"KISASI CHA NUNDA" Sehem ya 8 Final ... TINWHITE / MKOJANI / NUNDA / DUME LA PWANI/ KILANGASO /KALO

  Рет қаралды 25,566

WHITE FILMS

WHITE FILMS

Күн бұрын

Пікірлер: 40
@mchizipetro
@mchizipetro 20 күн бұрын
Kwenye hii tamthilia , I'm a victim of mob justice, but for sure there's no justice under mob justice yet they say ' usijichukulie Sheria mkononi mwako ilihali ukuitiwa kelele za mwizi unipigwa na halaiki ya watu , eti hio ndio haki ya mwizi hata kama hukua mwizi.
@PetroMafuru
@PetroMafuru 20 күн бұрын
Kaka saivi unazingua sana sio siri lekebisha tunakukubali sana family
@SalmaShabani-n2i
@SalmaShabani-n2i 18 күн бұрын
Ustuangushe basi broo 😊😊😮 tunakuelewag sana zaidi ya sana jamani ❤❤
@djanfarmoulay6865
@djanfarmoulay6865 20 күн бұрын
Nauza mafuwa Kwa bei nafuu😢😢😢 tena ni Yale makalii 😢😢😢Ila naitaji mnunuzi mwenye uhakika 10:20 😢
@ReginafrancisNkalyan
@ReginafrancisNkalyan 20 күн бұрын
Athubutu nimetoka kuwamwaga juzi tuu yamenipa hasara mno
@fatumaselemani3807
@fatumaselemani3807 4 күн бұрын
Mashallah ❤❤❤❤❤❤❤
@rizikisam6481
@rizikisam6481 20 күн бұрын
😢😢😢😢 hii nchi ukiitiwa mwiz tu umekufa watu awajiulizi ata kama umeiba 😢 ila dume la pwani hao watu alitakiwa awaite mapema
@Awoshy
@Awoshy 19 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥ila Abdul mbona umezeeka jamani mdogo wangu😂
@rizikisam6481
@rizikisam6481 20 күн бұрын
Ila nunda umempga tumboni kitambi chake jamani
@MarcelinbbmBirindwa
@MarcelinbbmBirindwa 16 күн бұрын
Cool 👌🇨🇩
@KoreanDramaMoviesKiswahili
@KoreanDramaMoviesKiswahili 20 күн бұрын
❤❤❤
@Youngzuku3456
@Youngzuku3456 20 күн бұрын
Bigup xan bro tin na tim yako nadhn 2025 itkuw babu kubwa
@ZenaMsengi
@ZenaMsengi 21 күн бұрын
Wa kwanza Leo nipeni like zangu
@ngoshaog1255
@ngoshaog1255 19 күн бұрын
❤🙏
@Awarewell4
@Awarewell4 16 күн бұрын
Ubaya ubaya 😅
@GENZ-c1q
@GENZ-c1q 21 күн бұрын
Acheni kuchelewesha
@JamesKereth-zb8cb
@JamesKereth-zb8cb 20 күн бұрын
Tunga na ww tuone ukiwahisha
@ramadhankakai7303
@ramadhankakai7303 19 күн бұрын
​@@JamesKereth-zb8cbunatetea uvivu wa tini kisa ushabiki...jamaa anazingua. Episode moja baada ya wiki mbili ndio nini? Episode yenyewe dakika tano
@BarakaDavid-uq8xc
@BarakaDavid-uq8xc 21 күн бұрын
From keny
@SadikiHassani-h6j
@SadikiHassani-h6j 15 күн бұрын
Hahaha ety kasamehewa
@Mrpasakaonline70
@Mrpasakaonline70 20 күн бұрын
Funga mwaka hiii
@imapetro
@imapetro 20 күн бұрын
Muv karisana rakini usiwemnacherewakuiachiyat
@tusmokinana3836
@tusmokinana3836 18 күн бұрын
Eti malaika wale
@izdorythadeo4636
@izdorythadeo4636 20 күн бұрын
Hakuna movie mbovu miliowahi kutoa Kama hii
@AbubakariMohamedi-fx3pd
@AbubakariMohamedi-fx3pd 20 күн бұрын
Amesamehewa
@mchambikisupi9204
@mchambikisupi9204 19 күн бұрын
Ila huyu dem wa nunda anajua uhalisia anajua ku act kwakweli
@augustinemlelwa
@augustinemlelwa 21 күн бұрын
number one haha
@victormbudzikaingu5801
@victormbudzikaingu5801 21 күн бұрын
Nimewhi
@SadatiIssa-n1r
@SadatiIssa-n1r 21 күн бұрын
Unyama huo
@GENZ-c1q
@GENZ-c1q 21 күн бұрын
But mm nko no one
@kelvinnyunza-us9jj
@kelvinnyunza-us9jj 18 күн бұрын
😢
@dekingvideoz4944
@dekingvideoz4944 21 күн бұрын
Sawa mkuuu
@josephmganga2953
@josephmganga2953 21 күн бұрын
Video kolu😂😂😂
@allychakatu2017
@allychakatu2017 20 күн бұрын
Kumbe ni the end
@shabartsuleiman2254
@shabartsuleiman2254 21 күн бұрын
😊😊😊
@piomallya9999
@piomallya9999 21 күн бұрын
🎉🎉🎉
@SafiaHamadi-vi4xv
@SafiaHamadi-vi4xv 20 күн бұрын
Mkojani 😂
@ZenaMsengi
@ZenaMsengi 16 күн бұрын
Kawaona malaika waleeee😂😂😂😂😂
@ramadhankakai7303
@ramadhankakai7303 19 күн бұрын
Mimi nitazidi kumpa Chumvi nyingi respect ya kutosha..pamoja na changamoto zote jamaa hana tabia ya kuchelewesha episodes na analeta dakika za kutosha sio haws tini na mkojani episode moja kwa mwezi na episode yenyewe dakika nne ishaisha...
TIMU MBOVU : MKOJANI,TIN WHITE,SAMOFI,TUMAIN ABDALAH [ PART 1]
23:15
WATEMA MADINI
Рет қаралды 460 М.
БОЙКАЛАР| bayGUYS | 27 шығарылым
28:49
bayGUYS
Рет қаралды 1,1 МЛН
«Жат бауыр» телехикаясы І 26-бөлім
52:18
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 434 М.
Жездуха 41-серия
36:26
Million Show
Рет қаралды 5 МЛН
DANGA LANGU FULL MOVIE MKOJANI#CHUMVINYING
1:28:22
MPAYU FILM
Рет қаралды 34 М.
Ubaya Ubwela (Ep.01) || Mkojani na Tin White
18:47
Afro tv
Рет қаралды 26 М.
ASHURA KIUNO (( 1 ))
19:14
DOKO
Рет қаралды 86 М.
Ubaya Ubwela (Ep.09) || Mkojani, Tin White na Dume la Pwani
14:42
KICHWA CHA FAMILIA   | Part 3|  staring MKOJANI ,MBEMBE , GALASA
21:43
CHUNGU CHA UKOO FULL MOVIE #CHILLYMWINYIMKUU #KIPESILE
2:02:24
MWARABU FILMS
Рет қаралды 19 М.
SIRI NZITO | 3| MKOJANI_SAMOFI_TIN_BABA HAJI
19:54
MKOJANI GANG
Рет қаралды 100 М.
KAZINI KWANGU KUNA KAZI
11:46
Joti TV
Рет қаралды 125 М.
USISEME - EPISODE 01 | CHUMVINYINGI
20:01
CHUMVINYINGI GANG
Рет қаралды 106 М.
Sale ! is on | jr Mr bean |
0:58
jr Mr Bean
Рет қаралды 16 МЛН
СБОРНИК СЕРИЙ 2022 - СЛЕПАЯ
1:35:08
СЛЕПАЯ
Рет қаралды 131 М.
Батя рассказывает о Люберцах в 90-е
0:52
Апельсиновый Пазолини
Рет қаралды 623 М.