TOXIC - SOUND YA BUFA EP 02

  Рет қаралды 124,197

Toxic

Toxic

Күн бұрын

Пікірлер: 380
@dawhacker2216
@dawhacker2216 9 ай бұрын
Toxic uwa namkubali japo sio kivile ila hii kauwa sana 🤝👏 msisahau ku like 👍
@muhammedkhamis2566
@muhammedkhamis2566 9 ай бұрын
Huku kwetu haunywi mazima mpaka siku ukinywa sumu💯💯😅❤️
@OFFICIALDAWGMEDIA
@OFFICIALDAWGMEDIA 7 ай бұрын
Kama Disstrack ya MEEH imekuleta humu gonga LIKE 🔥🔥🔥
@zahirrajab7713
@zahirrajab7713 7 ай бұрын
😂
@amourhassan7415
@amourhassan7415 7 ай бұрын
Uhkk
@richzebest2029
@richzebest2029 7 ай бұрын
Yah
@jayfarsaga4935
@jayfarsaga4935 7 ай бұрын
😂
@AlfredLeGrand-uv1in
@AlfredLeGrand-uv1in 6 ай бұрын
😅😅
@Rukaka_jr
@Rukaka_jr 9 ай бұрын
Mzazi unamuombea mwanao apate ume kumbe yeye anataka bwana mwenye sauti kma jaiva,, umeua sana 😂😂😂😂
@AbcD-bn1nz
@AbcD-bn1nz 9 ай бұрын
😂😂
@saidkocho3949
@saidkocho3949 9 ай бұрын
Ume😊
@mussaKuntu66
@mussaKuntu66 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@slimpirate6020
@slimpirate6020 8 ай бұрын
Sauti na freestyle kama ya jamaa mmoja wa Nako2Nako namjua…🔥🔥👏👏 🇰🇪
@hezronjoseph405
@hezronjoseph405 7 ай бұрын
Oya kumbe uyu niga hatari😂😂😂,nmekubali
@JordanSolomoni
@JordanSolomoni 7 ай бұрын
Sijawahi kumpinga huyu rapa anajua sana mpaka anaboa yani
@Mt_mathius
@Mt_mathius 8 ай бұрын
Usiniite mbahiri km hunisaidii majukumu🎉🎉
@barakamwejeka1913
@barakamwejeka1913 6 ай бұрын
Kuanzia hapa umeniongeza shabiki🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@omarkhelaifi5888
@omarkhelaifi5888 6 ай бұрын
Namimi pia
@RappahollicLil195
@RappahollicLil195 9 ай бұрын
weeeh 🔥🔥 ngoma zingine bila wisdom utabaki kuzubaa na biti tu✌️
@chidi_don
@chidi_don 9 ай бұрын
Unyama ni mwingi sana bro yani huna baya mzee 🔥🔥🔥💯
@johnrichard5482
@johnrichard5482 8 ай бұрын
Jeshi la Mtu Mmoja Taifa Bila Bendera,,,📌 Naiheshimu Pesa Napotoka Pagumu Mtu Haunywi Maziwa Mpaka Utakapokunywa Sumu...✍️ #ToxicFuvu☠️
@cyprianoduor870
@cyprianoduor870 8 ай бұрын
Toka 254 punchline na misemo upon juu kaka Toxic ATI huu mwaka wako unamka saa Saba...
@JamesDeus-dk5bu
@JamesDeus-dk5bu 8 ай бұрын
Big naelewa sana kazi yako af kingne babu unaimba ukiwa na tabasamu kama lote!!🌶🌶🌶
@Tellaaxis
@Tellaaxis 9 ай бұрын
Noma sana mzee😮
@DauRaj-h3s
@DauRaj-h3s 9 ай бұрын
Kwetu hatunywi maziwa paka siku unywe sumu nomaaaaaa sanaa
@lyzerment_group913
@lyzerment_group913 9 ай бұрын
Wangapi mnamkubar😊
@Ayoubsambo
@Ayoubsambo 9 ай бұрын
Sumu umu ndan umeua sana,we kaza tuu achana nao wanao foka foka
@yohancabbaye7456
@yohancabbaye7456 9 ай бұрын
Oyaaa weee episode 2 ya sound ya bufa nlikuwa naisbr sana 🔥🔥🔥 Toxic umeua tena buddy 🔥we n mkaliii
@Lastpuppi
@Lastpuppi 9 ай бұрын
Mwili mdogo ila sound ya bufa...oe mwana twakuamini uku kenya bro
@maximilianludovick5407
@maximilianludovick5407 9 ай бұрын
Here's your fan from the very beginning. Endelea kukamua jamaa yangu.
@ibrahstar7590
@ibrahstar7590 8 ай бұрын
Mi najua kuwa unajua ila kinachonishangazaga unakaaga sana kimya.
@frenkamosi-sz1gr
@frenkamosi-sz1gr 9 ай бұрын
Ukokwe2 ahunywi maziwampakasiku ukinywa sumu🤠🔥
@twelve_tz8333
@twelve_tz8333 9 ай бұрын
Kichwa Cha sumu kina maarifa mengi Sana ufundi wa ronardo plus mesi ndo umetumika humu ndani 🔥🔥🔥🙏🥇🥇
@rcubemusic
@rcubemusic 8 ай бұрын
usiniletee mapenz nitakutoa ulimi, kutafuta ela ndo kilicho nileta mjini😂
@cbegram6161
@cbegram6161 8 ай бұрын
Hata serikali haiamini mapenzi😂😂😂 hata valentine day ❤tunaenda kazini😂😂😂
@kalulujunior733
@kalulujunior733 8 ай бұрын
Sikuiz hat siwaamin watu maan hat hao wanaotuloga wanjifnay awaamin ushirikina 😂😂salut broo 100%
@AsmaAsma-gd3mv
@AsmaAsma-gd3mv 8 ай бұрын
Atalii😅
@MokaThePoet
@MokaThePoet 8 ай бұрын
Kali sana Toxic. Wasema anayemuua mbu ni yule anayempigia makofi 😅
@PerfectJbo03
@PerfectJbo03 9 ай бұрын
We jamaa unajua sana
@mohamedmwenyekombo1885
@mohamedmwenyekombo1885 7 ай бұрын
Mpaka anakeraaaa banaaa...toxic balaaa
@wizabu98
@wizabu98 9 ай бұрын
Kazi nzuri uku Kenya twakutambua kwa kazi yako nzuri
@eliahmhiche3745
@eliahmhiche3745 8 ай бұрын
Ukitaka kuja bongo njoo basi panaitwa bongo ila ubongo wenyewe bogasi Mzee umeua vikali sanaa yaan ni fireeee
@writeside-ii2jv
@writeside-ii2jv 8 ай бұрын
Umetishaa mwambaa🔥🔥.. on repeat💯
@jackchidangu6815
@jackchidangu6815 8 ай бұрын
Nakuaminia mwamba from 254🇰🇪🇰🇪
@festofeisag392
@festofeisag392 9 ай бұрын
We jamaaa unajua inaijua vzr hip-hop nakpa respect hii ngoma atariiiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@HassanOpondo
@HassanOpondo 9 ай бұрын
🎉 si semi kitu ni Kali kuruka but siku jui Leo ndo nime kucheki🇰🇪🇰🇪
@JumaJingiynho-is9ts
@JumaJingiynho-is9ts 7 ай бұрын
Ukitaka kujua niko faster kosea kituma Hela a 😂😂
@morenobdi9187
@morenobdi9187 9 ай бұрын
Umeua saaan my favorite rapper toxic japo ulinilish umbu nikiisubiria sound ya bufa ep 2
@Best_tz
@Best_tz 9 ай бұрын
Umetisha san bro
@Rukaka_jr
@Rukaka_jr 7 ай бұрын
Wee jamaa ni noma sana
@nidal2698
@nidal2698 9 ай бұрын
Fuvu lenye mi toxic
@twelve_tz8333
@twelve_tz8333 9 ай бұрын
Ahahahahah we mzee baba nouma❤❤❤ chuma Cha maaana 🔥🔥🔥
@billaura5080
@billaura5080 9 ай бұрын
Nakupenda xana TOXIC❤❤❤
@deemichael6259
@deemichael6259 8 ай бұрын
sana man,,, unajua adi unajua tena
@yassinmiraji2921
@yassinmiraji2921 7 ай бұрын
Dogo anajua sn!!! Meeeh ndio imenileta hukuuu!!! ❤
@makejaffar8119
@makejaffar8119 5 ай бұрын
Kumamae...hili ngoma ni zaidi..jamaa ako so Toxic lyrically
@doctorhenry3656
@doctorhenry3656 4 ай бұрын
🎉unajua meeh mbuzi jike 😂😂😂
@bryanojwang4585
@bryanojwang4585 9 ай бұрын
kazi safi, tunakuskiza kutoka Kenya, tunakupenda ❤❤
@thecompleteactorskenya8775
@thecompleteactorskenya8775 9 ай бұрын
Oyi mwanangu fuvu naipataje ujani product
@khansuleiman8491
@khansuleiman8491 9 ай бұрын
Duuh brw ww uko vizuri sana unajuwa sana
@timolivier411
@timolivier411 9 ай бұрын
Sumu ndani ya nyumba
@bashiteentertainment3298
@bashiteentertainment3298 9 ай бұрын
Tafuta hela uwajue ndugu zako...!!!!!
@nardinmohamed226
@nardinmohamed226 9 ай бұрын
We jamaa umeshoot kampala university.. Gomz😂
@hillarykenyan157
@hillarykenyan157 2 ай бұрын
Tosic is sic 🤣 Kenya tumetii 🇰🇪
@elisantesamweli9052
@elisantesamweli9052 8 ай бұрын
Nomaa sana, SOUND YA BUFA☠️
@BosimuneneTv
@BosimuneneTv 9 ай бұрын
Uko vzr kaka hongera
@DANTAGRAPHICS
@DANTAGRAPHICS 9 ай бұрын
TOXIC....TOXIC....TOXIC!! Nimekuita Mara tatu😆😆😆Umeharibu Hewa
@ShababyJimibwa-j6i
@ShababyJimibwa-j6i 9 ай бұрын
Kichupaa safii from.my brother fuvu🎉🎉🎉🎉🎉
@tellodelucky6864
@tellodelucky6864 9 ай бұрын
All the way from Zenji#Marashi ya karafuuu🔥🔥🔥🙌🙌❤❤
@robinmdamu3938
@robinmdamu3938 9 ай бұрын
It's Toksikiiii🔥love mingi from 254❤
@dariusmsagha
@dariusmsagha 9 ай бұрын
This one has been long coming. Love from Kenya bro.
@abdullahmapesa
@abdullahmapesa 9 ай бұрын
Duuuh Kali Sana kbs big up Sana 🧏‍♂️🧏‍♂️
@jeremiagodfrey8529
@jeremiagodfrey8529 5 ай бұрын
asee unajua,, big up kwako toxic
@hamie_78
@hamie_78 9 ай бұрын
1:49 Usiniite mbahiri kama unisaidii majukumu. It's Toxic ☠
@TwalibMnyimadI
@TwalibMnyimadI Ай бұрын
Ulitaka kujua niko fasta kosea kutuma hela
@isdoripascal1967
@isdoripascal1967 8 ай бұрын
Shooting location 1 Kampala international university realy memorable place thank you for that one Toxic🔥🔥
@heavydee2546
@heavydee2546 9 ай бұрын
Toxic..Hii ni lethal weapon toka Mombasa kenya 💯
@DekelvaSoujaboy
@DekelvaSoujaboy 9 ай бұрын
Mistari kama yote na kukubali sana mwamba Never disappoint ❤❤❤ love from Drc Congo Lubumbashi
@ericaslucas6722
@ericaslucas6722 9 ай бұрын
Huku kwetu haunywi maziwa hadi siku unywe sumu 🎉
@Heartfeltchronicles-k3n
@Heartfeltchronicles-k3n 8 ай бұрын
Kayuti hapa mmmh
@KassimMbwana-m6i
@KassimMbwana-m6i 9 ай бұрын
Oyaa nimetokea pagumu kwetu haunywi maziwa mpk uwe umekunywa sumu 😂 👏👏TOXIC FUVU🙏👊❤️
@AllyKhalid-d9l
@AllyKhalid-d9l 3 ай бұрын
nakubali kazi yako mbuzi na yuzo hawamuezi
@PerfectJbo03
@PerfectJbo03 9 ай бұрын
Ukitaka kujua kuwa nipo Fasta kosea kutuma pesa
@GeofreyMwashatila
@GeofreyMwashatila 9 ай бұрын
Chaliii anguuu unajuaaa big up saana broo
@ibrahjokes5055
@ibrahjokes5055 9 ай бұрын
Ukitak ujue Niko fasta kosea kutumia hela🎉
@Kizzybabilon
@Kizzybabilon 8 ай бұрын
ukitaka kujua niko fasta we koseaa kutuma helaaaaa
@AlmandoDoctorioSadooh
@AlmandoDoctorioSadooh 9 ай бұрын
Siku hizi sifagilii ugomvi, maana nishafikia umri ambao meno yaking'oka hayaoti tena 😊
@AsmaAsma-gd3mv
@AsmaAsma-gd3mv 8 ай бұрын
Kubari san😅
@ChrispinAchilah
@ChrispinAchilah 9 ай бұрын
Fuvu kama fuvu , noma sana kaka
@rashidmwariko4360
@rashidmwariko4360 6 ай бұрын
Ebwana mtafute Mb dog mfanye remix ya kweli tena iwe na video Kali Kuna hisia za watu wa kitambo icho mtazifufua zimesizi na itakuwa bonge hit kwa mara nyingine do it man
@abiolafarouk9248
@abiolafarouk9248 9 ай бұрын
We hamaa ni hatarii
@carolmokobi9626
@carolmokobi9626 9 ай бұрын
Mmmhhh😂😂😂 Unaamka saa saba na ulisema utanunua gari utupe lift
@designerromantictrip1036
@designerromantictrip1036 9 ай бұрын
Duuuuhhh noma sanaaaa nakukubali
@BestLooz_Chance
@BestLooz_Chance 9 ай бұрын
Wewe Mwanangu Nakuelewa Fuvu
@silakatundu1516
@silakatundu1516 4 ай бұрын
Nakubali xna jembe uko kwe2 haunnywi maziwa had unywe cmu✌️
@OchuMjomba
@OchuMjomba 5 ай бұрын
Nakubal broo ckuping ceif hapa from kek😊
@smashjuanito5134
@smashjuanito5134 8 ай бұрын
Sema mwamba unajua ila sasa kutoa madude mpaka miaka ipite yani hapa ukute sound ya bufa 3 kutoka 2026
@nicksonmkombozi3411
@nicksonmkombozi3411 8 ай бұрын
Huyu jamaa hajawahi kosea like nyingi wajamen
@davidajentwa2284
@davidajentwa2284 8 ай бұрын
After roma mkatoliki, now this is my best rap in TZ
@jorammwangi6992
@jorammwangi6992 3 күн бұрын
Big baba 👊🏾👊🏾🔥🔥🔥
@BMN_27_twenty_seven
@BMN_27_twenty_seven 8 ай бұрын
Its TOXIC MY BRO 👊👊💚❤️💛 ONE LOVE BRO YOUR AMAZING
@pineapplemelodymaster
@pineapplemelodymaster 9 ай бұрын
Huyu jamaa anaandika sana
@Kinqbenson
@Kinqbenson 6 ай бұрын
Wewe Jamaa ningekuwa na kibundA ningewekeza, sio ustar ila izi content aina sababu ya kwenda Darasani 🙌💥🔥🔥
@PamtuJr-re8er
@PamtuJr-re8er 9 ай бұрын
Hat anaemuuwa mbu ndy yule anae mpgia makofi
@japhsam_simulator
@japhsam_simulator 7 ай бұрын
ivi kumbe ni wamoto kias iki...meeh im enisogeza mitaa hii
@Ndegejrtz
@Ndegejrtz 9 ай бұрын
Kizazi mzee toxc fuvu😅😅🎉
@Drepabg371
@Drepabg371 8 ай бұрын
Naona hiyo Location Moja umepigia KiUt..!
@VidPlex713
@VidPlex713 9 ай бұрын
Thats whats up...!!!!, Unyama mwingi....
@wilonderby
@wilonderby 8 ай бұрын
Ukitaka ujue Niko faster kosea kutuma hela
@CharlesJulius-q4c
@CharlesJulius-q4c 8 ай бұрын
ulisema mwaka huu ni wako alafu unaamka saa saba
@realjan-MOB
@realjan-MOB 9 ай бұрын
Oeee umetisha sana mwanangu
@DicksonBindeba-l5j
@DicksonBindeba-l5j 4 ай бұрын
Noma sana uyu jamaa toxic
@mariahsadeh1661
@mariahsadeh1661 9 ай бұрын
Noma sanah
TOXIC FT TREYZAH - NEW KING
4:28
Toxic
Рет қаралды 191 М.
TOXIC - JINAI (Official Video)
2:18
Toxic
Рет қаралды 398 М.
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
Sinaga Swagga Session 7  - Msukuma Mjanja
5:50
Msodoki Young Killer
Рет қаралды 204 М.
Mr Right -  Sijui ft Scar Mkadinali  | Official Music Video
3:13
BURUKLYN BOYZ
Рет қаралды 346 М.
Toxic Ft Vanilla Freestyle
3:08
Jifunze Na Toxic
Рет қаралды 5 М.
Toxic Lyrikali - CHINJE (Official Music Video)
3:32
Toxic Lyrikali
Рет қаралды 1 МЛН
TOXIC- TOBA (Official Video)
2:34
Toxic
Рет қаралды 148 М.
Bando MC x Kontawa & Xouh - Segerea (Official Music Video)
3:47
Dakika 10 za Maangamizi / Toxic
10:58
EastAfricaRadio
Рет қаралды 632 М.
TOXIC - Meeh
2:33
Toxic
Рет қаралды 173 М.
Toxic - Ukoo Wetu (Official Video)
2:40
Toxic
Рет қаралды 215 М.