Wonderful song Nawapenda sana nikiwa hapa Bujumbura-Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@mariamjoseph38884 жыл бұрын
Kwenye picha tu ndio shida
@MagutoKibetTyson4 жыл бұрын
Mapenzi kutoka Kenya, Mungu Yesu azidi kuwaongezea kipaji Cha kuimba,
@bahatisimoni4444 жыл бұрын
Light beares hamjawai kosea asee melody tamu sana Mungu awabaki jaman mnajuaaa
@BrianNgandu-ec2if Жыл бұрын
Listening you guys from zambia❤we really love you,by the the way when are visiting zambia
@odahekima57444 жыл бұрын
Hakika tutaishi Milele na wapenda sana
@saimonazaria14534 жыл бұрын
Very nce my song lighrt bearers barikiwen nawapenda sanaaaa
@jescamongi35834 жыл бұрын
Mungu awatunze for me nawapenda sanaaa Sitahofu
@amonidafa96654 жыл бұрын
The best gospel songs choir in Tanzania... I take the message as it is...I won't fear anything.. Jesus is leading the way😃😃😃😃
@Rooventziscool_ Жыл бұрын
This song is about greatness
@mauaatvtv40604 жыл бұрын
sita hofu hakika nitaishi milele nikimtegemea mungu awabaliki
@nyamungapeter84493 жыл бұрын
Nawapenda sana, BWANA awabariki muendelee kuifanya kazi yake bila hofu.
@theresiamwanamkejasiri6510 Жыл бұрын
MUNGU wa mbinguni awabariki
@eroh2587 Жыл бұрын
God bless you i like your songs too much ,from Rwanda
@jamesyona94112 жыл бұрын
Light -bearers for sure very much gifted
@triplem5038 Жыл бұрын
God bless the lightbeares❤ beautiful 😊😊
@jonathankalua79292 жыл бұрын
Amina watumishi wa mwenyezi Mungu. Mbarikiwe
@nellymusa52104 жыл бұрын
Wimbo mzuri Mbarikiwe sichoki kuwasikiliza Mungu Awasimamie Sita hofu wow Sounds Good!
@raphaelkamaga35984 жыл бұрын
Hii nyimbo imenisisimua aisee mziki mzuri saaana, ujumbe mzuri mbarikiwe sana.
@gideonlebabu4 жыл бұрын
Sitahofu.... Sitahofu... Hakika tutaishi mi....mileleee🎶 ( the alto harmony was a blessing)
@mcbillbill72914 жыл бұрын
Kweli,, hio part ya alto inapendeza kusikiliza. Twawapenda Wana Light Bearers toka hapa Kenya
@nabothmugisha27903 жыл бұрын
I simply owe you gratitude; The lights bearers choir wapendwa watanzania. Niukweli yoyote anayo mtegemea Yesu hauezi kuwa na hofu. Big up; the great team iliyoamua kueneza injili, kwakuafikia wengi ulimwengu, mkipitia kwenye nyimbo zinazoja habari njema, zikiandaliwa kwasauti nzuri naumakinika, niseme nini, niache nini, ila tu kuzitoa shukrani zangu za dhati kwenu. Naomba tafadhali mbarikiwe , kote kote mkizitenda kazi zakutimiza na kuimalisha injili ya Yesu Christo. Nawatakia kila laheri.
@thelesialusinde53164 жыл бұрын
Nawapenda mnanibariki sana mungu azidi kuwaweka ....sitahofu milele
@lukaisaya37704 жыл бұрын
Mungu awabariki sana ktk utumishi songeni mbele kwa imani,
@JaneNagagi Жыл бұрын
Wonderful song God blessings
@racheljulius76544 жыл бұрын
mbarikiwe kwa wimbo mzuri wapendwa nawapenda sana
@thereubenfamily96154 жыл бұрын
Kikwer ni mpenz wa saut ya nne na yapir kikwer yanne wameimba had wivu
@barakasilas Жыл бұрын
love song my help me and teacher how to respectful lfell we powerfully to much forward
@gloriadunstan71904 жыл бұрын
Barikiweni mnoo,LB nawapenda Mungu awape afya tele mzidi kumtumikia
@afterfull-time13484 жыл бұрын
Hakika tutaishi mileleeeeee LB nawakubalii sana..
@ZawadiDaudi-bg2un Жыл бұрын
I wish one day niimbe na nyie
@leahnyange95934 жыл бұрын
Amina hakuna sababu yakuhofu tukiwa na yesu barikiweni watu was mungu
@josemiguelsantos4478 Жыл бұрын
Muito lindo o louvor 🙏😊
@joycekiangiofficial73642 жыл бұрын
Nawapenda bure,maana nabarkiwa barkiwen pia
@tchidiotieno6884 жыл бұрын
Kwa kweli tutaishi milele..Tusihofu🙏
@juliussamwel54022 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na huu wimbo
@dicksonkyamurusa2884 жыл бұрын
Mimi sijawahi kuchoka mpangilio wenu wa sauti pamoja na uhimbaji wenu.. Mzidi kubarikiwa katika utendaji wa kazi ya Mungu
@thelightbearerstz4 жыл бұрын
Dickson Ahsante Sana na Ubarikiwe pia
@heavenlynaturalholistichealing2 жыл бұрын
Wonderful job Light Bearers! Keep praising your Savior for He deserves more than that.
@Gideon_CK4 жыл бұрын
Absolutely beautiful. Barikiweni sana. Mzidi kutumika. May we keep praying that God sees us through these stormy times. It shall be well with us. Hatuhofu kwani Mungu yu nasi.
@dostinadickson58794 жыл бұрын
Sitahofu nkimpokea yesu,zidi kubarikiwa
@ZawadiDaudi-bg2un Жыл бұрын
Nawapenda
@mshaurimakini4 жыл бұрын
Ujumbe mzito natamani kila Mtu ausikilize katika Kipindi Hiki ambacho Dunia inahangaika na hofu Kubwa. Bwana Apewe Sifa Kwa Wimbo Mzuuri wa Kumtukuza na Kutusisitiza Kumtegemea. Ameen!
@thelightbearerstz4 жыл бұрын
Amina
@amosichibunu89744 жыл бұрын
Amina sana wapendwa,,MUNGU,,,Awabariki na atubariki wote,siku moja kwa umoja wetu majina yetu yaandikwe kwenye kitabu kile cha Uzima wa MILELE,,,Kwani nyimbo ni ibada,,
@nyamtondomakwasa82824 жыл бұрын
Mbarikiwe sana
@NyasaAYchoir3 ай бұрын
Amen 🙏
@yucabethdavis40724 жыл бұрын
Kweli tumaini letu liko kwake hata saidi wakati huu wa siku silizo na hofu nyingi. May the Almighty God give you good health as you proclaim His gospel through music. Ninabarikiwa hapa USA 🇺🇸 sana.
@BongoCryptos4 жыл бұрын
Safi sana LB, Mungu azidi kuwabariki. Nyimbo zenu ni nzuri sana, nashauri kila anaye angalia asaidie ku share facebook, twitter, whatsapp nk, pia kuwa invite watu ku Subscribe
@KASAHUNGASDACHOIR2 жыл бұрын
Be blessed ..Light bearers
@paschalayubu73944 жыл бұрын
Jamani light bearers Nmewamic Sana lini tena kahama?
@JRM6842 жыл бұрын
I love this song and regards from South Africa
@dilex98474 жыл бұрын
Huyo jamaa jiran na mwenye ndevu kushoto kaongeza views sana
@JRM684 Жыл бұрын
I love this song 😊
@charitymwendwa95359 ай бұрын
GOD BLESS YOU FOR ALL
@joycejoseph36904 жыл бұрын
Citahofu nikiwa na BWANA
@beatricekweka66834 жыл бұрын
Waoooh 🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏🙏🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@manassehndikuryayo58294 жыл бұрын
I really love you light bearers❣️ may God enlighten your way as you continue to bless the world🙏
@silyadamian57084 жыл бұрын
Mbarikiwe LB kwa ujumbe mzito .
@ezeckielcht31743 жыл бұрын
sitahofu it's so amaizing.
@eliasgeffi97184 жыл бұрын
Kumbukeni agizo la Mungu katika 1Timotheo 2:9. Mungu awasaidie viongozi wa choir na Mungu wenu akashuhudiwe na wakamtambue na wengine
@berthamsodoki28654 жыл бұрын
Elias Geffi nisijipambe kwa kusuka nywele Bali kwa matendo Mema biblia haijazuia kusuka
@INJOfficiel4 жыл бұрын
Nice 🙏, Mungu awa bariki sana 👌🏽
@soloartist_ivanvespalusind16094 жыл бұрын
Kwa hizo melodies pamoja sana
@shal_ean2 жыл бұрын
AMEN. 🙏
@fodipolela99404 жыл бұрын
very nice song congratulation right bearers
@leahminayo10174 жыл бұрын
Tusihofu wakati huu asanteni wimbo wasisimua sana
@jamerskazimily50954 жыл бұрын
.. Mnawakilisha vema sn barikiweni sn
@phinawatwego72604 жыл бұрын
Aminaaaaaaa
@ridancembwambo74124 жыл бұрын
Alto inanibariki👏🇹🇿
@wanjax1amos9524 жыл бұрын
Sitahofu, It's so Amazing, beautiful vocals, Lots of Love from Uganda
@mugishadavid48624 жыл бұрын
True, so amazing and beautiful vocals
@Fx_expertmoneymaker0013 жыл бұрын
A∅Lee
@relaxationsoundsambience27244 жыл бұрын
Amina! Mbarikiwe.
@eliviraedward94664 жыл бұрын
sitahofu nikiwa na Yesu be blessed
@nyaokehsilphanoh93644 жыл бұрын
I REALLY LOVE THE SONG. IKO SAFI
@triplem50382 ай бұрын
2024❤❤❤
@hildatebazalika53014 жыл бұрын
May God bless your ministry for more and more soothing music of the soul. Amen
@josephinembwambo24603 жыл бұрын
thanks for bressing
@ezeckielcht31743 жыл бұрын
i like the song.
@onefamilyinjesusministry41974 жыл бұрын
We love you from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@ernestbigamho87184 жыл бұрын
Mbarikiwe kwa ujumbe mzuri
@dominickstephano53294 жыл бұрын
Very nice melody and powerful message but the picture is shadowed. No doubt you are blessing.
@earnestmavhemwa62803 жыл бұрын
Wonderful! From Zimbabwe.
@dilex98474 жыл бұрын
Nice kaz lakn matishu ndevu hzo
@marthamayala32964 жыл бұрын
Naurudia huu wimbo mara mia nadhan maana nikiusikiliza nahamishiwa mbinguni kimawazo .jaman mnaimba Barikiweni natamani nije nijiunge nanyi.
@mwemanavota31133 жыл бұрын
Even
@emmanuelnduki6089 Жыл бұрын
ah😂😂😂😂😂
@okanorodney4 жыл бұрын
Calm and soothing music.🇰🇪 💥💥Amen
@frankgeorge2134 жыл бұрын
Mungu azidi kuwabariki LB
@Rikozc4 жыл бұрын
Great Encouraging song Wana Light Bearers...Asanteni sana kwa nyimbo nzuri zinazohimiza....wombo umepambwa vyema...Mubarikiwe sana...from Bomet - Kenya
@ibrahimlusega91324 жыл бұрын
Mungu awabarikisana
@kingsaimon61484 жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa nyimb nzuri
@mbonearaphael37614 жыл бұрын
The problem nnayopata kwa nyimbo zenu ni kwamba kila inayotoka nahisi sitaskia nyingine nzuri kama hiyo,yu guyz bless me in a way ambayo siwezi kusema..Mungu awainue..#big fun👐#
@samedifrancis904 жыл бұрын
mbonea raphael uko kama mm aiseeeew
@dassanrukeba6133 жыл бұрын
@@samedifrancis90 Hata na mimi ndivo hivyo ndugu yangu. Utamu wa nyimbo za hawa wavijana umenivamia kbs
@abdinaitumaini87504 жыл бұрын
nabarikiwa sana na uimbaji huu Mungu awaongoze
@missinginaction49584 жыл бұрын
Very nice and encouraging 😊😊
@julesbelliot47104 жыл бұрын
Very comforting and reassuring in these days of corona virus pandemic keep up the good work LB
@RJHOPETV4 жыл бұрын
Bwana awabariki sana, mnanibariki
@brendamagoma57524 жыл бұрын
Ameeeen
@gloriousnp4 жыл бұрын
SitaHofu hakika 🙏🙏😊
@stelagombeye67584 жыл бұрын
amen,,, mubarikiwe..
@adv.benedictpius4 жыл бұрын
Nyie watu Mungu awabariki mko vzr
@shadrackkahindi48944 жыл бұрын
Mungu awabariki. Amina
@mercycherobon36624 жыл бұрын
Wimbo mzuri mbarikiwe
@nyakwarokoye4 жыл бұрын
For sure I am not afraid for the lord is with me, Amen!!!
@shadrackymwesigye89513 жыл бұрын
What amazing voice combination and balancing God bless you my choir..
@newlifeambassadorschoir91974 жыл бұрын
Wonderful Voices and Choir. Receive our greetings and regards from Newlife SDA Church, Nairobi. Mbarikiwe