TOP 10: KAULI ZA BABA WA TAIFA MWL. NYERERE ZILIZOTIKISA

  Рет қаралды 1,107,974

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

TOP 10: KAULI ZA BABA WA TAIFA MWL. NYERERE ZILIZOTIKISA
Trh 14 october mwaka 2019 ni maadhimisho ya miaka 20 ya kifo cha baba wa taifa, hayati Jullius Kambarage Nyerere.Katika uhai wake kuna mambo mengi sana ambayo amekuwa akiyasema katika njia ya kufikisha ujumbe wa namna anavyochukizwa na hivyo vitu.Hii leo nimekuletea kauli 10 za baba wa taifa zenye nguvu zinazoendelea kuishi mpaka leo.
Ilikuwa ni mwaka 1995 wakati wa kamati kuu ya CCM ilipoketi kule Dodoma kwenye vikao vyao vya kumteua mgombea urais ambaye atamrithi rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi. Ndipo mwalimu Jullius Kambarage Nyerere alipopata nafasi ya kutoa nasaha zake, ambapo katika hotuba yake alizungumzia mambo mbalimbali kwanza alizungumzia adui namba moja wa taifa hili, Rushwa na namna ambavyo kiongozi ajaye anatakiwa apambane nayo.
#miaka20yakumbukiziyababawataifa
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
---------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY: www.youtube.co....
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:www.youtube.co....
GLOBAL RADIO TV:www.youtube.co....
EXCLUSIVE INTERVIEWS:www.youtube.co....

Пікірлер: 513
@ramadhanramadhan1847
@ramadhanramadhan1847 3 жыл бұрын
2021 Kama unasikiliza Mpaka Leo gonga like hapa
@lazarouskisotangukuukoromo4963
@lazarouskisotangukuukoromo4963 3 жыл бұрын
Sokone
@danieloleringa9185
@danieloleringa9185 3 жыл бұрын
Nipo
@ngova12345
@ngova12345 3 жыл бұрын
Memorable person
@ramadhanijbirijabiri2942
@ramadhanijbirijabiri2942 3 жыл бұрын
Kamanda wetu,nchi yetu imepata viongoz Bora kutokana namsimamo wako baba wataifa good job mwl,👁️👁️👁️👁️👁️
@kafbethfelix2246
@kafbethfelix2246 2 жыл бұрын
Nipo
@lomwardkupingwa3659
@lomwardkupingwa3659 4 жыл бұрын
2020 kama unasikia mpaka Leo gonga like, udini ahahahahahahaaaaaaaaa
@focusmagesa7964
@focusmagesa7964 5 жыл бұрын
_mnao mkubali uyu jamaa tupia like kwanza tuwende sawa kaka tunaomba makala ya JPM mana uwa unatoa makala nzuri sana kaka nakukubali sana kwa makala zako_
@jamesmzaak7258
@jamesmzaak7258 5 жыл бұрын
Ya JPM IPO kitambo tu
@focusmagesa7964
@focusmagesa7964 5 жыл бұрын
@@jamesmzaak7258 _nataka makala mfululizo za magu_
@rescotv8804
@rescotv8804 5 жыл бұрын
😏😏
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 5 жыл бұрын
Hizo za JPM ziandae wew maana hujielewi mtu bado hajawa legendary unataka aandaliwe story
@MamuduAziz-h1z
@MamuduAziz-h1z 7 ай бұрын
Nyie wote hamjakimbiza gari lamaiti mkizani sukari nyerere mjanja mjanja wa kuongea Lkn mbinafsi wa madaraka hstari
@AlissonJB_77
@AlissonJB_77 5 жыл бұрын
Kama unaamini Nyerere ni kakaake magufuli gonga me like kibao
@shabanmohamed1545
@shabanmohamed1545 5 жыл бұрын
Mungu ailaze roho ya huyu marehemu mahali pema peponi .
@shabanmohamed1545
@shabanmohamed1545 5 жыл бұрын
Magufuli ni no2 ya hayati mwl julias nyerere
@khalidmwingiro4738
@khalidmwingiro4738 5 жыл бұрын
Baricki Zakayo : Siyo kaka yake ila ni baba yake hata kwa umri
@allyderossi9742
@allyderossi9742 5 жыл бұрын
Khalid Mwingiro GOOD broooo.
@allyderossi9742
@allyderossi9742 5 жыл бұрын
Khalid Mwingiro FOR your comment.
@dnmedia3172
@dnmedia3172 5 жыл бұрын
Tunaomba full history of mwalimu nyerere plz plz plz plz gonga like kwa wingi km na wewe unataka
@lipukilawilliam6456
@lipukilawilliam6456 2 жыл бұрын
Ndiyo
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 Жыл бұрын
Nenda kule kwenye channel yake utakuta amahadithia historia za watu mbali duniani
@nisilesanga3602
@nisilesanga3602 5 жыл бұрын
Yani leo umenigusa sana kwani BABA ALIKUWA MWALIMU KWELI LALA SALAMA🙏 pita na like🤛
@christophermachibya1496
@christophermachibya1496 4 жыл бұрын
Mungu awe nawe popote ulipo mzazi
@mussasimba7125
@mussasimba7125 3 жыл бұрын
@@christophermachibya1496 lo)lppp)pl po
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 5 жыл бұрын
Bado mpaka saiv sjaona kiongozi aliyemfikia hata nusu mwl.Nyerere,atabaki wa pekee kwenye Taifa hili
@herimallya3385
@herimallya3385 5 жыл бұрын
Huyu si mwalim ni Mwalim Mkuu,
@georgembilinyi2824
@georgembilinyi2824 4 жыл бұрын
Kama sio judi zako nyerere na uhuru 2ngepata wapi....leo Tz 2mezaliw 2mekuta nchi inauhuru respect kwako.....
@venancemalima1181
@venancemalima1181 5 жыл бұрын
Baba wa Taifa Mwalimu haupo ila Tanzania imepata mrithi wako.Magufuli in mtoto wako.
@azizawadh5973
@azizawadh5973 4 жыл бұрын
Una makengeza. Usimfananishe mwalimu na MTU mwingine yeyote hapa
@edwardbukwaya559
@edwardbukwaya559 3 жыл бұрын
Kweli ni damu moja na Magufuli
@abelmwaipungu8287
@abelmwaipungu8287 2 жыл бұрын
Usinfananishe mwalimu na uyoo kibaraka wako aise
@sebastianmichael4031
@sebastianmichael4031 2 жыл бұрын
Ni kweli magufuri alifuata maadili ya mwalimu.
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 2 жыл бұрын
Dah maraisi tanzania ni wawilitu mzee wetu muasisi wetu nyerere na magufuri
@kennedysalanomashairi7187
@kennedysalanomashairi7187 4 жыл бұрын
Mwalimu Nyerere nilianza kumsikiza hapa Kenya nikiwa na umri mdogo sana. Baba wa taifa la Tanzania alikuwa kipawa kikuu Afrika Mashariki.
@charleskipuyo507
@charleskipuyo507 Жыл бұрын
Mzee alikuwa Noma sana
@philliplebahati6850
@philliplebahati6850 5 жыл бұрын
Mwalimu tunapenda mafundisho yake hapa Kenya.
@alvinsafi2733
@alvinsafi2733 4 жыл бұрын
Kiongozi. ....Chief. ....Teacher....Baba wa Taifa... JPM anatambaa mulemule. .Rushwa...Udini...U chama. .Umoja....Maendeleo. .Utetezi wa wanyonge...Pambana na Colonial master. .Make tanzania great again
@jamesclement3066
@jamesclement3066 5 жыл бұрын
Like zenu wadau, Leo October 14 2019, R .I.P baba wa taifa daima tutakuenzi kwa ushujaa wako na kuudumisha pia umoja na mshikamano
@geraldsanzala8119
@geraldsanzala8119 4 жыл бұрын
Mwalimu Alikuwa mtu anayefikiri sana. Yaani mwanazuoni na alikuwa na elimu ya kawaida saana ila tofautisha na wasomi wenye elimu kubwa Leo wanachotaka ni kujulikana tu wanazo elimu na kupata kuogopwa mitaani labda na kutisha wenye elimu darasa ndogo. Ila kuelimika pamoja na ukubwa wa Darasa huwa ni kuonekana kwa matumizi chanya ya hiyo elimu ndugu zangu
@sophydaud5351
@sophydaud5351 5 жыл бұрын
pumzka kwa Aman baba Wa taifa hakika ulikuwa kiongz bora tulikupenda sana kwan tulizaliwa tunayakuta mengi uliyofanya mpka unatuacha tutakukumbka daima.,,,,,,kama unaamin alitutoa mbali gonga like twend sawa.
@sophydaud5351
@sophydaud5351 5 жыл бұрын
ambae yupo online anaskiliza maneno10 ya baba Wa taifa tujuane
@madlipztanzania1931
@madlipztanzania1931 5 жыл бұрын
Ni moja ya viongozi Simba saana wa Afrika! Mwl Julius Nyerere.
@umojaafrika2447
@umojaafrika2447 5 жыл бұрын
Mwalimu tunakupenda kutoka Ufaransa !
@jamesmwiko4843
@jamesmwiko4843 4 жыл бұрын
unadhani MWL Wa walimu duniani alitoka wapi kama si tz butiama busara zako hazijafa zinatuongoza nakuombea ukae mkono Wa kiume kwa baba alie juu amen
@jovinsylivester3601
@jovinsylivester3601 3 жыл бұрын
Habari ya ufaransa
@hassanimapanga2889
@hassanimapanga2889 4 жыл бұрын
Hatukuepo kweny uongozi wake ila we mis u niga
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 жыл бұрын
Indigo children 1. Mwalimu Julius Nyerere 2. John Pombe Magufuli .. .. .. .. .. .. ......... Prince Katega II ...........
@shijamayala8127
@shijamayala8127 4 жыл бұрын
And shija mayala
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 жыл бұрын
@@shijamayala8127 Sawa I love your confidence
@maxlupapa4468
@maxlupapa4468 3 жыл бұрын
2 mkapa
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 3 жыл бұрын
Uliipenda Tanzania" Hukuwapendelea wazanaki hukujenga sana msoma. Naamini ulimpendeza mwenyezi Mungu.
@michaelfrank6360
@michaelfrank6360 4 жыл бұрын
JK fikra mitazamo yake itatusumbua sana na haitofutika, daima. Ninyi wasomi wa ss mnowaza starehe na vito vya dhamani mmeifanyia nn tanzania
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 жыл бұрын
Hapo kwenye udini umenikosha!! Mambo ya dini yangu hayamuusu mwingine! Bravo! Hakuna vita mbaya km ya udini!
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 5 жыл бұрын
Kama hakua na udini, kwa nn watu wengi wakati wake walibadili majina na kujiita majina ya kikiristo?
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 5 жыл бұрын
Halafu watendaji wake wengi walikuwa wagalatia why..!?
@pjones1035
@pjones1035 5 жыл бұрын
@@hassanmfaume4522 sasa we ulitaka achague viongozi kwa kubalance dini anachagua kutokana na uwezo ikitokea wagalatia ni wengi au wajukuu wa mtume haimaanishi alikuwa ni mdini
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 5 жыл бұрын
@@pjones1035, Watu walikua na uwezo wao na ndio ukaona wengine walipobadili majina walichaguliwa.
@pjones1035
@pjones1035 5 жыл бұрын
hahahah propaganda hizo mbona alivyomchagua mwinyi agombee urais mbona hamkusema alikuwa mdini au mwinyi mgalatia
@azizawadh5973
@azizawadh5973 4 жыл бұрын
Mwalimu aliongea point. Na alijitahidi kadri ya uwezo wake kulingana na mazingira Yale kwa utawala wake. Tusimlaumu saaaana. Hakujipendelea na familia yake hakujikweza hakuishi kifahari hakujilimbikizia Mali. Hakujiuzia nyumba za umma. Watoto wake tunapishana nao kwenye daladala aliondoka madarakani mwenyewe katiba iliyopo ilimkera hata yeye. Bigup mzee
@cpabrysonjk9389
@cpabrysonjk9389 4 жыл бұрын
Nyerere my hero...2020 , kenya
@yudamsafiri7427
@yudamsafiri7427 4 жыл бұрын
Utakuwa na serikali ya watu laki tatu,tena unakuwa na serikali ya watu mil12 unakuwa na serikali ya watu mil kumi na mbili na laki tatu kama umeelewa hiyo dondosha like
@jeniphermaiko3886
@jeniphermaiko3886 5 жыл бұрын
kauli ya Nyerere nguvu ya kumpiga tunayo, sababu ya kumpiga tunayo na nia ya kumpiga tunayo ni bongeeeee la kauli ya kishujaa I like it
@prosperpuro1712
@prosperpuro1712 5 жыл бұрын
Akika trh14 oct ilikua nisiku mbaya sana kwetu, mwenyezi mungu akulinde na akuangaze daima baba yetu
@phdhemed358
@phdhemed358 5 жыл бұрын
Rest in peace baba wataifa amini wewe ulikuwa kiumbe Cha pekee kuwai kutokea kwenye aridh ya tz
@mikasatv1597
@mikasatv1597 5 жыл бұрын
LEO UMENIFURAHISHA SANA TUANDALIE STORY NZURI INAYO MUUSU ATA YA MASAA MAWILI NAAMINI UMEACHA MENGI
@tibasimamkutano3862
@tibasimamkutano3862 4 жыл бұрын
Tanzania tumebalikiwa sana upande wa viongozi kutoka kwa baba had kwa mzee magu
@precioussimkoko7283
@precioussimkoko7283 3 жыл бұрын
Huyu baba aliandaliwa na mwenyezi mungu kabla hata ya kuzaliwa kwake rest in peace we all love you and miss u😔
@smartsam629
@smartsam629 4 жыл бұрын
Hatuta pata kiongozi ambae ni INTELLIGENCE katika hili taifa kama huyu salut baba wa taifa🎓
@kibobomanguvu
@kibobomanguvu 5 жыл бұрын
kwa mara ya kwanza hujamsemea umemuacha akajisemea
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 5 жыл бұрын
Siyo kwamaba Mwalimu alisema hataki dini,naomba muwe na uelewa kwanza ameanzia wapi kuongea na kwanini kauli hiyo akaitamka..Nikusaidie,amezungumzia njia zinazoweza kutugawa katika nchi moja,akazungumzia Ukabila na Udini,Kwamba isifikie tukautukuza udini wetu na ukabila hata ikafikia tukachaguana kwa erementi hizo mbili za ukabila na udini..Siyo kwamba dini hakuitaka kwanj yeye mwenyewe alikua na dini.
@japhetnyangusi4113
@japhetnyangusi4113 3 жыл бұрын
Huyu ni mwamba
@iddyomary3736
@iddyomary3736 3 жыл бұрын
2021 jpm magu amekufata mwalim mpokeh mdogo wako dah mungu awapunguzie adhab y kaburi insha allaah
@kikongajoel2693
@kikongajoel2693 5 жыл бұрын
Hakuna kama mwl j k nyerere alikuwa MTU makini sana rest in peace utakumbukwa na watanzania siku zote
@VumiliaRobert-z3t
@VumiliaRobert-z3t 7 ай бұрын
Nyerere namkubali huyu mzee sana
@batromeonassoro3273
@batromeonassoro3273 5 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima milele Babuyetu NYERERE ulale pepma peponi
@lukindohozza748
@lukindohozza748 5 жыл бұрын
mzee aliona mbali ila kuna siri juu ya utekelazaji wa majukumu ku guard kumezwa kwa zanzibar kwa viongozi waliofwata.
@mkenyaog3170
@mkenyaog3170 5 жыл бұрын
Bila ya baba wa taifa tusingekuwa hapa r. I. P mwalim🙏🙏🙏🌷
@husseinchiaseeds2653
@husseinchiaseeds2653 5 жыл бұрын
Asingekua Allah tusingekua hapa
@mohamedindalo2663
@mohamedindalo2663 5 жыл бұрын
Sio kwel
@mkenyaog3170
@mkenyaog3170 5 жыл бұрын
@@mohamedindalo2663 jeh amani na utulivu wa huu nch tungeiptje???
@khamisptrany9393
@khamisptrany9393 5 жыл бұрын
Tusingeli kuwa hapa . Kwani muwapi?
@latifamkulazi8378
@latifamkulazi8378 4 жыл бұрын
Hizi Sasa kufuru.
@meronstudioz
@meronstudioz 5 жыл бұрын
Hakutuwepo kwenye Uongozi wako ila we miss you
@shabanshaban1795
@shabanshaban1795 4 жыл бұрын
octavian hellen
@j4uj4u32
@j4uj4u32 2 жыл бұрын
tutakukumbuka baba
@bulilotv279
@bulilotv279 4 жыл бұрын
Hii kichwa hatar,, ama kweli watu wema hawadum RIP Jk nyerere
@saidamary6939
@saidamary6939 4 жыл бұрын
Mtangazaji NA Kupenda Sana Aswa Sauti yako2💪💪💪
@justineulimule6530
@justineulimule6530 5 жыл бұрын
Fikra zako baba wa taifa zinaishi milele.
@estherbarakaelia4985
@estherbarakaelia4985 3 жыл бұрын
FIKRA ZAKO ZINAISHI MILELE
@zittotv9972
@zittotv9972 5 жыл бұрын
Baba NYERERE I love you Dady
@eddsonnestory2645
@eddsonnestory2645 3 жыл бұрын
Tunamkumbuka Sana baba wataifa
@keyakeya8911
@keyakeya8911 5 жыл бұрын
Pumuzika kwaa Amani baba japo nime zaliwa umesha fariki Lakin wewe ni mwamba maana mzee wangu kanisimulia mazuri yako na mengine naona kwenye mtandao mungu akupe Amani ya milele uliijenga CCM imara Lakin saiv kilichobaki ni kivuli tuu cha CCM viongozi ni wachumia tumboo tuu wote
@chrisshonga
@chrisshonga 4 жыл бұрын
May 2020 bado ujumbe una nguvu na utakuwa na nguvu milele! Natamani kama viongozi wetu wangechota hii HEKIMA ya huyu Masiya wa MUNGU R I. P
@sethstiven3393
@sethstiven3393 5 жыл бұрын
Jemedali ameumaliza mwendoooooo
@pindabutter2736
@pindabutter2736 5 жыл бұрын
nampenda sana nyerere
@vietnamvideos3418
@vietnamvideos3418 5 жыл бұрын
Nine vaa earphone kuna bez kinoma😂😂
@mustayoo
@mustayoo 4 жыл бұрын
the great leader sio kama jomo kenyatta
@imanisongoro6838
@imanisongoro6838 5 жыл бұрын
Tunampa shavuhaliyakuwa hatunae tenamajanga alikemea kwanihavipo ndomana twasema alieenda ameenda natudili naliebakia
@robertloitare3296
@robertloitare3296 3 жыл бұрын
Mwalimu mkuu huyuuu tenaa mwalimu wa counseling
@alphaboy0130
@alphaboy0130 5 жыл бұрын
huyu mzee nilimkubali alipomtowa Ediy Ami Dadaa pale alipojipendkeza TZ kutok UGANDA, yaan ni noma alimficha kbsa
@islamkarata9655
@islamkarata9655 4 жыл бұрын
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza
@UzalendoNaUtu
@UzalendoNaUtu 5 жыл бұрын
Nmependa ulipomalizia Mr. Ananias Edgar
@jessicarasigu2220
@jessicarasigu2220 4 жыл бұрын
Akika mwalimu wa maono alifariki akilili Taifa la Tanzania,mungu jatupa JPM,pumzika kwa amani muanzilishi wa Tanzania😭😭😭😭🇦🇫
@nickysonsalum4571
@nickysonsalum4571 4 жыл бұрын
Pumzka kw aman baba nyerere saiv vjna wko tunchap kaz nazan malengo yko ytatimii ulyoytak n karume toka enzi z uhai wenu
@charssamwel1015
@charssamwel1015 5 жыл бұрын
A man from Nowhere....
@rosieeliahu7720
@rosieeliahu7720 5 жыл бұрын
We still lv yo,hotuba zako zinamanufaa San kwel,plz tunaomben na historia ya maisha yake ya baba wa taif .
@rashidhassankadege1455
@rashidhassankadege1455 5 жыл бұрын
Daaah Leo wa 58
@sharoombay8997
@sharoombay8997 3 жыл бұрын
Mungu akupumzishe mahali pema peponi. Amina.
@saidmueda9183
@saidmueda9183 4 жыл бұрын
Nakumbuka miaka ile nakula ugali mchungu nakisamvu lakini sasanakula sembe saafi kabisa eemungu usiturudishe huko ya rabi
@ommyakili552
@ommyakili552 4 жыл бұрын
Duuuh hatr sana
@theodorykilua3123
@theodorykilua3123 3 жыл бұрын
HISTORY Book
@emmanuelkalega1037
@emmanuelkalega1037 5 жыл бұрын
Adhabu hii ya viboko kwa watoaji na wapokea rushwa iliishia wazi? jamani irejesheni itasaidia
@sadickchakka6350
@sadickchakka6350 3 жыл бұрын
Huyu jamaa alikuwa anauwezo kama wangu yaan anafikil kwanza afu akipata jibu anaamua af anaangalia akisha pata jib nn kitaokea akiwa hayupo swal moja ila analipatia majib hat mala kumi yake unapo kuja ww mbumbumbu unaanza kuongea utopolo
@user-tp8fq9mb8e
@user-tp8fq9mb8e Ай бұрын
Respectfully From East Africa especially Somalia 🇸🇴 capital Mogadishu to Tanzania capital Dodoma.
@kamalissabig8649
@kamalissabig8649 5 жыл бұрын
No one like u
@wolfgangkichai8577
@wolfgangkichai8577 5 жыл бұрын
🤔Mbeba maono hafi hadi mpango wa Mungu utimie
@azizawadh5973
@azizawadh5973 4 жыл бұрын
Mwl alisema watanzania wanataka mabadiliko hakusemaa hakusema watanzania wanataka viongozi wa kudumu. Tusibishane hapa. Maana hamkawii
@faridamin6383
@faridamin6383 5 жыл бұрын
Pumzika kwa amani baba wa taifa hili kubwa la Tanzania
@richardtv8339
@richardtv8339 5 жыл бұрын
Global TV Online Ingependeza zaid kma mngetuletea Makala ya marehemu Moringe Sokoine
@josewanjombetz8571
@josewanjombetz8571 5 жыл бұрын
bado tunakukumbuka kwa mengi na mazuri uliyolifanyia taifa letu la Tanzania
@neywax9041
@neywax9041 Жыл бұрын
Babar tutakukumbuka kwa hotuba zako
@salimnjowoka4357
@salimnjowoka4357 3 жыл бұрын
Bado na kuangalia mzee wangu hadi Leo 2021/04/21
@davidmloge7277
@davidmloge7277 4 жыл бұрын
12 unapoingia Jela na 12 unapotoka ukamuoneshe mkeo 🤣🤣
@kubabukonda2527
@kubabukonda2527 4 жыл бұрын
Magufuli u mtoto wa ndoto za baba wa taifa piga kazi
@piusilugata3795
@piusilugata3795 4 жыл бұрын
Mungu alimpatia hekima sana
@nuruhabarimapunda3271
@nuruhabarimapunda3271 5 жыл бұрын
Udini udini jaman mesikia??
@fadhilijuma5513
@fadhilijuma5513 5 жыл бұрын
Nice father of national
@ommyakili552
@ommyakili552 4 жыл бұрын
Kama umezaliwa 1995 kwenye hotuba yake anayozungumzia rushwa ebu tujuane hapa Wahenga sisi gonga like twende sawa
@magesakhamis4808
@magesakhamis4808 4 жыл бұрын
1995 mhenga?!
@chiefmahucha6847
@chiefmahucha6847 3 жыл бұрын
@@magesakhamis4808 nafikiri kakosea tuu.... Alimaanisha "muhanga"
@yonamwakamele
@yonamwakamele 5 жыл бұрын
R.I.P Dady...
@habibumkalanga8959
@habibumkalanga8959 4 жыл бұрын
Yaani huyu MZEE mungu amsamehe tu ila tutamkumbuka Sana kwa mengi
@habibumkalanga8959
@habibumkalanga8959 4 жыл бұрын
Angekuwepo mpaka Sasa watanzania tusigechezewa hivi ila magu tunamshukuru kwa ujasili wake anao uonyesha kwa watanzania mabeberu alijua mwl hayupo watatunyanyasa Sasa kumbe Kuna jembe jingine
@isamiloprezdent6807
@isamiloprezdent6807 5 жыл бұрын
Mwalimu Nyerere baba yake Anko Magu
@allyrashid3202
@allyrashid3202 4 жыл бұрын
Hahahahaha
@emmanuelbonifas3517
@emmanuelbonifas3517 5 жыл бұрын
Mwl pumzk kwa aman nchi yako imepata mrithi wako tena mpiganaji hodari asiyependa ubaguzi wala dini wala rangi
@shabanshaban1795
@shabanshaban1795 4 жыл бұрын
Emmanuel Bonifas
@mariamchande6400
@mariamchande6400 4 жыл бұрын
Mwl pumzk kwamani tunazidi kumuenzi baba wa taifa letu la Tanzania.
@tradislaus
@tradislaus 5 жыл бұрын
Kuna wajinga frani ambao hawatambai Mchanga mkubwa Wa baba wa taifa wamelaniwa tangu tumboni mwa mama yao.pumzika Kwa amani mwass Wa taifa letu I LOVE YOU
@maxlupapa4468
@maxlupapa4468 3 жыл бұрын
Hakuna km ww genius
@Msafirimakini
@Msafirimakini 10 ай бұрын
Sema angeacha serikali iwe moja alafu Zanzibar itoe mwakilishi tuu
@benjaminezekiel5339
@benjaminezekiel5339 5 жыл бұрын
Alikuw future minded Nyerer
@williamjohn8149
@williamjohn8149 Жыл бұрын
Baba ulipo pumzika kwa amani. Sensa ya mwaka huu maswali tuliyoulizwa Ni Zaid ya kutambika, et unamiliki chombo Cha moto,n.k
@edsonsalvatory5121
@edsonsalvatory5121 4 жыл бұрын
He will stay in our life forever.... 🇹🇿
@ibrahimnjohole1684
@ibrahimnjohole1684 Жыл бұрын
Hakika alikuwa Raisi mwenye upeo mkubwa sana.M/Mungu aendelee kumfanyia wepesi uko alipo na amsamehe dhambi zake. 2022.
@OversNzowa
@OversNzowa 11 ай бұрын
Alijenga nchi kwa ITIKADI ukiendesha ichi inje ya ITIKADI sio lazima iwe ya CCM lakini imani na miko ya ccm ni rahisi zaidi😂😂
@cosmaskamugisha5918
@cosmaskamugisha5918 Ай бұрын
Wengi maadui wa nchi yetu wametumia hotuba hiyo kuhusu dini kujiimarisha kisiasa ila kweli hizo zilizo ibuka baada ya hiyo speech hazimuwakilishi Mungu!
@muhammedomer9256
@muhammedomer9256 3 жыл бұрын
Watanzania wanataka mabadiliko wasipopata mabadiliko ndani ya CCM watapata mabadiliko nje ya CCM huo ndio ukweli sasa tumeshindwa kupata mabadiliko ndani ya CCM tunstaka Katiba mpya
@rafabahezwa9368
@rafabahezwa9368 5 жыл бұрын
Shikamoooo baba wa Tanzania
@barakamshiu7146
@barakamshiu7146 5 жыл бұрын
Cyo nyerele ni nyerere,😂
@yassinrashid1192
@yassinrashid1192 4 жыл бұрын
Sio nyerere ni Nyerere 😂
@barakamshiu7146
@barakamshiu7146 4 жыл бұрын
Yassin Rashid cyo Nyerere ni Nyerere.
@msafirikilongo7429
@msafirikilongo7429 Жыл бұрын
23yrs ago R.I.P
@sifamanyori-kf9vq
@sifamanyori-kf9vq Жыл бұрын
Michese Kuna bedela yakijani nabedela nyekudu Wana abubu rozali kwenyebedela nyekudu alafu wamewaka tasubili ukutani wanahashilia kumwanga damu zawatu namizimu milembe siyo osimbitali nimaangano yamakambila ya uchawi majumbani kwawatu kuwafanyia uchawi wenzao kwasababu yamwenge
@zesootv6726
@zesootv6726 5 жыл бұрын
Tutamukumbuka nyerere Milele.
@kenedsamweli1421
@kenedsamweli1421 5 жыл бұрын
Zesoo Tv mungu mukubwa huyo mwlm km magufur
@mariammammu9641
@mariammammu9641 5 жыл бұрын
Zesoo Tv km tu utakuwepo milele
@digalaahmad6314
@digalaahmad6314 5 жыл бұрын
@@mariammammu9641 m
@zesootv6726
@zesootv6726 5 жыл бұрын
Kuongoza nchi au kuwa kiongozi unatakiwa uwe na busara hekima na uzalendo pia lazima uwe na mutazomo wa kutazama mbele.
@zesootv6726
@zesootv6726 5 жыл бұрын
Tanzania kwanza mungu atubari na kutulinda Milele pia tupate viongozi wenye uzalendo na nchi yetu.
@scholasticastephanowambura131
@scholasticastephanowambura131 5 жыл бұрын
Rest in peace
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Жыл бұрын
This is one of the speech late Julia's kambarage nyerere hart what call religion and trublerizim vote dasnt involved in religion or trublerizim vote dasnt need religion or trublerizim you Tanzania you start asking trublerizim do you want to do traditional seremon what do you think job of trublerizim on vote or religion
@emanuelsulle8831
@emanuelsulle8831 2 жыл бұрын
Daer lord & heaven faher would you give us THE man like nyerere/ Magu. But i believe at u're promise.Amin
@enocksamuel9390
@enocksamuel9390 4 жыл бұрын
Mc xna kiongozi wangu alikuwa na maono sana
Maisha na vifo vya mitume wa yesu
13:28
Shane Tv
Рет қаралды 124 М.
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 67 МЛН
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 52 МЛН
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
Nyerere Speech 1995
1:42:25
Tanzania Yetu
Рет қаралды 1,8 МЛН
MADARAKA NYERERE: MAMA NYERERE ANAAMINI KWAMBA TUNAMWELEKEO MZURI KAMA TAIFA.
47:22
TOP 10: KAULI za JPM ZILIZOTIKISA, TAZAMA UNIAMBIE IPI ILIKUKOSHA ZAIDI!
11:53
Global TV Online
Рет қаралды 1,5 МЛН
HOTUBA YA MWL.NYERERE MWAKA 1995 Prt1
35:35
Uhai Online Tv
Рет қаралды 128 М.
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 67 МЛН