@@AbdallahSadick-z6b pole kaka tutajitahidi kufanya hivyo..
@GaboKidogoli2 ай бұрын
❤❤nimeipenda
@mulapfarm96642 ай бұрын
@@GaboKidogoli Tunashukuru mkuu
@claudjohn2 ай бұрын
Asante kaka kwa somo
@mulapfarm96642 ай бұрын
@@claudjohn Karibu mkuu
@babuafya34462 ай бұрын
Ili upate Faida ya ufugaji zalisha chakata na kuuza
@saidgeyash25692 ай бұрын
Tunashukuru ,naona umetuelekeza mfano __kupika na namna ya kupika ,kupika ni kuandaa chakula na namna ya kupika ni kuwa na jiko sufuria na mwiko na moto na kitu cha kupika nk. Tulifikiri utatufundisha utaalam wa kufuga .maana nikweli wengine hatupati faida hebu tufundishe mbinu za kiufundi za ufugaji ili tupate faida broo😮
@mulapfarm96642 ай бұрын
@@saidgeyash2569 Asante sana mkuu. Naomba nijue unahitaji nifundishe nini hapo kwenye mbinu za kiufundi niandae kipindi kingine!