TOP 10 WACHEKESHAJI NA WAPENZI WAO LIST RASMI IMETOKA BEST COMEDIANS COUPLE'S 2024

  Рет қаралды 147,965

NDIZI MEDIA

NDIZI MEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 117
@STORYZALEO
@STORYZALEO 7 ай бұрын
Mungu azidi kuwabariki! Mnaonyesha upendo wa kweli na mnafanikiwa kuleta tabasamu kwenye nyuso za wengi!❤❤
@Newfootballdata.77
@Newfootballdata.77 7 ай бұрын
Hakika, mnapendeza sana pamoja! Kila mara mkiwa pamoja, mnaleta furaha isiyo na kifani kwa mashabiki wenu!🎉🎉
@mmhmedia8375
@mmhmedia8375 7 ай бұрын
Hongera sana kwa couple ya nguvu! Mnaendana sana na kila mara mnafurahisha mioyo yetu na vichekesho vyenu!
@paulawakajala
@paulawakajala 7 ай бұрын
Kwa kweli mnapendeza sana! Vichekesho vyenu ni tiba ya furaha na upendo wenu unatia moyo!
@CHASTZA
@CHASTZA 7 ай бұрын
Mnatufanya tuamini katika upendo wa kweli. Muendelee kutufurahisha na kutuonyesha nguvu ya upendo wenu!
@MarySiriwa-xs4vj
@MarySiriwa-xs4vj 7 ай бұрын
Yooooooo iwas shocked about asma and ndaroooo🙄more love to them❤❤❤
@TamuTamutv95
@TamuTamutv95 7 ай бұрын
Hakika, mnaendana na kutiana moyo! Upendo wenu na vichekesho vyenu vinafanya dunia iwe mahali bora zaidi!
@nationaltrendingmedia4603
@nationaltrendingmedia4603 7 ай бұрын
Top star hapo n clam VEVO.. The Big Boss
@tundacappuccino
@tundacappuccino 7 ай бұрын
Ninyi ni mfano bora wa jinsi uhusiano wa wanandoa unavyopaswa kuwa. Daima mnakamilishana na mnafurahisha sana
@AUGENSYLIVAND-rq7hz
@AUGENSYLIVAND-rq7hz 4 ай бұрын
Mmmh sawa bwana
@husnaally-e9z
@husnaally-e9z 7 ай бұрын
The way you complement each other both on and off the stage is remarkable. Your humor and love are a perfect blend, making you one of the most beloved couples in comedy. Keep spreading joy and showing us what true partnership looks like❤
@aishamamy
@aishamamy 6 ай бұрын
Apo kwa kicheche napinga na clam pia 😂😂😂 mnaona tuu mtandaoni lkn uhalisia hamjui wala nini 😢😢
@Devilinintungwawc2vk
@Devilinintungwawc2vk 7 ай бұрын
Vizuli sana ndaro nakukubali sana kaka
@Emilymama2boys
@Emilymama2boys 7 ай бұрын
Stivin mweusi ako wapi😂mwambieni aoe umri unaenda😂😂😂
@NEWDATA24
@NEWDATA24 7 ай бұрын
Seeing you both together is a testament to true love and partnership. Your comedic timing is impeccable, and it’s clear that your love for each other only enhances your performances. May your journey together continue to be filled with laughter and love!
@SIMULIZIZAGECHA
@SIMULIZIZAGECHA 7 ай бұрын
You two are a perfect example of how love and laughter go hand in hand. Your energy and connection are infectious, making every moment you share on stage a delight to watch. Here’s to more laughs and endless love
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 7 ай бұрын
You are so kind
@HappySandstoneColumns-mt7qh
@HappySandstoneColumns-mt7qh 7 ай бұрын
Kaple ya kicheche na vaileth na clam nataka chapati nimezipena zaidi jaman ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊
@KazinzaEmanuel
@KazinzaEmanuel 5 ай бұрын
Mnaonekan vizur xn
@alyerungaantoinnet7851
@alyerungaantoinnet7851 7 ай бұрын
Mimi na penda stiv from 🇺🇸🇺🇸🇨🇩🇨🇩
@Christinekaziyaningumbau
@Christinekaziyaningumbau 7 ай бұрын
Steve na eliud wako wap😂😂😂😂😂
@MariaIsaya-u9i
@MariaIsaya-u9i 6 ай бұрын
SHAFII NA AZIZA CY KWELI JAMANII😂😂😂😂😂😂😂
@hassanmuhidin871
@hassanmuhidin871 7 ай бұрын
Ikiwa hawajaoana nawashuri waowane waache dhambi kubwa sana ya kuzini na ni majuto ukifa bila ya toba😢
@AlexMhenga
@AlexMhenga 7 ай бұрын
Clam sio mchekeshaji,, ameshahama huko au hiiii taarifa ni ya mwaka wajuz??😅😅😅😂
@FitinaWilondja-m7c
@FitinaWilondja-m7c 6 ай бұрын
Ongeren nyot maana mnapendezana🎉🎉🎉🎉
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 7 ай бұрын
Mwenye Dem mkari apo ni shafiii ND kauwa
@FOOTBALLTRANSFER24
@FOOTBALLTRANSFER24 7 ай бұрын
Watching from UK
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 7 ай бұрын
Thanks for watching
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 7 ай бұрын
Shafii no moja no mbili ni kiredio ND wenye PC kari
@Abdulaziz-tb1gd
@Abdulaziz-tb1gd 5 ай бұрын
Aziza ni mtoto mkali yuk very kabs shafii ap ametoboa kiukweli
@Vokali02
@Vokali02 7 ай бұрын
Daaah bado couple yangu tu apo😢
@GracependoDisii
@GracependoDisii 4 ай бұрын
Wow❤❤❤
@allyshaban5444
@allyshaban5444 7 ай бұрын
kicheche😂😂😂😂
@AbdulKigoda
@AbdulKigoda 7 ай бұрын
Ndaro hii rangi umecheza
@EnockLubengo-uu3zi
@EnockLubengo-uu3zi 5 ай бұрын
clam vevo ❤️‍🔥❤️‍🔥👏
@SaumBakari-po7re
@SaumBakari-po7re 4 ай бұрын
Ndaro na tunda
@AghHh-v3f
@AghHh-v3f 7 ай бұрын
Steven jameni yeye vp 😮😮😮😮
@MariaIsaya-u9i
@MariaIsaya-u9i 6 ай бұрын
STIVU NDO HANAGA MCHUMBA😂😂😂😂😂😂😂😂
@ismailkasim9060
@ismailkasim9060 5 ай бұрын
Makalioooo kapata kalio
@NicemireilleIgiraneza
@NicemireilleIgiraneza 7 ай бұрын
Kichech n vailet sio kweli
@ChasTz
@ChasTz 7 ай бұрын
our love story is truly inspiring! Every joke you share and every moment of joy you bring to your audience reflects the deep bond you share. Keep shining together and making us laugh with your incredible chemistry
@inackboy5226
@inackboy5226 7 ай бұрын
Ninyi ni baraka kwa kila mmoja wenu na kwa mashabiki wenu pia! Muendelee kutupatia furaha na upendo tele!
@elsabio11
@elsabio11 7 ай бұрын
😂😂ndaro tunda bhn
@paulsingu2623
@paulsingu2623 5 ай бұрын
Ya VEVO ❤
@ubuyumediatz
@ubuyumediatz 7 ай бұрын
Love it ❤
@AliceKavugho-r7y
@AliceKavugho-r7y 7 ай бұрын
Aziza mumewake hamustahili 😂
@Cheusi01
@Cheusi01 7 ай бұрын
Steve mweusii yupo wap
@SECDINACOPECENTRALEHENRIETTE
@SECDINACOPECENTRALEHENRIETTE 7 ай бұрын
MUNGU awabariki
@LatifaIddy-lk5ek
@LatifaIddy-lk5ek 7 ай бұрын
Ndaro sianatokaa natundaa jmniii au 😂
@felixhuruma5179
@felixhuruma5179 4 ай бұрын
Clam vevo peya yawo inaendana pamoja na kicheche
@annaki318
@annaki318 7 ай бұрын
Mbona Eliud samwel hatujamsikia😂😂😂😂
@IsmailFaraj
@IsmailFaraj 6 ай бұрын
Tafta habari zenye uhakikaa
@NasibuAbdullah-cj7ez
@NasibuAbdullah-cj7ez 5 ай бұрын
Stive yeye ana demu
@SalimaMohamed-kp1et
@SalimaMohamed-kp1et 7 ай бұрын
Hakika mmenoga na kupndeza kama komedi zenu
@MariaIsaya-u9i
@MariaIsaya-u9i 6 ай бұрын
CLAM VEVO NDO ANAMCHUMBA MZURI KULIKO WOTE❤
@alitante4279
@alitante4279 7 ай бұрын
😂😂😂 vinamudaa
@IrenewillyMwenda
@IrenewillyMwenda 7 ай бұрын
Dj punguza mdomo sana unahalib kazi nyoosha maelezo achamdom
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 7 ай бұрын
Sawa
@tausifaraji8341
@tausifaraji8341 7 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@Chileysol
@Chileysol 6 ай бұрын
Leonardo kimya😂😂
@MRDATINGTZ
@MRDATINGTZ 7 ай бұрын
Asanteni kwa kuwa mfano wa kuigwa na kwa kutuletea furaha kupitia vichekesho vyenu! Hongera kwa upendo wenu wa dhati🎉🎉❤
@nifferoutfit
@nifferoutfit 7 ай бұрын
Watching you perform together is pure magic. Your love radiates through your comedy, creating a unique and heartwarming experience for all your fans. May your love story continue to grow stronger, filled with endless laughter and happiness! 💞💞
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 7 ай бұрын
Thank you so much
@YunnusAhmed-vy3cw
@YunnusAhmed-vy3cw 7 ай бұрын
Sasa clam VEVO super star sio star
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 7 ай бұрын
Sawa Boss 🙌
@esterbaraka1164
@esterbaraka1164 Ай бұрын
Mmmmh ndaro si anatoka na tunda jaman
@Ammary-
@Ammary- 5 ай бұрын
Haaya mimi ammary ni wa nani jamani nifikilieni jamani
@FocusNyari
@FocusNyari 7 ай бұрын
Alf hiyo picha ya shafii ilikuwa ni msibani na we utafiwa tyuu aziza na shafii tokea lini unagongwa ww
@mmhmedia8375
@mmhmedia8375 7 ай бұрын
Mama ako agongwi ?
@FocusNyari
@FocusNyari 7 ай бұрын
@@mmhmedia8375 mama akoo we namgonga piaa
@kgn924
@kgn924 7 ай бұрын
Uyo asma sio mke wa baba levo😂😂
@SkelacSir-sg5xd
@SkelacSir-sg5xd 7 ай бұрын
Stevee yuko wapi ?
@elizabethmusyoka453
@elizabethmusyoka453 4 ай бұрын
Hapo kwa clam ni uongo sio mpenzi wake
@Foundertzchannel1
@Foundertzchannel1 7 ай бұрын
Radio ya nikali kbs
@TeclaAdam
@TeclaAdam 7 ай бұрын
Ngovi tz
@Lemimuhamadi
@Lemimuhamadi 7 ай бұрын
Nakukubal
@matanoshaban8849
@matanoshaban8849 7 ай бұрын
Clam vevo
@ouweydalton7732
@ouweydalton7732 7 ай бұрын
heee uwe nahabari za uhakika tu tusisapoti vitu ambavyo kwa maelezo yako tu unasema umeambiwa nasio na wahusika
@DaudiEmanuel-yv3jt
@DaudiEmanuel-yv3jt 5 ай бұрын
We acha uongo ndaro s yupo na tunda lkn
@AbuuMtiro
@AbuuMtiro Ай бұрын
Ndaro natunda vip??au wameachana??
@rehemarehemanassoro973
@rehemarehemanassoro973 7 ай бұрын
Clam kachemka
@francisstephen6342
@francisstephen6342 4 ай бұрын
Shubhamiti latisha ILa kicheche na vai mmmh sasa yule gutamani je vp
@abdoumadiousseni4835
@abdoumadiousseni4835 4 ай бұрын
Frahagani hawajafunga ndoa halafu unasema furaha
@FabaMusengasoko
@FabaMusengasoko 6 ай бұрын
Clam kapendeza kabisa
@MuhammedSuleiman-tz9ut
@MuhammedSuleiman-tz9ut 7 ай бұрын
😂😂😂
@rogatusmeleki1660
@rogatusmeleki1660 7 ай бұрын
Tafuta picha za wahusika nyingiii Wengine hawaonekan kiuzuru
@husseinbakromar5865
@husseinbakromar5865 6 ай бұрын
KAZI ya umbea wachieni wadada na msanii Kwa msanii hamna ndoa
@FocusNyari
@FocusNyari 7 ай бұрын
Nyie hamna akili hapo ni chenjeu, mr black na mr mwanya tyuu ndo ukweli ila hao wengine ni kazi tyuu wanafanya uwe unauliza sema sishangai kwa hilo jina ndizi media looooo
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 7 ай бұрын
We jiangalie clam sasa so mchekeshaji alafu
@batapoint
@batapoint 7 ай бұрын
Steve mweusi je
@FaidhaTambwe-xn8ds
@FaidhaTambwe-xn8ds 7 ай бұрын
❤❤❤
@saumunassor1507
@saumunassor1507 6 ай бұрын
Ndaro n asma au tunda mbona hatuelew
@Mr-r-waytz20
@Mr-r-waytz20 7 ай бұрын
Kihelehele
@Msindo.Famiry.Korogwe
@Msindo.Famiry.Korogwe 7 ай бұрын
Ila Harmonize
@Fredneves-97
@Fredneves-97 7 ай бұрын
Jamani vp kuhusu Steven mweusiiiiiii😮😮😮😮
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 7 ай бұрын
mahusiano yake hayapo wazi 😀
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 7 ай бұрын
Chenjeu kama warogwa urogwe tu mana amusikii
@suleimankitango
@suleimankitango 7 ай бұрын
uyo asma baba levo vp??
@AronAndrew-cc6cu
@AronAndrew-cc6cu 7 ай бұрын
Mr mwanya mmetupiga😢
@KEENKYLE0
@KEENKYLE0 7 ай бұрын
Ni kwel
@Tembo-t4y
@Tembo-t4y 7 ай бұрын
Clam nae ni mchekeshaji
@saadalshre1345
@saadalshre1345 7 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 7 ай бұрын
💓💓
@yaka-de-hero
@yaka-de-hero 7 ай бұрын
Steve yuko wapi
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 7 ай бұрын
huyu hapa🚶‍♂️
@kamangutv5828
@kamangutv5828 7 ай бұрын
Uongo mtupu
@Amarica-v6s
@Amarica-v6s 7 ай бұрын
Vp stv
@NDIZIMEDIA
@NDIZIMEDIA 7 ай бұрын
Baby wake ajawai ku mpost 😀
@AronAndrew-cc6cu
@AronAndrew-cc6cu 7 ай бұрын
Wajinga nyie 😢
@neemabaraka3800
@neemabaraka3800 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@SECDINACOPECENTRALEHENRIETTE
@SECDINACOPECENTRALEHENRIETTE 7 ай бұрын
MUNGU awabariki
@Ammary-
@Ammary- 5 ай бұрын
Haaya mimi ammary ni wa nani jamani nifikilieni jamani
@Thebidusosward
@Thebidusosward 4 ай бұрын
Mimi nipo nililishakufikiria❤❤❤
@JohnBwija-xg5pf
@JohnBwija-xg5pf 7 ай бұрын
Clam vevo
@ZuraOmarSaide
@ZuraOmarSaide 7 ай бұрын
Clam vevo anayeh wake jisi ninavyo mpenda daaaa
@Ammary-
@Ammary- 5 ай бұрын
Haaya mimi ammary ni wa nani jamani nifikilieni jamani
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
TAMAA YA PESA
8:01
CLAM VEVO
Рет қаралды 760 М.
BEFORE I MEET YOU 💔 { 12 }
24:55
Donta Plus
Рет қаралды 19 М.
KICHECHE BUJUMBURA MIMI NI UMBWA 😂😂😂 PUMBAFU ZANGU
25:28
KISAMBA TV online
Рет қаралды 790 М.
MASTAA 10 WAKIUME MAPACHA WALIO FANANA KILA TU EAST AFRICA
11:18
NDIZI MEDIA
Рет қаралды 290 М.
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН