TRC YAZINDUA KAMPENI SAFARI SGR DAR - DOM, NAULI DARAJA LA BIASHARA NA TRENI YA "MCHONGOKO" ZATAJWA
Пікірлер: 47
@MaghobaGeorge-lq4yg8 ай бұрын
Hongera Director Masanja Dogosa kwa kazi kubwa muliyo ifanya pia sifa zimuendee mkuu wa nchi kwa kuliona na kusuport mpk lilipofikia hongera Sana wote ila hamuna haja ya kampeni zozote nauri tuu mulizo panga ni kampeni tosha
@josephjohn21147 ай бұрын
Jeshi litumike kulinda miundombinu ya reli isihujumiwe pesa nyingi sana zimetumika
@ELIREHEMATULO7 ай бұрын
Ni jambo la kumshukuru sana Mungu kwamba hatimaye YAMEKUA
@3aliq8 ай бұрын
Vipi mkiandaa videos zinazoonyesha kuanzia ukataji tickets Hadi wakati WA safari ili watu wakapata picha ya uhalisia WA jinsi ya kusafiri na treni za kisasa itawasaidia sna siku za kuanzia operations.
@vinny.morales8 ай бұрын
Nauli zimeendana na uhalisia. Kila tabaka limeguswa kwendana na kipato. Kazi kwetu sasa👏🏿
@kambamazig020248 ай бұрын
Tumkumbuke JPM na EMU moja iitwe JP-Magufuri Express ili kumuenzi kwa uthubutu wake!
@christopherjoseph83308 ай бұрын
Mh Kadogosa, usafiri wa treni ya SGR kwa mikoa ya kusini na kazkazini. Lini utaanzishwa
@johnb.j.m2068 ай бұрын
Tulitegemea tovuti yenu ingekuwa imeboreshwa na kuendana na mnayosema. Mtu akitaka kupata picha kamili ya akienda kwenye tiketi mtandao ataona maboresho. Ila sikuona maboresho yanayoendana na TRC SGR. Tazemeni tovuti ya Kenya ilivyokaa vizuri. Watu wa mtandoa wa TRC amkeni kumekuchaa.
@karyori698 ай бұрын
Masanja ana-bore!
@mwikamwika48518 ай бұрын
Kenya wajifunze kwetu bhana
@mduda_i8 ай бұрын
@@mwikamwika4851Kwenye ishu ya Online service na website sisi bado tujifunze kutoka kenya. Tumelala mno
@beatricefelix12718 ай бұрын
Wamezoea siasa hapo ni kisiasa zaidi sio biashara ndugu yangu. Biashara waiachie private sector wao wabaki kumange reli tuu
@dremmytz8888 ай бұрын
Awa jmaa wapo ovyo kbsa yan wanasema t onlne ticket af hkuna chochote
@ibrahimsaid1338 ай бұрын
Ratiba za safari zikoje
@h.alshidhani89718 ай бұрын
First class Tsh 120,000/- Safi sanaaaa.
@htx18738 ай бұрын
Guys we need to fix TAZARA
@abbumwaipopo29408 ай бұрын
Hongereni sana
@DanielMakunja7 ай бұрын
Mm nalia na serikali nadhani ingebaki kutengeneza miundo mbinu kama reli kisha uendeshaji ubaki kuwa wa sekta binafsi ili ipungeze uendeshaji
@h.alshidhani89718 ай бұрын
Very reasonable
@SoudOmar-lu7we8 ай бұрын
1:01
@BarakaKitale8 ай бұрын
Escape from sobibo
@eddechriss26648 ай бұрын
Inamaana kufika mwanza na mchongoko itakuwa 200k+ that mean it will be equal with flight, hapo wangosha tutachagua wenyewe ni utalii upi zaidi una faida kwa macho
@isackrichard63568 ай бұрын
😂😂😂😂😂 Bora utalii wa anga ndugu
@mwikamwika48518 ай бұрын
Acha kupotosha hizo nauli zina classes. Lazima useme ni class gani?
@eddechriss26648 ай бұрын
@@mwikamwika4851 kwani wewe umeelewa nini kutoka kwenye maelezo ya Director Kadogosa
@Anti-socialSocialClub8 ай бұрын
Kweli , nahic wameweka bei kubwa mno kwenye business na first class. Wanahitaji kuwa competitive na ndege , haswa kwenye safari za Tabora na Mwanza where there's direct competition. Hakuna mtu atapanda treni kwa bei ya ndege business class or otherwise !
@vinny.morales8 ай бұрын
Nauli hizi ni kwendana na madaraja. Kuna daraja la JUU na daraja la KAWAIDA.
@ahmedkyama47348 ай бұрын
Tiketi mtandao jamani
@allymohamed27247 ай бұрын
LATRA nauli hii bado ipo juu, haipaswi kufanana na bus hata kidogo. Huu ni Usafiri salama na bei yake ni nafuu duniani pote. Nauli ya laki Dodoma lazima ipunguwe
@lameckkategile86578 ай бұрын
Sijaelewa hapo kwenye Treni mchongoko umetaja mwanzo Business umesema Elfu Sabini lkn Baadae umesema Laki Moja imekaaje hiyo mkuu?
@kisutabora59148 ай бұрын
Laki moja business class kutoka Dar mpaka Dodoma kwa reli mchongoko, kama nilivyomsikia mkurugenzi Kadogosa. Hio elfu sabini ni business kwa treni ya express isiyo mchongoko. Laki moja na ishirini elf ni Royal class
@danielmutei-hw6dk8 ай бұрын
Kuna business class mbili business ya kawaida (70k) na royal business (100k)
@kambamazig020248 ай бұрын
Kuna business (70,000) na royal business (120,000).
@omarybakunda25548 ай бұрын
Masanja tupe taarifa ya ujenzi wa vipande vingine.
@mohamedmbalazi7488 ай бұрын
Vishabuma vile, japo niko kigoma naona tawi la kwenda burundi wachina wamejaa hapa uvinza washajenga kambi. Ila vile vipande ndani ya nchi vimebuma
@beatricefelix12718 ай бұрын
Train inazinduliwa kesho na hamsemi tiketi zinapatikanaje.....biashara tutaiweza kweli? No important information ambayo shirika limeinform mfano ratiba za safari zikoje?, usafirishaji wa parcel ukoje? how convinient its? tukae kibiashara ili ku usustain mradi otherwise few years to come itakuwa kama reli ya kati na Tazara tu
@beatricefelix12718 ай бұрын
Biashara serikali muiachie private sector, siasa na biashara haviendi pamoja
@beatricefelix12718 ай бұрын
maintenance
@kisutabora59148 ай бұрын
Na kuhusu mizigo (mabegi) ya abiria imekaaje? Kilo ngapi zinaruhusiwa?
@h.alshidhani89718 ай бұрын
Kilo ngapi kwani ndege hii😂
@vinny.morales8 ай бұрын
@@h.alshidhani8971Yes, kutakuwa na kiasi cha uzito utakacho ruhusiwa kisafiri nacho. Hili sio kama lile treni la zamani mnalopanda na mafurushi, hapana
@kisutabora59148 ай бұрын
Kwa mfano una mabegi matatu makubwa, je unaingia nazo kwenye behewa au kuna sehemu ya kuhifadhia mabegi makubwa ndani ya behewa kama vile mabasi?
@mduda_i8 ай бұрын
@@kisutabora5914Parcel ndogo za chini ya kilo50 huwa inakua bure ila tusubiri tuone watatuambiaje juu ya hili
@bashirbaruan39698 ай бұрын
Toleeni maelezo pia behewa za ghorofa lini zitaanza kufanya kazi?