Thee Pluto & Truth Watchdog Drama Takes New Twist - Are They Beefing??

  Рет қаралды 71,534

Nicholas kioko

Nicholas kioko

Күн бұрын

#nicholaskioko

Пікірлер
@lucywanjira5481
@lucywanjira5481 Жыл бұрын
Watu waachane na thee Pluto, baba Zoey may God protect u from ur enemies 🙏
@agnesjumajombo1774
@agnesjumajombo1774 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@MercyChebet-pe9oi
@MercyChebet-pe9oi Жыл бұрын
Kabsaaa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@galaxyqwer7438
@galaxyqwer7438 Жыл бұрын
Mm ningekwa pluto singekwai kungangana nawatu wanaongea kunihusu
@marymwikali3926
@marymwikali3926 Жыл бұрын
Hawa wamekosa kazi ndio waongelee wezao
@Rakel-d9v
@Rakel-d9v 11 ай бұрын
It's funny how mtu akisema ukweli anaitwa enemies ,hiyo maombi yako haioni anga
@Bodyclean544
@Bodyclean544 Жыл бұрын
Our KZbin DCI ❤❤ TWD we trust you men...tulikulwa pesa manze but alitusaidia
@Cedric72
@Cedric72 Жыл бұрын
I used to hate him nikithani ni wivu but vile alianza kukuja na edivance this guy is born DCI I love what his doing
@sharonkhayosa162
@sharonkhayosa162 Жыл бұрын
Huyu mzee nampenda bure , aliokolea madems wengi sana wa gulf
@EdithmumbuaKioko
@EdithmumbuaKioko Жыл бұрын
True . nilikuwa namchukia lakini nikaanza kumtrust
@Antonysimiyu2
@Antonysimiyu2 Жыл бұрын
truth watchdog forever madnze huyu jamaa amenihelp sana
@polynenkirote6007
@polynenkirote6007 Жыл бұрын
I just love the honesty with this guy ,keep telling them bro
@I_Am_America
@I_Am_America Жыл бұрын
💯💯 Neooma Nkiro😂
@davidolao5292
@davidolao5292 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@polynenkirote6007
@polynenkirote6007 Жыл бұрын
@@I_Am_America yes Wacha wapigwe na ukweli
@reginaphilip2644
@reginaphilip2644 Жыл бұрын
Napenda vile pluto ako busy na life yake ,🎉
@philicemaradi
@philicemaradi Жыл бұрын
Same 2 me,, This guy anakuwanga kimbelembele kujua kula kitu
@marymwikali3926
@marymwikali3926 Жыл бұрын
Sawa
@fionafifii
@fionafifii Жыл бұрын
The growth is amazing for both of you guys., I just saw last year's video interview with this guy na nyi wote mlkuwa mmeslim mbaya sana lakini looking at how you guys look sai😊😊I pray mtaendelea kushoot more of these guys blessings
@MungaiWinfriend
@MungaiWinfriend Жыл бұрын
Inshort so long as your in this universe utaikua in peace people will always trying to conquer your feelings and happiness so its u to b across to God and tell Him to give u courage
@faithkasweetie4661
@faithkasweetie4661 Жыл бұрын
mimi siwezi comment kitu hapo juu ukweli wote Pluto ndio anajua whether he's faking or not nikondeshwe na kabedsitter kangu
@EstherNdungu-h6m
@EstherNdungu-h6m Жыл бұрын
Team Gulf tuko Pluto's team mate ata upanua kindomo aje nauwache kuharibu jina ya ubwa haina wivu Pluto dear we love you and what you have and what you do ❤😘 kisses to Pluto
@Kennitohmweene
@Kennitohmweene Жыл бұрын
Bombo
@larryking254
@larryking254 Жыл бұрын
Mbwa n ww
@lewiskariuki8079
@lewiskariuki8079 Жыл бұрын
Wewe ndiye mbwa kubwa sans
@Edgybhthjklew
@Edgybhthjklew Жыл бұрын
Team gulf hatuna hio ujinga ya kuitana Mbwa tukiepuka ukweli, learn to listen this trueth watch Dog have helped many big up bro🙏
@Kennitohmweene
@Kennitohmweene Жыл бұрын
Mbwa Ni watu wenu
@Evaseve
@Evaseve Жыл бұрын
Mi Naona tu watu wamind their own biz and let others grow in peace.
@agnesjumajombo1774
@agnesjumajombo1774 Жыл бұрын
Walai
@I_Am_America
@I_Am_America Жыл бұрын
We don't want peace my lady.
@SP1-media
@SP1-media Жыл бұрын
We don't need fake motivation or false pressure
@charitynkatha4711
@charitynkatha4711 Жыл бұрын
Napenda interviews zako walai, good job
@TheBarakas
@TheBarakas Жыл бұрын
Wueh,with how things are going,we just let people do what they because trying to keep up is now a headache 😂😂
@annahlivingstone7834
@annahlivingstone7834 Жыл бұрын
Kila mtu ashughulike na maisha yake.. Mwenye anaumwa aende kortini lakini sio kwa media
@loboi1042
@loboi1042 Жыл бұрын
Let people live their lives, so you want the guy not to enjoy his money if he has it???
@STARCREATIONS-wo4df
@STARCREATIONS-wo4df Жыл бұрын
Kenya sisi😂 sote 😂 tuko na kasoro😂 mahali kwa njia tofauti
@JoelNjane-gs3ij
@JoelNjane-gs3ij Жыл бұрын
Keep exposin' em'!!...
@trizahkigoi9331
@trizahkigoi9331 Жыл бұрын
Jealous dog ebu tufanyia house tuor ya kwako tuone your kipanda.... Either the house is for pluto or rental he is living the best life 50 times than you work hard ufike hapo uwache kuwashwa na na maisha ya those who are winning
@DorrisKathini
@DorrisKathini Жыл бұрын
Kioko umetoa uyu mama mwezangu wap?mwambie watu wataendelea akikataa ju mungu ndie anapeana riziki❤
@alekshaker7187
@alekshaker7187 Жыл бұрын
truthwatchdog is always right ,,i always trust him coz anachunguza mambo before aseme.
@agnesjumajombo1774
@agnesjumajombo1774 Жыл бұрын
Unatrust aje mtu mbona yeye asijijenge kama wenzake watoto wadogo wanamshinda hata kama ni scum na wanaisha better life
@benmotum621
@benmotum621 Жыл бұрын
​@@agnesjumajombo1774hey mum why are you protecting this guys so much,let them be exposed,si hao wenyewe wanajiparade social media
@sophiajuma6798
@sophiajuma6798 Жыл бұрын
​@@agnesjumajombo1774Pia mimi namwamini juu amefunguwa watu macho na mambo ya kujenga ni mipango ya Mungu juu uko na KZbin heti unadanganya watu na na vitu za scummmmmm
@josephineaumamuhola1798
@josephineaumamuhola1798 Жыл бұрын
​@@agnesjumajombo1774😂😂😂
@Max254officialtv
@Max254officialtv Жыл бұрын
Volume ❤😂😂 ata mimi namshinda kwa umbali na aliniongelea ety nakula pesa ya wasichana wa gulf as if hao wasichana wa gulf hawajielewi😂😂😂
@abbeypretty2196
@abbeypretty2196 Жыл бұрын
Pluto and TWD I love you both. Please solve your differences 🙏🙏🙏🙏🙏❤️
@wamboiwamboh
@wamboiwamboh Жыл бұрын
Here no difference to be solved watchdog ajitume awache kuongea shit
@ruthwaitherasshhb9382
@ruthwaitherasshhb9382 Жыл бұрын
OUR OWN DCI #Truthwatchdog ❤❤
@wamboiwamboh
@wamboiwamboh Жыл бұрын
Shida yacwatchdog hukua nini😂😂😂mara aite watu wezi mara aingilie Pluto mara cjui nn watchdog mind your business tafuta kazi ufanye stop missleading others stop blocking baraka za watu,,,,you should be doing something sensitive ,,,,,,nkuremind WACHANA WATU WA BEYOND SERVIVAL COMPAIGN na FOREX tafuta kazi ufanye😢😢
@dorcusmutemi9902
@dorcusmutemi9902 Жыл бұрын
Either rental or his house, he's living his best life, wachana na pluto kabisa
@nellyambogo4055
@nellyambogo4055 Жыл бұрын
Kwani unataka thee pluto 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@STARCREATIONS-wo4df
@STARCREATIONS-wo4df Жыл бұрын
Na naona wewe pekee ndo unainsist this,, kwa kila platform😂,,, easy lady,,, maisha hupangwa na Mungu
@STARCREATIONS-wo4df
@STARCREATIONS-wo4df Жыл бұрын
​@@nellyambogo4055bhana😂 hebu muulize tena kwa sauti sasa😂
@lucywanjira5481
@lucywanjira5481 Жыл бұрын
Waachane na yy kabisaa we love Pluto and he's sorrounded by the blood of Jesus
@dorcusmutemi9902
@dorcusmutemi9902 Жыл бұрын
@@STARCREATIONS-wo4df hiyo yake pia imepangwa na Mungu, omba yako iwe salama na mwachane na Mambo ya watu
@sharonwangui7786
@sharonwangui7786 Жыл бұрын
Pluto forever wanaume nowadays hukua na wivu kama mabinti aibu!!! Na vile nikizee karibu akue agemate ya. Baba Pluto 🚮
@lizz6555
@lizz6555 Жыл бұрын
❤❤❤my trust for truthwatchdog is 💯 %
@STARCREATIONS-wo4df
@STARCREATIONS-wo4df Жыл бұрын
❤❤❤
@Bodyclean544
@Bodyclean544 Жыл бұрын
TWD yeah ako Sawa kbsa 100%
@Koechbaranga
@Koechbaranga Жыл бұрын
I support you but Pluto never said I have bought any house alisema moving to new house
@DgccjPyijgf
@DgccjPyijgf Жыл бұрын
I will still type Pluto ni scammer na groups zake za trading alinicorn 90k I have evidence hata mpesa messages,God will punish you Pluto
@lizz6555
@lizz6555 Жыл бұрын
@@DgccjPyijgf 🤔🤔🤔🤔🤔ngai...am really sorry 🙏
@emmainyele2700
@emmainyele2700 Жыл бұрын
Wapi likes ya Baba twins
@isaacchumba
@isaacchumba Жыл бұрын
Ju amedo nini
@janetmwende7988
@janetmwende7988 Жыл бұрын
I like this guy but I just don't get why he choses not to monetize his channel. It is an opportunity to make money while sensitizing people, Like how does he benefit from not monetizing it?! Why sleep on the opportunity.
@linu0720
@linu0720 Жыл бұрын
Acha Kila mtu ajienjoy bro maisha ya watu achana nayo. Tafuta content ingine ya kueka kwa KZbin Kioko huyo jamaa anakiharibia channel Yako
@Kennedy122j
@Kennedy122j Жыл бұрын
We are supporting rich people but they don't give out to poor ,muendele na beef yenu
@RyanandGian
@RyanandGian Жыл бұрын
I trust this man
@films254
@films254 Жыл бұрын
This guy looks honest.
@wamboiwamboh
@wamboiwamboh Жыл бұрын
Honest wapi😢😢anaharibia watubjina
@francisnjeru9547
@francisnjeru9547 Жыл бұрын
How honest?
@loyciousmapenzi
@loyciousmapenzi Жыл бұрын
Pili pili uso ila inakuashia nn hii social media itaniua na presha
@allenmwiwawi1970
@allenmwiwawi1970 Жыл бұрын
Now I understand why TWD hasn't exposed Thee Pluto "loyalty test" paid scripts.
@mwaukyalobrian6322
@mwaukyalobrian6322 Жыл бұрын
but si ni Kipindi for enjoyment? ata Movies hukuwa scripted and we watch
@sitythadj
@sitythadj Жыл бұрын
🤣
@SabrinaAyaan
@SabrinaAyaan Жыл бұрын
@@mwaukyalobrian6322 but Kwa movie you know it is not real, the problem with this ones is deceiving people which is wrong.
@carenkyumwa3454
@carenkyumwa3454 Жыл бұрын
If the the house is he's or NOT issue ni????? Uyu mwanaume dog akona mdomo sana shida yko n nini... Kioko be careful with who ur interviewing Issue of scamming if ur not scammed shida yko iko where kasikilie vibaya n ukooooo
@Whiteboyke
@Whiteboyke Жыл бұрын
ata uambie watu wanaishi fake life... maisha ya watu inakusaidia aje... ndo maana ata hiyo KDF ulifutwa juu wee ni snitch... mbwa mtazamaji nonsense
@LionessDadsDotaMoura3188
@LionessDadsDotaMoura3188 Жыл бұрын
Mambo ya #SocialMedia ni #Nooma, inavunja wa2 Roho😢😢😢😢
@dorcusmutemi9902
@dorcusmutemi9902 Жыл бұрын
Mbwa mtamazaji, plz learn to clap for others success, even if they're scammers, don't attack them, everything kenya is a scam, lakini uwache wivu, the people you're competing with are 20 million times ahead of you
@owenomwanawayesu6961
@owenomwanawayesu6961 Жыл бұрын
Money isn’t everything…20 million times a head with rubbish and depression?
@bebzwakio4713
@bebzwakio4713 Жыл бұрын
Wivu inamusumbua
@agnesjumajombo1774
@agnesjumajombo1774 Жыл бұрын
Ako na wivu ndio maana hasongi
@dennisrutto7899
@dennisrutto7899 Жыл бұрын
Who hurt you?
@SabrinaAyaan
@SabrinaAyaan Жыл бұрын
You cannot clap for scammers. Do you know the meaning of scammer? It is another name for a thief. So you want him to clap for thieves?
@rachaelw580
@rachaelw580 Жыл бұрын
But kusema kweli pluto hakusema nyumba ni yake ama sio yake but alisema ameipea zoey wake as a birthday gift sasa sijui bona unamwanika na pluto huishi kuhama hama
@MercyChebet-pe9oi
@MercyChebet-pe9oi Жыл бұрын
Wachana na pluto umbwa hii jiangalie kwanza kama umelemewa ma maisha nenda ukasikie vibaya na uko shenzi nkt
@Annmurigi-ph6ll
@Annmurigi-ph6ll Жыл бұрын
Rudia bila kulia 😂😂
@lydiaodero-8878
@lydiaodero-8878 Жыл бұрын
I just hate this man ,awachane tu na maisha ya wenzake,atafute content yake. Leave alone Pluto family
@joycewanjiku1533
@joycewanjiku1533 Жыл бұрын
Take your feelings to your grandparents ....😂😂😂😂
@lydiaodero-8878
@lydiaodero-8878 Жыл бұрын
@@joycewanjiku1533 idiota 🤣.
@STARCREATIONS-wo4df
@STARCREATIONS-wo4df Жыл бұрын
Lia kwa sauti tuskie😂
@lydiaodero-8878
@lydiaodero-8878 Жыл бұрын
@@STARCREATIONS-wo4df 🤣🤣
@agnesjumajombo1774
@agnesjumajombo1774 Жыл бұрын
Me too
@pamelamudogo5551
@pamelamudogo5551 Жыл бұрын
The moment I saw this dog on Dan wemas tiktok nikajua kumbe ni kamati roho chafu mara kwa director j mara kwa moha mara mozororachi😅😅
@Shan80804
@Shan80804 Жыл бұрын
But for Dan Wema it's was a bare truth. He implicated himself with his own skit video
@pamelamudogo5551
@pamelamudogo5551 Жыл бұрын
@@Shan80804 osu
@charitykendi9213
@charitykendi9213 Жыл бұрын
Hii n sign ya roho chafu,wivu,
@pamelamudogo5551
@pamelamudogo5551 Жыл бұрын
@@charitykendi9213 imagine
@JescahMutwiri
@JescahMutwiri Жыл бұрын
Talking to him as who??? Jealousy kills oooh,,, wachana na thee Pluto he is living his best life look for your own life
@mauriceoware7033
@mauriceoware7033 Жыл бұрын
C mngeenda kwa hao ya huyu jama mbona mvua iwapige 😂😂😂😂kwani hanakeja
@celestineete6425
@celestineete6425 Жыл бұрын
Watchdog husema ukweli, so akiwambia mnaona vibaya, people are used to cone other na online business, Forex scam
@duncankamasi9668
@duncankamasi9668 Жыл бұрын
Anafunza poa
@Edgybhthjklew
@Edgybhthjklew Жыл бұрын
Huoni vile wanamtusi ati ana wivu wengine tumesaindika sana kutoka na videos zake
@sophiajuma6798
@sophiajuma6798 Жыл бұрын
​@@Edgybhthjklewtrue ameseidia wengi sana mpka sahii watu wameanza kuchangisha kwa what's app group 😂😂
@ebyanmohamed198
@ebyanmohamed198 Жыл бұрын
Am a fan of thee Pluto forever ❤
@Wanairobi
@Wanairobi Жыл бұрын
Pluto is an inspirational young Kenyan. Ninampeda sana kwa jitihada zake.
@emanueloloo2758
@emanueloloo2758 Жыл бұрын
Kioko I have already seen you are also not honest about anything concerning truth, mbona unamzuia Truth watchdog akisema ukweli. Be honest bro, better be told the truth
@okutebettina2509
@okutebettina2509 Жыл бұрын
This watchdog person anakaa mwaume wa mshenee sana give us your content don't tell us about other people
@alicekomu3852
@alicekomu3852 Жыл бұрын
Whatever the case as long as sio ww unamlipia bona unawashwa
@philicemaradi
@philicemaradi Жыл бұрын
Uyu jamaa na vile anajifanya kujua maisha ya kila mtu ,,, Let pple learn to mind there own business
@DennisNdege-mo5yk
@DennisNdege-mo5yk Жыл бұрын
jezi kali mtu wangu, unang'ara kuliko wengine
@azol7
@azol7 Жыл бұрын
Truth watchdog ameamua kusema "Unaget alot of tax" instead of attacks(8:56)😂😂😂
@rrich_price
@rrich_price Жыл бұрын
mnapigiana hiyo saa yote wanaume mkisema nini sasa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@laikafrost9203
@laikafrost9203 Жыл бұрын
siku ntaskia mtu ameongelea kioko ndio ntaongea for now it's a bye bye 😂😂😂
@emmanuelkipngetich8453
@emmanuelkipngetich8453 Жыл бұрын
Shughulika na maisha yako
@fidelkips9498
@fidelkips9498 Жыл бұрын
Wacha maisha ya watu
@FrianMuia-i6g
@FrianMuia-i6g Жыл бұрын
Pluto all through either akue huwa anascript ama ni real I don't care,ata kama mansion ni yake ama si yake i think haiusu anyone,,,go go go thee pluto you are giving some gukas sleepless nights,may God uplift you ❤
@Sherrif-o3y
@Sherrif-o3y Жыл бұрын
Guys huyu msee ata haja monetize channel yake if you watch no adds he is enlightening you people from scammers
@eunicechege6839
@eunicechege6839 Жыл бұрын
Bro shughulika na maisha yako Wacha wivu mtu aishi maisha yake kubaff
@maninblack-to5uz
@maninblack-to5uz Жыл бұрын
I've been against this guy but I now gat him 😂
@mercychemaiyo
@mercychemaiyo Жыл бұрын
Wee l love this man anasemanga ukweli ,wakati my Auntie alibuy cooked oil aty promotion kufika hao kuona ni maji ,2days nikaona umeongea.about it
@anneooo-k6r
@anneooo-k6r Жыл бұрын
Pluto all the way we ❤ you wivu ya nn jamani
@GeorgesWilliam-u7e
@GeorgesWilliam-u7e 5 ай бұрын
This man is a content creator, i like real things
@Bettyjebet-hd3zq
@Bettyjebet-hd3zq Жыл бұрын
Plutoo ❤ we love you achana na huyu jizi
@Nairobi396
@Nairobi396 Жыл бұрын
Unaonyeshwa documents as who ??????kama nani ?????????
@RobertBony
@RobertBony 8 ай бұрын
I wonder,,sasa uyu anajiita watchdog anaumika aje na Mali sio yake,,kama mtu akuombi food chaganya bariga bro,,
@LilanKerubo
@LilanKerubo Жыл бұрын
Mm niko na swali kwa uyu watchdog anatembelea maisha ya watu s at least apate mtu amtengenezee studio atoe kitambaa ya maasai kazi n maisha ya watu tu na alikua anaomba msaada wa nn😂😂😂😂
@mildredndinda2160
@mildredndinda2160 Жыл бұрын
Ni nini inakuanga shida ya huyu mwanaume?? Wee nanii si uwachane na maisha ya watu bana
@mathewkipbet
@mathewkipbet Жыл бұрын
Huyu tu ni GOAT
@Boychild6339
@Boychild6339 Жыл бұрын
Me cjawaiona pluto akisema nyumba ni yake,,,then how can our industry have a male mumama,,,cjaona dem akona kelele kaa wewe msee😂,,,na bona unatuproovia how pluto is your friend ama karibu umwange unga😂😂
@agnesjumajombo1774
@agnesjumajombo1774 Жыл бұрын
Kunywa soda kwa bill yangu
@benmotum621
@benmotum621 Жыл бұрын
​@@agnesjumajombo1774Yani uko Kwa kila comment, now rest
@The_Detective254
@The_Detective254 Жыл бұрын
Mtu anipee number ya truth watchdog
@shiphrawanjiku7333
@shiphrawanjiku7333 Жыл бұрын
Pia mm Nataka number yake
@AlfieBaddman
@AlfieBaddman Жыл бұрын
Team Kioko nifikishieni hata 500 subs 🥀
@zurielalpha5547
@zurielalpha5547 Жыл бұрын
Wivu na umaskini inamsumbua
@abedmutuku9479
@abedmutuku9479 Жыл бұрын
Thee watchdog 💪🏻
@agnesgatwiri954
@agnesgatwiri954 Жыл бұрын
Ikuwe nyumba yake ama siyo yake the fact remains that analala kwa mansion n drives a v8... Huyu mwenye anaongea story za pluto anaendanga na boda akilia macho... Wivu na umaskini ni mbaya sana
@fatumakidoa4006
@fatumakidoa4006 Жыл бұрын
Akilia macho kama anapuliza moto wa Kuni mbichi😂😂
@estherwanjiku5424
@estherwanjiku5424 Жыл бұрын
Aaaiiiia wanaume kumbe pia wanakuwanga na huu ujinga
@rachaelw580
@rachaelw580 Жыл бұрын
Haha watchdog tulizoea kitambo hizo new houses every month noma
@rachaelw580
@rachaelw580 Жыл бұрын
Bona uaaidiwe na mtu then unasahau quickly unaanza kumwanika
@GGman751
@GGman751 Жыл бұрын
Pluto ,ame make it
@CarolCarol-d6j
@CarolCarol-d6j Жыл бұрын
But for real he should mind his own business awachane na maisha ya watu fake or real hata yeye afake
@josphinenyatero7948
@josphinenyatero7948 Жыл бұрын
Thee pluto you have loyal fans no matter what 📌📌📌📌📌📌
@RyanandGian
@RyanandGian Жыл бұрын
Kioko Concentrate I like the way truth watch dog was not inturupted
@dennisobwoto9515
@dennisobwoto9515 Жыл бұрын
Kioko udaku haitaki kitambi😂
@BrianPiethorn-yn1ge
@BrianPiethorn-yn1ge Жыл бұрын
We love truth but bring the real person face to face in your platform how will us know if it's crout am real life wewe truth hottest dog in town acha watu watengeneze doh na anything in life wakuscumiwa ole wake then enda Kwa gov't utafute ukweli uko wachana na mavijana
@agnesjumajombo1774
@agnesjumajombo1774 Жыл бұрын
Hajawai host mtu ni vitina tu
@morrismurimi3275
@morrismurimi3275 Жыл бұрын
Ile umaskini mko nayo😂😂😂 hamuezi elewa what he is doing...the day mtaconniwa mtajua. Truth watch dog si nyanya yenu😂😂😂 En i pray God to fulfill this...i support no one
@estherwanjiru932
@estherwanjiru932 Жыл бұрын
Umbwaa hii wachana na pluto kapsaaa...enda ukavae kamisi wee mumamaa
@bennjenga9763
@bennjenga9763 Жыл бұрын
Mm ujifanyia ya bahati nitatii.
@hilaryarande-gs8ht
@hilaryarande-gs8ht Жыл бұрын
Sasa vile uyo watchdog alisema aliwachana na bibi yake ,Sasa wanaume waanze kuenda kutafuta bibi yake kuuliza iyo ni umama, tafuta content wachana na maisha ya watu
@wycliffmarando6258
@wycliffmarando6258 Жыл бұрын
The guy is very honest, i love it .
@agnesjumajombo1774
@agnesjumajombo1774 Жыл бұрын
Huyu jamaa progress ya watu inamkosesha usingizi work hard buda utajirike pia wewe
@kuria_for_life1
@kuria_for_life1 Жыл бұрын
Uliamua akili hutatumia mumams huyu😂😂😂 peleka kuma na uko
@texasviper2042
@texasviper2042 Жыл бұрын
nyi wote ni maumbwa apa, mnacomment why
@moureenkagema7981
@moureenkagema7981 Жыл бұрын
Sasa n nn wanauliza Pluto😢
@Ginimbi_Munyao
@Ginimbi_Munyao Жыл бұрын
Huyu jamaa anakuwanga na umama sana, kuchunguza maisha ya watu.
@lucymumo6426
@lucymumo6426 Жыл бұрын
Hata kuchunguza sio issue,shida yake NI KUDANGANYA about people,he gives proofs that are twisted to sound like ukweli but it's not the truth
@lucywanjira5481
@lucywanjira5481 Жыл бұрын
N upuzi Ako nayo
@Bodyclean544
@Bodyclean544 Жыл бұрын
​@@lucymumo6426Wacha ujinga the guy anasema vitu za ukwel
@dfreednium
@dfreednium Жыл бұрын
Kabisaa unafuatilia maisha ya wanaume wezake
@I_Am_America
@I_Am_America Жыл бұрын
Unataka afanye...? GrandGinimbi😂😂😂😂😂
@kadkadzo7543
@kadkadzo7543 Жыл бұрын
Huyu jamaa akiongea kitu msimdharau,ju anajua anachokisema mwamtusi baadaye ukweli ukijitokeza ....
@charitykendi9213
@charitykendi9213 Жыл бұрын
Basi aandikwe kwa serikali ya Ruto,apate CHEO kuu huko
@kuria_for_life1
@kuria_for_life1 Жыл бұрын
​@@charitykendi9213peleka Kuma iko na ukimwi uko umbwa hii
@RKBro-jr1ts
@RKBro-jr1ts Жыл бұрын
Truth unakula chuma sanaa
@mercykinjabe5572
@mercykinjabe5572 Жыл бұрын
Huyo ni mama ama nani ako na mushene sana
@JoanMukirai
@JoanMukirai Жыл бұрын
I feel like the guy ako na kaukweli walai ....
@denmac9321
@denmac9321 Жыл бұрын
Huyu anaingilia wasee clean n mascammer wamejaa huku nje😅
@ruthnjeri1291
@ruthnjeri1291 Жыл бұрын
Pluto ni mkulima nyandarwa na ni Business man..... Tena a rent ama asi rent hiyo ni life yake wee shida hapo pthooo
@carolinemusiayo2116
@carolinemusiayo2116 Жыл бұрын
Yani mm nashangaa na watu gaiii😂😂😂 weather mtu anaishi kwa rentals ama sio rentals yafaa atoe documents approve kwa watu eti this and this is mine is not mine😏😏😏mtu hawezi kula jasho lake kwa amani ama n scummer🙄 nyumba ikue yake isikue yake Pluto hajaibia mtu hajawai iitisha mchango KZbin hajawai pin number ya m-pesa TikTok 😂😂😂
@stecylilykeyx
@stecylilykeyx Жыл бұрын
Watu wanakufa uku njee ju y wivu, mali enye mtu amesaka solo, surely. God anabless 20s tunashukuru but wakubwa wetu wanaumwa iwe scam washwash ni yko but wakenya ndio hatutawai endelea nkt!!!
@carolinemusiayo2116
@carolinemusiayo2116 Жыл бұрын
@@stecylilykeyx 😂😂 imgne akuna mahali Pluto aliandika eti amebuy nyumba what he did is house tour mybe ame upgrade ameamua kuhamia kwa nyumba kubwa kulingana na mapato yake ama sababu zake Sasa ona wengine surely 😳😳 eti alete proof kwn ameibia nan weather yake ama sio yake he deserves it because he's a hardwork person,,,Kenyans mchtwee 😂😂
@stecylilykeyx
@stecylilykeyx Жыл бұрын
@@carolinemusiayo2116 exactly mi ata my dad shamba yke sijui title iko wapy mbn y mtu hatuko related inisumbue.. Watu n wivu ju mtu anaimgne iwish iwas there in my age nkt
@carolinemusiayo2116
@carolinemusiayo2116 Жыл бұрын
@@stecylilykeyx 💯
@agnesjumajombo1774
@agnesjumajombo1774 Жыл бұрын
Halafu akitoa documents huyu tu ndio atasema ni show off ama ni documents fake huyu jamaa hananga msimamo
The Truth Watchdog keeping the interwebs honest | #theTrend
28:44
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
Mapenzi ni kipofu aki 😂💔 I wanna be this guy 😂😂💔💔
26:37
AMEFUFUKA - DISCO MATANGA ( SEASON 2) EPISODE 1
22:47
Awinja Nyamwalo - Jacky Vike
Рет қаралды 762 М.
KRG TRASHED BY RICH KENYAN TYCOON - Who Is This Man Moses Mwenda
28:47
DRAMA! TRUTHWATCHDOG EXPOSES PASTA SHOW G0ONS FOR TRYING TO K!LL HIM
31:58
TRUTH WATCHDOG EXPOSES DJ FATXO'S VIRAL SCANDAL - CHANNEL REPORTED
27:36
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН