ALIYEKUWA MKE WA JUMA LOKOLE ATOBOA SIRI NZITO KUHUSU JUMA LOKOLE/UME KAMILI/MENGINE SIWEZI.

  Рет қаралды 179,736

TimesFMTZ

TimesFMTZ

Күн бұрын

All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Пікірлер: 531
@dismassiragoye7371
@dismassiragoye7371 3 жыл бұрын
Hongera sana dada wewe ni journalist mzuri . Hao wengine ni kelele tu maswali yao hayana maana ni vema wemetoka. Wakapate course kwanza
@kisaujibabou9436
@kisaujibabou9436 Жыл бұрын
Tatizo umbri umemzidi na unajiheshim na uko mzuri Dada angu Juma lokole kawacha kitu chamahana kweli
@noelafrancis9739
@noelafrancis9739 3 жыл бұрын
Hawa wakaka wanaboa wasenge Hawa kelele tu hamna maswali ya maan mnayouliza yan mko kam mashoga vle igeni kwa nwenzenu uyo wa kike,,,mke wa juma mashallah😍
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@sophiasophia6945
@sophiasophia6945 3 жыл бұрын
Hamna watangaz aji hapa Nilijua nimeona peke yangu
@MsChocoFlava
@MsChocoFlava 3 жыл бұрын
Ana sauti kama ya zuchu mashaallah
@linajanuary3624
@linajanuary3624 3 жыл бұрын
Kweli kbxaa aa
@efrahfarahahmed8960
@efrahfarahahmed8960 3 жыл бұрын
Hawa wanaume ndio nini hata interview huwez kusikiliza fujo tu ndio mara yakwanza leo nasikiliza radio hii dah
@chantalmulasi5663
@chantalmulasi5663 3 жыл бұрын
Sina chaku comment ila uki sikiliza kwa makini Uyo dada Bado ana mpenda Juma Lokole sana.
@tatubadi9010
@tatubadi9010 3 жыл бұрын
Wala hampendi ila anamfichia maovu yake..huyu Dada anabusara Sana. Si vema kusema yote.. Kama yeye avoongea ovyo huko..
@yahayab4u614
@yahayab4u614 3 жыл бұрын
Uislam laha mahariii unakopeshwaaa
@peterokalo9632
@peterokalo9632 3 жыл бұрын
Very intelligent lady and beautiful
@tuesdaymeli6893
@tuesdaymeli6893 3 жыл бұрын
Ulipata bahati mbaya ya kuolewa na choko,,juma choko nani asiyejuwa labda wewe tu ndio ulikuwa hujui na ndio maana ukaolewa nae,,pole sana
@princessrachael3037
@princessrachael3037 3 жыл бұрын
Kitu kinacho boa hapa ni hawa watangazaji wa kiume wanakera sana,,
@chinamilenas3375
@chinamilenas3375 3 жыл бұрын
Daaa bora umesema
@mafiosoismail7475
@mafiosoismail7475 3 жыл бұрын
Aliegundua huyu demu bado anampenda Juma na anammis kinomanoma..hebu ngoja kwanza kwan juma yy anasemaje😂😂😂👌👌👌
@jenifajuma5395
@jenifajuma5395 3 жыл бұрын
Siku zote alikuwa wapi? Kwakuwa juma kapata gari tutasikia mengi🙄🙄
@mafiosoismail7475
@mafiosoismail7475 3 жыл бұрын
@@jenifajuma5395 😂😂😂 kimeumana huku njoeni fasta kabla ya wale wa nguvu za kiume hawajaja
@sailesmarashi7421
@sailesmarashi7421 2 жыл бұрын
Huyu mwanamke anaakili Sana...KWA namna nilivyo msikiliza..ingawa sijui kiundani
@CatherineDar-k5v
@CatherineDar-k5v 10 ай бұрын
Hao wakaka wanna kelele Sana wanaharibu wamuache mgeni aongee baadae ndo muanze kumhoji
@mwanahamisseif5506
@mwanahamisseif5506 3 жыл бұрын
Mashaallah mzuri uyu dada sema mwanaume majanga
@loranceleonidas394
@loranceleonidas394 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aZvCdZych7hjedk
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@rocket117-wz
@rocket117-wz 3 жыл бұрын
0
@esamwakilasa
@esamwakilasa Жыл бұрын
Mzuri sana
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Acha kumwaga mambo yako kwenye media
@samiramawby8252
@samiramawby8252 3 жыл бұрын
Jamani nimeipenda show....wakaka mmependezesha yaani mwangwi nimecheka sana.....unashindwa kusema kuwa anakula na kuliwa ndo maana unaogopa kusema mtandaoni
@amourdelicieuse2961
@amourdelicieuse2961 3 жыл бұрын
Yule mtangajazi wa miwani ni mucongomani🇨🇩 100% awezi kuongea kiswahili
@annievibes8794
@annievibes8794 3 жыл бұрын
Kama vile wewe
@rajabubasoloma3982
@rajabubasoloma3982 3 жыл бұрын
Daa! Hawa jamaa wakiume wanazingua Sana, wanafanya kipindi kiboe,tulieni basi tuckilizie acheni maneno maneno,
@afandechanel1507
@afandechanel1507 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣😂😂😂
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 3 жыл бұрын
😄😂😂😂Juma pimbi😅
@augustinajoachimu3456
@augustinajoachimu3456 3 жыл бұрын
Wakwanzaaa naomba like pls 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@loranceleonidas394
@loranceleonidas394 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aZvCdZych7hjedk.
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 5 ай бұрын
Juma kumbe hana akili alimpata mke mwema mwenye busara daaah kwenye miti hakuna wajenzi jmn juma pole sana
@malakimoses6115
@malakimoses6115 5 ай бұрын
juma anachezea bahati wakati umepata unamke pisi kali na nimvumilivu sana duh ama kweli mungu anawapa bahati watu wasiokuwa na habari nayo
@obillaezra6205
@obillaezra6205 3 жыл бұрын
Watangazaji Mnazidiwa sana na Mnayemhoji hamna Viwango vya Kumhoji huyo Dada”
@Thebaddest255
@Thebaddest255 Жыл бұрын
Wana makelele
@missmwayway4704
@missmwayway4704 3 жыл бұрын
Jamaniii yule missbela si alisemaga mke wa Juma lokole ni Mwarabu khaaaaa😳😳😳😳😳😳
@loranceleonidas394
@loranceleonidas394 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aZvCdZych7hjedk.
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Mwalabu mwenyewe anasemaje
@missmwayway4704
@missmwayway4704 3 жыл бұрын
@@gosbertmuta5421 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 unadhani mm najua hata nn anasema huyo mwarabu
@hidayayussufu7080
@hidayayussufu7080 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@hidayayussufu7080
@hidayayussufu7080 3 жыл бұрын
@@gosbertmuta5421 😂😂😂😂
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 жыл бұрын
KUMBE JUMA MWANAUME KAMILI KASORO AKILI 🤣🤣🤣🤣🤣
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Kamstr tyu
@sarahkeivaly3351
@sarahkeivaly3351 Жыл бұрын
hujasikiliza vizuri hii interview, yaani huyu dada kasema kuna vitu vingi viko deep Sana kuongelea kwenye media zitafungiwa. Sasa hapo akili zako ndio zijiongeze kama kuna kitu ukikiongea kwenye media inafungiwa ni kitu gani hicho?!! au nenda kaulizie watu wa media kwamba hawatakiwi kuongelea kwenye media vitu gani na gani kwa uwazi
@Annalisejg2ur
@Annalisejg2ur 4 ай бұрын
Mziguwa mwenzangu
@Itssutsuri
@Itssutsuri 3 жыл бұрын
Kazi yake nikujua kuchamba amlipe dada wawatu juma mungu anakuona muheshimu dada wawatu dhurma malipo yake hapahapa duniani
@RichardMlaguzi
@RichardMlaguzi Жыл бұрын
😂😂
@aishamukandanga272
@aishamukandanga272 3 жыл бұрын
Kumbe Aisha tunakuaga wapolee basi tu ,MaashaAllah
@aishakhamis714
@aishakhamis714 3 жыл бұрын
🤣😂ndio
@mishimzihir7301
@mishimzihir7301 3 жыл бұрын
Umeona wajna
@رحمهتنزانيا
@رحمهتنزانيا 3 жыл бұрын
Kweli kabisa majina yaisha wavumilivu kuna rafiki yangu Aisha akichofanyiwa na mumew hadi huruma na bado anampenda unafanya kazi omani pesa akamtumia pesa ya kujenga na mwisho wasiku mwanaume ana mwanamke mwingine wala inauma
@halimakibwana7188
@halimakibwana7188 3 жыл бұрын
@@رحمهتنزانيا mtihani
@queenbizo2899
@queenbizo2899 3 жыл бұрын
Mashallah, umeamua kumsitiri mzazi mwenzio ila yeye sasa atakuchambua kama karanga.
@shickysshicky1745
@shickysshicky1745 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 eti atamchambua kama karanga
@tnice4180
@tnice4180 3 жыл бұрын
Hahaha
@loranceleonidas394
@loranceleonidas394 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aZvCdZych7hjedk
@mariamukingazi3668
@mariamukingazi3668 3 жыл бұрын
Hahaha
@munirashughuli7224
@munirashughuli7224 3 жыл бұрын
Hahaha
@davidnchoji
@davidnchoji 3 жыл бұрын
Ingekuwa Watangazaji wazuri (wenye professional hiyo) hii interview ingekuwa nzuri zaidi.
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
Umeona eheee
@chichimwariwawanyoike4872
@chichimwariwawanyoike4872 3 жыл бұрын
Aki Wa TZ mnanimaliza ati kukopeshwa mahali 😳ulisikia wapi😂😂😂
@tousihhhh6765
@tousihhhh6765 3 жыл бұрын
mbavu zang mie jamani zimelegea huk jamani huu umbea jaman kam ugonjwa jaman 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅😅😅😅😅😃😃😃😃😃😃😃😆😆😆😆😆😆😆😆😆😲😲😲😲🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@rehanijuma1421
@rehanijuma1421 Жыл бұрын
Hawa wanaume kama Jumalokole 😅😂kelele tu wanawashwaa😮😂😂
@jestinastephano1592
@jestinastephano1592 3 жыл бұрын
Msema wezake kapatikana Leo yake yaanikwa kakopeshwa mahali aliiliiiiiiiii
@brigidmua2548
@brigidmua2548 3 жыл бұрын
Juma lipa deni ya mahari ....300k
@ModdySalim
@ModdySalim 3 жыл бұрын
Kanaongea sana juma lokole kumbe mahari katolewa kamekaa mjuaji kumbe deni hajalipa 😂😂😂😭😭😭😭
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@mumbesophia-jd3lt
@mumbesophia-jd3lt Жыл бұрын
Nimefurahi sana juma kapatikana maana anajifanya msemaji sasa lokole jibu wewe si mrume
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 3 жыл бұрын
Akurudishie hizo pesa na riba yake,anapenda kulelewa na wanawake wenye pesa
@hadijahaji9712
@hadijahaji9712 3 жыл бұрын
Dada angu makabila yote yangu sisi tuwavumilivu kweli kbila la wzigua
@irenebellabellah4003
@irenebellabellah4003 3 жыл бұрын
Weee dada unajitambua. Mungu akubariki sanaa
@OfficialA83640
@OfficialA83640 3 жыл бұрын
Nimegundua huyu dada bd anampenda Lokole wangapi wameliona hilo
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Jina lenyewe linasemaje
@najmabajun4290
@najmabajun4290 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@teddylameck21
@teddylameck21 3 жыл бұрын
Ujawai kuachwa ww tena na mtoto acha ww
@tatubadi9010
@tatubadi9010 3 жыл бұрын
Wala hampendi.. Nyie hamsikilizi vizur tu..
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 3 жыл бұрын
Wala hampendi
@LeilaAbdull-jg6ho
@LeilaAbdull-jg6ho 4 ай бұрын
Huyu juma hana hakili umasikin niwakuongerea kubwa jinga kwer
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 3 жыл бұрын
Times akuna watangazajiiiii?????jmn hao wakaka wanaharibu kipindi ovyooo
@mtupeace8235
@mtupeace8235 3 жыл бұрын
Kabisa
@subiramichael3840
@subiramichael3840 3 жыл бұрын
Ira juma ludisha pesa zauyu dada nauyu dada anakupenda kwa dhati utajuta nanyie watangazaji wakiume badilikeni mnaboa amjui kutangaza mnakera sana
@btylove1870
@btylove1870 3 жыл бұрын
Binaadam bana! Unapata mtu anakupenda anakuheshimu then unamdharau nakumuonesha kibrii!! Lakini dada shukuru Mungu umeondoka salama angekuuwa na stress na maradhi juu! Be happy mama Mungu kakunusuru.
@missmalindikenya6204
@missmalindikenya6204 3 жыл бұрын
Juma njoooo
@rehemaabdallah3180
@rehemaabdallah3180 2 жыл бұрын
Kheee ndo alivyo halooo kumbe anayaweza
@salmamrembo4360
@salmamrembo4360 3 жыл бұрын
Aunt unasati nzuri mashallah
@linajanuary3624
@linajanuary3624 3 жыл бұрын
Kma zuchu
@steavmcper7322
@steavmcper7322 3 жыл бұрын
Huyu selaa mwenye lafudhi ya kikongo ankera kinyama
@aishasaidaishasaidaishasai2319
@aishasaidaishasaidaishasai2319 3 жыл бұрын
Daa Aisha somo bado wampenda jumalokole😘
@marysanga6757
@marysanga6757 3 жыл бұрын
Xa
@loicekazungu1297
@loicekazungu1297 2 жыл бұрын
Dada unaeshima sana mashallah
@marrytwaha7444
@marrytwaha7444 3 жыл бұрын
Times fm please awaa watangazaji wa kiume tooo much noises hamna point
@lucycast6994
@lucycast6994 3 жыл бұрын
Wanaboa sana... Sio professional
@agnesmanimba8548
@agnesmanimba8548 3 жыл бұрын
Hao watangazaji wakiume hakuna kitu hapo
@consolataraymond4822
@consolataraymond4822 3 жыл бұрын
Wanakaa wacongo swahil iko ngumu kwao
@loranceleonidas394
@loranceleonidas394 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aZvCdZych7hjedk
@josephkiwale3495
@josephkiwale3495 3 жыл бұрын
Hamna kila Kitu hapo
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 3 жыл бұрын
Munaonekana MLIPENDANA SANA. DAAAA WEWEEEEE. LUDIANENI BWANA DSAAA. MIMIII NIMEWAPENDA SANA. IUI LIKUWA UTO TUUU OOOOO
@loranceleonidas394
@loranceleonidas394 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aZvCdZych7hjedk
@sophiamsuya1740
@sophiamsuya1740 3 жыл бұрын
Huyo kaka mwenye shati la mistari anaboaaa muondoeni
@siwemaswedysiwemaswedy2947
@siwemaswedysiwemaswedy2947 3 жыл бұрын
liziki ya mtundugu usimualibie
@marymata8977
@marymata8977 3 жыл бұрын
Kana ni kweli ci umbea huu leteni juma tumsikiee side yake
@rahmarajab3688
@rahmarajab3688 3 жыл бұрын
Juma,Juma,jumaaaaaa,Umemuachaje mke mzuri hivi,,tena aliyekukopesha mahari ili akuondolee aibu!?,,Juma Anavyojua kusemà na kushadadia ya wenziwe,kumbe ya kwake kaweka makalioni kafunika na ch,,,,,,pi, doooooo,Angekuwa Juma hivyo vitu vya siri angebwatukaa,,"A I B U Yee Ni mbaya saana,,, Wazazi ooh wazazi ooh ooo oo,!!!
@khadijaali1168
@khadijaali1168 3 жыл бұрын
Mnamakelele sana hamna ustaarabu
@agnesdidas2790
@agnesdidas2790 3 жыл бұрын
Hongera kwa kumsiri maana uyo sio mwanaume kamili
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 3 жыл бұрын
Kutokupenda ndugu zake na kusifia ndugu wasiowake ni ujima na ushamba
@ellieayamba5299
@ellieayamba5299 3 жыл бұрын
Great Interview... Lady seems honest...Wise too
@queenemilius6864
@queenemilius6864 Жыл бұрын
Hahaha
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 3 жыл бұрын
Acheni tabia ya kuanika ndoa zenu mitandaoni mnawavunja moyo waliobado
@veronicalufingo3513
@veronicalufingo3513 3 жыл бұрын
Hao wakaka kyaa hata kipindi hakijanoga dada tafuta watu wastaraabu kama wew kyaaa
@sabraali9941
@sabraali9941 3 жыл бұрын
Kwaiyo huyu bibie ndio anafanya media tour kuzungumzia Mahusiano juma lokole mbona atajutraa mjini 🙄🙄🙄
@najmasalimsalim2741
@najmasalimsalim2741 3 жыл бұрын
Watangazaji wakiume mahayawani
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Mahayawani yenyewe yansemaje
@AminaJuma-zb7xs
@AminaJuma-zb7xs Жыл бұрын
Uko vizur Tena makini sana injoi umeepukana nauyu mt
@abubakarsuleman1983
@abubakarsuleman1983 3 жыл бұрын
Uyu mwanamke anampenda juma kimtazamo na huyu kama juma ni muelewa huyu ndio mke wake, rudini mukalee mtoto.
@loranceleonidas394
@loranceleonidas394 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aZvCdZych7hjedk
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Juma sasahv hadndshi
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 жыл бұрын
Duh Juma kufatilia ya wenzake yk yanamshinda hd mahari unakopeshwa
@LeilaAbdull-jg6ho
@LeilaAbdull-jg6ho 4 ай бұрын
Unahojiwa namakubwa jinga maisha nipopote
@maryamhaidar931
@maryamhaidar931 3 жыл бұрын
Kuna watu wana roho jaman, yan wameachana na ameongelewa vibaya lakn bado tu anamsemea vyema daaah
@dechaggagirl1614
@dechaggagirl1614 3 жыл бұрын
KUMbe juma nae ana yake nyuma ya pazia😂😂😂kujishaua kote ila nyinyi hawa viumbe
@loranceleonidas394
@loranceleonidas394 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aZvCdZych7hjedk,
@letisiamakonda3873
@letisiamakonda3873 3 жыл бұрын
😹🙌
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
🤷
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 жыл бұрын
Hahaha anafatilia tu ya wenzake
@wennybarny168
@wennybarny168 Жыл бұрын
Wanawake mabonge ni wavumilivu sana
@lucycast6994
@lucycast6994 3 жыл бұрын
Wanaume hawa wa times mxiuuu.. Tulieni
@saadiyaabdallah1910
@saadiyaabdallah1910 3 жыл бұрын
ASHA USIONE HAYA KUSEMA KAMA JUMA LOKOLE NI MSENGE ULIMFUMANIA AKIFIRWA NA MWANAUME MWENZIWE... USIJALI MEDIA HAIFUNGWI .
@jenifajuma5395
@jenifajuma5395 3 жыл бұрын
🙄🙄🙄🙄🙄🙄kumbeee
@Kijana-wa-Tanzania
@Kijana-wa-Tanzania 3 жыл бұрын
🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️mimi simo😂😂
@12322879
@12322879 Жыл бұрын
Hao wahuni wanaharibu kipindi…muacheni huyo dada aendeshe kipindi mwenyewe.
@MusaLuvanda
@MusaLuvanda 5 ай бұрын
Pole dada kuolewa na shoga
@jamilamuna4555
@jamilamuna4555 3 жыл бұрын
Huyo juma amshukuru mond kwa kwel ,,
@pendomariki6562
@pendomariki6562 3 жыл бұрын
Juma ustar unamsumbua sio kwamba ni shoga umbea tu anajua ila ameoa
@robertabel6984
@robertabel6984 Жыл бұрын
Nyie wanaume mbona wasenge wasenge mna mikelelekelele kama mishoga....
@monicamwanjisi693
@monicamwanjisi693 3 жыл бұрын
Hawa watangazaji mbona chenga
@loranceleonidas394
@loranceleonidas394 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aZvCdZych7hjedk.
@dungayusufu1954
@dungayusufu1954 3 жыл бұрын
Allah anapenda mtu mwenye kumsitiri aibu ya mtu allah atamsitir siku yakiyama
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 3 жыл бұрын
Halafu anasema yy ni mtu mvumilivu sana.
@verenabusanda4044
@verenabusanda4044 3 жыл бұрын
Yaaan hao wanaume wanaboaaaaaa...khaaa watangazaji gani hao...embu wabadilisheni..makeleelee
@elizabethbyabato8397
@elizabethbyabato8397 3 жыл бұрын
Hawa watangazaji ya kiume hovyo! Hasa huyu anayejifanya Mkongo
@husnamfuko6136
@husnamfuko6136 3 жыл бұрын
Hahahahah
@elizamwigune4467
@elizamwigune4467 2 жыл бұрын
Anaboa huyo mkongo
@kobajumakuziwa9976
@kobajumakuziwa9976 3 жыл бұрын
Hawa ndio wanawake wapumbavu kutaka kujulikana kwa nguvu haya sio mafunzo ya kiafrika
@loranceleonidas394
@loranceleonidas394 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aZvCdZych7hjedk
@husnaiyasulesh4687
@husnaiyasulesh4687 3 жыл бұрын
Nawanaum nao
@sumbujumanne7496
@sumbujumanne7496 3 жыл бұрын
wewe mbona mstaarabu uyu ningekuwa mimi ningesema mpaka angekoma
@jenifajuma5395
@jenifajuma5395 3 жыл бұрын
Hata ningekuwa Mimi ningesema vizuri tu mwanaume mwenyewe juma lokole asokuwa na Adabu🙄🙄🙄
@sumbujumanne7496
@sumbujumanne7496 3 жыл бұрын
@@jenifajuma5395 umeona ndugu yangu eti kanipikia maandazi kama angetaka kuku siange toa pesa yake mashauzi mengi hela hauna😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@samiramawby8252
@samiramawby8252 3 жыл бұрын
Jamani hiki kipindi nimekipenda yaani watangazaji motoooo hiki ndo kipindi siyo MTU anataka watu watulie kama wafiwa...nimekupendaaa bureee
@maisarahakizimana7074
@maisarahakizimana7074 3 жыл бұрын
Itakuwa shoga kweli juma
@loranceleonidas394
@loranceleonidas394 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aZvCdZych7hjedk.
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Lokole majanga
@josephkiwale3495
@josephkiwale3495 3 жыл бұрын
Daaah!!lokole haeleweki kabisa yani
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 3 жыл бұрын
Umeambiwa mwanamme Kamili juma
@eppiemodest
@eppiemodest 3 жыл бұрын
Ni vizuri ulivyofanya vile hongera sana dada vumilia umsamehe. Wengi wanasaidia waume mahari. 70.000 haendi ulaya wewe. Kipindi hicho 500.000 ni nauli ya mwanafunzi toka hapa hadi ulaya. ml. 1 ni nauli yenyewe. Unaongea bila kufanyia utafiti wewe kijana.
@shakilaabdallaherio5617
@shakilaabdallaherio5617 3 жыл бұрын
Kumbe juma umbea ameanza zaman😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 жыл бұрын
Kwanza Hongera upo vzur mrembo Pili achana na juma angalia life yako utampata mwanaume mwengne kikubwa Uzima tu Kama hujapata mwanaume njoo kwangu 🏃
@momomella9845
@momomella9845 3 жыл бұрын
Nyoooo
@meriserge1415
@meriserge1415 3 жыл бұрын
@@momomella9845 🤣🤣🤣
@shanifesto9037
@shanifesto9037 3 жыл бұрын
Hahahaaaaa juma nakuchamba kote watu kumbe wadaiwa mpaka mahari dahh ,,Unakopa ,,acha umbea haukufai wewe ndio unatakiwa uchambweeeeew,hahaaa
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 3 жыл бұрын
JUMA LOKOLE AWACHE SIFA ZAUJINGA NA UMAMA ... AKOMAE AKILI KIUME BADALA YA KUKOMAA MWILI
@chidymswti3604
@chidymswti3604 3 жыл бұрын
Nimempenda huyu Dada....Natamani angekuwa wa kwangu
@robertabel6984
@robertabel6984 Жыл бұрын
Acha ushamba tafuta mwnamke mtaan kwenu achana na shobo za mtandao
@fatimamowa8166
@fatimamowa8166 3 жыл бұрын
Mchambueni juma lokole kama anavowanyambuwa wenzie
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 3 жыл бұрын
Huyu twaha ndio namuona Leo
@yudamwinami6011
@yudamwinami6011 3 жыл бұрын
Kidato kimoja sadani secondary school
@loranceleonidas394
@loranceleonidas394 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aZvCdZych7hjedk
@fettymurhan229
@fettymurhan229 3 жыл бұрын
daaa TIMES hamna watangazaji yaan hao wanaume loooh
@happymwinyi6194
@happymwinyi6194 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@loranceleonidas394
@loranceleonidas394 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aZvCdZych7hjedk
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 3 жыл бұрын
BABA WATOTO WANGU HUWAITA JINA LANGU MA DADA ZAKE WOTE MAJIRANI ZANGU WAFANYI KAZI WAKE MAMA KE AKIONGEA NAO HUWAITA MAJINA YANGU... MIMI HUCHEKA SANA 🇰🇪🇨🇿
@faizamohamed6993
@faizamohamed6993 3 жыл бұрын
Mashallah mrembo hata alikuwa hafai kuolewa na lokole
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 3 жыл бұрын
Dada ananidham masha'allah
@RK.lifetimestory69
@RK.lifetimestory69 3 жыл бұрын
Mnakosea sana kuhojii ,namuendani kabisa na story jalibuni kua serious
@fahmyabdallah387
@fahmyabdallah387 3 жыл бұрын
Nawashauri tu hiki kipindi chenu hakitafika mbali mnazidi kushuka watangazaji wa hiki kipindi hawajatulia hata kidogo wana papara kasoro huyo msichana ndo anajua utaratibu wa utangazaji... ila hawa wavulana wawili wanaharibu kipindi kabisa
@mtupeace8235
@mtupeace8235 3 жыл бұрын
Kweli kabisa
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 3 жыл бұрын
Watangazaji sio ma professional
@afandechanel1507
@afandechanel1507 3 жыл бұрын
Hawa watangazaji wakiume sijui walipata kazi vp hapo Times kipindi kinapo kuwa radioni kinakuwa na kazi moja tu kuelimisha na kukosoa
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 117 МЛН
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 27 МЛН
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,3 МЛН
LIVE: ZILIZOKIKI | HEKAHEKA | SAUTI ZA VIBEGA .
1:53:27
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 2,8 М.
Ep : 5 I Jain Philosophy: An Introduction I Dr Vikas Divyakirti
3:29:27
Vikas Divyakirti
Рет қаралды 9 МЛН
JUMA LOKOLE :WANAJUA MIMI SHOGA/VANESSA MDEE KATUDHALILISHA SANA
28:31
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 117 МЛН