Another beautiful peng goes home barefoot after being caught cheating.

  Рет қаралды 121,516

Thee Pluto Show

Thee Pluto Show

Күн бұрын

Пікірлер: 296
@lucysintila5633
@lucysintila5633 6 ай бұрын
Wa kwanza leo likes zikam😅
@User_mcstabbah
@User_mcstabbah 6 ай бұрын
Pitia nipitie pia
@Millpuff_show
@Millpuff_show 6 ай бұрын
@@User_mcstabbah pia mimi plz
@beller960
@beller960 6 ай бұрын
Just me,,, relaxing enjoying the show then boom,,,, "bytha usiwahi nishuku na Ferix sambu ferix ni beshte yangu "jamani 😂😂
@PurityMaina-qs5cg
@PurityMaina-qs5cg 6 ай бұрын
I was suggesting Pluto ukuwe unaanza n simu ya boy child bcoz ya dem ikiangaliwa if she cheating boyz hukataa kufungua Fon yao which is not fair
@Millpuff_show
@Millpuff_show 6 ай бұрын
nipitie plz
@wamboiwamboh
@wamboiwamboh 6 ай бұрын
waschana mjitume huku njee mutategemea wanaume hadi lini kitawarambaaa hadi mshike adabu😂😂😂
@terrykariuki8421
@terrykariuki8421 6 ай бұрын
Team strong,ndio kudonjo wakuu😂😂😂😂boi chaod amechukua kila kitu amebuy😂😂😂
@sadikatukarim8818
@sadikatukarim8818 2 ай бұрын
Bana😂😂😂
@Shallon-hi5
@Shallon-hi5 6 ай бұрын
Lakini leo Pluto ameboeka somehow....ata sijaskia ile kicheko sana💔😂
@oscarMunene-dh5hx
@oscarMunene-dh5hx 6 ай бұрын
Huyu jamaa anakaa yule wa dance or swim tiktok😂😂😂
@margaretnjuguna8160
@margaretnjuguna8160 6 ай бұрын
Mgn it's him....anakuaga Chuka shule buh I think embu ndo kwao😅
@swann254
@swann254 6 ай бұрын
Yeah😂Ile squad ya akina kennar
@LucyWangari-rs3kx
@LucyWangari-rs3kx 6 ай бұрын
Anakaa yeye
@ruthjepkemoi1628
@ruthjepkemoi1628 6 ай бұрын
Yeah is it scripted😢😅😅😅
@joymajau9197
@joymajau9197 6 ай бұрын
I thought ni Mimi nimeona hivo 😂😂
@_pookie874
@_pookie874 6 ай бұрын
The introduction ""neckrace neckrace 😅. *Though" in every statement the lady says
@annnjoroge2095
@annnjoroge2095 6 ай бұрын
ATI pole though 😂
@_pookie874
@_pookie874 4 ай бұрын
@@annnjoroge2095 i wonder """though,""😂😂😂
@evalinekeseko212
@evalinekeseko212 6 ай бұрын
leo mm ndo wa kwanzaa leo🎉🎉🎉❤❤
@TERESAOMBACHI
@TERESAOMBACHI 6 ай бұрын
Wao
@MagyNganga
@MagyNganga 5 ай бұрын
Huyu dame ako sawa sana 😂😂anateeta alafu anarudi chini kuomba msamaha
@klauskipz
@klauskipz 6 ай бұрын
Hawa watu hawajai cheat, hawajui kucheat ni nini. So eneza ambia nini watu wanacheat huko nje?😂😂😂😂 12 seconds later😢😢😂😂😂
@pialoveuganda256
@pialoveuganda256 6 ай бұрын
Thanks for this show I enjoy it and it's like my Swahili class can't believe the improvement I have ever since I started watching this show 🤎from Kampala Uganda
@dirryanart24
@dirryanart24 6 ай бұрын
We are in same bus 😂 From Malawi 🇲🇼
@pialoveuganda256
@pialoveuganda256 6 ай бұрын
@@dirryanart24 🥂
@FrashiaKamau-dr8dc
@FrashiaKamau-dr8dc 6 ай бұрын
Mimi hushangaa sana mbona upeane simu na unacheat😂😂😂
@sadikatukarim8818
@sadikatukarim8818 2 ай бұрын
Nauliza ka ww tuh😂😂😂😅😅
@KennedyOkingo-o9l
@KennedyOkingo-o9l Ай бұрын
Wadhani pluto hawezi fika archives
@jacquelinekayo4801
@jacquelinekayo4801 6 ай бұрын
The way I have suffered without this show 😂😂😂😂nacheka free
@Katelkish
@Katelkish 6 ай бұрын
"na uache Kuni viorent viorent apa"😂😂😂
@fedelis4950
@fedelis4950 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@sheilahmagembe
@sheilahmagembe 6 ай бұрын
Ndio nmeanza show,but I can't wait for that part
@GoEunbeol_049
@GoEunbeol_049 6 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@DISMASODHIAMBO-p9e
@DISMASODHIAMBO-p9e 2 ай бұрын
hahahaha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@bazzymamvin
@bazzymamvin 5 ай бұрын
Pluto let me meet u usanitize yangu Na my boo❤ 😂😂😂🎉
@ChristineTatu-ud2gt
@ChristineTatu-ud2gt 6 ай бұрын
😂Vile pluto ametulia wakijibizana😂😂😂🙌
@officialkoros
@officialkoros 6 ай бұрын
Thee Pluto huyu dem ako sawa😂😂anakaa joker
@evansmuthama9703
@evansmuthama9703 5 ай бұрын
The girl though na the Neckrace ni vibe 😂😂nirikua nipickiwe saa mbiri, na beb usinitusi
@joy-rv8do
@joy-rv8do 6 ай бұрын
❗❗❗❗mbna e guy akatae simu yake iangaliwe😂😂😂😂⁉⁉ juu pia yye ana cheat.
@AgriPinah-rs8st
@AgriPinah-rs8st 6 ай бұрын
While you were away I almost fall in love lakini juu umerudi mapenzi riswaaaaa😂😂😂😂😂
@NevinBett
@NevinBett 6 ай бұрын
😂😂😂 eeeeeeei
@marywanjiru9944
@marywanjiru9944 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@Odenyoeveline
@Odenyoeveline 6 ай бұрын
Hii the plulo shw unifunza mengi ..😂😂😂kujinunulia kitu yako nimuzuri sana
@samcharo
@samcharo 6 ай бұрын
I have never laughed 🤣😁😁😂😂😬 "Hadi cover ya simu" 😂😂😂😂😂😂 huyu dame eeeish😁😬😂🤣
@AnthonyKyalo-fp6le
@AnthonyKyalo-fp6le 3 ай бұрын
🤣🤣nishai itwa cuzo
@ShikuCecily-cg1jz
@ShikuCecily-cg1jz 6 ай бұрын
😂😂😂 warudiane tu 😂 anyway uyo boy is very dangerous mzigo anaekelea dame
@thechristian5425
@thechristian5425 6 ай бұрын
kucheat si poa,people should be loyal to their partners,na wewe unacheat,hapana mimi sicheat
@anitastellah2894
@anitastellah2894 6 ай бұрын
Have never understood something, kwa nini dame akicheat boy anakuwa viorent sana,lakini boy akicheat yeye anataka uwelewe ni friends tu😂😂😂😂😂😂😂😂aiii sio poa,nyinyi wote ni cheaters lol,mmpendane tu jameni 😅
@lifeofcarlmuniafu4508
@lifeofcarlmuniafu4508 5 ай бұрын
😂😂😂 The guy; hii kuchwa yako haifikiriii Chic; natumia uji 💀 💔 😂😂😂
@Gracekarimimwonja
@Gracekarimimwonja 6 ай бұрын
Wah girls chapeni Joɓ after sanitisation msije mkavuliwa nguo kwa Street halooo😂😂😂😂
@User_mcstabbah
@User_mcstabbah 6 ай бұрын
Pitia nipitie pia
@Bebii2
@Bebii2 6 ай бұрын
Nipitieni pia
@Millpuff_show
@Millpuff_show 6 ай бұрын
nipitie plz
@sadikatukarim8818
@sadikatukarim8818 2 ай бұрын
Bana😂😂😂
@_greta13
@_greta13 6 ай бұрын
Pluto acha ushamba😂 hujui digital wellbeing aje😂😂
@JoxhDehtei
@JoxhDehtei 6 ай бұрын
Mh najua wangu n player ....cez ogeza marefaree ju mtampa redcard💔💔💔😂😂😂😂
@huyumimi4834
@huyumimi4834 6 ай бұрын
bado dem ako na funguo za boyz, hawa hawaachani😂😂
@Gracious-
@Gracious- 6 ай бұрын
hawa wanapendana😂😂😂
@raviubhi9537
@raviubhi9537 6 ай бұрын
zi pluto ulikua ume nyamaza, hizi ni bangers!!!!!
@ShanBaby-dy4db
@ShanBaby-dy4db 6 ай бұрын
From Kenya ebu mtu akiss. My comment 😂😂😂😂😂😂😊
@Millpuff_show
@Millpuff_show 6 ай бұрын
nipitie plz
@Millpuff_show
@Millpuff_show 6 ай бұрын
nipitie plz
@Funnycliips-g8z
@Funnycliips-g8z 6 ай бұрын
😊
@deniskagondu8792
@deniskagondu8792 6 ай бұрын
Hawa kuachana is a nooo hawa wanafika kwa nyumba wapige mechi moja safi hiyo story iishe 😂😂😂😂😂
@AumaCandy-re1lq
@AumaCandy-re1lq 2 ай бұрын
Kbsaaaa 😂😂hdy wasahau kulikua na issue 😅
@Shifa-os7st
@Shifa-os7st 6 ай бұрын
Pole though🤣🤣🤣 few minutes later cheki hizi roooksss😂😂😂
@hamanmuraya3496
@hamanmuraya3496 22 күн бұрын
Badala muitishane iphones 😂 necklace bonoko na kiatu ya 150 😂 kwani mnadate akina nani huku nnje 😂😊
@ShamilaNekesa-k3j
@ShamilaNekesa-k3j 6 ай бұрын
Uyo boy ako na ujinga hdy anachukua necklace na cover ya simu
@ogumajane
@ogumajane 6 ай бұрын
Pwahahaha up to my ribs...mapenzi shikamoo😂😂😂
@Ka_Dee_39
@Ka_Dee_39 4 ай бұрын
I was dating this kale/kisii dude alikua tukigombana nipee vitu zangu zote😂😂😂mpk kwa graduation ya mtoi wangu alikam aty nimpee jacket mtoi alikua amevaa🤣kumcheki nkakumbuka everything amevaa ni mm nlinunua including boxer😅😅guess wat happened
@__princesskerubo
@__princesskerubo 6 ай бұрын
Hii ndo inaitwa unacheat nacheat tunarudiana😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
@worksmart1023
@worksmart1023 6 ай бұрын
My sisters msizoee presents sana learn kujitafutia
@IssaSaman-q5e
@IssaSaman-q5e 4 ай бұрын
Enyewe ni poa vile mume dai arudishiwe viatu hainge kua poa dem arudi home mguu tupu hiyo ime ni nice
@CN_Stepper
@CN_Stepper 6 ай бұрын
Men tafuta pesa😂😂😂 as much as dem anakuambia another man does better than u jitoe😂😂😂 kwanza dem anajua huyu chali atarudi tuu alishamsoma akili
@AnnieKim-ke9oh
@AnnieKim-ke9oh 6 ай бұрын
Uzuri wanautana beb😂😂
@carolynewanjoy5397
@carolynewanjoy5397 6 ай бұрын
Kumbe hizi streets zilikuwa chafu hivi😂😂😂😂😂
@BrendahSalim
@BrendahSalim 6 ай бұрын
Aki huyu beibgal nimempenda,,yani anapanda , anashuka😂😂😂
@BeatriceDismas
@BeatriceDismas Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Theroyalprince342
@Theroyalprince342 6 ай бұрын
Hakuna mwanaume beste ya dem there is always something hidden my brother run
@alexnzau8166
@alexnzau8166 6 ай бұрын
lakini bona babe unifanyie ivo surely made my day
@joycewanjiru2546
@joycewanjiru2546 6 ай бұрын
Muniite niwe nikiwabebea viatu😂😂😂😂😂😂wakitoana viatu nawauzia😂😂😂😂😂😂😂
@Ronkiroo
@Ronkiroo 3 ай бұрын
people should be loyal to their partner amepatikana akicheat akarudi kwa nest bila kiatu
@mumbi_006
@mumbi_006 2 ай бұрын
😂😂😂😂 niuwee
@frashiawanjiru3409
@frashiawanjiru3409 2 ай бұрын
Enyewe she deserves Charles hope hes a gentleman sio hii nyangumi ya kuchukua viatu na necklace
@shaniavirginia8699
@shaniavirginia8699 6 ай бұрын
uyu boys si ni tiktoker fulani wenye hufanya “sing or swim challenge” woiye😢😂
@nellyndutire6374
@nellyndutire6374 6 ай бұрын
Eeeh ni yeye😢😂
@iandun2835
@iandun2835 6 ай бұрын
😂😂😂😂
@SharonKariuki-m4i
@SharonKariuki-m4i 6 ай бұрын
Yess and they were never paid this shows are scams
@Its_G.e.r.r.a.l.d
@Its_G.e.r.r.a.l.d 6 ай бұрын
​@@SharonKariuki-m4i Inakaa tu hii si hasira ya kuchezwa
@collinsnguyo9688
@collinsnguyo9688 6 ай бұрын
​@@SharonKariuki-m4iSo ni shows za kupanga.staged
@WuTang-1
@WuTang-1 6 ай бұрын
Okkkkk...huyu Dem...anasimp
@Georgeotieno-u3v
@Georgeotieno-u3v 5 ай бұрын
Huyo msee akishikwa anachemka😂
@MakenaMakeh
@MakenaMakeh 6 ай бұрын
Huyu n yule jamaa wa kuswim😅😅
@deniskagondu8792
@deniskagondu8792 6 ай бұрын
Huyu dame anapenda huyo jamaa
@faridpalmer6774
@faridpalmer6774 2 ай бұрын
Si cheat though😂😂kila kitu ni though
@funyulasamia
@funyulasamia 5 ай бұрын
dem anaongea fiti😂😂😂
@JackieDeno
@JackieDeno 6 ай бұрын
Weh😂😂so beb n bestie yangu😅
@melyn0210
@melyn0210 6 ай бұрын
I will not let a man buy me shoes; I do not want to walk barefoot 🦹‍♀️
@FaithAdhiamboKamamu
@FaithAdhiamboKamamu 6 ай бұрын
😂😂😂 kwnza mwaume mluhya nkikosana anakuitisha kila kitu alikununua😂😂😂
@GilbertMethu
@GilbertMethu 4 ай бұрын
simple... unabuiwa but usivae mkiwa nae🤔
@billyngatia9364
@billyngatia9364 Ай бұрын
Huyu dem anakaa Materialistic ndo hataki Comrade amuache hahaa
@edushizzles323
@edushizzles323 6 ай бұрын
Nisongewe kwa nyumba ya hawa..hawa wawili ni comedians😂😂😂
@CeciliaMwathi
@CeciliaMwathi 3 ай бұрын
😂😂babe kiatu ya 150😳
@estherjenesy
@estherjenesy Ай бұрын
Huyu bado mvulana hata kama umemnunulia wewe ndo umvue😢
@aishahahmeddy9288
@aishahahmeddy9288 6 ай бұрын
Mm hushangaa sana na madem wengine unatoa wapi guts za kuambiwa chali eti kwa hizo kladi nmevaa umeninunulia nn!! Kwani huwezi hustle ujinunulie hata ngu lazima mwanaume kila kitu hadi cover ya simu! Utatolewa uchi mbele ya watu ushangae
@deemusoka4100
@deemusoka4100 6 ай бұрын
😂😂😂neckrace ya wenyewe toa tu
@evansmuthama9703
@evansmuthama9703 5 ай бұрын
Na uache kuniviorent viorent😅😅😅 ivo😂😂😂
@Baba-Charlene
@Baba-Charlene 6 ай бұрын
Wale wa download and watch later Tupatane hapa
@NataliaB706
@NataliaB706 6 ай бұрын
😂😂😂😂na kusoma comments kidogo 😅ukiendaga
@JaelyMarietta
@JaelyMarietta 6 ай бұрын
Huyo dem ana simp akiongea mbaya
@MuthiniKelvin
@MuthiniKelvin 2 ай бұрын
Feloo beshte na classmate yangu high school 😂
@aishahahmeddy9288
@aishahahmeddy9288 6 ай бұрын
Mm hushangaa sana na madem wengine unatoa wapi guts za kuambiwa chali eti kwa hizo kladi nmevaa umeninunulia nn!! Kwani huwezi hustle ujinunulie hata ngu lazima mwanaume kila kitu hadi cover ya simu! Utatilewa uchi mbele ya watu dem mrembo huoni aibu
@BillionaireMaina
@BillionaireMaina 6 ай бұрын
Alichukua adi cover😅😅😅😅
@Ivan-js3hf
@Ivan-js3hf 6 ай бұрын
😂😂na wanaishi na mamonkey kwani 23:30
@Alice-kl9zt
@Alice-kl9zt 6 ай бұрын
ww kijana wachana na uyo mschana anakuwaste tu
@nicewangombe-nm3xt
@nicewangombe-nm3xt 6 ай бұрын
natumia uji🤣... uache kuniviorent viorent🤣🤣
@faridpalmer6774
@faridpalmer6774 2 ай бұрын
Huyu dem aseme tu ni viatu anataka😂😂😂😂
@zanlee-r9r
@zanlee-r9r 6 ай бұрын
uyu ni boy wa ile group ya kenah comedian😂😂😂😂😂
@danielmithia4294
@danielmithia4294 5 ай бұрын
Pluto amechukua simu ya boy akashuka kama temperature
@Moraastacy
@Moraastacy 6 ай бұрын
Ati dating site😅😅😅
@worksmart1023
@worksmart1023 6 ай бұрын
Kwani dem amechanganyikiwa😅
@Dennoh254-n5m
@Dennoh254-n5m 6 ай бұрын
Was neckrace necessary 🎉🎉😂😂
@fedelis4950
@fedelis4950 6 ай бұрын
😂😂😂😂
@Family-i2d
@Family-i2d 6 ай бұрын
Weeee 😜 uku nje si kuzuri😂😂😂😂
@danieldee4866
@danieldee4866 Ай бұрын
Likes za io Nugu imepita hapo kwa wall….🤩✋❣️
@carolynewanjoy5397
@carolynewanjoy5397 6 ай бұрын
Huyu boy anakaa familia 😂😂😂😂😂
@AnnieKim-ke9oh
@AnnieKim-ke9oh 6 ай бұрын
Pia naona kaa nishai muona😂
@annabell-uz5dh
@annabell-uz5dh 6 ай бұрын
Hadi cover babe shually😂😂😂😂
@mzazi15
@mzazi15 4 ай бұрын
I think this girl is not that bad, imagin, anajua kujirudi na kusema sorry, i think Charles is there bcoz of money but love iko kwa huyu jamaa! Wangesolve na jamaa amtreet huyu girlchild na heshima yotee...
@FREDWARUI-pc9dh
@FREDWARUI-pc9dh 2 ай бұрын
Doh ndio kila shit sahi..
@Mukamibrenda-d3r
@Mukamibrenda-d3r 2 ай бұрын
Thank you for understanding me 😊😂huyu zii
@CidellaWaweru
@CidellaWaweru 6 ай бұрын
Uyu Dem aty pole after kuzusha mdomo
@RebbyBlair
@RebbyBlair 6 ай бұрын
Pluto always❤❤❤❤
@BelindaRupia
@BelindaRupia 6 ай бұрын
pluto amejam hapa ameboeka na hii couple leo ucheki🙂
@Skating-Queen3
@Skating-Queen3 6 ай бұрын
na uache kuni viorent viorent apa🤣🤣🤣🤣🤣
@petermasila9106
@petermasila9106 3 ай бұрын
Hawa kujielewa ni shida
@roby7949
@roby7949 2 ай бұрын
Kuna Nugu imepita at 23:48 😂😂😂
@francisatenya2253
@francisatenya2253 6 ай бұрын
unanifanya nakaa "Mariah"🤣
@texasviper2042
@texasviper2042 6 ай бұрын
Makosa ni ya charles, ako na gari na pesa yet settling for less. anadeserve peng iko na nyash na tirries fire.
@taila_2g
@taila_2g 5 ай бұрын
Gottha tena
@MilkahKeyshia-ig2fb
@MilkahKeyshia-ig2fb 6 ай бұрын
Pluto leo hauna say uko na cuple moto moto
@Maryhope-me6ot
@Maryhope-me6ot 6 ай бұрын
Ati hizi rooks ..........🤣🤣🤣
@SamKamau-et9ci
@SamKamau-et9ci 6 ай бұрын
Huyu si ni ule msee wa swimming 😂 pale Tik tok hii ni kipindi tu
@IREENKAIRUTHI
@IREENKAIRUTHI 6 ай бұрын
Mwanaumme mkamba ama🤣🤣🤣
DRAMA AFTER CHEATING ON LANDLADY LOVER!!! 😂💔💔😂
29:30
Thee Pluto Show
Рет қаралды 308 М.
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
Guess Who Came To Visit Us After A Long Time??!!❤️
26:13
FELICITY SHIRU
Рет қаралды 4,1 М.
Anaacha mtoi na bwana akaoleke majuu kwa mzunye mzee kuruka 😂
24:04
Thee Pluto Show
Рет қаралды 100 М.
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН