Ati pluto unauliza huyo dame ati atakuwa ana tangaza wapishi😂😂 ati kwasahizi hataki kujituma😂😂😂
@EstherMaina-d7s2 ай бұрын
😂😂😂 😂😂😂 so mtu huchanganyikiwa mambo n course hii design
@monicamahale3 ай бұрын
Happy to see majunkie back😊
@brayanyyobrezz59733 ай бұрын
Iriz war iriz
@MwanamisiBakari-xh3jo3 ай бұрын
Hio kucheka ya pluto inaezafanya mtu alie 😂😂😂😂
@_pookie8743 ай бұрын
Na hapo umecheatiwa 😂😂😂😂
@LilianCute-3 ай бұрын
Mapenzi 😢 Team kupitiana tupitiane tukisonga pamoja please 🙏🙏🙏🙏
@macklineoganga48283 ай бұрын
😂😂😂😂ile ujinga inakuanga hii Kenya😂😂😂
@josephwangombe62563 ай бұрын
News na hospi,umechanganyikiwa
@ebyanmohamed1983 ай бұрын
Yaani dem alioshe😂mumaaz Vyombo 😂😂😂 earth is hard aki😢
@sadamze563925 күн бұрын
hhhh alitumiwa kama maid imagine usicheze na ssi boy child .
@josclairecarey2 ай бұрын
Huyo dem naye ni bimbo...si angeenda tu asake job related to her media course 😅 anyways roho nayo ni King..saa izo ni mawhat boy ameekelea kichwa
@CatherineSamson-p6l3 ай бұрын
Haha😂😂😂et vyenye umefanya tuachane fanya tena turudiane😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@shekhahadi43492 ай бұрын
Pluto mm skai mrembo😂😂
@shaniavirginia8699Ай бұрын
watu wapole Kama Mimi please guys stay away from us 😂😂we are fire😂😂
@jamaatuu2 ай бұрын
This Boy is cold 🥶 😂😂😂
@dianangethe78393 ай бұрын
Huyu jamaa ni kuhurumiwa, dem pia sidhani ako loyal
@JefaJay-lq3lc3 ай бұрын
Dem n mali safi😊
@hanningtonllai10993 ай бұрын
alafu sasa kuna boy😅😅😅
@CharlesKabai-de6df3 ай бұрын
Niaje watu wangu Wa power 🫵🫵🫵
@amarliashamhope67922 ай бұрын
😂😂😂hii n kalii waah alipelekwa kwa mshosho
@IanTimbwa3 ай бұрын
Cameroon uko sawa😂😂
@agemoforeal2 ай бұрын
Camera mani 🔥🔥😂😂
@agnesKarimi-m6c3 ай бұрын
Huyu dem alikua amefunga macho akikatiwa ama rada yake?😮😮alafu huyu boi si anyolewe,,ama pluto umuokolee tu
@TabbyWangui-qd7ks2 ай бұрын
We women things we love😏😂😂😂😂
@inchristalone26672 ай бұрын
sijui kenini nikiwatch hii clip naona mops za ku clean house
@wincatenjuranio4200Ай бұрын
Kuwa serious😂😂😂😂
@CastyDan-r4p3 ай бұрын
Dear ladies look for money and know the meaning of love
@paulkim302 ай бұрын
Kimoja
@TysonKipkoech-pr2qj3 ай бұрын
I like going through the comments 😂😂
@MaryWanjiru-p7y2 ай бұрын
Manjakii amekua fathering that nice
@RickshabyVlogs3 ай бұрын
Cameraman unajua kazi tulokutuma 😂😂 zoom zoom
@monicasaruni-f2o3 ай бұрын
Wow....nishaview 😂🎉🎉❤
@danielkimbu28603 ай бұрын
Toa thao😂😂😂
@davidothunder3 ай бұрын
😂😂😂😂 mambo mbaya
@RuthLateipa3 ай бұрын
Huku mambo ni chojo chojo 😅😅😅
@jamesnjiru59283 ай бұрын
Pesa hata sisi hatuna!!😅😅😅😅
@roy_fusion3 ай бұрын
2:29 bro hio zoom ni Kali 😂😂maaaad respect 😅
@Yvonne-d1n3 ай бұрын
😂😂😂😂😂jameni who does that
@joanjoan18312 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@zainabukerubo9703 ай бұрын
Wanaume uku nje waaaah,,,,,😢😢
@EmmilyMorara3 ай бұрын
Hawa watu wanajifanyanga hawaongei ndo sumu😢wanaeza kuletea ukimwi😢😮babygirl tafuta type yako wewe n mrembo sana
@KanotiCharity2 ай бұрын
Ata kama tunaongea hio Nywele inakaa aje🤣🤣
@MercylineMusinde2 ай бұрын
Nafanya kazi kinyozi😂😂nywele naisha😂😂
@protiohke9071Ай бұрын
Man of the match,,,,,,,, cameraman😅😅
@Dani.Mwamlima3 ай бұрын
lazima tuwe single😂😂
@SharonJira2 ай бұрын
Na vnye uyu dem ni mcute aki woiiiiiiiiii lakn uyu dem anakaa alitoa ball matiti inaonesha
@faizhassan50293 ай бұрын
Kwa wale wote wanao forward advertisment za huyu jamaa Mungu Anawaona😊
@romeoofficial59463 ай бұрын
huyu videographer namcheki sana😂😂😂😂😂😂zoom yote😂😂
@susanwambui-y9y2 ай бұрын
Na vile huyu dame ni mrembo yooooh akidate chali kama huyu😢😢😢😢
@QueenCrystal-o4q3 ай бұрын
😂😂😂kwa nini amina😂😂pluto ww
@user-hr2gg5wh2c2 ай бұрын
camera man . tunakuona mzee🤣🤣
@venesahkamadi61963 ай бұрын
Vijana wengine wamehurumiwa kupendwa,wanacheat na wanakaa vle wanataka😂😂😂
@faithnafula10613 ай бұрын
ATI Wanaka what?😂😂😂
@sashasheriff3 ай бұрын
Acha kuwaambia ukweli😂😂😂🤫
@jimarketkenya3 ай бұрын
Boy akona dem mrembo lkn hatosheki jameni😅😂
@eleven-in5qw2 ай бұрын
Hii kitu kamahupeani poa ata uwe mzuri ajy bro lazima uume nje
@MaryMbithi-nw5sr3 ай бұрын
Nikiwaambia hii game ekelea kidongo ju si raisi kushida amskii oneni sasa dada yetu aliekelea roho yake yote mwishowe si mtamu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂am single do you know why am single 😂😂😂😂😂😂😂😂
@PurityMukii-iu4sn3 ай бұрын
😂😢i know 😮
@tituskibunja58562 ай бұрын
nice to see majunkie bana big fuunnn
@YvonneKairu-q5u3 ай бұрын
Kugongewa ni constant 🤣
@LizzUnny3 ай бұрын
Eti si umsomee tena usikie that got me off guard
@CarolNjeri-f7j3 ай бұрын
MTU ajitume ama Rada itakua kuoshea mmamaz Wa chali yako vyombo ukithanigi ati n Mukuru wenu Usha kumbalika home😂😂😂😂😂
@Sharon-v7f3 ай бұрын
😅😅😅watu wanashushiwa huku inje Na si nyavuuuu
@Angelkabonnie2 ай бұрын
Kwanini mnamaliza amina😅😅akaosha vyombo😅
@YvonneKairu-q5u3 ай бұрын
Na venye Dem ni mrembo 🤦
@FloraNicole1622 ай бұрын
Ati uyo dame alisoma nini??😅😂😂😂
@wilbrodahlubonga4478Ай бұрын
Dem ni mali safi lkn jamaa aiiii😏😏😏 anakaa kunuka tu