Sauti ya pili mnanikosha Sana bt all your the best aisee nyie mungu awepe thawabu yenu mnamwimbia mungu katika roho na kweli sijawah kujutia katika maisha yangu kuzaliwa mkotoliki,msalimie ogarnist.👏👏👏
@beatusidama62333 жыл бұрын
Ni fahari sana kwa kuwa na ninyi wanazuoni kushikilia pia uimbaji wa muziki wa Kanisa na kuutenda kwa kiwango bora namna hii. Hongereni sana na Mwenyezi akubarikini sana.
@januariussangutei41132 жыл бұрын
Hongera penda nyiny sana
@williammutio25012 жыл бұрын
Muziki mzuri sauti nzuri
@erickmassawe30593 жыл бұрын
Kazi nzuri sana.
@theservantmedia75663 жыл бұрын
ASANTE SANA
@madattarcharles11142 жыл бұрын
Kazi nzuri Sanaa wanachuo Mungu abariki kazi ya mikono yenu..
@danielmatemu96982 жыл бұрын
Mnaimba vzr sana sana. Lakini naomba mjitahidi kuongeza ala za muziki hasa hasa ngoma (tumba). Mtakuwa pazuri zaidi. BWANA azidi kuwabariki sana