Рет қаралды 167
Chunya Dc Online
Dhana ya kujiajiri imekuwa dhanan pana na yenye maswali mengi kwa vijana hasa dhana hiyo inapotolewa na mtu ambaye hajajiajiri au ameajiriwa na serikali maeneo malimbali nchii au ameajiriwa sekta binafsi.