Mimi si Mtanzania lakini nilikuwa nataka niwambiye nyinyi wa bongo kwamba mungu kawapa nchi nzuri
@theohermana522019 сағат бұрын
Asante kwa mafundisho mazuri. Mwenye masikio na asikie. Mwenye moyo❤ aheshimu sheria.
@kambamazig0202421 сағат бұрын
Kipanya asante sana kwa kuyakemea hayo, maana hao wahujumu wanahitaji kuadhibiwa kifungo cha maisha kabisa na wanaowatuma nao wafungwe kifungo cha maisha. Polisi waache kuchukua rushwa na wawashughulikie vyema hao majambazi.
@robertmkude823421 сағат бұрын
Tupo pamoja Kipanya
@JIWEtv6484Күн бұрын
Uko sawa kaka
@DanielKullwa23 сағат бұрын
Watu hawajui madhara yanayoweza kutokea ikiwa tu kutatokea uhujumu au ajali tena ya Treni ya mwendo kasi. Waangalie mitandaoni ulaya kilichowahi kutokea ujerumani Treni ya ACE. Ni mbaya sana. Tujioende na tupende nchi yetu tuache kutesana.
@waltermairoКүн бұрын
Hii kitu bana inahujumuwa na matajiri. SIoni mtu masikini anafaidi nini akiharibu SGR. Inaumiza sana aisee
@MustapherSamson-s6l20 сағат бұрын
REST IN PIECE PRESIDA MAGUFULI, TUTAKUKUMBUKA DAIMA, NA SHUKRANI SANA KWA MH RAIS SAMIA KWA KUENDELEA KUIPAMBANIA SGR.
@iddikimia4951Күн бұрын
Ndio mtoe na taarifa wamepewa hukumu gani
@geofreymaghali183Күн бұрын
Kweli Masoud, hawa watu hawastahili kubaki mitaani, wakibainika. Kuhujumu miundombinu ya njia za usafirishaji kama reli,signs za barabani, wire za umeme,huo ni uuaji; maana ajali ikitokea madhara ni makubwa kwa taifa.
@mosesjacksonkarashani264223 сағат бұрын
Watu wameshachomoa vyuma kwenye maungio ya daraja pale kijazi interchange ubungo! Hawa watu ni wa kuwafanya kitu kibaya sana!
@geofreymaghali18318 сағат бұрын
@@mosesjacksonkarashani2642 Daaah,huo ni unyama usio kifani!!!!!
@mndambokilavo2502Күн бұрын
Shubaamiti!!!🤨🤨
@bajagihaji8923Күн бұрын
Sema kaka ni ukweli. Mtupu
@eyezarc1239Күн бұрын
I think there is big fish behind all this mess, its high time @TRC get into serious business by introducing high tech by introducing CCTV Cameras and sensors all the way…
@pnn926922 сағат бұрын
Kuna ile adhabu ya kunyogwa mbele ya kadamnasi ilitumika zamani ina haja ya kurudishwa kwa makosa kama haya.
@pnn926922 сағат бұрын
Kuna uwezekano hao wanatumika na watu wasioitakia heri Nchi yetu. Kuna wanaoonekana wanalaumu serikali yao kwa nini sisi tumejenga SGR wao hawana
@yusufuosman8966Күн бұрын
Hapo upo sahihi,alafu wanasema hakuna maendeleo Tanzania mimi nadhani hao siyo wabongo original ndiyo maana wanaaharibu yaan Wana wivu ,mongo orig hawezi kufanya vitu Kam hivyo vya kuaharibu miundo mbinu mizuri.