Nani amekuambia kuwa Tanzania ni baina ya hizo nchi?
@amNANGUJI2414 күн бұрын
@@askarikanzu1054 Tatizo nyie maskini lakini mpaka mpate mashangingi hamuwezi kupanda train. Hilo ndio linalonistaajabisha mie
@agapemunyi209512 күн бұрын
Ila ya kwetu ni Kati ya nchi zinazoendelea ,hi ni fahari
@amNANGUJI2412 күн бұрын
@@agapemunyi2095 Fahari maskini kupanda magari ya thamani asiyostahili kwa uwezo wake. Huku watu wanakunywa maji machafu na pa kulala hawana wala chakula hawajui watapata wapi. Wale wenye uwezo wanapanda public transport