PAMELA AELI SPEAKS FOR THE FIRST TIME AFTER MEETING OGA OBINNA /SHARES HER UPCOMING PROJECT

  Рет қаралды 4,232

TRUDY KITUI

TRUDY KITUI

Күн бұрын

Пікірлер: 32
@vigihwangu
@vigihwangu 15 күн бұрын
Pam anafaa akieda interview aongee fluent English aaai hio ya content achia tiktok hii Broken inaboo
@DianaKad-x5g
@DianaKad-x5g 16 күн бұрын
Uyu dem ali tusi dem wa fb ata nika feel vibaya so kile una panda leo ndio uta vuna kesho ukitaka mafanikio wacha matusi ndio mungu aku fanikishe
@JuditerWausi-rm8nj
@JuditerWausi-rm8nj 16 күн бұрын
Huyu dem alitusi our girl dem wa fb ata alifanya ni unfollow obinna kwa you tube coz ya interview akwende na uko
@sizbentahatieno9635
@sizbentahatieno9635 14 күн бұрын
Hata Trudy akue Kimble mble na huyo pemala yake hakuna kitu hapo🤣🤣🤣
@immahemmah
@immahemmah 16 күн бұрын
Waa,huyu alienda juu yamapenzi😂😂😂
@simonadavid6264
@simonadavid6264 15 күн бұрын
Hana comedy huyu
@Reggyfavour
@Reggyfavour 16 күн бұрын
Huyu alienda juu ya mapenzi 🤣🤣🤣
@stellambithe91
@stellambithe91 16 күн бұрын
Maringo yanini mwanadada,,na nifirst tyme,,
@eunicemuema7257
@eunicemuema7257 16 күн бұрын
Ata siezi sikiza..huyu anasema nn guys..bn mmekasirika uku😢
@Flora-sd6pe
@Flora-sd6pe 16 күн бұрын
Sasa ulienda pale kwa obi kwa mapenzi ama kwa juu ya kazi ww naona kikikuramba coz ww unataka mapenzi n c kazi
@BRENDAHMOMANYI-mb9eb
@BRENDAHMOMANYI-mb9eb 14 күн бұрын
Sasa Trudy unataka pamela apewe kazi gani obinna tv sina wivu but like seriously ataingia show walete topic gan ya kuzungumzia ndo aongee hyo broken english kama content ...you are trying to show the bad side of you towards dwfb like n raha yako kama obinna hatawork na bebii the fact is hkn mtu ataplay role ya bebii hata mkiforce issues aje...Bebii alikua analeta umbea na anaichambua vilivyo with no fear jikazeni but no one can replace her
@Flora-sd6pe
@Flora-sd6pe 16 күн бұрын
Ww ulitusi dmfb kuwa hana mbele na nyuma so ukitaka kuenda mbele acha matusi hujui yule atakusaidia kesho na dmfb anaenda mbali coz yy hajui kutusi mutu na matusi yenu pamela ukiwa moja wao yanamupeleka mbali sana omba dmfb musamaha ndyo utasonga mbali
@LYDIANJOKI-q9c
@LYDIANJOKI-q9c 16 күн бұрын
Obinnas wish was to work with someone who has a shash atleast this one has he can work with her
@patrickmugambi2595
@patrickmugambi2595 12 күн бұрын
Huyu hana content kabisa
@AnnaMwiva
@AnnaMwiva 16 күн бұрын
Aiii.weee thokothoko
@ElinahOngachi-q2n
@ElinahOngachi-q2n 16 күн бұрын
Oooo wewe ulienda pale kwa sababu ya mapenzi waaa wanawake mko na maneno ndio maana ulitusi Milly ata hauna aibu ukiongea😢😢😢😢😢😢😢😮😮😮😮😮😮
@BabarP-r9x
@BabarP-r9x 16 күн бұрын
Imagine 🥱😂😂😂😂😂😂nimeshangaa
@BabarP-r9x
@BabarP-r9x 16 күн бұрын
Imagine nimeshangaa 😂😂😂😂
@ElinahOngachi-q2n
@ElinahOngachi-q2n 15 күн бұрын
@@BabarP-r9x unajuwa huu mdomo unaweza kuuza na kukikosesha heshima sasa yeye anajigambagamba vile Love ulimvutia kwa Obinna huo si ni ujinga
@BabarP-r9x
@BabarP-r9x 15 күн бұрын
@ElinahOngachi-q2n that's true dear😂😂😂😂😂😂
@BRENDAHMOMANYI-mb9eb
@BRENDAHMOMANYI-mb9eb 14 күн бұрын
Na mwny anaminterview n kama n raha yake vny bebii saiz hayuko obinna tv lkn hawa haters watashangaa...kuna interview huyu trudy allifanya kushukuru watu wny walifanya mwaka yake kua sawa she didn't mention bebii na vny content yake ilikuanga n kuuliza anything concerning bebii ndo nlimwona kama fake friend wale wa kuuma na kupuliza at the same time
@euniceandibo4686
@euniceandibo4686 16 күн бұрын
Good gal don't focus on negatively
@BabarP-r9x
@BabarP-r9x 16 күн бұрын
Nani amujui😂😂😂😂umeanza kubooo😆😆😆😆
@Fatuf4951
@Fatuf4951 15 күн бұрын
​@@BabarP-r9xhuyu ni adui wa Dwfb😂😂😂
@RuthMasai-m9g
@RuthMasai-m9g 16 күн бұрын
Ni mimi tu sishikanishi ama?..
@vihinda
@vihinda 16 күн бұрын
pia mimi dear😂
@kathywambui2694
@kathywambui2694 15 күн бұрын
Very boring
@RuthMurunyu
@RuthMurunyu 16 күн бұрын
Anasema nn
@Flora-sd6pe
@Flora-sd6pe 16 күн бұрын
Enda chachili show ndyo urudi utajua sasa kile unasema
@ErenitaMijide
@ErenitaMijide 16 күн бұрын
Let churchill confirm😂😂😂
@euniceandibo4686
@euniceandibo4686 16 күн бұрын
Na izo negatively zenu you will never understand even your own life 😂😂obinna will remain the man of the game
@stellambithe91
@stellambithe91 16 күн бұрын
Drama lady ya umoja
SLIDE #shortssprintbrasil
0:31
Natan por Aí
Рет қаралды 49 МЛН
Hilarious FAKE TONGUE Prank by WEDNESDAY😏🖤
0:39
La La Life Shorts
Рет қаралды 44 МЛН
Saying Goodbye: A Day of Mixed Emotions - Rossie & Shantelle
22:42
JACKY SURPRISED 2MBILI A BRAND NEW CAR ON HE'S BIRTHDAY 😱🔥🔥
18:35
TAMBIKO - DISCO MATANGA (SEASON 2) EPISODE 2
29:21
Awinja Nyamwalo - Jacky Vike
Рет қаралды 429 М.
SLIDE #shortssprintbrasil
0:31
Natan por Aí
Рет қаралды 49 МЛН