Kama uko miongoni mwa wanao sikiliza wimbo huu kila dakika basi acha like yako moja apo kwenye comment ili tuzidi kufundishika na wimbo huu
@adelaungwa9232 Жыл бұрын
Wow ninzuri sana amakweli munajuwa sana tena sana♥️♥️♥️♥️
@Pomba_national Жыл бұрын
nipeni like zangu nimependa iiii song sana naninataka muendelee ivi apana kama vile mulikuwa muesha kwanda pabaya brothers achana na nyimbo za matusi simzuri towa nyimbo ambayo watu wata sikiya na mama zao, dada zao,kaka zao, pia baba zao
@kiluvisluumbe7894 Жыл бұрын
Naona true music mumerudi tena kuhelimisha Jamii, mungu azidi kuwapa nguvu , huu ni wimbo mzuri sana kweli tena una fundisha
@Talent8343 Жыл бұрын
Ndo music tunayo ipenda camp ihi ❤
@machindafadhili3186 Жыл бұрын
mashauri mazuri sana vijana wetu. Mungu awabariki sana nakuwakuza zaidi na kipaji hiki
@daltongwijihomamaa4502 Жыл бұрын
Matusi imekuwa mengi sasa acha tuelimishane jaman
@mukuchabaraka7110 Жыл бұрын
Wow very very Nice endelea kuhimba nyimbo nzuri follow
@methodemethode10 Жыл бұрын
Nice 🙌🏿💪🏿
@Officialphilboydrc Жыл бұрын
Big Up 🔥🔥🔥
@daltongwijihomamaa4502 Жыл бұрын
It song music is education foundation in the life
@rashidsumaili9975 Жыл бұрын
❤❤
@pasibuchumi8460 Жыл бұрын
Mbonamepowa
@HOMETV-es9ul Жыл бұрын
Nashabikiaga wanao fanya vizuri kimziki 😂😂😂😂😂😂😂😂 nawapenda sana
@evepilipili4531 Жыл бұрын
Nice 🎉❤
@epri_flavourmonstri5404 Жыл бұрын
Dahaaaaaa.!!! Bora kbs ila iposiku BIG BOYS MUSIC official itapiga naww colabo nakukubali follow.🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@Tigerfashionsuldo13 Жыл бұрын
true music bibokomaaa 🔥
@smaylonner6858 Жыл бұрын
Good job 🙏🏿
@reginaasende4977 Жыл бұрын
True music is the best
@officialndotaboy Жыл бұрын
Tunaelimisha True Music 🔥
@hawagkalume9016 Жыл бұрын
Atanasisi tunapenda kaziako yawale madogo wa garden music
@Baba_p7295 Жыл бұрын
Kazi nzuri Kweli 🔥🔥🔥
@kaskoboychawa620 Жыл бұрын
Tunahisubiri man
@shabani_Osee_Ngena Жыл бұрын
Good job 👍
@martinniger7104 Жыл бұрын
music and education nyie indeleni kusema sema ila ndo tumerudi kwenye kawahida yetuu mkituhona tumehimba utopolo mtuhite mbwaaa kazi kazii