The97sPodcast Episode 74- My TyPE

  Рет қаралды 192,119

3MenArmy Kenya

3MenArmy Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 238
@thechampspodcast
@thechampspodcast Ай бұрын
Wale watu wa notify me piga like ❤😂
@Dero_blck
@Dero_blck Ай бұрын
Mapema bro
@TeaFromTheSoulPodcast
@TeaFromTheSoulPodcast Ай бұрын
Not me singing tupo😂😂I'm honestly addicted to this podcast 😂😂.... To all my addicts mpo??
@AngelarGMungai
@AngelarGMungai Ай бұрын
Tupo😂
@debbiedenise1466
@debbiedenise1466 Ай бұрын
Tupooo in Frank's voice
@KMD032
@KMD032 Ай бұрын
Tupo
@Smurf-h3n
@Smurf-h3n Ай бұрын
Tupo😊😊
@wairimumuriuki630
@wairimumuriuki630 Ай бұрын
Tupoo
@Nlevel4iy
@Nlevel4iy Ай бұрын
Wagwan wadau, this is the 97`s podcast with Dante Frank and me Andrew Trevor, na ikibamba sana unaweza tuita 3 men army, ushawai date dem anapiga 180, waaah alafu anaskiza maapiano, baas hao ndio madem hudandia matatu
@dianammbone8083
@dianammbone8083 27 күн бұрын
Hahahahaha then wanacheka
@Makaveli631
@Makaveli631 Ай бұрын
The guy with a towel is a vibe...first time listening to them
@KennyVic-v8m
@KennyVic-v8m Ай бұрын
Nani anaona sai like now yaani saii sai😂😂😂piga like
@lesliechepkemboi1588
@lesliechepkemboi1588 Ай бұрын
Saa si mngesema nisininunue woofer juu saa hiyo bass yotee mumeimba😂😂 0:55
@rosekariuki9637
@rosekariuki9637 Ай бұрын
Nani amenitice monty anaendelea kukua cutesy... Mama troy congrats
@Lily-985
@Lily-985 Ай бұрын
My typa shiiii😂 waiting ❤
@mrwakili254
@mrwakili254 Ай бұрын
Monty ukiona amekaa karibu na Trevor jua mmoja lazima atapata makofi juu ya point za upuzi😂😂
@CarolinaNaire
@CarolinaNaire Ай бұрын
Trevor we don't choose to be lonely sweetie huku nje tuna struggle natamani kumeet hata wazimu nimbongeshe lakini wapi 😢sometimes anxiety nayo😢 si rahisi ni wew tu na smu yako wueh not easy hapo kwa dating apps tumejaza kama wazimu😂😂😂 eeh mung baba but we still feel lonely 😂Hii gulf itatuua😂
@kinarajared006
@kinarajared006 Ай бұрын
Si unitafute tubonge
@royal7587
@royal7587 Ай бұрын
shida umesema gulf
@CarolinaNaire
@CarolinaNaire Ай бұрын
@@royal7587 wueh huku ni moshii Bila fire 🤣🤣Hadi unaji console Lakin wapi
@serialthinker_254
@serialthinker_254 Ай бұрын
Angalia namba yangu kwa bio tuongee usiboeke buana
@KycieJabali
@KycieJabali Ай бұрын
Ii wiki kila mtu ana watch aamue atumie ii podcast 10 bob😂😂😂😂😂
@stephenakwanyi8110
@stephenakwanyi8110 Ай бұрын
uyo dame mwenye akona deni ya dante alipe tafadhali😂😂
@rosekariuki9637
@rosekariuki9637 Ай бұрын
Meeen
@wendywelly
@wendywelly Ай бұрын
Silipi 😮😮
@FoxKing-g3b
@FoxKing-g3b Ай бұрын
Inaonekana hiyo pesa inauma Dante Hadi Leo hiii😂😂😂
@sharonnjuki6133
@sharonnjuki6133 Ай бұрын
The vocals ❤❤❤daaaamn!!
@jamesmichubu4665
@jamesmichubu4665 Ай бұрын
Guys I think am a diehard fan coz I started consuming their content but 2018 Trevor alkua anakaa huruma na kichwa kubwa😅😂 but monte never changes wapi likes za diehard fan👇👇
@khalifadan6087
@khalifadan6087 Ай бұрын
Naitwa Dante Kama macho..will be the first one this time kuwach..nataka hood😅
@I-trizahm
@I-trizahm Ай бұрын
Addiction is bad bt hii yangu isiishe jamani juu ama addicted to this three gentleman ❤❤❤
@CarolinaNaire
@CarolinaNaire Ай бұрын
So mlisema hakuna siku nitakua first kucomment😂😂❤❤❤
@nimseey
@nimseey Ай бұрын
Waagwan wadau hii nayo n mufty😊 tena sana
@AdminTheteacher
@AdminTheteacher Ай бұрын
Mabeshte wa Dante wanakapitia stories kila episode 😂😂😂😂😂
@Gloriajepkoech-v4n
@Gloriajepkoech-v4n Ай бұрын
Wagwan wagwan wadau....mafans bado mpoo❤❤
@shantykariuki2029
@shantykariuki2029 Ай бұрын
Mnaongelea mavi nikiwa kwa choo navenye inanuka adi mm mwenyewe najicheka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wueh chali yangu akiingia apa ana isha 🤣🤣🤣🤣
@MoureenKaimenyi
@MoureenKaimenyi Ай бұрын
Najua haiwahusu lakini😂😂😂nimeona frank na mm tuna support team moja😅😅
@Ggh-t7k
@Ggh-t7k Ай бұрын
Haiombwi hivo
@andrewanyona8573
@andrewanyona8573 Ай бұрын
Pia wewe hukula ivo...😂😂
@Niccur014
@Niccur014 Ай бұрын
@@andrewanyona8573 💀😅
@AthenusAgava
@AthenusAgava Ай бұрын
wagwaaan💯💯kila wiki episode idrop... tuache kuboekaa🥲. mafans tupoooo
@emmanuelkipngetich-g2q
@emmanuelkipngetich-g2q Ай бұрын
my one and only best podcast in the world
@beckykiarie6311
@beckykiarie6311 Ай бұрын
We need that introduction song ya mafans...juu hapo najua tuko wengi tumesing along😅 it's the only part kwa broadcast tunaweza changia sisi wote😂
@paulwangari0045
@paulwangari0045 Ай бұрын
Big up guys always waiting for this show
@joe_l-n3o
@joe_l-n3o Ай бұрын
Ambia Dante mimi nafit hizo qualities za bestie wake😂😂
@Dennoh254-n5m
@Dennoh254-n5m Ай бұрын
Dntey atachizii😂😂
@Costamugo
@Costamugo Ай бұрын
Monti amelia " anakula tu ka simba"🤣🤣🤣
@iammasambu
@iammasambu Ай бұрын
Leo mumeamua kuongea facts😂😂
@cypiiflirty5055
@cypiiflirty5055 Ай бұрын
Hawa vijana wata chizi siku moja 😅😅😅😅 kazi safi majama
@shake_shakewaina
@shake_shakewaina Ай бұрын
😂😂hio intro maumbwa nyinyi 😂😂😂karibu nihepe mnanishtua why msiwahi jaribu kuimba Tena.....
@susanwambui7537
@susanwambui7537 Ай бұрын
Iyo story ya mtoto kuuma ball ya mtoto it happed to me weee uyo mtoto nilishi kumuogopa
@Faith-i2y
@Faith-i2y Ай бұрын
trevor anaongea ukweli lowkey in his own way in short anasema we usikubali maisha ikupige go outside hang out with people it helps ata kama hautafanya anything we enda tu ukae na binadamu wenzako
@makaveli1631
@makaveli1631 Ай бұрын
3men Army manzi mmeongelea madeni sana ata previous podcast ilikuwa hivo tu dante akiongea ni kama yy ni wa kutoa helb
@victorombisi2467
@victorombisi2467 Ай бұрын
sasa wacha mimi ningoje Alba Gala Night nipate my type
@WayneWaweru-M7
@WayneWaweru-M7 Ай бұрын
Wagwan wadau😂best podcast of all time.GOATED🎉
@nguti._
@nguti._ Ай бұрын
Tuko on vibaya sana 😂😂
@NimrodRotich-ke3ue
@NimrodRotich-ke3ue Ай бұрын
Group ya mafans iko wpi....mnipee admin
@zjzusher2709
@zjzusher2709 Ай бұрын
Dante done unlocked a new laugh😂🤣
@mercyngotho-z9z
@mercyngotho-z9z Ай бұрын
I love you guys 😅
@atmankaranja254
@atmankaranja254 Ай бұрын
Dante ni connect my guy I bet kila kitu inaingiana ni guitar na brown hair pekee nitapanga kazi😅🎉bigup guys❤
@BridgitKemori-gs8so
@BridgitKemori-gs8so Ай бұрын
Karibu tu karibu karibu tu nichelewe
@collinskipkiruichumba
@collinskipkiruichumba Ай бұрын
Huyo mtoii ni undertaker😅😅💔
@BravilOtieno
@BravilOtieno Ай бұрын
Nimekumbuka doba yenyu ya KDF na MAODI😂😂 6 yrs ago
@TeddyWesonga
@TeddyWesonga Ай бұрын
Trevoh anakuanga mluhya coolkid kiburi tupu mluhya amechanuka
@JohnMwangi-cu2kk
@JohnMwangi-cu2kk Ай бұрын
Hii inkaa kuwaa kalii 😂😂 pigaa likee guys 😂
@MwendaDennis-k7n
@MwendaDennis-k7n Ай бұрын
Hio ye mnasema inaitwa infatuation 😂😂😂,,lakini 300 bana frank bana cheza chini..mia tatuu ni kitu ya kudai mtu😂😂😂😂
@EminentKen08
@EminentKen08 Ай бұрын
Likes za 3menarmy iko prsented hapa,nipitie kisha nikupitie
@cdenisheritage
@cdenisheritage Ай бұрын
Hamjui venye nilikuwa nimengoja hii episode 😂😂
@linetwanjiku-n2n
@linetwanjiku-n2n Ай бұрын
Hauko Solo Mzing🤗🤗
@Billionaireklan
@Billionaireklan Ай бұрын
Wangwan wadau 🔥🔥 place mlifanyia iyo podcast it's the best even sound's like king's ❤ keep on keeping up you niggas do the best 🎉
@ikuajohn-ft5it
@ikuajohn-ft5it Ай бұрын
Hii ni kali manze 😂😂😂😂Lakini muongeze ikue 1:10 mins
@Jeshurun.k
@Jeshurun.k Ай бұрын
Majuu tuko apa ❤❤❤
@shazziey_wambo
@shazziey_wambo Ай бұрын
Spotify basi iko amazing 😭just so you ni kaliii I've listened to it
@JudyWambui-ig9bn
@JudyWambui-ig9bn Ай бұрын
Hatutaki spoiler
@beatriceWambui-b6u
@beatriceWambui-b6u Ай бұрын
Hio base kalala ndyo angeweza 😂😂😂😊
@IreneWaithera-p5d
@IreneWaithera-p5d Ай бұрын
😂😂😂gosh i missed you guys wagwan wadau
@officialseeymon
@officialseeymon Ай бұрын
Kwani Trevor amesema ninii??😂😂😂
@sharonhakala9278
@sharonhakala9278 Ай бұрын
😂😂😂😂huyu kijnaaa anapenda kuaribia Dante sana
@lydiachepkorir8822
@lydiachepkorir8822 Ай бұрын
Favourite trio
@sharonmusitu5876
@sharonmusitu5876 Ай бұрын
Sikuona hio ya beach ifykyk😂😂😂
@Mojez-254-Official-Page
@Mojez-254-Official-Page Ай бұрын
Trevor anakaa msee wa jaukali 😂😂😂
@jakeswanjohi6931
@jakeswanjohi6931 Ай бұрын
Mimi nayo najua nitapata the right type /height Alba Gala Night.
@victorombisi2467
@victorombisi2467 Ай бұрын
kwanza unajua kucheza guitar ?😂😂
@jakeswanjohi6931
@jakeswanjohi6931 Ай бұрын
Ziii...but niko 10.5 feet.
@ALLANKIPTARUS-x1s
@ALLANKIPTARUS-x1s Ай бұрын
anadescribe bien huyo dem
@bilhahnjeri6427
@bilhahnjeri6427 Ай бұрын
Episode was 🔥🔥🔥
@JosephChibole
@JosephChibole Ай бұрын
Najuwa hii nayo utakuwa noma
@SamiGitau
@SamiGitau Ай бұрын
Keep that real energy
@Nlevel4iy
@Nlevel4iy Ай бұрын
Kicheko ya Dante 8:44😂
@sbn200
@sbn200 Ай бұрын
Wacha nicheke before I sleep😅
@kulture_king125
@kulture_king125 Ай бұрын
Jameni it's only 3 hours and we are already at 10k views 🎉🎉THREE MEN ARMY 🔥🔥Lakini banaaa eii nmengangani nikuwe wakwanza kwa comment lakini watu wako on🙌🙌❤️
@MercywanguiKiare
@MercywanguiKiare Ай бұрын
Wagwan wadau...nimeingoja
@greglime-vi3qo
@greglime-vi3qo Ай бұрын
Waguan wadau mafans bado mpoo ⚡
@CindylupWendy
@CindylupWendy Ай бұрын
Tupo🗣🗣
@myles_ahead.
@myles_ahead. Ай бұрын
Wale wa kuokoa sem....mpooooo
@bennyhinnotieno
@bennyhinnotieno Ай бұрын
😂😂😂
@linetwanjiku-n2n
@linetwanjiku-n2n Ай бұрын
Ebu kasome 🤣🤣
@ronaldotieno5389
@ronaldotieno5389 Ай бұрын
The only Boyz band remaining 😂😂
@Kadamshi_Mcute
@Kadamshi_Mcute Ай бұрын
Nimechelewa tu na 60min
@mercychemutai3638
@mercychemutai3638 Ай бұрын
So hatuwezi download
@ngalaomar9039
@ngalaomar9039 Ай бұрын
Mafans bado tupo
@alexabsurd
@alexabsurd Ай бұрын
Me too I can work under the influence
@sammusunza2063
@sammusunza2063 Ай бұрын
Aaaaah HUYO atengenezE MWANAUME WAKE kwanza Kuna mvua ....umbwa yeye😂
@DeltaSelta-y4e
@DeltaSelta-y4e Ай бұрын
Me listening to part ya mshuto nikishutashuta tu apa kitchen nikipoka ..naahuku mimi na monte p one woshap group
@Kerruth
@Kerruth Ай бұрын
😂😂😂😂 mrudi church hiyo Sauti ni ya choir
@JudyWambui-ig9bn
@JudyWambui-ig9bn Ай бұрын
Wagwan wadau.... mafans mpoo?? blakii nikiwa locked early as a 🤔🤔 nmesahau anyway kiwake.....na kanono awabambe😂
@austinethemaster1
@austinethemaster1 Ай бұрын
8.1B people... minding their own business😂😂😂
@stephenekasyoki
@stephenekasyoki Ай бұрын
Trevor una sauti mbayaa😂😂
@Abuthesolodolo
@Abuthesolodolo Ай бұрын
Trevor bana kuja The Cellar nimekuhata😂😂😂
@estheronyoni5863
@estheronyoni5863 Ай бұрын
Alaaaa ni monday😂😂😂c pole bas my loves ❤❤❤
@jeremiahmutai7249
@jeremiahmutai7249 Ай бұрын
WORD OF THE DAY " JAMAA AMEUNGA UKUTA"
@DavidMungai-r1x
@DavidMungai-r1x Ай бұрын
Wagwan wadauuu dante😂😂😂
@CookieLyon-ju3vi
@CookieLyon-ju3vi Ай бұрын
Uyo mtoto ni vampire 🦇😂😂😂😂
@DennisKilatya
@DennisKilatya Ай бұрын
Leo hata nimetulia apa nangoja hawa wakuu😍❤💯
@kevinkiman706
@kevinkiman706 Ай бұрын
Chelsea tupo ❤😂
@RichieSpice-ml7fq
@RichieSpice-ml7fq Ай бұрын
Tupoo
@br_IAN7
@br_IAN7 Ай бұрын
Nataka msupa tushinde naye hii Disemba siendii home mimi
@Nyutu-I
@Nyutu-I Ай бұрын
Trevor anajiona spider man....😅😅😎
@BiiChebetMercy-xm9mc
@BiiChebetMercy-xm9mc Ай бұрын
Wimbo ilikua leo
@PhyllisMwikali-v3v
@PhyllisMwikali-v3v Ай бұрын
Kitambo Trevor hakuwa mnono 😂😂😂😂😂
@dennisndruti2815
@dennisndruti2815 Ай бұрын
Mapenzi n hormones 😂😂😂😂
@margaretgathoni9447
@margaretgathoni9447 Ай бұрын
wale wa ku download kaa audio files tunaskiza baadaye bora we know their voices😅
@king254ke
@king254ke Ай бұрын
kuna mahali dante amesema kuna siku walikula montiii🤣🤣🤣🤣🤣
@LucyNyambura-vz8xo
@LucyNyambura-vz8xo Ай бұрын
Wagwan wadau🎉🎉🎉🎉❤
@ElvisWaweru-kj3rh
@ElvisWaweru-kj3rh Ай бұрын
Dante ni mweupe😂😂😂
@dillandelanto1751
@dillandelanto1751 Ай бұрын
Montie eeh nimekuskia😂😂
The97sPodcast Episode 75- GRiLLeD
59:39
3MenArmy Kenya
Рет қаралды 168 М.
The97sPodcast Episode 46 - PerSoNal StaNDaRds
1:15:08
3MenArmy Kenya
Рет қаралды 169 М.
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
The97sPodcast Episode 73- Tea ParTy
1:00:30
3MenArmy Kenya
Рет қаралды 206 М.
The97sPodcast EP 08 - Do You Talk During Sex ? ( Ft. Prince Kev )
1:16:24
The TrickToker - Young & Stupid 8 Ep 11
23:26
Abel Mutua
Рет қаралды 313 М.
The97sPodcast Episode 61 - MY HeaLER
1:01:39
3MenArmy Kenya
Рет қаралды 178 М.
False Promises - Mkurugenzi Minisode 8 Ep 3
27:12
Abel Mutua
Рет қаралды 249 М.
OBINNA SHOW LIVE: CRAZY NOT CRAZY - 3MEN ARMY
2:13:56
Obinna TV Extra
Рет қаралды 888 М.
The97sPodcast Episode 44 - HR Office!!
1:06:17
3MenArmy Kenya
Рет қаралды 203 М.
The97sPodcast Episode 71- K iS cOnsTanT Ft.Austin Muigai
1:05:15
3MenArmy Kenya
Рет қаралды 259 М.