,ansar suna NI zulma tupu wamewadhulumu yatima na mjane wakamfuñgulia kesi makama kwa haki zake na yatima wakashinda kwa dhulma Allah atawahukumia inshaallah
@abuushuraih38093 жыл бұрын
ألحَمْدُ ِلله والمنة أن أکون من السلفیین USALAFI NA UANSWARU NI VITU MBALI MBALI SANA KAMA MBINGU NA ARDHI...
@ahmadmzoa748 ай бұрын
Mnayo ya kujibu mbele ya ALLAH A'ZZA WAJALLA ,msipoacha hizi bidaa' zenu za kuugawa Uislamu makundi makundi kama washirikina. Kwa kujizaki kwa nembo ya firqati nnajiya...
@AbuuDharry8 ай бұрын
Ndugu yangu! Unaonekana Unatafuta Majibu Ya Kifedhuli Useme Kuwa Watu Hawana Adabu, Kama Una Hoja Juu Ya Salafiyyah Chukua namba Iliopo Kwenye Bango Unitafute, USIPIGE KELELE HUKU KWENYE COMMENTS TUU!! Kama Una Maelezo Yoyote nitafute, baaraka Allah fiyk
@Markazabuuhanifa7 ай бұрын
Huu ni ujaahili Nyinyi ni Majadiyda.
@AbuuDharry7 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/iHismJWAoJZnbMU
@alikhamis63263 жыл бұрын
Anna salaf is not answar sunnah
@mbaroukslima97703 жыл бұрын
Kumbe ww sio muislam eee?
@AbuuDharry3 жыл бұрын
Unamaanisha Nini swali lako je tabligh sio muislamu , masufi sio Waislamu !?
@mbaroukslima97703 жыл бұрын
@@AbuuDharry Huwezi kulifaham hlo suali ukiwa ni mshabiki wa kundi au kikundi fulani nn nmemaanisha!!? Ila fikiria kwnza hpo ndipo utaelewa.
@muslimmassoud26732 жыл бұрын
@@mbaroukslima9770 alivyokusudia yeye ni muislam ambae anafata manhaj ya Salaf swaleh nd maan ya kusema anaa Salafy