Ndio mwaka tunaumaliza Ivi..Kheri ya mwaka 2024 wanangu,ila kweli kuna watu kibao mwaka wameshindwa kuumaliza,ukiwa mzee gonga like tukimshukuru Mungu
@EdigaNashon-g7b14 күн бұрын
ila kweli ulitabri na sasa elfu 2025 umechukuliwa demu wako na konde ila mapenzi daah,🙌🙌🙌🙌
@willinjowritter2062 жыл бұрын
Mad combination..Kontawa is at the peak of his career.. much love and blessings from KENYA 🔥💯🙏❤️
@deogratiusjohn18712 жыл бұрын
Kazi nzuri nmeikubal salute sana Mr sumu na kontawa Mzee wa champion sema nini heshima nyingi ziende kwa Direct Billy lenz kaz yako nmeiona usiihie endelea kupambana sana mshikaji...
@willinjowritter2062 жыл бұрын
@@deogratiusjohn1871 uko sahihi kabisa kaka
@Davidoh032 Жыл бұрын
Noma sana moto sana ...hope ungemix iwe sheng ... kiswahili & english... From Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪likes wadau.
@roselaremigius84352 жыл бұрын
Dah" kuna watu siwaoni mwakani" 🥺, so touching 2023 imetisha mapema sana. Well done Toxic&Kontawa👏👏❤️❤️
@justinmuna8752 Жыл бұрын
Broo una ticha sana tuko pamoja broo ❤❤❤❤❤❤
@modecreatives62 жыл бұрын
Hata Mwana aliyeahidi atakuoa kaweka ringtone ya Mwana FA... BADO NIPO NIPO KWANZA
@NubisonBunera-em7oy Жыл бұрын
Daaaaaa hilo verse la mwisho kontawa ameua aise🎉🎉🎉🎉🎉 et mwakani kuna watu siwaoni duuuuu😢😢
@AhmedSalah-wm6tq2 жыл бұрын
Oyaa Wanangu mmetisha sana bonge la goma la kila December mwisho wa mwaka zaidi ya mara 3 narudia hili goma
@girah3392 жыл бұрын
The message is delivered... Nahsangaa kwa Nini mama hashtuki...mzee Makmb,jmk...wanaarib nchi in shadows. ...Kuna mda nataman nipate bolm afu nimpoteze yaan ni maumivu...Mkopo nastahili sababu natokea familia duni...lkn watoto w matajir ndo wanawekew 100%, si hapo tu..deni lao kwa taifa saa hii 91 trillion, afu wanasema ni deni la taifa ...mi sielew...vx wanatembelea tena sauti ya mnyonge haisikilizwi...ni hofu zimetawala juu ya kesho yangu..maana mi ni kijana 24 yrs, najua naweza kupotezwa ila ...viongoz funguka bas....kifo kipo tu, behew mnaleta mtumba kama vile mnavaa mtumba yaan , si kwa mabaya ila kumbuka Allah yupo, tulitoka mavumbin na mavumbin tutarudi
@hdboytz21242 жыл бұрын
Hahahahaa Wale waliokua wanatembea na umeme alafu home Wakakosa LUKU ndio hao mwakani HATUWAONI daaah 😥😥
@humtomreyson50322 жыл бұрын
Tatizoo ndo ilii apaaa ni kubwaa palee wanapokutana vijanaa majinii wanaojuaaa kama majinii ✊✊✊✊✊🙌🙌🙌
@Addinjr87742 жыл бұрын
Huu wimbo unatakiwa uwe katika top 10 trending tukutane mwakani one love kwa Toxic
@mickdadybakari60522 жыл бұрын
Ngoma ni ya mwaka mpaka mwakani vichwa vya moto kwenye ngoma moja
@sidebansakula62312 жыл бұрын
Like zang kwa waliomuelewa KONTAWAA
@americainog2 жыл бұрын
Ngoma ya mwana FA bado nipo nipo kwanza Nakubali jomba from+243🇨🇩🇨🇩
@ommymsomi43622 жыл бұрын
The finishing part of Kontawa is so Touching
@arynxbaba90912 жыл бұрын
saaana wallah Kuna watu mwakani siwaoni😭😭😭😭
@FutureProfitinc2 жыл бұрын
Kabisaaa
@nzogyamkumbo16542 жыл бұрын
Ebwana kwa uwezo wa Mwenyenzi Mungu mwenyewe akipenda tutaonana mwakani...
@brekmohammed80442 жыл бұрын
Hii ngoma kiboko duuuh,i say Tòxic na Kontawa wameuwa mwakani
@abdulali82282 жыл бұрын
kuna watu mwakani siwaoni....my best line😢😢
@AbuuZakiaTz Жыл бұрын
Good guy... good video.. good music....upo sawa mbaba pa1
@killergravityyt2 жыл бұрын
Hii ngoma imetiii sana🔥🔥moja kali tutaonana mwakani, nipateni Kenya🇰🇪🌴👌
@ramadhankhamis62162 жыл бұрын
mm sio mpenzi wa hiphop, daah mi naanza kuipnda hip hop leo sio tena mwakaniiiiiiii, kiufupi kwny hii ngoma kila mstar una neno moja au zaid kanye ujumbe mzito unaokisi maisha halisi ya hapa tanzania, hawa vijana wajengewe sanamu zao pale nyerere square, serikali iwanyanyue kimanagement nasio kuwaza kuzifungia ngoma kama hii, ubora wa hii ngoma nisawa na ile ya ALIKUFA KWA NGOMA, ya FA na ile ya STAREHE ya FEROUZ, ifike wakat tuachane na ngoma nitongoze kama unanitaka maana zinawaharibu vijana, ila daaah kontawa pambana sana mwakani nakuona unapiga kolabo na JAY Z.
@morenobdi91872 жыл бұрын
Kbx nakubali kontawa anaona kwl😂😂😂😂 jeshi kaonga mila kitu kabaki na kikohozi
@fadybeatz2 жыл бұрын
Ngoma ni Kali wapi jayDrama manager Don Fuvu Kontawa#mwakani Kuna watu siwaoni KC RECORD
@Yo_tune-tb5sn2 жыл бұрын
Dah kunawatu mwakani hawaonekani mungu nipe nafasi yakuwepo mpka mwakani🙏🙏🙏
@KillerMsodoki-z7hАй бұрын
Dah npo naww ad ss nmekuja kuangliya,,, like mwakan
@biana89982 жыл бұрын
This masterpiece deserves more than 100 millions views 🔥
@philbertcharles84592 жыл бұрын
Nakukubali xana jamaa yng pga kazi tuko pamoja xana
@puzzleman70622 жыл бұрын
😢😢😢Naona mwakani kuna watu siwaoni😢. Dah umagusia sana hako ka vesii🤜💥🤛
@yonasimoni2208 Жыл бұрын
wanaomwelewa kontawa tujuane kwa like
@officialmoody62462 жыл бұрын
Kama Unakubali #Toxic Ndo Mbadala wa Stamina Nipe Like Zake Hapa #Mwakani
@zachariacharles52232 жыл бұрын
Mwana kahonga kila kitu kabaki na kikohoziiiiiiiiiiiiiiiiiiii 💯👊💯👊💯
@jofreysaka1322 жыл бұрын
Balaaaaa Zito buku mb10 🔝🔝🔝🔝
@ShukuraniAlly-tk6is Жыл бұрын
Iligoma limenishika sana
@iamemma58602 жыл бұрын
Oyaaa hii ngoma iende billboard kmmk🔥🔥🔥🙌🏿🙌🏿🙌🏿hao jamaa watengenezewe sanam aisee✌🏿❤
@angelapeter88252 жыл бұрын
Kontowa na Toxic hiyo ni kazi mzuri bro endelea bro
@piusdamian5942 жыл бұрын
Mwakani huwenda ubabii wa Maandiko ya Mungu yakaukumba ulimwengu.Tukutane mwakani
@benedictalex68382 жыл бұрын
New trending hit song TOXIC & KONTAWA balaa zito hii ngoma mazee
@sidathmwanga5472 жыл бұрын
Dah hii ngoma iko pow sana ipo vyema asee nimeisikiliza zaid ya mala 3 🙌🔥🔥
@hdboytz21242 жыл бұрын
Hili ndio lile tuliokua tunasubiria sasa lime come big up brothers 💪 gang... Toxic ft Tawa..
@faizatmfaume90512 жыл бұрын
Ngoma kaliiiii🙌🙌🙌#mwakani
@dikaboy9792 жыл бұрын
Ewaaa nimewai nipen like zangu twende sawa
@khamissaid77122 жыл бұрын
Sema mshag #tox kuna kitu Amekisoma sana kwa roma uyu chalii dah nima big up tox # Kama kontawa #ndani ya nyimbo akili tu viva roma
@chrisbayona4112 жыл бұрын
Ngoma moja creative sana kaka Toxic✊🏾, wakati umefika Uchukue nafasi yako kati ya Marap bora Tanzania
@Triplek_online2 жыл бұрын
Daaaaaah 🙌🙌nomaaaa
@pingumagongo19972 жыл бұрын
😔Kuna watu mwakani siwaoni😔 hii nzito sana
@claudymvanda25252 жыл бұрын
"Daah kuna watu mwakani siwaoni" huu mstari unamaana kubwa sana...km umeuelewa weka like 👍
@robinmdamu39382 жыл бұрын
You never disappoint Tawa na Toxic☠️🔥more love from 25flow🇰🇪tuonane mwakani
@talibthetruth87092 жыл бұрын
Super creativity and splendid 🥰
@rizikisam6481 Жыл бұрын
😢😢😢😢😢 apo kuna watu mwakani siwaoni dah kweli bwana kuna watu huu mwaka 2024 siwaoni. 😭😭
@Roin31982 жыл бұрын
Toxic Sumu, hujawahi kutuangusha bro, great Rapper✊✊🔥🔥💥💥
@joannesmukasa75582 жыл бұрын
Mwana hip hop yoyote yule ACHUJI never BILA KUMSAAU #Byafa Ndimu#🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤👌🧠✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️🎛️🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸👌👌👌👌👌
@yohancabbaye74562 жыл бұрын
Oyah wanangu mwakan mbn Kama panatisha😂😂,,,,,,,toxic fuvu umetisha bro🔥🔥
@deborahmaturu56983 ай бұрын
Wamekutana wakali #kontawa😊
@hakizimanadjuma1672 жыл бұрын
Uyu ndo TOXIC ninae mjua mimi: muandishi mzuri, ana flow zakikubwa alafu bado uyu jamaa ninoma sana
@nassibumusic55692 жыл бұрын
Daaaah tawaaaa kuna watu siwaoni mwakani 😆😆😆😆😀
@agogodimack83142 жыл бұрын
Sema unanitia hofu sasaa
@whitewolftv54472 жыл бұрын
Mwamba anajua Yan hizi nyimbo huwa anatisha sana🔥🔥🔥🔥
@rabisonsingano97112 жыл бұрын
Ngoma Kali waooo
@gaspermisana77102 жыл бұрын
Toxic verse whoooop , " naona ad tanesco wamewasha mishumaa 😁" toxic killed this
@revelationtz78422 жыл бұрын
Wew ni kontawa uyo kaka (I respect TOXIC but I think Kontawa killed in this track )
@nzogyamkumbo16542 жыл бұрын
Namuona meneja wa dawasco asubuhi haogi Bali ananawa... 🔥🔥🔥
@barakatv68552 жыл бұрын
Roma ft stamina wapya🔥🔥🔥🔥
@rodgerskombo44032 жыл бұрын
Wa kwanza nipewe like
@mosamossile91132 жыл бұрын
Oyaa sio poa Nyie Wahuni wametisha umo ndani ni kwenzi juu ya kwenzi
@zakariakasimila1492 жыл бұрын
Hata tukiitoa beat .... Huu mzigo ni 🔥🔥🔥🔥
@barakamwainuka28712 жыл бұрын
Dha! Si poaaa wanna mmetisha good idea👏👏👏👏👏👏👏
@maswaladigitalplatform.76132 жыл бұрын
Hizi ndio nyimbo, na hawa ndio mifano bora ya wasanii.
@jacksonmfyagidzi9432 жыл бұрын
ngoma kaliii xana mmeua wanangu
@clintonroimas45482 жыл бұрын
Two Big brains in 1 track🤝🏼🍯
@joshuachristopher2356 Жыл бұрын
CHRIXBURNA is here for you African middlechild
@clintonroimas4548 Жыл бұрын
@@joshuachristopher2356 Brodaaah
@kirikuukirikuu5193 Жыл бұрын
Toxic fuvu one of the best upcoming artist
@saidndaki97832 жыл бұрын
Best hip pop collaboration 🔥🔥🔥
@chrisbaraka68542 жыл бұрын
Eeish!! When the king stands, y'all should sit down!!!..mad talent Toxic and Tawa...tuonaeni 254.
@quilalaselemanesaidesaide97292 жыл бұрын
Unyama sana hi ngoma💪🏻
@shadyarif6532 жыл бұрын
bonge la pisi kali..nmeipenda sana toka kenya.
@jurcxonmwita54692 жыл бұрын
Its nice before even listening😍😍😍😍
@gregorymaganga67322 жыл бұрын
Ngoma kali ya kufunga mwaka.
@shedrackdaudi34032 жыл бұрын
Wimbo wangu bora wa mwaka 🔥
@SonmjubaSonmjuba2 жыл бұрын
Sema kk toxic unajua bn ila iii ngoma ili ishaa apa apa
@erickabel62012 жыл бұрын
Hatimaye mmekutana nilikua naisubir sana hii collaboration. Ni hatariii8iiiiiiiiiii ❤️🖖🟫
@prijoseph46652 жыл бұрын
Duh mi sina neno wana mnauwa ila kontawa ni balaa na nusu💥💥
@KirundoFilmsGroup2 жыл бұрын
Nimependa kila kitu mwakani big up
@azoryyoramu90432 жыл бұрын
Hujawahi kuniangusha kaka ang
@azaboicomedy2 жыл бұрын
MasterPIECE COLLABORATION
@willey_brandtrue99662 жыл бұрын
Mwakani .. kuna wengine hawaonekan!! Dah!! Inauma ila ngoma kali Inapenya sanaaaa
@philradjivwardenofficiel16442 жыл бұрын
Big Up 😇🥰 This Is Good Vibes 🔥🔥 I love this Song ❤
@kaizilejackson8622 жыл бұрын
Dah!! Ududu mwingi Sanaa humo
@richardmloha17622 жыл бұрын
Hommie ✊🏻🔥🔥🔥🔥
@alpheuskibaden270 Жыл бұрын
Mwamba kahonga kila kitu☑️.....bonge la connection ☑......mpaka dakika hii
@tausikwayu31502 жыл бұрын
Guys you kill it!!!!! This is the best song to close the year👌👌👌👌👌👌👌👌
@teddykithi73392 жыл бұрын
Inaeleweka mwanangu tawa🔥🔥
@frenk1362 жыл бұрын
Duuuuuuu hatarii ila no salama hadi meneja wa dawasco asubh haogi ananawa ...... Tuonane mwakani
@ketsonempire2 жыл бұрын
Combination hatarii Hiii...💥💥🔥🔥🔥. Mob love from 🇰🇪
@Dc4k Жыл бұрын
Tox ni mnyama Sana God bless you usikike sehemu zote
@lilmonitz42652 жыл бұрын
Mwakani never disappoint my G 💥💥
@AliOmar-dx6xb2 жыл бұрын
Mwanangu fuvu hujawahi kufeli 🔥🔥🔥🔥chukua hizi 👊🏾👊🏾👊🏾 kutoka Zanzibar