Happy New Year! Hallelujah; Amen, and Amen. Revival in the Mighty Name of Jesus Christ. Glory to God in the Highest who Reigns for Eternity. Sisi niwashindi na tumeshinda katika Jina la Yesu!!!!
@agnesmwangi3102 күн бұрын
The presence of God was overwhelming . May His Name be praised
@agnesmwangi3102 күн бұрын
We are entering into the promised land all round our lives.
@carolmuya7682 күн бұрын
Happy and prosperous new year 2025
@julmuwanje5281Күн бұрын
Amen
@danielkamau29872 күн бұрын
Apostle,wacha kuchanganya neno la MUNGU na Conspiracy story's. hakunjawai kuwa na hakutakuwa na Apostle wa politics,na wachana na unabii wa uongo, na Muthamaki wa thayu ni Jesus,ata washilika hawa wanaakaa hakuna kitu wanashika,Gospel sijui ni gani hii..nikama mkutano wa Campaign.
@AnneNjooriКүн бұрын
Mkutano Iko kwako na inakusubua na Nini , apostle ana ndanganya na anasikizwa na maelfu ,kamau no úhote kúhenia ngi ya kíoro. Uko na ulemafu wa akíri .
@danielkamau2987Күн бұрын
Ni vile bibilia inasema sio mimi,na kama nimekosea ongenikosea kwa maadiko,na Sio matusi na hakuna na hatakuja na hajawahi kuweko phrophet or Apostle wa politics, conspiracy na bibilia haiedani,waatakuja wanabii wa uongo na watapotesha wengi na watasema na kufanya mambo inakaa ya ukweri but niwadanganyivu..Sister njisomee bibilia