Choir be blessed,as you go back in your various home from campmeting ❤🎉
@lacandyloveАй бұрын
Anabadisha yesu anabadilisha kwa imani ukomtazama yesu, utabadilishwa
@mmcstudios32262 ай бұрын
Mungu aendelee kuwabariki waimbaji wa Iringo mnapotumika endelea kutumika SHAMBAANI mwake. Hakika mnachokifanya mtaona mibaraka yake Kama siyo hapa duniani Basi ni kule mbinguni.