Mimi mkuru nimeamu na kuapa ya kwamba since hakuna episode yako hunipita Nitasisitiza na kuhimiza ya kwamba nanyuki tunakupenda na utakuja upended usipende juu Mimi kama mkuru na lipia vvip tadhali mkuru nanyuki we love you come to us now❤❤❤❤❤❤❤
@Quiwamum5 ай бұрын
Nanyuki is home ❤❤🎉🎉🎉pia mimi
@africanndocamp10725 ай бұрын
Sijawai ona Mkuruu face to face but I feel he is part of my life❤
@reubenmalombe42586 ай бұрын
Akky leo nimecheka...uuuwii...yalinitendekea.....nilipitia na fence ya kei apple
@joeandres97446 ай бұрын
Watz 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 niwaone hapa kwa mkurugenzi
@napendamunisi93546 ай бұрын
Nipo hapa naangalia kutoka Kahama mojaa
@cocotz18926 ай бұрын
From Dar Es Salaam Tanzania 🇹🇿
@agtvonline98275 ай бұрын
Always ahead of time
@dennismwangi48765 ай бұрын
It inspires Me how mkuru akiamua kupeana story na jina ya mtu anastick nayo adi mwisho 😂😂 akiamua kutumia jina ni maasai na maybe uyo mtu anaitwa mwangi... akuna pahali utaskia ameingiza jina mwangi pahali 😂😂😂 ingekua ni mimi napeana story ati nitumie jina maasai utaskia nimeropkwa jina mwangi
@irenemuttai26315 ай бұрын
'😂😂😂😂😂😂😂😂😂umbea ndio uko nayo😂😂😂😂😂😂😂
@0scarokochete-lz3vj5 ай бұрын
Pia huwa nashangaa 😂weeeh
@felixkioko28126 ай бұрын
Chicago fire 1871 mkuru ilete
@ErastusPeterMwangi6 ай бұрын
Mkuru❤ nimemiss young and stupid walai
@leviindeche89116 ай бұрын
Two great fallen soldiers, Fred omondi and fyhah mummah ... entertainment industry tunahitaji prayers
@saidimohamed43276 ай бұрын
Mkuru tukumbuke pia Sisi wakurugenzi wa nanyuki
@AluttaBae4 ай бұрын
Hapa wallahi umeongea🎉 Sijui tu scout area tu we drop a pin kwa bw.mkuru
@kenyanwatchman66355 ай бұрын
Mkuru tupigie story ya mtu anaitwa Alison Bother please 🙏
@Felixmuinde25 ай бұрын
Always lit 💥....mmh tunadai diastory ya gen Z na maadamano..let's see creativity,✅💫
@mohamedjelle79445 ай бұрын
hi mkuru am jelle from wajir County one of your kind fans in wajir nimesikiliza minisodes mingi yako lkni ya Leo imenichekesha vibaya. We ni bazuu wa hii entertainment industry. Keep going ahead salute u
@damariskissy-pj4qh5 ай бұрын
Congratulations Abeli na bogi Yako kutokelezea Kwa demos. Pamoja tuteteee the incoming gen.
@PriestMpendamanyonyo5 ай бұрын
Walai hizi story uokolea Sana pia Mimi juzi jaribu watu wapeleke mwili but nilipo ingia kwa mkuruu mambo ikachanger ghafla shukuran 👊👊 God akubless sana
@johnrogeo21616 ай бұрын
Maasai amalize miaka kumi ju kwanza polisi wanajua yy ndio mwizi😅
@Kaishorts-f7s6 ай бұрын
Mkuru am your biggest fan.Am watching you all the way from Norway 🎉❤❤❤
@brianmutugi-pv2gv6 ай бұрын
Mzee rada uko unaeza nilink chameni
@jamesmaina-dn9vb5 ай бұрын
this is one of the best stories I have had much love peace✌️
@karunyetv7676 ай бұрын
We laugh with Mkurugenzi and we reject finance bill Reject Reject finance bill
@rolls-royce5555 ай бұрын
Abel AKA Mkuru.....Kuna Story ya Allison Botha the immortal survivor 😊😊
@abdhuldallas92855 ай бұрын
Mkuru,,the next episodes of Headline hitters tupee the Story of Chris Craighead also known as Obi Wan Nairobi... A British SAS operater who handled a terror incident in Nairobi.
@teejay90716 ай бұрын
I am a nurse and mkuru that part unaita 2% medically its only 1% 😊😊
@drewaruru47756 ай бұрын
Hey colleague
@luciepaul60145 ай бұрын
😂😂😂😂
@amp_live8805 ай бұрын
flowers to the editor👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
@vviperbeehumble14104 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Kushawishi polisi is diabolical.. watching at the gym Baltimore Aug 2024 … ..marking register
@paulinewangari51546 ай бұрын
I have a sugestion concerning the #Rejected the finance bill 2024 to ppl who are far and still reject the bill, I personally would like to help you fight this coz I reject it as a Gen Z far from home, can ppl from home get a group we send you guys funds Ata kama ni ya maji banaa you guys are making me so proud to be a Kenyan ❤❤, anyone who can help me with this Ata kaa ni Mkuru please help me
@btsarmy2546 ай бұрын
I second this..tuko wengi wenye hatuko home..this is the only way we can participate #REJECTTHEFINANCEBILL
@gatashi22906 ай бұрын
We are just individuals who are tired of what the government is doing to us as Gen Zs , we don't have a leader, party or tribe. We are #rejectfinancebill2024 movement fighting for our future, Tuesday tuko ground OccupyingParliament
@gatashi22906 ай бұрын
@@btsarmy254 We are just individuals who are tired of what the government is doing to us as Gen Zs , we don't have a leader, party or tribe. We are #rejectfinancebill2024 movement fighting for our future, Tuesday tuko ground OccupyingParliament
@vivianteshian5 ай бұрын
There is
@paulinewangari51545 ай бұрын
@@vivianteshian where? Can you please share it for every one
@benardmaru44016 ай бұрын
Bt thanks sana mkuruu, we mzee you are always in touch with your followers Unareply to their feedback na iyo inatufuraisha maze na sio uku KZbin tu... Respect
@Mkurugenziii5 ай бұрын
Shukran sana!!
@kev25436 ай бұрын
the coincidence of the name Masai,GenZ n congregation is too much wena
@graceomweri5 ай бұрын
Almost prophetic
@joylenegituaratv89035 ай бұрын
It got me the same way😢
@footballfrenzyKe5 ай бұрын
And police and kuwachwa nyuma😭😭
@footballfrenzyKe5 ай бұрын
And police and kuwachwa nyuma😭😭
@DavyChombo5 ай бұрын
Am David nakuwaaa top fan chini ya maji 😀i really appreciate ur work #mkuruu for life
@elsiekainyu47946 ай бұрын
Just requesting u use the name zakayo in one of your stories Or tupige summary ya story ya kigogo na tumbo lisiloshiba in summary
@jaquineorina8900Ай бұрын
Mkuru manze niko na story kali hapa manze nichek nikugusie manze tuzaudie mkuru mahali
@ruthrukeo27046 ай бұрын
If you see mkurugenzi in the building you just know he's got the juice 🥳🥳🥳🥳🥳
@a.lphonce5 ай бұрын
Wametenga...such a word nmekuwa over it juu ya mtukufu lies #rejectfinancebill2024
@karimimiriti38276 ай бұрын
It’s very heartbreaking May Jamby & Freddie R.I.P. as to Masaai weuwe 🔥🔥🔥🔥😂😂😂😂😂😂ni six months akue free 😅😅 Senjee Mungu amheal 🙏🏾🙏🏾🙏🏾 To Mkuru big up umedeliver vifine 🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥🔥
@MkurugenziMukiri5 ай бұрын
Mkuru kali tena sana thanks for the.support nilikucheki hapo street mkuru jr anpenda show yako kali.👊👊
@AluttaBae4 ай бұрын
To imagine to save Senje's agony, we just need one man's watch in Kenya! Na tubakishe..
@deemakambi84305 ай бұрын
Legally, there is no Limitation of actions on criminal matters. Yani hiyo ni kusema hata 5 years from now, anaweza shikwa na afunguliwe mashtaka. Option.... atafute tuu loya asaidiwe kufanya plea bargain.
@EthanKungu5 ай бұрын
i thnk what they should do is to give this mkuru episode to those police men i mean its solid prove
@johnnjenga58525 ай бұрын
Kesho Tuesday Tunareject the bill💪
@eddyobondo83255 ай бұрын
🤣🤣🤣long time mkuru...your story zinanimaliza sana
@siinamcapital5 ай бұрын
Ubarikiwe mehns, all the laugh you spread is amazing
@BambooJM5 ай бұрын
Mkuru, please please please please please please please please please, tuchapie story ya ALISON MBOTHA pleeeeeeeeeeeeeeeeeeease!!
@philipmutua15705 ай бұрын
May God give all men enough finances to take care of their loved ones and people depending on them❤
@felixmaseo43486 ай бұрын
Tuendelee kureject the finance bill madze...as we continue enjoying watching mkuru
@ElvisMartin-f6v5 ай бұрын
Before niende shule leo Mkurugenzi lazima adios muchachos
@zush316 ай бұрын
Masai ni mtu huku Zambia tunaita ichipondo. Huyo ni mtu hatari lakini sisi tunasemanga mulandu suola (there is no expiry date for a crime) juzi tuu kuna MP in Zambia alipigwa case yah makosa alifanya 2015 so itabidi Masai abangaize tuu asirudi.
@starlonewanjala16256 ай бұрын
Like for us who were there during the live recording in Eldoret but still watching this
@agneswanjiku65445 ай бұрын
How many vipindi did you guys listen to ?
@immaculatemwangi30995 ай бұрын
@@agneswanjiku6544three
@starlonewanjala16255 ай бұрын
@@agneswanjiku65443. One headline hitters,young n stupid then diastories.
@starlonewanjala16253 ай бұрын
@@agneswanjiku6544 3
@wakirumba16775 ай бұрын
as a doctor The two percent joke was genius I swear😂😂
@mainakihurusia63806 ай бұрын
Please please please tafuta kitu uvaenge yenye inarepesent we ni big fun wa Mkuru 😊😊 ata shanga ka hii yanguu ya mkuru
@SophiaKamauTVShow5 ай бұрын
Wow, amazing and funny story. Watching from Canada.
@jeffersonmwangi24475 ай бұрын
petition for mkuru to release the australia trip stories🥲🥲
@cliveapamo48366 ай бұрын
Show ya leo iko on point mzing 🔥
@Mkurugenziii6 ай бұрын
Shukran!!!
@originalsp5 ай бұрын
Napiga like nikiwa maandamano..... I'll download n watch later🥳🥳
@Jumanji_Dev5 ай бұрын
Waseee Waseee kesho ni ile day watu wangu #rejectfinancebill2024 💪✊
@christianThumari5 ай бұрын
Mkurugenzi si upige show moja swafy nyeri 019 akih
@timoh40165 ай бұрын
Just realized Eddie Butita has lost his KZbin channel. Sorry to him But mkuru ambia butita even if you dine with the king's value your audience always
Wakambembeleza " pongipongipongi" 😅😅😅 the sound guy
@omendaud5 ай бұрын
lakini tusidanganyane wakuru,, tumekua watrue ... lakini hii episode haileti shangwe inabooooooo
@victormambo3335 ай бұрын
Mkuru niko story ningependa hupigie wakuru how I got corned in Nairobi......
@tijuanafelix14376 ай бұрын
Nakuru my birthplace
@MikeMamboleo6 ай бұрын
The Eldoret Jyuuce Party was lit 🔥 👌,though Mkuru hukufika regular kutugotea manzee 😢
@buddy97125 ай бұрын
I'm proud of you mkuruu 💪💪 champ
@dennismwongela24215 ай бұрын
Manze I was really really weiting for this show to be premiered here si nashukuru sana mkuru juu sikufika jyuce party 🥳🎉 am. Here for you❤❤❤
@chrismutua-rs7xq5 ай бұрын
hii nayo imeweza mkuru
@EmmanuelKiprono-p5u5 ай бұрын
The Genz's grandmother " the best story teller"
@vinnykirui94335 ай бұрын
It is 6months i have a friend who had the same story
@faithjeptoo-c5v5 ай бұрын
Mkuru God willing by the end of the year tufike 1 M subscribers..big up man❤❤🎉
@lorene_s.o.l.l.o6 ай бұрын
Wadau as we watch this on Tuesday tutoke ✊🏾
@jameswafula39536 ай бұрын
Tell Maasai I’m a lawyer I will help him 😂😂
@radicalljinari38636 ай бұрын
I like "kubembeleza 'part ata mambo ya ruto ikinisumbua najipata nasmile
@charliefontaine45775 ай бұрын
Alishawishiwa,wakamgeuza,wakamsihi. 😂😂😂😂😂 I love that.
@catherinewanjiku31145 ай бұрын
Nilikua nimemiss live aki😂long live mukuruuuu
@benardkiprono80405 ай бұрын
Mkuru Niko na story nadai kuwapigia wakurugenzi,nitakufikia aje
@johnmurithi44646 ай бұрын
Nice work bro.... always support you
@Mkurugenziii6 ай бұрын
Shukran!!
@paulsandah5 ай бұрын
My favorite story Teller We are happy you are supporting Gen Z #rejectfinancebill
@Maxyne7776 ай бұрын
My condolences to friends and family of Fred Omondi and Jahmbi Koikai May there souls rest in eternal peace
@Mkurugenziii6 ай бұрын
Amen!
@ruthkamau23116 ай бұрын
Madfun walinifanya ile kitu 😂.....Acha niwatchie tu hapaaa.
@jacklinenyakio67085 ай бұрын
🥂 Maasai Pewa moja kwa bill yangu To the Fallen Legends...RIP
@Fridah01-fv3sn6 ай бұрын
Thanks gen z mkuruuu nilikunote 😅😅😅
@petermutua1526 ай бұрын
mkuru💯💯and on that note REJECTFINACE BILL2024
@mr_kmarius5 ай бұрын
I hope mkuru you are watching keenly because after this gen z move done we need a movie based on it 😂
@luqmanhassan47815 ай бұрын
Mkurugenzi when will you be coming to mombasa 😢
@MelanieMariam5 ай бұрын
The fact that naitwa Mariamu.......makes me unsure if i should be proud of that name.....😫😫😂😂😂😂
@collinskibet60056 ай бұрын
Ata kama nili watch time y juice party tunarudia tu. shout out to mkuru 🎉🎉🎉🎉🎉
@bakulecherongos7626 ай бұрын
Wakurugenziiii! Mbona wanajeshi wa air force Huwa na hasira sana? Juu ni wanajeshi wa anger😂😂😂
@brianmutugi-pv2gv6 ай бұрын
Mai lawd 😂😂ficha io akili
@bakulecherongos7626 ай бұрын
@@brianmutugi-pv2gv 😂😂😂
@Mkurugenziii6 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@bakulecherongos7625 ай бұрын
@@Mkurugenziii 😂😂😂
@shirowaithera5 ай бұрын
Aaaaa 😂😂😂
@godfreykalumi66546 ай бұрын
Viewer no 16,506 after 3 hrs. Acha Kibet aanze maisha mpya miaka kama tatu hivi.
@SamanthaMigariza6 ай бұрын
Buy the way mkuru shukhalani sana big up am watching this nikiwa saudi arabia we reject the bill
@inataliosahara6 ай бұрын
Am addicted to mkurugenzi I wish one day he will give me opportunity to his acting office ...mkuru get an actor who speaks many languages here I yam.....
@evelyngicharu61356 ай бұрын
Mkuru😂😂always delivering 🥳
@Quran-mk016 ай бұрын
Mkuru inakuwaje mzee mungu akubariki sana bro unatutowa kwenye ngori