TRAORE AMEWAHUKUMU KUNYONGWA MA-SPY WANNE WA UFARANSA ALIOWAKAMATA BURKINABE

  Рет қаралды 60,012

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)

Күн бұрын

Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

Пікірлер: 181
@MandelaNestorruhororo
@MandelaNestorruhororo 4 ай бұрын
Awanyoge kabisa pia awakatiye Umeme unao eda huku u FRANCE big up Mwamba TRAORE Mungu akulide sana
@bonifacegasper9508
@bonifacegasper9508 4 ай бұрын
Nakukubali sana kiongoz huyo nijeshi lamtu mmoja,sio japa tz,nikuwapigia magoti wazungu tu kuomba misaada.
@ZuhuraNassoro
@ZuhuraNassoro 4 ай бұрын
Kwa kila hatua Mungu asimame na Ibrahim Traore.
@Ambwene
@Ambwene 4 ай бұрын
IBRAHIM TRAOLE ni Mwamba wa Africa 💪 💪 💪 💪 💪 💪
@EsterPaul-jt5im
@EsterPaul-jt5im 8 күн бұрын
Harafu mnao kometi eti wazungu watamuua traore mnanikela sana Ibrahim traore watandike hd watuheshimu
@OmarOthman-w9k
@OmarOthman-w9k 4 ай бұрын
Awachome moto tu washenzy wakubwa asante mwalimu bado nakufutlia kwaumakinisana yaani ninahasira.sana nahaomashoga
@SalumMajorhood
@SalumMajorhood 4 ай бұрын
Safi sana hata kwa Mungu unahaki yako coz unatenda haki rais wetu traole more bless sana
@NelsonMwaipaja
@NelsonMwaipaja 3 күн бұрын
Issaya Benson mwakilembe ##hongera xana mwalimu unatufumbua mambo mengi xana🔥🔥🔥🔥💯💯💯👍
@shiracque8524
@shiracque8524 16 күн бұрын
Asantesana baba MUNGU atukuzwe ❤❤❤❤❤
@ZaydShafii
@ZaydShafii 4 ай бұрын
Allah amjaalie ushindi zidi ya mahaduwi wake
@ibn-morishot.v623
@ibn-morishot.v623 4 ай бұрын
Vizuri ndugu, ila ao sio maadui tu wa Traoré bali ni maadui wa Afrika nzima na nchi zote duniani zinazo tetea haqi
@inamahorosauda5983
@inamahorosauda5983 4 ай бұрын
Napendas ana habarizenu
@MariaMateo-k6y
@MariaMateo-k6y 4 ай бұрын
Mungu akulinde mtetezi wa burkina faso malaika na majini wote wawe upande wako
@zainabzain3434
@zainabzain3434 4 ай бұрын
Big Up kiongozi Allah akusimamie kwa kila hatua tulewachoka mabeberu wafundishe hadabu wakae mbali na Bara letu
@jumamofu9573
@jumamofu9573 4 ай бұрын
❤tunampenda Traore
@linusdavis9072
@linusdavis9072 11 күн бұрын
Big up mwalimu Isaya ❤❤❤❤❤❤
@SalumMasengwa-b9s
@SalumMasengwa-b9s 4 ай бұрын
Ukuu wa Muwafrika udumu milele kati yetu ktk imani zetu pamoja From Uroa school Zanzibar nikipata upepo mwanana kutoka baharini
@RachelLaizer-n2p
@RachelLaizer-n2p 4 ай бұрын
Good traore songa mbele nynyua taifa lako wakae kwa amani sasa
@shaurisaidi7470
@shaurisaidi7470 4 ай бұрын
Big up bukinafaso pia watu wote wa bukinafaso watu wote wa Afrika tuwe kitu kimoja
@MateusPius
@MateusPius 4 ай бұрын
África hoooeeee 🇲🇿 não volta para atrás sempre avançar para más más força irmão
@TeddyDickson-w5p
@TeddyDickson-w5p 4 ай бұрын
Kumuombea huyu kijana,wazungu hawakati tamaa mpaka wamle kichwa
@shanimbwando863
@shanimbwando863 4 ай бұрын
Hata wakimuua lakini kawasumbua angalau ameonesha uanaume huyu ni shujaa haswa hata akifa hatumdai
@eliamanimfinanga3957
@eliamanimfinanga3957 4 ай бұрын
Hata musa alivyo tumwa na mungu kuwa komboa sana wa Izrael aliniambia mungu naomba niende nauso wako namimi nakuombea mungu awe mbele yako kiongozi
@CharlesMgassa
@CharlesMgassa 4 ай бұрын
Wan tz uhaini unaotokea huku hamsemi hivyo but mnaangalia maisha ya jirani yako ni sawa umeona mwanmke na wewe bado mungu hajakujali unamwambia mmeo mwangalie jirani hujui kama anaiba au la hawez kuwanyonga kataifa kake kadogo sana kwa ufaransa msitafute viewers
@anny19988
@anny19988 4 ай бұрын
Katafute kwenye channel ya Burkina Faso kama haumuamini. Wametajwa hao spies majina na sura zao zimewekwa laivu.Mwamba haogopi chochote na ana ushirika wa karibu kabisa na Putin . Yote Tisa kumi wananchi wa kawaida wanampenda vibaya mnoo wanaweza hata kufa kwa ajili ya Traore
@JamilaJumanne-u7q
@JamilaJumanne-u7q 16 күн бұрын
Wivu tu🤭🤸🏽‍♂️
@KhojaHusen
@KhojaHusen 2 ай бұрын
Kaka nakupenda sana kwa taarifa zako nzuri kila siku
@FarajaKihembwe
@FarajaKihembwe 4 ай бұрын
Daaah! Bado tunao watu wahovyo sana katika bara letu,yaani bado Kuna nchi zinafanya huo ujinga wakukaa na mgeni nweupe mpaka leo😭
@Ebenezerymethuthela-w5w
@Ebenezerymethuthela-w5w 4 ай бұрын
Kazi kazi
@siamuchunguzi
@siamuchunguzi 4 ай бұрын
Huyu ndiye mwamba wa Africa nzima, Viva Traore
@Tariqxxtenations
@Tariqxxtenations 4 ай бұрын
Napenda sana trufa zenu .anyonge tu hao😂😂❤❤
@ShijaMatinde
@ShijaMatinde 4 ай бұрын
Saruti Kwa Traore ifanye kazi Yako, Toka enzi hizo mabeberu wanatunyanyasa Sana, nyonga kabisa maliza kabisa, Pia shukurani Kwa Mwalimu Niko nazidi kukufatilia Sana.
@SammyCharo-y8k
@SammyCharo-y8k 20 күн бұрын
❤❤❤❤ogeza moto brooo uko sawa
@jotafungo4622
@jotafungo4622 4 ай бұрын
Safi sana piga kitanzi magasho hao
@FurahishaMtendjwa
@FurahishaMtendjwa 4 ай бұрын
Ndugu zetu Congo nao vp
@kisalaTV
@kisalaTV 4 ай бұрын
Hii habari ya kuwanyonga nimeipenda😂😂
@IsmailYusuf-nb9jt
@IsmailYusuf-nb9jt 23 күн бұрын
SIO UMEIPENDA SEMA TUME IPENDA 😂
@YusterCretus-b6b
@YusterCretus-b6b 2 күн бұрын
Saaaaaaaana yaani imenikosha mm roho burdaaaaani kabisa.
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k 3 ай бұрын
Kazi kazi❤❤❤ ibrahimu
@maryamtan682
@maryamtan682 4 ай бұрын
Na iwe khery juu yk.
@MahdouMomba
@MahdouMomba 4 ай бұрын
AIseee, huyu Traore ni wa moto, hapoi wala haboii, Africa itaheshimika sana kupitia hiki kichwa, Africa itaheshimika sana katika siku zijazo kupitia hii mashine
@gosbertireneus5558
@gosbertireneus5558 4 ай бұрын
ana vina saba vya wanaume wa MARA..
@greysonkisinda7390
@greysonkisinda7390 4 ай бұрын
​@@gosbertireneus5558hao wanaume wa mara wanaifanyia nini tanzania?
@wiliamkatala
@wiliamkatala 4 ай бұрын
​@greysonkisi😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hapo sasa nda7390
@GabrielbarakaThoua-fh8ow
@GabrielbarakaThoua-fh8ow 4 ай бұрын
Sawa sana!!! Naomba hata Kenya iuwe viongozi wafisadi
@krisantmwaipungu1434
@krisantmwaipungu1434 4 ай бұрын
Kazi nzuri
@Muuminmaftaha
@Muuminmaftaha 3 ай бұрын
Uishi milele freedom fighte treore wangu
@CashKassim
@CashKassim 4 ай бұрын
Wanyongwe tuu haraka Hawa wamagharibi wameitesa Africa Kwa muda mrefu sana nahakuna taifa dhulumati kama ufarance
@NaomiEnock-z4g
@NaomiEnock-z4g Ай бұрын
Sure kaka
@DicksoniMtono-wq7no
@DicksoniMtono-wq7no 4 ай бұрын
Tunashukulu sana kwa ufafanuzi mzuri tumeanza kujua ukweli
@Muuminmaftaha
@Muuminmaftaha 3 ай бұрын
Namukumbuka sana gadafii tomas sankara .mugabe lumumba wa kongo ..magufuli n.k
@HuseinNasoro-t3i
@HuseinNasoro-t3i 2 ай бұрын
Kaka iburahi ataejifanya kukupeleleza hua kaka mungu atakulinda usicheze nahayo majamaa hayatupendiii kwaiyo nasisi tuwachukie
@KilsonSanga
@KilsonSanga 4 ай бұрын
Adumu milele traore Ibrahim
@EmanuelMkongwi
@EmanuelMkongwi 4 ай бұрын
Hongera mkubwa😊😊😊
@NtareHill-re1bw
@NtareHill-re1bw 4 ай бұрын
salute on Ibrahim Traore
@Georgenzeyimana
@Georgenzeyimana 4 ай бұрын
Wallahi Wanyongwe hao magaidi wa ufaransa. Au niutanitu hawatanyongwa najuwa wa afrika nimanenotu vitendo hamna.
@vumbaboyjr
@vumbaboyjr 8 күн бұрын
Kaka Upo Vizuri.
@mhamedaudhat
@mhamedaudhat 4 ай бұрын
Mr right traore nikamanda
@NassourJuma
@NassourJuma 21 күн бұрын
Kaz kaz
@RobertShelo
@RobertShelo 16 күн бұрын
Angekuwepo magufuli tayari Africa ilikua imepata miamba miwili hakika tungefika daaaa tumuombeee turaore
@josephbuhembo4215
@josephbuhembo4215 4 ай бұрын
Traore ni mwamba haswa hakika taifa letu linahitaji mtu kama yeye.
@AmadeSalimoSalimo-gw8ij
@AmadeSalimoSalimo-gw8ij 4 ай бұрын
Big up 🎉🎉🎉
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 22 күн бұрын
Mwamba sana kijana
@hermanminani6284
@hermanminani6284 7 күн бұрын
Awanyonge kabisa tena hadhalani
@SaidAlriyamy-c6r
@SaidAlriyamy-c6r 4 ай бұрын
Bw,mwakilembe kwanza asalaam alaikum ww mimi ni mmoja au ni mpenzi mkubwa wa habari au uchambuzi wako asante kwa kutufumbuwa macho lakini mimi naona hawa manyangau hatuwawezi kwa sababu wana umoja tena wana uwezo tena wanaamua kila kitu wao nina wasiwasi wao hawataki kumuona mwarabu wala muafrika anajitawala
@eliamanimfinanga3957
@eliamanimfinanga3957 4 ай бұрын
Usiseme hatu wawezi neno kushindwa hebu achana nalo Africa tukiamua tuna weza na tiki mshirikisha mungu tuna weza bila wasiwasi
@SaidAlriyamy-c6r
@SaidAlriyamy-c6r 4 ай бұрын
Inshaalah
@asiaswalehe
@asiaswalehe 4 ай бұрын
Achawahukumiwe kunyongwa kabsa watuwamechoka nawao
@Levimakokha-ch6id
@Levimakokha-ch6id 4 ай бұрын
wanyonge wode
@HisaniKasim
@HisaniKasim 27 күн бұрын
Safi san mwambi kuwanyonga awo watu
@mathiasshirima4520
@mathiasshirima4520 4 ай бұрын
Huyu ndio Raisi wa ukweli Africa. Hana unafiki na wanafiki.
@ABEDSONFRANCIS
@ABEDSONFRANCIS 4 ай бұрын
Pamoja sanaa
@erickmkwera2784
@erickmkwera2784 4 ай бұрын
Ni kazi nzuri lakini hawezi kushindana na wazungu watamua tu kwa kupitia mamluki wake mwenyewe
@EliaMasanja-ut7wv
@EliaMasanja-ut7wv 12 күн бұрын
Imani haba hiyo Mzee! Kama ni kumuua wangeishamuua mapema saana!
@HusseinKibeku
@HusseinKibeku 4 ай бұрын
Waafrika Bado tuna safari ndefu kuufikia Uhuru kamili na kujikomboa kikamilifu. Viongozi wengi au naweza kusema wote ni vibaraka tu wa Wazungu. Asimame kidete kweli kweli. MUNGU azidi kumpa hekima na baraka tele tele.
@NMJAHsaid
@NMJAHsaid 4 ай бұрын
Tena wanyonge sana!!!!! Fanya kila unaloweza kuregesha heshima inayostahili 🇧🇫. Wazungu hawawezi kujisifu kwa kutuibia Mali zetu waafrika. Do whatever it takes to take your country to another level. Politicians are corrupt everywhere
@afropanorama4730
@afropanorama4730 4 ай бұрын
wazo zuri sana na vichwa vyao vipelekwe kwao ufaransa
@ErickMwinuka-tc8di
@ErickMwinuka-tc8di 4 ай бұрын
We need live speech of traole whats he says🙏🙏🙏
@soniamosi3536
@soniamosi3536 4 ай бұрын
Asante sana
@HisaniKasim
@HisaniKasim 27 күн бұрын
Safi san kuma make nyoga awo
@MrRee-sx5ur
@MrRee-sx5ur 4 ай бұрын
Kwelii hii ni taarifa muhimu
@ndaimtambo8845
@ndaimtambo8845 4 ай бұрын
Mwamba kama mwamba👊🏿👊🏿
@MashauriTengule
@MashauriTengule 4 ай бұрын
safi sana
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 27 күн бұрын
Merci beaucoup de President`
@harunimvamba4886
@harunimvamba4886 Ай бұрын
Akikamilisha bukinafaso aje na tz huku tuna tanzanite inayopatikan Tanzania tu dunian lkn ni nchi iliyopo kwenye list ya mataifa masikin
@josephmuthami4710
@josephmuthami4710 4 ай бұрын
Yeah Take A serious Action No mercy at all
@OmariRiziki
@OmariRiziki 4 ай бұрын
Salute captain
@AdamuMohd-vl2nk
@AdamuMohd-vl2nk 21 күн бұрын
Wazung muacheni traore
@MsabaaMwenebokyo
@MsabaaMwenebokyo 4 ай бұрын
Wanasiasa wapinzani wa Ivory Coast wampindue Watara maana ni kibaraka mtiifu wa ufaransa
@anny19988
@anny19988 4 ай бұрын
Yaani yule Watara ni kibaraka mkubwa hadi kaoa mzungu😢😢😢
@mutuamukeku4186
@mutuamukeku4186 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤mwamba uyu
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 4 ай бұрын
Kitanzi tu hao propaganda nyingi sana Tanzania pia ipige marufuku vyombo vya habari vya manyang'au hongera sana Sahel Region Mungu ibariki Africa..Traore jembe hilo
@rahimfeka6276
@rahimfeka6276 4 ай бұрын
Kaka tunapenda sana kusikiliza habari zako lakin jinsi unanvyovuta sana inachukua muda mrefu kusikiliza jambo fupi
@lucasbatano333
@lucasbatano333 4 ай бұрын
Anipe kazi ya kwenda kuwanyonga
@MethodMichael-tf5re
@MethodMichael-tf5re 4 ай бұрын
Namkubali Sana huyo raisi kijana, kiukweli anaonesha mgando.
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv 4 ай бұрын
Kwanini Benin na ivory coast hawa wapindui hawo mashoga maraisi wao
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 4 ай бұрын
Safi sana
@lucaswambura599
@lucaswambura599 4 ай бұрын
Atoe fundisho....awafiche au wanyongwe
@rahimfeka6276
@rahimfeka6276 4 ай бұрын
Jaribu kwenda kwa speed nzuri ili watu tupate kusikia tunachotaka,jaribu kumfatilia Ibrahim Rabhhi
@WillbadBeda
@WillbadBeda 4 ай бұрын
Tia kibiriti hao wezi
@IsmailOmary-b8n
@IsmailOmary-b8n 20 күн бұрын
Ayu kijana sijuwi ata nimsemaje maana kama kunfuraisha imepitiliza awo wapumbavu wasichukuwe ata mda wafilie mbali ebu Tanzânia viongozi wake angalieni mfano wakijana mzalendo anavyofanya na kama mumeshindwa achieni nganzi tuchukuwe vijana wa mangufuli
@FadhiliMmata
@FadhiliMmata 29 күн бұрын
Na awanyonge kwelikweli
@SolomoniRingia
@SolomoniRingia 4 ай бұрын
Hakuna nchi ninayoichukia duniani kama ufaransa,kwanza ni nchi ya kwanza kusambaza uchoko Africa especially Congo ndo watu wakwanza kufundishwa usenge na mfaransa pamoja na kukata viuno wanaumee, We kaangalie nyimbo za akina Yondo sister zilivyo jaa wasenge wakata viuno mule na walivyojichubua ndo maana Congo imejiletea laaana yenyewe baada ya kukubali ukafiri kama ule....🙄👆😡🙄😡😠
@SteveMweu-n9b
@SteveMweu-n9b 3 ай бұрын
Wanyongwe kabisa na wa African wengine wafanye hivyohivyo
@josephjulio6112
@josephjulio6112 4 ай бұрын
Hapa Tanzania nimeichoka Ccm nimeichoka chadema vyama hivi vinatuchelewesha sana natamani vingefutwa vyote tu tubaki na selikali
@DjFae.b255
@DjFae.b255 4 ай бұрын
Mwambaaaa
@sautisevarino1656
@sautisevarino1656 4 ай бұрын
Choma hio midudu
@rithaurassa
@rithaurassa 6 күн бұрын
Hakika huyu Raisi Traore tunamtegemea Afrika kutukomboa na siikuwaabudu wazungu. Na misaada yao hatuon kama inasaidia watu wengi ni wachache tuu wanafaidi.
@abdulmasoko7241
@abdulmasoko7241 4 ай бұрын
Traole oyeeeeee...
@justinibrahim-x1u
@justinibrahim-x1u 20 күн бұрын
Oyeee
@NdayishimiyeERickson
@NdayishimiyeERickson 4 ай бұрын
Ndo komesha. dawa ya moto ni moto
@Rutibyamunguadamon-v2k
@Rutibyamunguadamon-v2k Ай бұрын
Burkinabè ni wakaani siyo inchi
@SamwelSimon-tf6oo
@SamwelSimon-tf6oo 4 ай бұрын
Wanyonge kabisa
@JosphatObaigwa
@JosphatObaigwa 23 күн бұрын
I thought it was the judicial system!!!??
@giftmata
@giftmata 4 ай бұрын
Good
Duniani Leo
VOA Swahili
Рет қаралды 108
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
PROFESA TIBAIJUKA ACHAFUA HEWA CCM
6:53
Wasafi Media
Рет қаралды 36 М.
TRAORE: HATUMUOGOPI UFARANSA TUPO TAYARI KUPIGANA NAYE AACHE KUFADHILI UGAIDI
11:32
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 820 М.
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН