Mulangira Katega wa pili, tunakuomba uje na huku Kongo utuamshe! 🙏🇨🇩🇨🇬
@brianoganda92124 жыл бұрын
Mimi ni mkenya lakini nakubaliana nanyi .. Sasa nizamu ya mungu
@org52334 жыл бұрын
Nafikiri ni manabii wangu
@alisele52994 жыл бұрын
Tujitambue prince katega2
@bennymochiwa48003 жыл бұрын
we katega acha kbs kumfananisha mzee meko na Marcus gavey
@anoldprosper39234 жыл бұрын
Natamani Kila mkoa wangekuwepo Kama Hawa Africa izinduke ktk huu usingizi ,tuwe kitu k1
@MyKenny063 жыл бұрын
tafadhali nataka hicho kitabu.mi mkenya lakini niko Switzerland naomba hicho kitabu
@joshuamariko5504 жыл бұрын
Katega kwann unaowzo mkumba wakufikiri kias kubwa ivo we nan au ilikuwa nan kbra
@gosbertmuta54213 жыл бұрын
Ni mungu tu
@chrisrajkihir91114 жыл бұрын
Mzee wajadi hoyo bhana anavyo kaa daaah kama wako wawili
@giantechnology11603 жыл бұрын
Iko kitu cha ukimwi kinawezekana kabisa wala akishindikani
@hamisiramadhani86613 жыл бұрын
Katega Mimi Ninakufatilia sanasana Tena nimfasi wako ila kwamagufuli hapana
@kipendeuwenaamani14184 жыл бұрын
Ni sawa kutuaminisha wanatoka nje ya dunia na kurudi Wakati jiwe linaungua linapotaka kuja duniani je vyombo vya binadam si zaidi ila kwa asili hatuoni tumeshikwa akili zetu
@bennymochiwa48003 жыл бұрын
we katega acha kbs kumfananisha mzee meko na Marcus gavey