2024 and am still here loving this song. Such a masterpiece!
@issakwisamwasyeba2582Ай бұрын
WIMBO WA DUNIA BAHARI KUBWA YENYE MAWIMBI MENGI, NAUPENDA SANA, UPO HUMU?
@elizabethndegwa363 жыл бұрын
Yesu Yesu Yesu Yesu ninakupenda, napenda wokovu wako, napenda ulinzi wako, napenda mambo yako, napenda kazi zako, napenda roho wako , napenda injili yako ❤️❤️❤️❤️
@محمدالقحطاني-ر3ذ2 жыл бұрын
Sante yesu umeniokoa .. umenisamehe Dhambi.. evrythng in God is Good ,
@tujutuju25672 жыл бұрын
My cousin used to come in December with his family na radio cassette.. we didn’t know how to speak Swahili.. we didn’t have shoes nor clothes God of Israel now am in USA typing this inside my car
@loicethankyouforpowerfulen6373Ай бұрын
God of wonders same to me here
@djrygosultimateunstoppableАй бұрын
Kwani ilifanyika kwa kila mtu?God is good
@marianandisi164123 күн бұрын
Amen
@edwardkimangila17422 жыл бұрын
Inanikumbusha Mbali sana hii nyimbo
@bck81636 жыл бұрын
Man of God i want to remind you atestimony i heard from somebody about you,there was a church in which had organized a crusade and seminar and nobody had not attented that meeting but on your arrival something great happened ,things changed,just after you were given time to sing when people heard you they started coming in that meeting and the meeting was filled with multitudes of people this is greatness am proud of you man of God.
@wambughamwanjala91005 жыл бұрын
Blessed man of God. Still watching 2019 Dec.
@thezaria_3 жыл бұрын
Great ensigns for generations
@victormaiyo23853 жыл бұрын
Ulijazwa roho mtu wa mungu nataka kwetu
@stephanomakala3984 Жыл бұрын
Wimbo huu umenivusha ktk majaribu mengi niliokumbana nayo maishani mwangu, sifa na utukufu kwa Mungu Muumba mbingu na nchi. Abarikiwe pia muimbaji Munishi
@rachealbaya388 Жыл бұрын
Amen ameeeen 🙏
@ruisamuel959110 ай бұрын
I am still here 2024 Yesu ndani yangu!! From Mozambique
@eliethkwesigabo966 жыл бұрын
nakumbuka nioikuwa mdogo saana wazazi walikuwa wakipenda nyimbo zako,atimaye na mm leo nazisikiliza kwa umakini. ubarikiwe
@mumbua0042 жыл бұрын
I have fallen In love with Jesus Christ...i love him soo much
@morismandela310 Жыл бұрын
Lovely song
@sefuabeid97424 жыл бұрын
Mtumishi.....wimbo huu unanikumbusha mbali nikiwa jitegemee 1999...wimbo huu unaishi....utaishi miaka 1000 ijayo!!...barikiwa sanaaa mtumishi!!!...... mmepanga jeshi kupambana nami mtaabika bure!!!.....mnanitafuta kuniangamizaaaa...mtaangamia nyinyi!!!....yesu anilinda mimiii!!....na maneno yenu yauongoooo!!!....ubarikiwe sana mtumishi!!!...kama unasikiliza wimbo huu 2020 kipindi cha covid 19..!!...gonga like hapa!!!
@FloraKida-j9f2 ай бұрын
Mimi unanikumbusha mwaka 1985 na leo ni 2024
@mutonisolange-kn5ky8 ай бұрын
My favorite Munishi's song ❤
@franciskiunga4796 Жыл бұрын
Wapi makofi jameni kwa huu wimbo 👏👏👏😻😻😻
@emmanuelzani5025 жыл бұрын
Kazi nzuri sana, inanikumbusha miaka ya 1992 wakati naokoka. Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
@gabrielmusyani3275 жыл бұрын
Mungu akutunze umeokoka muda mrefu sana
@kiokomutua32092 жыл бұрын
I love you Jesus for paying our debt on the cross.
@urbanusmasilah10 ай бұрын
I remember my first time in Nairobi 😢 (2005) ❤❤❤. The song I still love till todate ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@diananaisula21795 жыл бұрын
2020 am still munishi's best fan
@judyotieno12494 жыл бұрын
Me too
@markusruhl60734 жыл бұрын
💪💪💪
@jackgatume93494 жыл бұрын
That makes several of us.
@Antoniodelarue4 жыл бұрын
Even towards end f lockdown next week.
@mariamrambo63454 жыл бұрын
Munish😍😍
@timxtv26217 ай бұрын
This makes me cry😭😭
@loiseyelukumay77603 ай бұрын
The best gospel music ever from an anointed Man the cloth.
@anitasimwa74 Жыл бұрын
Yesu nakupenda
@aggeekipanzula93086 ай бұрын
Nani Eko hapa iyi mwaka 2024
@joliempemba94473 жыл бұрын
J'aime beaucoup les chansons du pasteur munishi
@chrismarco79003 жыл бұрын
Yes nakupenda.😍jamani munishi huko ulipo baraka ziendelee kukumiminikia waaaaaaah ,ako vema Sana,mungu awe nawe daima,baba,nyimbo zako zinaujumbe xanaaa.,kila siku nasikiliza nyimbo zako Ni mpya kwangu...na zitakik...daima.......😀😀
@andrewsato92035 жыл бұрын
Baraka tele watu wa Mungu. Napenda hizi nyimbo kwa sababu ziko na himizo kwa sana.
@johnsekuro97595 жыл бұрын
Barkiwa
@maureenchepsergon84633 жыл бұрын
May the lord bless you, my mum used to listen to your songs when I was 12,now am 29 and they are still encouraging.
@ericmwandikigospelministry9696 Жыл бұрын
Kwa kweli Pastor Munishi uliimba huu wimbo vizuri sana. Asante sana. Ephesians chapter 6:12
@AmosObanda23Thursday16Nov8am Жыл бұрын
All His songs are scripture based and most of them are verses
@sefuabeid97424 жыл бұрын
Yesu nakupendaaa ulinzi wakooooo!!!!......adui walinitafuta roho na nafsi waniangamizeee..waliaabika waooh!!....mnanitafuta mniangamizeee ...mnajisumbua bureeeeeeh!!!...yesu ..yesu nakupendaaaa!!..napenda ulinzi wakoooh!!!.....mtumishi anatisha!!.....injili hii itaishi karne 10 zijazo!!!...
@munishifaustin13 жыл бұрын
Track : Yesu Nakupenda By Pastor Faustin Munishi
@josephumsemelwa27376 жыл бұрын
gospelgtv ok
@emmaculatachaula80375 жыл бұрын
Good sana
@gracemagoma68015 жыл бұрын
Shetani yalimshinda nyie mtayaweza wapi? Sauli yalimshinda akaitwa Paulo, mtumwa wa Bwana: Yesu ni kiboko:
@benardkenyaga10645 жыл бұрын
Amen munishi keep it up.this is what the world needs at this end time true gospel
@bingimwenyewe54164 жыл бұрын
The song is Soo good. I am your big fun.
@maureenmasoni12764 жыл бұрын
This is the music we want to this generation
@halamelagabriel94914 жыл бұрын
Ya nikweli
@thecomingmessiah78863 жыл бұрын
AMEN AMEN
@ARNLDM3 ай бұрын
All of munishi's song reminds us how our parents struggled for us to servive 😢😢 I recall one of his playlists was my fathers ringtone 😊😊 ...we loved listening to his songs 😊 aint tired of this songs
@mikeamaruchelule3 жыл бұрын
This song reminds me about a friend who died of accident when I was in class 3. Close to 30 years later I remember the day of the funeral as this song was being played. So sad.
@noelamadadi57313 жыл бұрын
Pole bro, may he continue resting in peace.
@anikucharles79943 жыл бұрын
Am very blessed by all Musnish songs. It reminded me my child period. Did he still alive
@evansmuthoka81952 жыл бұрын
Aniku Charles yes he's much alive
@isayasonelo40872 жыл бұрын
waooh! longtime when i was young thanks GOD for this person kwakweli
@bernardkathimbu2 ай бұрын
Imagine for the last over thirty years and the message is still new.
@erastosanga1694 Жыл бұрын
Big up Munishi in this 2023 , song is still good glory to God.
@sefuabeid97424 жыл бұрын
Mtumishi....nakukubali sanaaaa!!!.....unaonesha jinsi asidi alivyokuwa hana sababu......!!..akitaka kukuangamiza ataaibika yeye kwa jina la yesu!!....adui hana sababu aisee na siku zote huaibika!!....!!!huaibika woteeee!!!. ........mafanikio na uhai wangu umefichwaa mbaliiii.na yesu!!!.....shetan mwenyewe alinishindwa nyie mtaniweza wapiiiii!!....mfupa mgumu ulimshinda fisi nyie mtaniweza wapi!!!.?????...mnapanga vita vya damu na nyama!!....mimi napanga vya kiroho!!!...!!!!
@AnneHarold4 ай бұрын
Man of God, kuna yule aliyesema unapiga mang'ong'ong'o, hayo yalitufanya tukafurahia nyimbo udogoni na leo tuko hapa tena kusikiliza💪these are our sweetest memories and may God keep you Sir🙏
@alexchepkwony49113 жыл бұрын
This servant of God confort and nourish my spirit till ibecame emotional, for he sings with the spirit and passion, Ipray my living God to bless him altogether with his familly.
@upendoamani81643 жыл бұрын
2021 tuko juu kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth aliye hai
@smartmwashoma49923 жыл бұрын
Love this song bado in my memory I was very young watu wa ilala kota namiss wimbo huu
@salomewanyonyi9842 Жыл бұрын
I am blessed actually Jesus I love you ana love your Actions . Thank you Jesus
@Udakucity2 жыл бұрын
you bless my day make my day
@BenitMweze Жыл бұрын
20 yrs and more and still 😢😢😢 . May God bless You
@jescarwegoshola1754 Жыл бұрын
Sochoki kusikiliza huu wimbo unanibariki sana. Zidi kubarikiwa Mtu wa Mungu.
@gilberttarus741 Жыл бұрын
i love your songs a man of God,really touching.
@isayaallan69034 жыл бұрын
More than pray 100% Yesu anapenda kazi unayoifanya duniani
@justinbulenga66985 жыл бұрын
Mfupa mgumu ulimshinda fisi we utauweza wapiii... Dec 2019
@Udakucity2 жыл бұрын
pastor i wish urudi kuimba
@felestinekwamboka28733 жыл бұрын
Beautiful and powerful pastor munishi
@newtonsimba79302 жыл бұрын
Amen. Songs of our youth. Very nice ❤️🇰🇪.
@newtonsimba7930 Жыл бұрын
Amen. Great.
@gracechirchir890611 ай бұрын
Thank you jesus christ my king asanti❤😊
@gideonmkisi18175 жыл бұрын
Adui zangu waliitafuta roho na nafsi yangu, waniangamize bila sababu waliaibishwa wote
@rebeccamaunde4085 Жыл бұрын
I love munish nyimbo zake ni taradibu sana Tena ziko kwa mwendo wa pole poke be blessed man of God nilianza kukuzikia kitambo sana
@vagashappnecy48503 жыл бұрын
Asante yesu nakupenda yesu umenilisha , umenifariji napenda kaz yako adui zangu mnajisumbua yesu, yesu, yesu, yesu nakupenda
@placidesenga6449 Жыл бұрын
Merci encore Pasteur pour cette chanson
@weslykiplangat32724 жыл бұрын
Atrue prophet of GOD!!!
@halamelagabriel94914 жыл бұрын
Yeah
@halamelagabriel94914 жыл бұрын
He will preach the word of God
@makavelliini18776 жыл бұрын
Hii nyimbo inanipa uchungu...natamani kuimba nashindwa...maisha ya dhambi ninayoishi.@@@
@kamtanzania5 жыл бұрын
Yesu anakupenda tubu dhambi zako atakusamehe na utaacha yote uyatendayo yasiyo faa
@makavelliini18774 жыл бұрын
@@kamtanzania nashukuru Mungu amekua mwema! Leo nakuandikia kukujulisha kwamba sasa nimeokoka nipo SILOAM (yoh 9:7)..sasa nasikia neno, natenda neno, nashika neno.!Mungu wa eliya amekua mwangaza kwangu.
@marysandy17948 ай бұрын
If I must write the MIGHTY MIRACLES of JEHOVAH GOD in my life and family, I believe I will require all the writing materials in this world . In summary... Jesus I LOVE YOU dearly 🎉❤
@marialesoloyia27923 жыл бұрын
Hallelujah I like Munishis songs because it carries messages ,it bless me.
@karenzijumaahmad2573 жыл бұрын
Blessing galore mtumish. I love the song since 1995. Received Jesus because of message within.
@geraldlazaro45232 жыл бұрын
Andante Pastor Mtumishi unanikumbusha mwazo wa wokovu wangu Mungu aendelee kubariki huduma yako
@pnbentertainment3 жыл бұрын
Why don't we have 2billion views in this amazing song Munishi nakupenda sana Asante mtumishi wa mungu
@kipkiruilangat95613 жыл бұрын
Your songs keeps my Faith at brest, God bless you Mtumishi wa Mungu
@calebmotari22204 жыл бұрын
10 years and it still sounds brand new
@samuelwambua14063 жыл бұрын
The best song ever memory bring back memory. My dad and mum use to be the biggest fun of munish. But they no longer here continue rest in peace Dad and mum ♥♥
@Udakucity2 жыл бұрын
sijui mbona aliacha kuimba
@everlyneimani11112 жыл бұрын
Mungu pia.anakupenda ndio Sababu amekupa Nehema ya kuimba barikiwa pastor
@Bitlontravels5553 ай бұрын
Beautiful Gospel Music. Ubarikiwe Mtumishi
@jacklinemunyiva59794 жыл бұрын
Still hot wow!! I was listening at my childhood 1996
@bahajruntat70663 жыл бұрын
Be blessed mtumishi wa Mungu
@agneseddy58915 жыл бұрын
Wimbo unanikumbusha my mom alikuwa anampenda sana Munishi siku haishi ajaimba wimbo wake..endelea kupumzika kwa amani mom
@nephatkihara32804 жыл бұрын
Whenever I listened to this song I went down on my knees, and pray like never before. A great message
@gladysarithi6343 жыл бұрын
Great songs
@thecomingmessiah78863 жыл бұрын
AMEN
@justuskathoka1839 Жыл бұрын
2:46
@steveswakei39439 жыл бұрын
why dislikes on this???? i grew up listening to Munishi, great guy.
@sheelahbelgiankenyangal84478 жыл бұрын
+Steve Swakei me too
@bingimwenyewe54164 жыл бұрын
Kila mahali Kuna adui
@judithadede33944 жыл бұрын
One and only Munishi..... 🔑🔑🔑🔑🔑
@erastosanga1694 Жыл бұрын
Much blessings from TZANIA, GOOD COMPOSER OF Faustin Munishi
@valentinechepngeno30983 жыл бұрын
Very inspiring be blessed Munishi.. Yesu nakupenda
@karani.ioyako6932 Жыл бұрын
U r still a blessing to this generation..God bless you
@hortenseninda2 жыл бұрын
munapanga vita vya damu na nyama,napanga ya kiroho🤲
@immamlongo37363 жыл бұрын
I love this Munich's songs, they really ex pears me
@christinemkamau34952 жыл бұрын
Hallelujah waambie Mtumishi wa Mungu na Yesu nakupenda
@jakee20412 жыл бұрын
Ameeen. God be Glorified. Those fighting me, you will .sink like the Egyptians as they were chasing Israelites. Am sealed with the blood of Jesus Christ.
@bonfacerubia7633 Жыл бұрын
One of the best of Munishi songs... very touching!
@fannybahati17152 жыл бұрын
Munishi uko kweli mutumishi wa yesu bwana ,mungu akubariki napenda saana nikisikiliza mwimbo zako tangu 1997 aksanti unaniteya unanifariji napata yote nikiwa nayo lazima kwa nyimbo zako
@marypaul96279 жыл бұрын
Tonight am blessed by ths song.God bless you mtumishi.My love for Jesus renewed.Glory to Jesus.
@immamlongo37368 жыл бұрын
Mueni Mary
@halamelagabriel94914 жыл бұрын
Amen
@johnsonlameck51744 жыл бұрын
Amen Mtumishi nina amin waliyo panga kuaribu malengo yng ktk maisha yangu kabla ya 01-01-2021 kupitia huu wimbo Mwokozi Yesu kristo wanazaret anaenda kuwa chafuwa ndimi zao zote ktk jina la Bwana Yesu kristo wanazaret aliye hai
@kakajonitohusa Жыл бұрын
I started listening to you when I was young you blessed me and you still blessed me today. May the Almighty God bless you and keep you.
@mkenyamzalendo4130 Жыл бұрын
Some of us are here after cult thing in Kenya, i want to thank you Pastor Munishi for your songs and prayers… i just want to appreciate you for everything. Please tell us how to support you…
@rajhawahhour45583 жыл бұрын
Nakumbuka hii wimbo nikiwa class 3... Very memorable, thank you for the wonderful song, I'm Muslim though.
@dianajohn34933 жыл бұрын
Welcome for Jesus!
@mikendolo52234 жыл бұрын
Munishi mtumishi wa mungu,ulitumika kwa nyimbo za sifa na kuabudu,sawa sawa
@EricTheuri-s9w11 ай бұрын
Thank you Man of God your songs touch the hearts of many... you are blessed.
@misshee5903 жыл бұрын
🙏🙏🙏Amen yesu nakupenda ❤blessed man of God
@kenokemba15802 жыл бұрын
A Himidiwe Mwokozi! Wakale wimbo, wadumu kunihimiza. Waebrania 13:8. Ubarikiwe!
@jamesyuda50735 жыл бұрын
ukoapi munishi nngependa nikuone live nikupe ongera safi sana kazi nzuri
@humphreymwihambi43304 жыл бұрын
Yuko Nairobi toka miaka ya mwanzo ya 80
@fredricklugasi47513 жыл бұрын
Ako fb mtafute daily yuaongea
@VictorLangat-p2k10 ай бұрын
Mungu ni mwema kweli kabisa
@kentowett17194 жыл бұрын
My favorite song......Eighties songs.....one will break his record.God bless u Pastor Munishi Faustin.
@kentowett17194 жыл бұрын
No one will break*
@halamelagabriel94914 жыл бұрын
No one will break this record in the might name of Jesus Cheist
@halamelagabriel94914 жыл бұрын
Sorry i meant Christ
@betkyasio68484 жыл бұрын
Nakuamuru wee shetani toka ndani ya watu wa Mungu kwa Jina LA Yesu
@judymwarusa28044 жыл бұрын
Asante yesu umenilisha umenipa uzao umekuw na me wakati wote umenifariji thanks Jesus your my lord 🙏🙏🙏🙏🙏
@nyanseraalbert68063 жыл бұрын
Forever Pr Munishi is my favorite singer.
@josephinemukeni85742 жыл бұрын
When praising God was the real business,good music
@lorrainemetrine19404 жыл бұрын
I use to listen to your songs, when I was 10 yrs, now I'm 25, today I don't know this song just hit my mind, God bless you, from kenya
@josephnicholas95485 ай бұрын
Lovely Gospel. It gives us hope..
@endalesafaye37734 жыл бұрын
Pastor keep on good work. Amen l like your song God reachly bless you. This song never gets old.
@nengasiakimati68755 жыл бұрын
mfupa mgumu ulimshinda fisi nyie mtauweza wapi......makombora yenu ya kizamani ni maneno ya uwongo .....yesu nakupenda....kuna nyimbo ukizisikiliza hata kama huna mpango wa kurejea kundini unajikuta umo thanks pastor munish
@ericksiao83055 жыл бұрын
Still watch 2019,nyimbo imejaa upako daima milele
@douglasondieki68802 жыл бұрын
Uplifting my soul all time be blessed
@Udakucity2 жыл бұрын
best pastor and singer too
@martinnassary5876 жыл бұрын
Napenda yesu napenda yesu napenda injili yako.mkipanga kupambana na Mimi mtapambana na yesu... 18-november 2018