл бұрын
@@christabelathiambo3038 a🙏🙏🙏🙏🙏
@Allykoroshotv
@Allykoroshotv 4 жыл бұрын
The story book inaelimisha sn
@papaesco5198
@papaesco5198 4 жыл бұрын
Kabisaaa Korosho
@Ngangabwite
@Ngangabwite 3 жыл бұрын
Kuweni makini na mafundisho ya kisisimu, mengi hayana ukweli ila misisimko
@joleenmasha
@joleenmasha 4 жыл бұрын
Mwacheni mungu aitwe mungu Bwana hakuna kama yeye
@sophiajunery6431
@sophiajunery6431 4 жыл бұрын
Great let's have 💯 likes for Jamal April
@joobrizy1436
@joobrizy1436 4 жыл бұрын
like zenu jaman tujuane wale wa story book
@tinasamo2403
@tinasamo2403 3 жыл бұрын
You are great GOD🙏
@khayratsuleiman5346
@khayratsuleiman5346 3 жыл бұрын
ALLAAHU AKBAAR. LAAILAAHA ILLA LLAAAH WAHDAHUU LAA SHARIKA LAH LAHULMULKU WALAHULHAMDU WAHUA A'LAA KULLI SHAIN QADIIR. YAA ALLAAH SW TUEPUSHE NA KIBRI NA GHURURI ZA DUNIA WAJA WAKO CC NI DHAIFU MBELE YAKO. INNIY A'BDUKA WA ANTA RABBIY
@nourathossein1204
@nourathossein1204 3 жыл бұрын
Uko vizuri mashaalla allahvakupe umri na afya kutupa elim
@captainswaicomedian8484
@captainswaicomedian8484 4 жыл бұрын
Nimechelewa kiduchu likes zangu dadeki sana sana zitokee nje ya Mwanza
@jayfourjofrey7129
@jayfourjofrey7129 4 жыл бұрын
Kama unakubalu the story book Kama Mimi weka like✌️🔥🔥
@fadhilisanga3384
@fadhilisanga3384 4 жыл бұрын
Wanakwambia huku hakupoi hata siku moja kila siku chuma kinazidi kupata joto tena kimebadilika na rangi chuma kimekuwa chekundu je cha kijani huko kinaendeleaje ??? Safi sana bro tumesha kuzoea saizi
@silverminjal5108
@silverminjal5108 4 жыл бұрын
Dah bro irespect you hatari!Watu walisema mengi lakini ukujali nahisi ulijua ndo tabia ya watanzania wengi tulivyo na ukaendelea kufanya yako paka sahvi wanakukubali.Umenipa fundisho nzuri,ukitaka kufanikiwa acha kufatilia watu wanaokukatisha tamaa.Keep it up tunasubir nyingine nyingi zaidi.The story book ni fireeeeee💪💪
The Story Book: NI IPI SURA HALISI YA YESU ?
18:00
Wasafi Media
Рет қаралды 896 М.
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 40 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 9 МЛН
#LIVE: BEST OF DENIS MPAGAZE VOL.2
3:52:29
Uhai Online Tv
Рет қаралды 218 М.
KISA CHA KUSISIMUA CHA NABII YONA
45:10
Pastor Lazaro Samwel Kilala
Рет қаралды 2,9 М.
Mchawi muuwaji aanguka na kujisalimisha mbele za Yesu Kristo
27:38
UKOMBOZI TV
Рет қаралды 1,3 МЛН
THE STORY BOOK : MFALME SULEIMAN, NABII ALIYEPENDELEWA KILA KITU NA MUNGU
44:18
JESUS (Swahili: Kenya) 🎬
2:01:45
Jesus Film
Рет қаралды 2,7 МЛН
Во сколько смотришь? Заливаю в 10-22😉
0:36
Юлия Смирнова
Рет қаралды 1,6 МЛН
Мировой Рекорд по Засыпанию (@DazByron )
0:30
Голову Сломал
Рет қаралды 1,5 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
0:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 4,2 МЛН
Пранк над Махачевым🥶
0:19
FERMACHI
Рет қаралды 10 МЛН