TRAORE KUTOKUJA TANZANIA KUMBE HII NDIYO SABABU MWAMBA ANASEMA WAAFRIKA MNISAMEHE

  Рет қаралды 175,659

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)

Күн бұрын

Mpenzi mtazamaji wa UKUU WA MWAFRIKA & IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

Пікірлер: 309
@stephenmwaniki2803
@stephenmwaniki2803 6 күн бұрын
Sijui kama watanzania wanajua venye hayati maghufuri anavyo ama alivyo kubalika Africa, rest in peace our hero🕊️🕊️🕊️🕊️🙏🏿🙏🏿 much love from 254🇰🇪
@BintiyakeDaudi
@BintiyakeDaudi 5 күн бұрын
Bless you Stephen. Karibu Tanzania. Tunawapenda jirani
@stephenmwaniki2803
@stephenmwaniki2803 4 күн бұрын
@BintiyakeDaudi 👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿🙏🏿🕊️
@BIOGAS1
@BIOGAS1 Күн бұрын
Hawa wanasifu mama sijui kama hadithi ya Thomas Sankara wanajua
@YourMoor-px1rd
@YourMoor-px1rd 22 сағат бұрын
WANAMSIFIA MAMA WOTE NI WAONGO TU WANAKIMBIZIA NJAA ZAO NI SIFA ZA UONGO TU​@@BIOGAS1
@YourMoor-px1rd
@YourMoor-px1rd 22 сағат бұрын
HUYU NI BIG KIONGOZI KAMA ALIVYOKUWA MWAMBA MAGUFURI BIG TRAORE ANATAKA KUIKOMBOA AFRICA TUMUOMBEE SANA MUNGU MAANA KUNA WASALITI WENGI SANA WANAKUWA KARIBU NAYE
@Ambwene
@Ambwene 6 күн бұрын
Niliomba sana Mungu huyu jamaa asije Tanzania 🇹🇿 maana viongozi wetu wanafiki wasije wakamuuza Traole
@ndogolofadhila6203
@ndogolofadhila6203 4 күн бұрын
Tena kama yuda alivyo muuza yesu kwa vipande 30 vya dhahabu
@IsmailJafari-pe1dv
@IsmailJafari-pe1dv 3 күн бұрын
Mfalme Wetu Tu Wamemzima Tz Usalama 0
@reubeinmmary
@reubeinmmary 6 күн бұрын
Mtumishi issaya Benson nakubali sana Mungu akuzidishie hekima hiyo.
@MonicaSylivine
@MonicaSylivine 6 күн бұрын
Mwalimu,ongera tunajifunza vikubwa mungu akuinue zaidi
@MwidaniAbdulmalik
@MwidaniAbdulmalik 6 күн бұрын
👣👏👏🤝🙏🤲 IKO SIKU ATATEMBEA KWA AMANI NDANI YA AFRICA KAZI KWANZA PAKA VIBARAKA WAONDOKE KWANZA 🇰🇪
@abdullahhashimu2380
@abdullahhashimu2380 6 күн бұрын
In sha Allah
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Күн бұрын
Tena nyie ndio vibaraka vya mzunguz number 1 ndani ya Africa yetu 😢😢
@MwidaniAbdulmalik
@MwidaniAbdulmalik Күн бұрын
@shinipapaya846 Tunaposema America niwaovu sio wote wako waungwana uongozi ndio chanzo na sisi Baadhi yao km mkenya tunalipinga tunalikataa tunakataa kata kata utawala huu wakuegemea magharib tuko wengi tunaotaka mageuzi isipokua mm km mkenya sitowacha kupeperusha Bendera yangu hata km alie uongozi ni Kibaraka harakati nilazima ziendelee Apo sawa ama UKUU WA MWAFRIKA UDUMU NDANI YETU 🇰🇪🇰🇪🙏🙏
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 5 күн бұрын
Traore Mungu akulinde asante sana Benson kwa kutuletea habari nzuri namuona kama Magufuli alivyo kuwa katika uongozi wake
@RichardLibuma
@RichardLibuma 6 күн бұрын
Mwalimu Benson hivi ndivyo ninavyokufahamu kwa habari zenye ukweli usikubali uyumbishwe mungu akubariki
@uredifataki6518
@uredifataki6518 6 күн бұрын
Hawazi kuja kwasababu sehemu mbaya sana kutembelea ni East Africa kwasasa hii nikitokana na kukosa ushirikiano kati ya viongozi wetu unafki unawasumbua sana viongozi wetu.
@JoeZeno-q1b
@JoeZeno-q1b 6 күн бұрын
Ni kweli
@ZeyanaAbdi-m3g
@ZeyanaAbdi-m3g 6 күн бұрын
Kweli kabisa
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 6 күн бұрын
Traore kwake kuna vita c rahisi aje
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 6 күн бұрын
Kabisa ❤❤❤❤❤
@uredifataki6518
@uredifataki6518 5 күн бұрын
@@HamisMghuna-fj3vz Mbona alienda Ghana 🇬🇭 na kwake kuna vita hizi inchi za East Africa hamna kiongozi asiye tumika na USA,Uk, France 🇫🇷 na nyinginezo na wote hao wana bifu na Traore kwa kuzingua inshu zao.
@JeannotKasapo-f7f
@JeannotKasapo-f7f 3 күн бұрын
Na mupenda sana Ibrahim Traoré ata kwenu Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 kungekuwa président kama yéyé, sai kama atuteseki ivi, mimi ni GOMA
@FrancisProsper-b4h
@FrancisProsper-b4h 2 сағат бұрын
Vumilia tu master
@DottoDidas
@DottoDidas 2 күн бұрын
Usije kabisa kabisa hapafai huku Pumzika kwa amani uncle Magu kazi yako kamwe haiwezi kusahaulika mwamba tz ni ndoto tena,,, Piga kazi Ibrahim Mungu yupo awe Simba Waafrika
@MwachumKipande
@MwachumKipande 6 күн бұрын
Mungu amsaidie na azidi kumpa maono ya uongozi kwamiaka hjyo mitano
@ماريافيدال
@ماريافيدال 6 күн бұрын
Me mwenyew niko burundi ili nilitamani sana afik tanzania siku ile ila ndoivo tena. Namkubali zaidi ya ninavyoandika 🎉
@Bmwanantala2
@Bmwanantala2 6 күн бұрын
Tunaomba Traore achukue hatamu ya mfalme wa Afrika❤
@RichardLibuma
@RichardLibuma 6 күн бұрын
@@Bmwanantala2 no objection
@DonaldNgaillah
@DonaldNgaillah 6 күн бұрын
Sema naomba , na Wala ucisema tumomba wewe na Nan??
@CkhardohThomas
@CkhardohThomas 6 күн бұрын
Machawa
@Mkubwa_jr
@Mkubwa_jr 6 күн бұрын
​@@DonaldNgaillahNa mm
@tzinvestigate5002
@tzinvestigate5002 5 күн бұрын
​Kuma la mama ako msenge wewe ​@@DonaldNgaillah
@JuliusSantiyalazier-y3c
@JuliusSantiyalazier-y3c 4 күн бұрын
Mungu akubariki sana wee ndio baba wa African
@SaidMussa-k5i
@SaidMussa-k5i 6 күн бұрын
Huyu hawez kuja kuonana na mafisad wa Tanzania waliomuua maguful il tuteseke na uchum mafisad wamerud wote nch hii
@GatsonGweso
@GatsonGweso 5 күн бұрын
Mungu Ambariki siku zote
@innocentjay8601
@innocentjay8601 2 күн бұрын
Yule mama mimi namshakia sana kwa namna alivyo kufa Magufuli. Akiwekwa bakora, anaweza ongea ukweli
@mussaisaac
@mussaisaac 5 күн бұрын
Nimekuelewa kiongozi makala yako nzuri ni bora hakuja Mungu amemuepushia mabaya
@OlivaMHANDO
@OlivaMHANDO 6 күн бұрын
Tunamuombea kwa muumba wake ampatie ulinzi wake mzazi mtakatifu popote pale alipo, amuongoze na kumsimamia katika majukumu yake Amina
@PauloPakasi
@PauloPakasi 6 күн бұрын
Utukumbusha bali sana mungu mlase sehemu pena peponi
@PetroNdaraha
@PetroNdaraha 6 күн бұрын
MUCH LOVE FROM KENYA.
@salimamugeni3568
@salimamugeni3568 4 күн бұрын
Samahani sana kwa swali langu Suna elewa sasa yesu kumwita baba Mungu si kusema amemza Na wewe usema kanisa yako una itwa baba lakini hukuwaza
@FadhiliNjombi
@FadhiliNjombi 2 күн бұрын
Namkubali sana Ibrahim allah amlinde
@AnithapaulKarugaba
@AnithapaulKarugaba 4 күн бұрын
Mungu azidi kumtetea ampambanie ampe jeshi la Bwana lisiloonekana ampe nguvu za kushinda maadui zake..🙏
@jonathanstephen-c9k
@jonathanstephen-c9k 4 күн бұрын
Amen San
@SuleimanMufassa
@SuleimanMufassa 6 күн бұрын
Kiukweli hawaamini wa Tanzania 🇹🇿 kwasababu wao ndio wamemuuwa Magufuri wakishirikiana na kenya 🇰🇪 jee yeye ninani asiuwawe ao kusalitiwa na inchii hizi😂😂😂😂
@AmadeSalimoSalimo-gw8ij
@AmadeSalimoSalimo-gw8ij 5 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 habari safi sanaaah
@kakyelaGibson-f2v
@kakyelaGibson-f2v Күн бұрын
kwakwel umetupa elimu ya kutosha mungu akupe maarifa zaidi
@MakweThegreat-k1q
@MakweThegreat-k1q 6 күн бұрын
Rest in peace MAGUFURI
@zakayodavid3500
@zakayodavid3500 2 күн бұрын
Mungu ibariki Afrika
@alimkumbukwa8363
@alimkumbukwa8363 5 күн бұрын
Nimpe nn mshauli huyu mzuli wa rais Asante mshauli mzuli Nimekuelewa sana Mm pia nkubal m23 mung awasidie wachukue dola
@matunzojr4862
@matunzojr4862 6 күн бұрын
Asije tu maan kiongoz wetu sio mzalendo
@MungwanaHaki
@MungwanaHaki 3 күн бұрын
Mzalendo mama yako?
@robbysartproductioncompany5306
@robbysartproductioncompany5306 Күн бұрын
😂​@@MungwanaHaki
@YusuphIddy-h2d
@YusuphIddy-h2d 6 күн бұрын
Mwalimu mungu atusaidie pia tz iwe nchi yamfano kwakupata kiongozi mwenyeusubutu wakutumikia nchiyetu
@florencemeza6540
@florencemeza6540 6 күн бұрын
Alikuwepo magufuli wakamuua sasa hivi ni wapigaji tu
@JamesDeus-f7v
@JamesDeus-f7v 2 күн бұрын
Africa 🌍 wanafik weng sana naweza sema Africa nzima kutoa yy wot nivibaraka wa wazungu2
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 6 күн бұрын
Hawezi akaja kwenye nchi iliyojaza wasaliti,vibaraka na mafisadi,tanzania ya leo sio salama,imejaza vibaraka ndio maana hajaja mzalendo huyu
@zonko0488
@zonko0488 6 күн бұрын
Huo ndio ukweli
@CkhardohThomas
@CkhardohThomas 6 күн бұрын
😅😅😅😅😅 kazi zinaendeleaga zenyewe sisi zetu ziara
@lovenessmallya816
@lovenessmallya816 2 күн бұрын
kweli kabisa
@omaryjumbe14v8
@omaryjumbe14v8 4 күн бұрын
Mungu ambariki sana huyu kiongozi
@MeryJumanne-t9n
@MeryJumanne-t9n 6 күн бұрын
Raisi wa Africa
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 5 күн бұрын
Labda huyu ndiye atakuja kutukomboa wa Africa kwa uzalendo wake
@edisonpeter3894
@edisonpeter3894 6 күн бұрын
Africa inastahili kuwa chini ya utawala wa kijeshi. Hawa marais wa ndiyoooooo tutasanda sanaaaaa
@aishabrondi236
@aishabrondi236 6 күн бұрын
Kweli kabisa nakulbuka kwetu wakati tunaongozwa na jeshi tulikuwa Salama lakini hivi tunaongozwa nachizi moja Hana akili inchi haina mafuta yeye anaongangania kusema Burundi iko Sawa mwehu kabisa
@barikimollel7890
@barikimollel7890 6 күн бұрын
Ni Kweli Kabsa natamani Siku Moja iwe Hivyo Hizi Nchi Zetu za kiafrica Ili zinyooke zinahitaji Jeshi liwaongoze
@edisonpeter3894
@edisonpeter3894 6 күн бұрын
@@aishabrondi236 poleni sana
@CkhardohThomas
@CkhardohThomas 6 күн бұрын
Pole nani? Au kwasababu gan? Au nawewe ndo walewale nini?
@kushcultureralph568
@kushcultureralph568 9 сағат бұрын
Bora hakuja huku bongo,nchi ya wanafki hii na majizi aje kufanya nini!yeye ni mtu wa haki na hapa tanzania haki hakuna,hongera sana kwa kuto kuja na kuunga mkono serikali hii ya majizi
@EMA-vq8vc
@EMA-vq8vc 5 күн бұрын
Mungu amlinde 😢
@abdulhakeem959
@abdulhakeem959 6 күн бұрын
HAWEZI KUJA KWENYE VIKAO KAMA HIVI VYA KUUZA RASILIMALI ZA WAAFRIKA
@philibertmpinzile.6090
@philibertmpinzile.6090 6 күн бұрын
Kweli huu NI makutano WA mfano mzuri WA kuuza rasirimali zetu Africa kwa manyangau, ila eti watu walibeba picha za wakuu waliofika mkutanoni nauliza hizo picha walitoa wapi, kipato chako mtanzania kutoa photocopy ya documents za mwanzo shule asome vizuri akiona mwaandishi hela hiyo huna na wala kununua chakula mwanao ashibe asome akiwa ameshiba chakula hujamnunulia halafu eti umepata hela ya kutengenea picha ya mtu anayekuja kufanya kikao ili wauze rasirimali zetu, kweli how stupid we are!!!!!!
@hashimmwawato9660
@hashimmwawato9660 5 күн бұрын
Ak Natamani Gadafi na Magufuli wangelkua hai bs wakashikana nahuyu mwamba ak Africa ingelweza kupiga hatua,Eee mungu tuletee viongozi Wenye kujielewa Africa Wenye kua Kama Traore namiamba walopita
@amosJackson-vj4om
@amosJackson-vj4om 6 күн бұрын
nakusalimia sana mzee isaya benson
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 5 күн бұрын
Ibrahim traore the great 🎉
@SabathoSamwel
@SabathoSamwel 8 сағат бұрын
Aje kwasababu yy nimtanzania mwenzetu
@meryshekoloa961
@meryshekoloa961 5 күн бұрын
Na usithubutu Tanzania hakuna ukweli ovyo kabisa mungu akutunze
@KisagasiLuyangi
@KisagasiLuyangi 6 күн бұрын
Maraisi wetu wengi hawana kauri Kwa mzungu, hivyo kutokuja kwake ni sawa tu, na anafikiria ilikuaje magufuli aksfa
@loittylove35
@loittylove35 6 күн бұрын
Viongozi wetu wamejawa tamaaa na unafki mkubwa bila aibu
@storytownTv
@storytownTv 6 күн бұрын
Magufuli aliuwawa na hao hao Manyangau..😢
@vicentmashare6003
@vicentmashare6003 2 күн бұрын
Ibrahim' rais wa afrika kazana mungu u nawe
@GlauryHaule
@GlauryHaule 6 күн бұрын
Mimi naomba Bwana yesu kristo amfunike kwa damu yake takatifu asimuache akauwawa n'a manyang'au
@HumudNassor-pg6lq
@HumudNassor-pg6lq 6 күн бұрын
we hutaki ufunikwe na damu yayesu
@YusuphMashimila
@YusuphMashimila 6 күн бұрын
Toka hapa mungu pekee ndo anamkinga sio dam ya yesu
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 6 күн бұрын
Usikwepeshe maneno nawewe,hii tanzania haiko salama,hivi unadhani hawaoni yanayotokea hapa nchini,mauaji ,utekaji,hivi mnadhani traore ni mjinga?ikiwa watanzania sisi kwa sisi tunauana vipi kwake tushindwe kumuua?????au kumsaliti tukipewa pesa na wafaransa??????
@vuauvae8552
@vuauvae8552 4 күн бұрын
Natamani atokee Mwanajeshi mmoja mwenye moyo kama wa Traore hapa Tz atuchangamshe na sisi
@AnordMakuvila
@AnordMakuvila 2 сағат бұрын
We just play for trailers. God keep him
@SaumuMtanga-k8b
@SaumuMtanga-k8b 5 күн бұрын
Jamani tuanzishe Magufuli day..Mwalimu anzisha mfuko wa magufuli tuchangie tusaidiane wenyewe kwa wenyewe wazalendo..huo mfuko usaidie kunnua hata madawa tujenge mahospital ....
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 6 күн бұрын
Safi mwalimu 💚💚💚
@loittylove35
@loittylove35 6 күн бұрын
Nakuelewa sana mkuu
@BrianJosephMsofe
@BrianJosephMsofe 4 күн бұрын
Iko siku atakuja waumgane na makonda au msukuma❤❤❤❤
@JohnMataba-s9u
@JohnMataba-s9u 2 күн бұрын
Hapo nimeelewa,
@RespikiusMgasha
@RespikiusMgasha 2 күн бұрын
Uko sawa
@JohnWailess
@JohnWailess 4 күн бұрын
baada ya KING JOHN P MAGUFULI ni huyu mwamba TRAORE.sijui angekuwepo mzee hadi sasa bongo ingekua zaidi ya ukata.tumekumisi MAGU
@aubreychuma5449
@aubreychuma5449 5 күн бұрын
Chawa wa Traore wew
@AloiycChaga
@AloiycChaga 3 күн бұрын
Ata ivo yuko sahihi amepima upepo vizuri..
@JoramJoseph-im6qb
@JoramJoseph-im6qb 5 күн бұрын
Kwa upande wangu sikupenda aje kwa sababu ana maadui wengi sana
@MS.independent8934
@MS.independent8934 6 күн бұрын
Kama JPM angelikuwa hai ange'kuja tu mwamba
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 6 күн бұрын
Umeanza kujishusha kwa uongo uliokithiri, sasa unauza vitabu? Hao wasiojitambua watanunua vitabu hivyo.😅😅😅😅
@Re-Agrotec
@Re-Agrotec 6 күн бұрын
Huyu boya muongo muongo sana, amna cha harakati mchumia tumbo tu.
@OscarFrancis-mx7iy
@OscarFrancis-mx7iy 6 күн бұрын
Mwalimu hiyo vita ya congo chanzo ni nini na nani yuko nyuma ya waasi ya kuwapa nguvu kubwa kwa sababu mimi naona wanamfanya kagame kama chamboo...ila kuna Siri apo imefichwa
@Alimkubwa-m4e
@Alimkubwa-m4e 4 күн бұрын
Mungu minded ibrahim
@LovelyOmbreSky-pu4jt
@LovelyOmbreSky-pu4jt 6 күн бұрын
Africa tukioata watu kama hawa 10 tunaweza kuwambali ila mimi naona kiukweli siasa ndiyo inatuludisha sana nyuma inchi zitawaliwe kijeshi kwanihawana mambo ya siasa
@petromakange2668
@petromakange2668 5 күн бұрын
Traole paza sauti tu,ndani ya nchi yako,usidanganyike,watakuuwa,
@PrudenceMwakyoma-oz5ic
@PrudenceMwakyoma-oz5ic 4 күн бұрын
exellent
@sattaromaromarmaka4798
@sattaromaromarmaka4798 Күн бұрын
Sasa na mbona Mungu alipomuita jesus mwana ..mukajua NI mwanae kweli !!! Mbona hamukujua kua Sisi sote NI Wana WA mungu Kwa mfumo wa lugha yako😮😮😮
@judicalosika7642
@judicalosika7642 2 күн бұрын
Benson Benson eh!! Kumtajataja mwamba Magu!....!!!
@NkhakayaMazagati-kk5rz
@NkhakayaMazagati-kk5rz Күн бұрын
Mtumishi usifafanue sana.Kwakuwa zama hizi ni za demokrasia, uraisi kama wa kiufalme tafsiri yake ni Udikteta, ambao ni kinyume na Demokrasia...lazima upinzani uibuke.
@ماريافيدال
@ماريافيدال 6 күн бұрын
Sio ndadaye kaka ni Cypriano Ntaryamira, wanyarwanda . Watutsi burundi walijaribu kuungana na kagame ila bado tumewashinda paka sasa. ndadaye alisema mutamuuwa Ndadaye ila hamtawauwa kina Ndadaye. Mungu wape ujasiri wakongomani wajitoweeko zarahu za ao mbwaa😢
@ZeyanaAbdi-m3g
@ZeyanaAbdi-m3g 6 күн бұрын
Waa tz wanafiki sana
@florencemeza6540
@florencemeza6540 6 күн бұрын
Viongozi
@Pedeshee01
@Pedeshee01 6 күн бұрын
Uchawa tu.na viongozi wanafiki
@davidnyamo6110
@davidnyamo6110 6 күн бұрын
Kwanza walitunguliwa wakitoka Tanzania so Traore asingekuwa na imani na safari yake
@mtulivu-ir1nq
@mtulivu-ir1nq 6 күн бұрын
Ujue inaweza kuwa watu wengi Duniani na Africa kiujumla hata viongozi wa mataifa ya Africa au wananchi wa Africa hawaamini Hadi Leo kuwa magu alikufa tu kama ilivyoelezwa ila aliuwawa🙌🙌🤔🤔
@Bahatimohamedi-m7t
@Bahatimohamedi-m7t 6 күн бұрын
Nikweli
@MohammediSaidi-x6y
@MohammediSaidi-x6y 21 сағат бұрын
mimi nilipata matumaini kwamba nchiyetu mpaka mwamba anakuja kwetu ni hatua nzuri kumbe Bado sana
@GodfredAlfredNgarama
@GodfredAlfredNgarama 6 күн бұрын
Magufuli angekuwepo tungekuwa mbali kwani majipu yangekuwa yameshaisha ila sasa hivi majipu yalishatunga hadi usaa
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 6 күн бұрын
Mbona alimtoa ASAAD baada Asad kusema trion 1 5hazionekan mkurugez w Geita VX y m440 au Tatizo shule au
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 6 күн бұрын
Mulimpa magufuli sumu mutamuacha traore ,bora. Hata asije
@JamilaJumanne-u7q
@JamilaJumanne-u7q 6 күн бұрын
Umemaliza ndugu yangu😢😢😢RIP BABA JESCA MAGUFUR
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 6 күн бұрын
Wasojulika ilianzia awanu yaaa---
@JamilaJumanne-u7q
@JamilaJumanne-u7q 5 күн бұрын
@@HamisMghuna-fj3vz 🤔naamin ata ww una madhaifu yako
@paulinakatemi7119
@paulinakatemi7119 6 күн бұрын
eti manyang'au.😅😅😅
@SeifKimati
@SeifKimati 4 күн бұрын
Mwamba uko vzr bor ukae tuu huko huko
@philibertmpinzile.6090
@philibertmpinzile.6090 6 күн бұрын
Waafrica wengi tukusamehe mi naona kweli kwasababu hata mmoja wetu anaposhambuliwa na upande unaoonyesha WA uóngo kututetea Sisi NI wagumu kutambua na hata tukitambua mtu anaamua kuwa naye msaliti hatimaye wanafiki wengi muno kujikomba kwa manyangau. Traore we kanyagia Tu mwanangu utukomboe na hili limzimu linalotutafuna waafrica wengi
@WamburaAlfayo
@WamburaAlfayo Күн бұрын
@RajyMussa
@RajyMussa 3 күн бұрын
Kumbe ajaja tz ??
@FadhilaFaraji
@FadhilaFaraji 15 сағат бұрын
Tanzania 🇹🇿 sio Nchi ya kuaminika siku zote huripoti kwa Nato na Marekani, kwa Rais Makini hawezi tembelea nchi kama hizi, Mfaransa ndio coordinator wa huo mkutano kwahiyo lazima watakuwa wamepanga jambo kuhusu huyo jamaa
@EliasMoyo-g3p
@EliasMoyo-g3p 4 күн бұрын
Ata pia mm sioni sababu ya mwamba kwenda tanzania kwan tanzania akuna usalama kama anavyo sema mwamba iburahim na nimejua kwann mwamba anasema tanzania akuna usalama ni kwasababu walimusaliti mfalume wao magufuli kuuwawa iyo ndio ukweli na anasema ukweli
@LsscCompany
@LsscCompany 3 күн бұрын
Ata Tz yenyewe ingejaribu kumuhumiza kama walivyofanya kwa JPM
@simonmwaliru8590
@simonmwaliru8590 6 күн бұрын
Pia tukumbuke kuna mataifa wanayofanya vizuri zaidi hapa Africa,kama Mauritius, Seychelles, Cape Verde na Botswana.
@Msetomediatz
@Msetomediatz 4 күн бұрын
UKUU WA WAAFRIKA NAOMBA MAWASILIANO YAKO TUONGEE JAMBO LA KIKAZI
@JoelAlbert-o1r
@JoelAlbert-o1r 4 күн бұрын
R.I.P .MAGUFULI
@CkhardohThomas
@CkhardohThomas 6 күн бұрын
Hapo kweli awe makini na Heading zake asiandike ambacho hakupo tutamchoka
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 6 күн бұрын
Leo nimekusikia ukimtaja magufuri kama baba 😂😂😂😂 Dah haya maisha jamani kweli yanabadilika, sawa kaka
@MaryKalunde
@MaryKalunde 5 күн бұрын
Kiongozi yeyote wa famly akiwa mwanaume basi ni baba.
@kitengealmas4085
@kitengealmas4085 4 күн бұрын
Tanzania ni masnichi Bora hakuja
@othmanabdallah3146
@othmanabdallah3146 2 күн бұрын
Burkina Faso hapo Kuna umbali Gani kutokea Tz Kwa anga by connecting Flights? Watu wanaenda Kila siku kununua ufuta
@HafidhMaalim
@HafidhMaalim 4 күн бұрын
WEWE NI MUONGO UNASUMBULIWA NA HUYO MAGUFULI.. EBU ONA HAYA HAWAFANANI TRAOLE NI MWAMBA KIDUME THEN NI MUISLAM MWENYE IMANI HATEKI WATU WAKE WALA HAWAPIGI RISASI
@jonathanmwakabuku4714
@jonathanmwakabuku4714 5 күн бұрын
Acha kulemba sema sababu ya traole hajaja Tz
@AmonyDavid-ed7nh
@AmonyDavid-ed7nh 4 күн бұрын
🎉
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 күн бұрын
Magufuli hatassulika kabisa katika mioyo ya Watanzania
KUMEKUCHA TANZANIA NA BURKINA FASO ZIMEUNGANA KWENYE HILI HAPA
12:16
UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Рет қаралды 51
TRUMP AMESEMA KWA NINI ALIMUALIKA TRAORE PEKE YAKE AFRIKA NA KUWAACHA VIONGOZI WOTE
11:17
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
KWA KISWAHILI HOTUBA YA IBRAHIM TRAORE' MBELE YA RAIS VLADIMIR PUTIN
5:35
ARUSHA ONE RADIO
Рет қаралды 1 МЛН
BALAAA! WAREMBO WOTE WAMEMPENDA MR RIGHT HANDSOME - S04E12
14:59
ST BONGO TV
Рет қаралды 229 М.
HAKUNA GEREZA LINALOWEZA KUMFUNGA ZAIDI YA WIKI LAZIMA ATOROKE
11:04