This song imeniguza kama imekuguza kama mm nipe like..🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@alexmuuo4313 жыл бұрын
The song reminds me of Big Kev, Kidum sang it on his hospital bed as he fought cancer. In memory of a legend, Big kev.
@winnieatienopetrisor7013 жыл бұрын
Do you mean Big kev died??
@peterayuya30573 жыл бұрын
True
@jjazzzz3 жыл бұрын
A warrior
@wamunde3 жыл бұрын
Great song. Nipe nguvu.
@goo63413 жыл бұрын
God Bless and long live ❤️ Big Kev. Grew up with him in LA. Amen 🙏
@nicsnics55236 жыл бұрын
"Baba baba baba baba baba Bwana Mungu Baba Eeeh eeeh eeeh Ni siku nyingi Nimekaa nikijiuliza upendo wako Baba Na walimwengu Wewe ni mwema Baba wa huruma Muumba wa mbingu na dunia Mwanzo na mwisho Sisi watoto Nitakusifu Nitakuabudu Ndio sababu nasema asante Nishike mkono, nisiangue Nahitaji msaada, kutoka kwako Nipe nguvu na uvumilivu baba Mimi niwe wako (niwe wako) Tazama kila pande ya dunia Kuna viumbe za kila aina Na kuna sisi kwa mfano wake Mungu baba ni mwenye kutujali Mungu baba ni mwenye ni kutupenda Umelipa ngapi kwa uhai wako Umefanya nini kwa kubarikiwa Mungu ni mwema Mwenye rehema Mwenye rehema zote Nishike mkono, nisiangue Nahitaji msaada, kutoka kwako Nipe nguvu na uvumilivu baba Mimi niwe wako Mimi niwe wako Niwe wako Baba Tuko mbele zako Tukipiga magoti Baba Tusamehe dhambi zetu Tuko mbele zako Tukiwa wanyenyekevu Baba tupe amani Tuko mbele zako Tukipiga magoti Baba Tusamehe dhambi zetu Tuko mbele zako Tukiwa wanyenyekevu Baba tupe amani Ndio sababu twacheza gitaa hiviii Twacheza gitaa kwa sifa zako Baba Kwa utukufu wako tukikutukuza Eeeh eeeh Nishike mkono, nisiangue Nahitaji msaada, kutoka kwako Nipe nguvu na uvumilivu baba Mimi niwe wako Nishike mkono nisiteleze Mungu baba Mimi niwe wako Mimi niwe wako Mimi niwe wako" kelx
@christiannkoswe43655 жыл бұрын
Good
@missflavia30765 жыл бұрын
Nics Nics thanks
@carolinewacera58425 жыл бұрын
Thanks alot
@drxmas94525 жыл бұрын
powerful words, how can I get them?
@jjazzzz3 жыл бұрын
Asante
@deejaysmasher5 жыл бұрын
Nipe Nguvu Jean-Pierre Nimbona Baba baba baba Mungu baba eeeh eeh Siku nyingi nimekaa najiuliza Upendo wako Baba Kwa walimwengu Wewe ni mwema Baba wa uruma Muumba wa mbingu na duniya Mwanzo na mwisho Sisi watoto tutakusifu na tutakwabudu Ndiyo sababu twasema asante Nishike mkono nisianguke Nahitaji msaada kutoka kwako Nipe nguvu na uvumilivu Baba Ili niwe wako Niwe wako (yeah eeh) Ili niwe wako Tazama kila pande ya duniya Kuna viumbe za kila aina Na kuna sisi kwa mufano wake Mungu Baba ni mwenye kutujaali Mwenye kutujaali Mungu Baba ni mwenye kutupenda Mwenye kutupenda Umelipa ngapi kwa uhayi wako Umepana nini kwa kubarikiwa Mungu ni mwema Mwenye rehema Mwenye rehema zote Nishike Nishike mkono nisianguke Nahitaji msaada kutoka kwako Nipe nguvu na uvumilivu Baba Ili niwe wako Ili niwe wako Tuko mbele zako Tukipiga magoti Baba Tusamehe dhambi zetu Tuko mbele zako Tukiwa wanyenyekevu Baba tupe amani Eeeh eeh Tuko mbele zako Tukipiga magoti Baba Tusamehe dhambi zetu Eeh eeh Tuko mbele zako Tukiwa wanyenyekevu Baba tupe amani Tupe amani baba Ndiyo sababu Twacheza kita Hivi iiiii eeeeh Twacheza kita aaaa Kwa sifa zako Baba Kwa utukufu wako Tukikutuza Eeeh eeeh Nishike mkono nisianguke Nisiteleze Nahitaji msaada kutoka kwako Nishike nishike eeh eeh Nipe nguvu na uvumilivu Baba Ili niwe wako Nishike mkono nisiteleze Niwe wako Niwe wako Baba Ili niwe wako Ili niwe wako
@dailantz4073Ай бұрын
Wombo bora kote 🇹🇿🇧🇮🇦🇼🇺🇬🇰🇪❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@shishj3774 жыл бұрын
Here listening 2020. This song huniguza hadi nalia mbele ya mungu. Tuko mbele zako tukipiga magoti baba tusamehe djambi zetu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏🙏. You are truly an anointed musician. God bless you.
@valentinekimani89534 жыл бұрын
Kumbe I'm not the only one. I just break down
@wilsonomondi7690 Жыл бұрын
Here listening 2023.
@mashagenge3 жыл бұрын
Boss am hooked ,💯❤️🔥🌶️
@arunashimirimana22704 ай бұрын
Who's here 2024?
@DennisWachira3 ай бұрын
Nahitaji msaada kutoka kwake.😊
@ibrahnice55703 жыл бұрын
My brother kidumu big up xana bado naichek
@christopheramani93704 жыл бұрын
Moto Sana kidum uko juu malikes plz
@franciswanderi44763 жыл бұрын
Nishike mkono baba nisiangukee🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥2021 may
@happinessmisanga49446 жыл бұрын
Nishike mkono papa Kwa mwaka huu wa 2019 ,east Africa nasubiri likes hapa
@milomediatv4 жыл бұрын
HALLELUYA AMINA DUHE AKANDI KA GOSPEL KABISA !!!
@sergemulamba32782 жыл бұрын
Boss naitika kabisa wow what a work!hiii njo wanaita kazi eeeh
@brian_moseti7 ай бұрын
Kidum inafaa atengeneze album ya gospel
@kevinmakau61833 жыл бұрын
With love from Lenched ( Chris beats block) asante...kwa neno. Asante tena....🇰🇪🇰🇪 Nrb west ✌🏾✌🏾
@amoskulei36213 жыл бұрын
Nishiki mkono nisianguke,nahitaji msaada kwako..
@umwugawacutwese44333 жыл бұрын
Mugu. Wetu nimwenye uruma
@eliudkatuumwanthi36112 жыл бұрын
Excellent voice and cool gospel music from kidum
@juniormwendwa29743 жыл бұрын
Kibuganizo, the best
@margieashley89816 жыл бұрын
The love l have for this guy is unconditionally nampenda bure
@felixomae42116 жыл бұрын
Kizungu tu ndio hujui sasa Rudi shule
@margieashley89816 жыл бұрын
@@felixomae4211 @my age l dnt argue wth an ass hole like you
@allanmibei6 жыл бұрын
He's too old to be singing, these jazz musicians should be banned from singing gospel.... They sing gospel and you find them in the pubs at night
@claricemoipoi63426 жыл бұрын
@@allanmibei And who are you to judge him?
@megatyres47955 жыл бұрын
Uyo ndio hafai
@constancechepkorir657410 ай бұрын
Thanks for this song! Amen.Nishike mkono nisianguke is so relevant to me now!
@MrKeshie Жыл бұрын
Kidum didn't come to play! He truly understands his assignment. Who else is here in 2023?
@polawanjiku15666 ай бұрын
This song is such a huge blessing, ❤
@estherkarenju3146 жыл бұрын
Who is hearing this song while reading the comments?? This song is so beautiful... Keep the fair burning
@vincentvineyard93882 жыл бұрын
congratulations my brother
@richardfredy12572 жыл бұрын
Kidimu god bless you my brother
@Am.Spoken415 күн бұрын
Dec 2024... Mimi Niko tena sana nikiwa hapa... 🇰🇪Mkenya🇰🇪🇺🇸 Marekani🇰🇪
@gloriakiprono11493 жыл бұрын
Chaiii....kama tunahisi vizuri tukiskiza nyimbo za kidum...sembuse mungu😎😅😅
@carlosike946 Жыл бұрын
Na mimi jee🎉
@marie-chantalpahud71002 жыл бұрын
Dans les moments difficile c est mieux de médité nous sommes que des humains
@oliviamukami91253 жыл бұрын
Kidum may God bless your ministry
@missyessy59796 ай бұрын
That’s when I’m hearing this song for the 1st time jamaniiii where was I 🥹🥹🥹🙏🏾♥️
@SheemeJill-tl6ox8 ай бұрын
This song reminds me of my late Father oh This world is too bad 😭😭😭😭😭😢😢😭 mungu baba😭
@Bee_mrunde6 жыл бұрын
A true definition of a gospel worship song. We need more of you and the rest like Eunice Njeri. Pure sincerity! I love this. My only wish is to know God more than I already do🙏
@timmaumba6 жыл бұрын
Good Spirit in you 😘
@KathambiMirero6 жыл бұрын
So true Beatrice. That is my only wish too. Kenyans need to go back to God.
@Bee_mrunde6 жыл бұрын
@@KathambiMirero 😊
@Bee_mrunde6 жыл бұрын
@@timmaumba 😊
@SololoMutai6 жыл бұрын
Glad you mentioned Eunice Njeri. A true worshiper
@lilianwamunyu88393 жыл бұрын
My all time favorite
@oliviamukami91255 жыл бұрын
Wewe ni Mwema baba was huruma....
@enockomwenga73972 жыл бұрын
I am hearing this song for the first time
@sammy-b62815 күн бұрын
I’m Congolese but kidumu is one of my favorite musician love his music and his vocals ,harmonies..
@150mille Жыл бұрын
Wakwetu uko1 baba muziki❤
@lizaliaamkohe3 жыл бұрын
Boss!! You rock
@bulaloalindamtobesyaofficial5 жыл бұрын
Amen, Mungu awape nafasi na Peter msechu mfanye colabo ya gospel song... your blessed with amaizing voices, zinaendana, I almost thought it was Peter kabla sijaota video
@halimawambani51304 жыл бұрын
nipe nguvu na uvumilivu baba.
@pancrace4 жыл бұрын
Yes ayee Mzee
@nenefondo5 жыл бұрын
This song derserve a millions likes right now.
@RitzeeTheExplorer2 жыл бұрын
My second favorite Kidum's gospel song after Pokea Sifa
@stevesongz_ke5 жыл бұрын
Baba baba baba Mungu baba eeeh eeh Siku nyingi nimekaa najiuliza Upendo wako Baba Kwa walimwengu Wewe ni mwema Baba wa uruma Muumba wa mbingu na duniya Mwanzo na mwisho Sisi watoto tutakusifu na tutakwabudu Ndiyo sababu twasema asante Nishike mkono nisianguke Nahitaji msaada kutoka kwako Nipe nguvu na uvumilivu Baba Ili niwe wako Niwe wako (yeah eeh) Ili niwe wako Tazama kila pande ya duniya Kuna viumbe za kila aina Na kuna sisi kwa mufano wake Mungu Baba ni mwenye kutujaali Mwenye kutujaali Mungu Baba ni mwenye kutupenda Mwenye kutupenda Umelipa ngapi kwa uhayi wako Umepana nini kwa kubarikiwa Mungu ni mwema Mwenye rehema Mwenye rehema zote Nishike Nishike mkono nisianguke Nahitaji msaada kutoka kwako Nipe nguvu na uvumilivu Baba Ili niwe wako Ili niwe wako Tuko mbele zako Tukipiga magoti Baba Tusamehe dhambi zetu Tuko mbele zako Tukiwa wanyenyekevu Baba tupe amani Eeeh eeh Tuko mbele zako Tukipiga magoti Baba Tusamehe dhambi zetu Eeh eeh Tuko mbele zako Tukiwa wanyenyekevu Baba tupe amani Tupe amani baba Ndiyo sababu Twacheza kita Hivi iiiii eeeeh Twacheza kita aaaa Kwa sifa zako Baba Kwa utukufu wako Tukikutuza Eeeh eeeh Nishike mkono nisianguke Nisiteleze Nahitaji msaada kutoka kwako Nishike nishike eeh eeh Nipe nguvu na uvumilivu Baba Ili niwe wako Nishike mkono nisiteleze Niwe wako Niwe wako Baba Ili niwe wako Ili niwe wako
@esthermwangi24093 жыл бұрын
Nipe nguvu mungu wangu nishide haya majaribu iko mbele yangu.Amen
@ferdinandnsengiyaremye83833 жыл бұрын
Verry good
@ntakarutimanvbh41215 жыл бұрын
Nishike mukono mungu baba uyumwezi niokoke inci zawarabu mimi mingu
@harrisonhuti41112 жыл бұрын
Kidum kibido really nailed it in this song, its just how amazing how God is glorified in this song, i love till now!
@marie-chantalpahud71002 жыл бұрын
Inyibutsa le groupe mihigo
@felicitekerandageorge1475 Жыл бұрын
Kidumu kidumu wirh gospel music I feel like he belongs here I know aririmba neza izindi ndirimbo but there is something about him singing gospel songs it’s totally different ❤
@e.m.lgishinganotv78344 жыл бұрын
Kidumu much love brother umuziki warauvukanye vraiment
@kriserroh6 жыл бұрын
👏🏽 Papa, I love it. So much respect for you.
@innocentondiekiongwae64096 жыл бұрын
Every phrasing, timing and display confirms that #Kidum is patient in collecting information and feeding it to society. Purely beautiful and inspirational..
@marie-chantalpahud71003 жыл бұрын
J adore tes chancons juste pour la paix
@asajileandimile78906 жыл бұрын
Huyu jamaa anavoko hatar san
@mburaaggie66013 жыл бұрын
This song reminds me of big Kev... May his soul continue resting in peace... Thank you Kadum
@shadunseng56903 жыл бұрын
Nipe nguvu na uvumilivu Baba!!! this is powerful
@sheilawafula6 жыл бұрын
Kidum you never disappoint gonga like hapa +254 love
@cirukarago72515 жыл бұрын
Hot 96fm Kenya Jeff and Hamo in the morning made me know this song and love it... Hawakosangi kucheza
@KeshieMusings3 жыл бұрын
This song always reminds me of the late Big Kev, when Kidum sang to him in hospital. God bless you Kidum, this is one of my favourite songs of yours.
@brianswai1243 Жыл бұрын
Gooooooood music his one of the legends reggae zouk music i understand you Mr i love your work please dont stop
@rialsgazelle93803 жыл бұрын
May God Bless You!
@snavejohnz34695 жыл бұрын
This guys has a touch in every of his song. I mean, you listen to the music and you are like!!! This is what we call music now!!!!
@christellaiteriteka40432 жыл бұрын
I'm really in love with that song 🥰🥰
@danm.81482 жыл бұрын
pure bliss.
@kakamasai0016 жыл бұрын
Repeated this song like 8times The song is a blessing.... Lovesss kidum😄😄😄😄😄😄😄 And a new ringtone I got now😄😄
@harrizonharris90946 жыл бұрын
Kidum shikilia tu wokovu na Mungu uko juu kabisa
@GichohiWaweru6 жыл бұрын
Now you got me on this one... Muziki Umeenda Tertiary Institution pale UK! I love, what a prayer what a song, what a declaration... Oh yes and amen Lord! 2019
@JayCanKe Жыл бұрын
Kidum was chosen to sing powerful gospel Music.. kidum Just stick to this kind of music it's powerful.. you are God's remnant..Whenever kidum does a gospel song it's magical.. keep up the great work MOG of glorifying the Lord with your powerful gift.
@madigasankara66106 жыл бұрын
Nipe nguvu y nanivé msada. j'adore tes chansons mec; elle permet d'adoucir la rudesse de la vie loin de la famille. belle voix
@kozzomix1205 жыл бұрын
Kidum welcome again in our Burundi country we miss u nice song😭😭😭
@Ludovicfamily11 ай бұрын
This song always touches my soul...thenk u kidum for giving us good songs❤
@brxd2turnt4 ай бұрын
ahhh so beautiful
@StephenKasolo6 жыл бұрын
good Papa Nakupenda
@ججوي-س4ي5 жыл бұрын
ivi kidumu kwanini usiimbe nyimbo za mungu
@Achieng13264 жыл бұрын
2020 anyone listening during this Corona pandemic ?
@plus254ke86 жыл бұрын
Kidum, best of best E.A artist!!
@angelleonard7086 Жыл бұрын
Imeizing
@PERALish6 жыл бұрын
Always retains the quintessence of the genre he sings.Only kidum.The best for 2019 already
@keziahgitonga670 Жыл бұрын
My fav Kidum song especially he sings in his lower register
@claudineeshtermatondomaton28365 жыл бұрын
Godbless you mutumishi 👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏🙏🙏👏🔥🙏👏🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Isaactoyi3 жыл бұрын
Twongere gospel brother.
@jordandiedonne29472 жыл бұрын
Good job, big bro
@josephnjiru43284 жыл бұрын
This song deserves million viewers...
@billyjordan45013 жыл бұрын
2021 anyone?
@ianoguero32053 жыл бұрын
I will rewind this many times ..for the many days I didn't know it existed. More grace to you Kibido..
@kdaddytachoni79346 жыл бұрын
Mapenzi ya fujo and haturudi nyuma should come back,this is huge...On scale out of ten,I give it 11,so inspiring
@kinyuacaroline32203 жыл бұрын
Here today, finding my way back. It brings tears to my eyes and gives me strength.
@mwongeramunge16096 жыл бұрын
this guy is blessed with voice ,wish he could do more gospel
@2010wat4 жыл бұрын
He would see Miracles happening when the anointing comes down.
@Wabbsg13 жыл бұрын
I totally agree. Hope you have listened to his latest gospel one too. Pokea Sifa...
@bahatijuma745 жыл бұрын
Nishik bba yang wew ndote geme lewo lang nic song 🇧🇮🇧🇮🇦🇪🇦🇪🇦🇪
@mstafabravin77036 жыл бұрын
am blessed🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙌mungu ni mwema nishike mono👫
@jeanclaudekwizera65426 жыл бұрын
kidumu ,asanteni kwa wimbo huyu ,Claude burundian from abidjan
@dailantz4073Ай бұрын
Wimb humeni bariki sans 🎉🎉🎉🎉❤❤❤🎉🎉🎉
@brandonluiz88575 ай бұрын
Quite underated singer. Respect to kidum kibido💯❤️
@TheRepublican2546 жыл бұрын
Powerful Song! And the vocal delivery....ooh my!!! Kudos Sir Kidum. You make Kenya, Burundi, and the entire East-Africa proud.
@karfix46655 жыл бұрын
Bro kidum you were made to be a Gospel artist for sure waaah!! What a song!!! Great message, keep it up.