MO hajasema atatwaa ubingwa msimu huu. Hiyo ni long term plan ya Simba ktk miaka mitatu ijayo.
@anithawidambe7543Ай бұрын
MO TIMU BORA NI ILE YENYE WACHEZAJI BORA NDY ITAITWA TIMU BORA SAJILI BORA NDY ZENYE WACHEZAJI BORA.
@yasinisalumu3311Ай бұрын
Unaakili sana kumbakiza Ayoub
@shaabanramadhanАй бұрын
Ndugu mchambuzi nakurekebisha mwa 1993 Simba ilifika fainali kombe la Caf na siyo kombe la washindi
@erickprotace9463Ай бұрын
Kwa taarifa Simba analibeba. Wachezaji wanaongezwa. Ndo utaanza kuchambua wachezaji wapy kuwa wameleta kombe. Timu hiyo hiyo hakuna kuongeza zaidi. Tunamleta KIZUMBI, FEI TOTO, na Ngoma unayesema ni mzoefu anatemwa Kuna kifaa kinakuja na hakijawah kucheza clab bingwa na kombe linabebwa
@mashokmapinda1707Ай бұрын
Tatizo huyo Mwamnyanyi maelezo meeeeengi km mwanasiasa
@idikassa5529Ай бұрын
Kamunyanganya yanga combe na hiyo medale
@AbdulwahidAli-md6reАй бұрын
Huyu mtangaazaj Mashallah anakila kitu cha utangazaj anajua kuzungumza na kikubwa zai ana sauti ya kukutangaza like DJ Maki flani ivi 😀😀
@EltrudaModest14 күн бұрын
T
@erickprotace9463Ай бұрын
Uchambuzi umekalia kuangalia wachezaji wa miaka mingi ambao wamewah kucheza michuano. Mbona na sfaxean nao Wana wachezaji ambao sio wazoefu na umewataja kama wako bora.
@idikassa5529Ай бұрын
Ateba kishaa vaa medale
@altokomba6386Ай бұрын
Hajavaa huyo alienda January USM ALGER... NA USM HAWAKUCHEZA FINAL MSIMU ULOISHA WALISUSIA KWA BERKANE