Review kali…. Nimenunua hii gari imebd nije nipate uchambuzi🙏🏽🙌🏽
@NeroForte_4 ай бұрын
MAELEZO MAZURI SANA. keep posting these videos
@Juma-l7u3 ай бұрын
Naikubali sana iyo ndinga
@bensonjohn9633 Жыл бұрын
Kuna Toyota 86 hii siioni Bongo,Ila una muonekano mzuri sana
@greenhealth71142 ай бұрын
Nice review aseee
@RukiaMkaudya-dd7ei Жыл бұрын
Wakwaza ku view
@daddykaizer8174 Жыл бұрын
safi sana, mi naomba if posible uje na data kuhusu magari hapa bongo, kwamba magari gani yameingizwa, magari ya mwaka gani ndio yananunulika kitu kama icho
@moestate99822 күн бұрын
Naomba namba yako mkuu
@rahimchardluck11 ай бұрын
SIANGALIAGI REVIEW ZA BONGO ILA YAKO HII BHANA TAMU..IMENIFURAHISHA HAPO KWENYE BATI HAHHAHAHAHA
@SeraphiniGidina-599967 ай бұрын
Sema bei yake
@johnmbaule4823 Жыл бұрын
Nyingine azina push to start
@herrwin. Жыл бұрын
waiting for corola runx or allex review ..
@mswaki_newstz7 ай бұрын
Kaka fanya review ya Subaru Impreza
@nibretstudio Жыл бұрын
asante sana
@carolinemwakagali390911 ай бұрын
Bro naomba review ya Toyota vanguard
@NeroForte_4 ай бұрын
12:12 hahahahaahahaah eti kama unazima simu ya nokia
@dennisdeogratius65587 ай бұрын
Bati la nyumba ya podo😂😂😂
@AllenMasalla Жыл бұрын
Review Volkswagen POLO
@bukanualex90896 ай бұрын
Bro kunatofauti gani Kati ya rumion G na X
@ennaruben3133 ай бұрын
Hello ,naomba Bei plz
@frankmollel6119 Жыл бұрын
👏🏿👏🏿kaka AUDIII
@bonnybernad Жыл бұрын
Ni kusema engine za jamii ya 'CVT' ni kimeo/umiza mfuko toka kampuni ya Nissan pekee/hasa hasa kampuni hio ila si Toyota???🤔
@emtonboyofficial1134 Жыл бұрын
Bati kaka😄😄
@charlesmasangu4080 Жыл бұрын
Dr naomba uchambue Honda Crossroad
@kennygadau1774 Жыл бұрын
Mbona tayari
@directorimmah_vfx3043 Жыл бұрын
Tunaomba Usaidizi wa Izi grand Mark2
@hellenamagesa991 Жыл бұрын
Naomba bei yake
@abrahamsingano5372 Жыл бұрын
Bei gani na namba zako za simu
@aliykhamisi1431 Жыл бұрын
Bei ni how much? Tangaza na bei please
@vicentkilonzo924 Жыл бұрын
IPO vzr sana
@bensonjohn9633 Жыл бұрын
Ukweli hii Gari siipendi. Yan imekaa Kama kipande cha sabuni
@SophlaJackson-nt1nc Жыл бұрын
Mi huwa nasema imekaa kama buti niliona bola Ninunue alphard😅😅
@Bagenzi4life Жыл бұрын
😂😂😂😂
@hassanhancha14139 ай бұрын
@@SophlaJackson-nt1nc vo moaka Leo unaionaje hyo Alphard unanishauri ninunue
@SittaSibidu7 ай бұрын
Review maana Yake nn
@patrickmlowe974811 ай бұрын
9:1
@SittaSibidu7 ай бұрын
Bei zake
@SittaSibidu7 ай бұрын
Bayi lake
@zoeanagkazo22909 ай бұрын
In your local language has will keep limiting you man.