Nawapenda sana dada zangu na naepuka magomvi sana sababu naijua gharama ya kuvunja undugu
@umranim58542 күн бұрын
Subhanallah unaweza kumuona mtu wa maana kumbe ana kasoro zake dini yetu ina sisitiza sana kuunga undugu kwa sababu kuna baraka kupitia kwa ndugu na ni dhambi kubwa kuvunja udugu zama rudi kwa Mungu unga udugu upate baraka na Kheri kwa Mungu wako
@salomelema36192 күн бұрын
Hizi familia, MUNGU atulinde 🙌🙌🙌🙌🙌
@anethjoseph45422 күн бұрын
Haya maisha kuna mambo mengine unabidi ni kuacha tu na kupambana na maisha yako mengine , na ili uweze kuishi usikumbuke tu mabaya angalia na mema , kisha fumba macho mshukuru Mungu anza kupambana
@Lenovothink-b2d2 күн бұрын
Heshimu sana ndugu wa damu moja hata kuwe na nini kuna kesho
@chantalharakandi25762 күн бұрын
Subhanallah Allah Akbar inasikitisha sanaaa 😊😊😊
@TusubilegeMwanyonga2 күн бұрын
Mtafuteni Mungu Ayamalize hayo wanangu tafadhari Sana Sana Mbarikiwe Nawaombea. Siku za mwisho Yako wazi yanatafuta pa kuingia sio nyie ni wengi yapo. ibilisi ameyamwangwa kukolofishana ajaze jehanamu wanangu shetani ashidwe kwa Jina la Yesu Kristo Aliyehai poleni sana. Bwana wponye watoto waokoe watoe huko hadi washangae.watakuwa walimu wazuri Yehova.
@Burange666Күн бұрын
Dada yako mwizi na yamewakuta wengi ogopa ndugu usiwaamini ni mijizi sana bora rafiki kuliko ndugu ndugu yako mwizi
@KatheShirimaКүн бұрын
Yaaan Kama mm sitaki😮😮😮 kabisa kusikia ndugu fadhili mbuzi utamla nyama ndugu afadhiliki jamani😂 8:03 8:03
@Sage-o4q2 күн бұрын
😂😂😂😂🤣🤣 ndugu ni ndugu.....! Ogopa internet........this will live on forever!!
@humbleshoal2 күн бұрын
Hata kama, bi dada kashaushusha mzigo wake ulokua ukimkera.
@EdwardKessy-c9z2 күн бұрын
Kazinguaa😢this is sad😢😢
@judithtitomalyeta40002 күн бұрын
Mhuuu jamani ,mm ndugu yangu akinichukia naachana naye kimya Kuna ndugu vichomi
@JemahjampaКүн бұрын
Namwelewa huyu dada ,
@FatimaAli-of4gh2 күн бұрын
Pole ndugu yangu muelewane kwa nini muzalilishane mpaka akitemee mate usoni hizo ni zarau sasa😢😢
@lilianurio9781Күн бұрын
Mbona unasoma😊
@thamani58422 күн бұрын
Pole sana kwa yote ikiwa ni kweli, lkn nyinyi ni ndugu km ulivosema mwenyewe wa damu moja, jitahidini kustiriana musawazishe migogoro yenu kwa kufuata taratibu husika. Msiwe mnaanikana mitandaoni, mnawapa wabaya wenu faida bure, kesho na keshokutwa mkishapatana mtaweka wapi sura zenu?. Haya mambo kweli yanatokea ktk jamii zetu, binadaamu si mkamilifu, kukoseana kupo, lkn "Damu nzito kuliko maji". Imani yangu mtakaa chini muyaongee muyamalize. ZAMARADI tafadhali kaa chini na mdogo wako muyamalize. JISHUSHE hautapungua chochote. ALLAH atuongoze ktk njia iliyokua sawa.
@MaimunaMhina2 күн бұрын
Mnatia aibu ninyi ni ndugu ninavyofahamu meno yambwa Hayang,atani
@angelanaftael79652 күн бұрын
Kiki tuu za ujinga
@subralugege70192 күн бұрын
Mpaka yapo mitamdaoni kunashida kubwa Sana siwezi sema wakae wao lzima wasimamiwe na viongozi wadini
@lydiamsheri40952 күн бұрын
Ndugu wanashida sana wakiona wenzao wanasonga.Waone hivyohivyo
@Fear_Allah3942 күн бұрын
Ndio ukamuona kaingia mtandaoni ujue nafs yake si nzuri tangu mwanzo
@Nyaboke-1232 күн бұрын
Pole sana. Lakini sasa tusikie upande wa Zamaradi
@zuwenaabdallah77482 күн бұрын
Zama ni Martha aliyechangamka😢
@YunisJerald2 күн бұрын
Jamani sasa kwa nini ndugu mnakuja kuleta mambo ya familia kwenye mtandao jamani😢 .mnajiaibisha
@AnthonyShirima-z6v2 күн бұрын
Acha aseme nafsi ipone mpaka kafika huku huenda imepitiliza
@Fear_Allah3942 күн бұрын
Hakuna kupitiliza ni roho mbaya tu. Haya wayafanye wa nje na sio ndugu
@bennamush46162 күн бұрын
Kama huko kwa ndugu hakuna wa kumsaidia afanyaje Kuna familia nyingine hazina huo utaratibu wa kumsikiliza mtu kila mtu Yuko na mambo yako kukutana ni misibani tuu 😢
Kama kweli pole mdogo wangu.zamarad kuwa mwema kunaanzia ndani nasio nnje😭😭😭
@LinnaJohn2 күн бұрын
Ndugu ni hatari sana mm na mdogo wangu alishanileteha polic kbs anasema anijui nimwingilia kwake na kumfanyia fujo ndugu sio kbs
@priscamushi796621 сағат бұрын
Sialikupaga gari lakini
@KuluthumuMsuwakollo2 күн бұрын
Umaarufu mgumu mungu tunusuru waja wako kukosa zamarad kua maarufu msingesikika huku ivi atoke nyankumba huko atapata wapi nguvu mnatia aibu ndugu ni ndugu tu hakuna family yyt isiyokua na migongano mnajidhalilisha mwisho wa ckukuu ukwel utabak pale pale kua udugu haufiii
@ziadasalimu17302 күн бұрын
Nashukuru mungu Mimi na wadigo zangu tumezaliwa 4 tunapendana sn tunajaliana sn na hata mtu aseme ana tatizo lazima tulitatue Kwa shida na raha
@fettyrashid90422 күн бұрын
Allah awajazie kheri ❤
@shifaaal-baity45032 күн бұрын
Mungu awabariki 🎉
@sadockmhinza699Күн бұрын
Itakuwa hamna hela
@SaudaShabani-b6cКүн бұрын
itakuwa mko hohe hahe usiombe uwe na japo kidogo yatakukuta mambo hutoamini ndugu mtihani sanaa mimi muhanga nalia kila kukicha namwachia mungu ndio hakimu wetu
@LuluAquaiКүн бұрын
@SaudaShabani-b6c hohehahe na hali ya kuwa mnajimudu kundi lipi ni rahisi kufarakiana,unajua umaskini unabadilisha mpaka roho,usipokuwa na khofu ya M'mungu unakuwa zaidi ya Mnyama
@Happizo2 күн бұрын
Afadhali Beatrice Mwaipaja kafungulia njia
@isaacmwaseba99722 күн бұрын
Labda kama ni wa 2000 haya yapo toka enzi za Sister p na tunatamba nayo. Usichojua sasa HIVI KIK ndio mpango mzima Dar. Kwanini hawalalamiki watu wa mikoani ni Dar tu. Bila KIK hutoboi Dar mimi nilikuwa simjui leo ndio namjua.
@hono1232Күн бұрын
Siku zote, marafiki ndo bora zaidi kuliko ndugu. Kwa marafiki ni wepesi kusaidia, na kukupa deal au msaada kwenye Tatizo lako la kimaendeleo kuliko ndugu. Hapa pia tunapata funzo kupitia zamaradi na mdogo wake.Mdogo hakuwa na nia mbaya kabisa ila ila amechoshwa na visa, na vitimbwi vya mkubwa wake.jamani msikopeshane pesa ndugu wa tumbo moja kuepusha balaa kama hili
@ME-kb8rk2 күн бұрын
Nakumbuka Zamaradi alikopa vitu kwangu, kumbe alikuwa hana nia ya kunilipa! Ni Tapeli !!! Niliamua kumfuata kazini enzi za ITV ni miaka mingi, alinilipa kiasi kidogo tu cha pesa, kingine kilichobaki sikupata.
@ismailhaji6471Күн бұрын
Mrudishe hela yake mdogo wako nae apambanie kizazi chake kijacho. Milion 8 unamdhulumu mdogo wako ili ukafanye birthday, sio sawa hyo
@tumahamza89722 күн бұрын
Kwanini ndugu meemaken mitandaoni jamaniiii. Hii mitandao mbona imetuharibia mila na desturi zetu jamaniiii. Allah tuhifadhie vizazi vyetu.
@isaacmwaseba99722 күн бұрын
Sababu mna wa support na ujinga wao
@jacquelinemwakasala95632 күн бұрын
Yaan acha mitandao hii mwe siri nje nje Mungu turehemu
@Kabwela776Күн бұрын
Watu wengine mnaweza kuzaliwa tumbo moja lakini rafiki yako anaweza kukujali na kukuthamini kuliko ndugu wako wa damu huyu dada naweza kumuelewa hapendi unafiki ameamua kusema yote
@HamisSaidi-h3u2 күн бұрын
Ummy Majuto Please Kaeni Myajenge kama family Haifai kuvunja Udugu kwaajili ya Maisha ya Duniani Hakka hapa kwenye Mgongo Wa Ardhi Sio Sehemu pa kudumu kwa Mwanadamu hapa ni Mapito Allah Anasema laatadikhuri l.jannatu Qaatu Rahmaan kwamba Hatoingia peponi yeyote yule Mwenye Kukata Udugu please please please Ummy kunywa Maji Maliza Stress Kisha Rejeeni kwa Allah Acha Msijiweke Hadharani Tena Kila lenye Mwanzo hua linamwisho insha Allah yatapita🙏🏿👏
@LuluAquaiКүн бұрын
Hiyo ni Qur'an au,na kama ndio ipo kwenye sura gani,ulichoandika ndio maana yake?
@hassanmpemba57472 күн бұрын
Asalam alaikum kwani singer ongea faragha kama familia mkayamaliza mpaka uongelee kwenye social media sio vizuri my sister
@halimakassim5326Күн бұрын
Sidhani kama social media itasaidia....kaeni malice M/mungu awasaidie
@KideNetworks2 күн бұрын
Tanzania😂😂...Sijui Martha...Sijui zamaradi😂
@irhamseif2 күн бұрын
Tupo weng sana yani inaumiza ila hatuna jins
@EdwardKessy-c9z2 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@hkaniugu2 күн бұрын
Awa sio mda wanapatana ❤
@anjelinakasembe8452 күн бұрын
Shukuru mungu Mimi ndugu yangualienda kwa mtu fulani akasema. Washirikiane wanaume kwa kupitia mganga fulani huyo ni ndugu yangu baba mmoja mama mmoja
@frankngoloka54162 күн бұрын
Dada nendeni mkakae kikao Cha familia acheni hizo kuchafuana wanafamilia
@PeternicolausMlonganile-zw8im2 күн бұрын
Mimi nimemuelewa huyu dada coz yamenukuta, ukiwa mdogo husikilizwi hasa kama wazazi hawapo, wakubwa wote watakukandamiza wewe, binafsi nimeamua tu kuishi kivyangu ili niepushe magonjwa, huyu dada anapoongea anatafuta uponyaji, mwacheni tu
@hono1232Күн бұрын
Hakuna haja ya kikao cha familia kwa sababu mara nyingi, mwenye umaarufu ndiyo hupata ushindi, kinachotakiwa alipe deni analodaiwa . Basi
@MamkubwaКүн бұрын
Acha kuongelea mitandaoni. Au unatumia madawa kweli? Mana km ni usomi si ivooo. Mtafute ndugu yako mpe live ..... si hivi .. 😢
@RastaMany-p8x2 күн бұрын
Mdogo wangu pole ndugu lawama uyo dada yko ukimuona kama kondoo kumbe mbwa mwitu amekosea kukutapeli mdogo wako ufai ss yuo janja kasha kuvua nguo tamba tena ufai keenye jamiii zamaradi ujiheshm
Dunia ngumu sana hii. Ukiona mtu anakuja hadharani ujue ni mazito na yamemshika kweli yaani kavurugwa mno yaani full hekaheka .yaani ni problem.yaani yakimshinda gizani atakuja katika Mwanga.Mwacheni alipuke
@Fear_Allah3942 күн бұрын
Ukiona mtu anakuja hadharani ujue ni mbaya wako tangu zamani alikua akijificha tu
@humbleshoal2 күн бұрын
@@Fear_Allah394 Siri ya mtungi aijuae kata huwezi jua nini kinaendelea, waache watajuana wenyewe
@vanessalaizer4363Күн бұрын
@@Fear_Allah394kweli kabisa afu limeandika kabisa waraka wa vita
@adammjomba5814Күн бұрын
Huyu dada ameongea point SANA kuweka mambo hadharani ktk mitandao ni vizuri sana maana kuficha ficha haisaidii ; bora dunia ijue kwamba unavyo muona mtu sivyo Alivyo. Maana hataunaweza kumuamini kiwango cha fedha kingi utajua sio dhulumati kumbe unamkosha mwana na maji ya moto ( nijizi )
@nickyrizznathanКүн бұрын
inatia hasila sana yan ndugu unawaidia wakiwa wadogo unawalea unajivunia adi kwa malafki zako kuna nasomesha wadog zang malafki zako wanakusifia unajiskia furaha unajivunia wakijua kutumia mitandao wanakua mbwa wanakua adui wanakua takatak ad unajuatia ulikua unawapita ombaomba huwasaidi kwasababu y ndugu zako ila hao ndug sas ni kama huyu mjinga moja hapa inaumizaa sana yan ingekua kwa amli yangu bas huja dad angekaa selo kwanza ajifunze
@sahraabdallah72422 күн бұрын
Ongea haraka haraka niko na asira😊
@SaidaAlashanak2 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@allychilinga19582 күн бұрын
Kama HAYAJAKUKUTA HUWEZI KUELEWA ANACHOONGEA..OMBA MUNGU YASIKUKUTE..
@sophiakassim67842 күн бұрын
Hakika
@mamakayla66972 күн бұрын
Upo sahihi kabisa
@mamakayla66972 күн бұрын
Hela hiziiiiii,omba uzimiliki zisikumiliki😢😢😢
@Lulualshagri2 күн бұрын
Kabisa km hayajakukuta utayaona ya kawaida
@catherinelandas19382 күн бұрын
Tupo na Beatrice na martha leo yameibuka ya zamarad tena😂
@MirriamDevis2 күн бұрын
Hii tofauti hawa wawili ni urithi ,Beatrice anataka kuvuna asichopanda
@farajapeasonmagota82262 күн бұрын
Kusema Ndiyo dawa sema Dada
@agnesspaul1866Күн бұрын
Mimi kwa sasa sina ndugu naninaamani
@patriciacarlo72362 күн бұрын
Kuna ndugu,na kuna rafiki ndugu.kwahiyo kama ndugu yako hataki urafiki na wewe,bakini kuwa ndugu tu.mtakutana nyumbani xmas,msibani, kwenye magonjwa,basi.msilazimishe ndugu akupende,nimejifunza,anayenipenda nitampenda hata kama sio ndugu yangu, period.hivi hivi ni kujidhalilisha
@saidalhabsi92572 күн бұрын
Hakika
@FatimaAli-of4gh2 күн бұрын
Sadkta hata mimi nampenda anaenipenda awe ndugu awe si ndugu
@dignakanje45082 күн бұрын
Tutajua mengi sana kwenye hizi familiya zenye pesa namajigambo mitandao.Ama kweli pesa zinabadilisha watu.Sura zenu mitandaoni Nika malaika kumbe nje yahpo nimashetani kwenye familiya znu.Mnatembelea marenchi majumba yakifahari kumbe mnarohoo zakikatili sana
@funnymohammed14942 күн бұрын
Watoto wadada angu jamaani Ummy umesababisha nilie nnemkumbuka sana dada mbona mumelelewa vzr hayo yote ametoka wapi aisee naumia sana
@rahmaabdallah45142 күн бұрын
Huyu inaonyesha anasoma😂
@wemakalama64582 күн бұрын
Toa aibu hapa malizeni tofauti zenu kifamilia hapo.
@njuka35152 күн бұрын
Hapana jamani ukiona hivyo kote kapita kumeshindikana. Huku pengine zamarsdi Kuna watu anawasikilixa wakimweleza
@Fear_Allah3942 күн бұрын
Ssa hapa kaja kufanyaje zaidi ya kumchafua ndugu yake? Ndugu km hawa hua ni wanafik na ndio mana mwisho Allah huwafichua. Hii si tabia nzuri kwa ndugu. Haya ayafanye wa mbali lkn si ndugu
@Nicetha-p2n2 күн бұрын
Unaonekana unaroho mbaya, namna unavoitamka tu iyo blablabla
@marymanoni55362 күн бұрын
Kapia wapi ako kadada ni kajeuri uwiiii@@njuka3515
@hono1232Күн бұрын
Anaedai yupo sahihi kabisa.usijaribu kukopesha pesa , ndugu yako wa tumbo moja. Mtaishia kugombana na kuvunja undugu. Akikuomba mkopo wewe mpe kiasi kidogo cha pesa alafua uachane nae. Matokeo na kama hivyo
@MwanakomboHussein-o9r2 күн бұрын
Ndugu hamna shukrani ata mfanyiwe nn. Alikupiga kama mdogowake na ukikosea unaoneka ulikua sio mtiifu. Vunashinda na nadada yako unataka kuajuu ndio walivyo wado wengi. jitafakari
@anjelinakasembe8452 күн бұрын
Kakayangu na mwanae nimewaleta ninapoishi nimewatoabongo na miaka 9 yeye na mwanae wameniblock kwa Hiyo ndugu yanguhayo ni maisha tuu yanapita pole sana
@judithsimeon7403Күн бұрын
Huyu Binti yupo sahihi kiukweli ktk Familia zetu za ki -Africa kuna watu Mwenyezi Mungu akiwainua wanawanyanyasa wengine Nakumbuka Zamaradi aliwahi kubandika Bango la 10 mill sikubya valentine Day sasa alikuwa na maana gani wakati anachukua mill 8 za mdogo wake na hamrudishii? Kwakweli inaskitisha
@jacquelinemwakasala95632 күн бұрын
Kwa hiyo siku hizi kila ndugu mambo hadharani huyu naye kafuata nyayo za Beatrice jamani malizeji ndani MWe Sikh za mwisho hiz Mungu tutetee
@HanifaOman-oo4pl2 күн бұрын
Kumbe ni.waislam hawa. Subuhanallah.
@SafiaOmar2 күн бұрын
Pole Sana ila kuamini story ya upande mmoja ni mtihani. Wacha tusubirie upande wa pili. By the way Waislam epukeni kugombana hasa mkiwa ndugu sababu ni dhambi kubwa mno endapo mtavunja udugu
@Naju6452 күн бұрын
Udugu🙌
@homeandaway28112 күн бұрын
ZAMA NI MNAFIKI SANA, NI WACHACHE WANAOMFAHAMU KWA UNDANI, NI MSHENZI SANA, MDOGO MTU KACHOKAAAAA HALAFU KACHOKA TENA.
Ndugu wa zamani lbd sio wa sasa..vichomi tuu,wamejaa wivu mpk bc
@MariaJoji-v7t2 күн бұрын
Sisi kwetu ni maadui wenye digreee😂😂hatutapatana Hadi kifo
@charleshotay8229Күн бұрын
Mimi Hadi parapanda ya kurudi kwa yesu labda ndio tutapatana maana hata kifo haitutishi,
@dianamoshi167Күн бұрын
Hivi kumetokea nini wana ndugu kuanikana mitandaoni?
@GeorginaAnatory-u1z2 күн бұрын
mbona mnafanana jamani huyu shetani anaewatenganisha na ashindwe kabisa siku izi ndugu tumeingiliwa na nini tumwombe MUNGU aingilie kati mungu apendi ndugu kutengana jamani tuanguke miguuni mwake tulie tuomboleze jua lisichwe amjapatana n
@SalimRajabu-zn6ib2 күн бұрын
Mbona wanaolalamika ni wadogo wanashida Gani na mitandao
@mahmoudhassanali64482 күн бұрын
Hakuna aliyekamilika nyia ndugu damu nzitu kuliko maji msamehane Allah hafiz
@petrolconrad42502 күн бұрын
😂😂😂mzee damu ilikuwa nzito zamani imebaki fact kisayansi tu lkn ndg wamekuwa miyeyusho wa kwanza siku hz
@andrewchihwalo89372 күн бұрын
Hii mitandao hii noma sana, sasa y humu???😡😡
@LucyMulenga-wu4yt2 күн бұрын
Km teja iyo miwani😅
@vanessalaizer4363Күн бұрын
Huyu nae em atulie uko asitusumbue akili zetu uku, kwendraaa
@GreenerMichael2 күн бұрын
Mie naumia jamani hili wimbi la ndugu kutokuelewana tuombeane na tusameheane tusimpe mharibu nafasi
@jacklinedeus6068Күн бұрын
Hizi ni siku za mwisho😢
@philemonmagesa5548Күн бұрын
Kwahyo mdogo wake Martha mwaipaja beatrice ndo kawafundisha ndo muwanze kujitokeza mitandaoni kuanza kujidharirisha???
@agnesrutakemwa67732 күн бұрын
Sikuizi ndg wameamua kuweka mambo ya familia kuyaweka kwenye midia watu wazima kwenye familia wameisha kufa wamebakia watoto TU Make tunaona matha mwaipaja Leo zamaradi jamani mungu simama na vizazi vya Sasa hivi 😢😢😢😢😢 naomba mkono WA upendo kwa. Vizazi vya Sasa sijui ni utandawazi au Mali za urithi tunavyoo waachia watoto?
@Fear_Allah3942 күн бұрын
Wazee wapo lkn watu siku hzi hawaheshimu wazee. Ulimwengu wa mabata huu wtto mbele mama bata nyuma
@Fear_Allah3942 күн бұрын
Kuna familia zinazokosa wazee/wakubwa wakusuluhisha? Basi tu ujinga watu umewaandama
@josephjohn21142 күн бұрын
Jaman kwwni hamna wakubwa nyie ? Iiteni wazee wenu au viongozi wa dini kumaliza tofauti zenu. Mambo ya familia yanamalizwa kifamilia.. Huku mtandaoni kila mtu ana matatizo kwenye familia yake mtandaoni hakuna msaada zaidi ya aibu tu.
@FurahaZedson2 күн бұрын
Hivi huyu sindo Yule alipewaga zawadi ya gari na Zama au?
@mbwanakiting71802 күн бұрын
Mimi naona endeleeni kugombana tu
@davidrweyemamu9382 күн бұрын
Hapa tunamsubiri bi chamdomo aje kupangua hoja zote hizi kwa mkeka au hotuba ya masaa nane akinza na kutomtambua msemaji huyu!
@godfreysemwenda59882 күн бұрын
Madawa au unga haujawahi kumuacha mtu salama Unga ni hatari sana
@njanededan99792 күн бұрын
Nenda kayaongee huko kwa ndugubzenu wakubwa siobhuku
@monicasimpilu62572 күн бұрын
Duuuuh kama ni kweli huu ni unyama kwa nini unamfayia hivi mdogo wako. Rudisha upendo kwa mdogo wako. Umaarufu usikutenganishe na ndugu zako.
Ndugu wa siku izi mnakazi sana hata angekufanyia nini ungemtenda dada yako mtandao unakusaidia nini ndugu ndugu ndugu hasa wadogo mmmhh
@adammjomba5814Күн бұрын
Dawa ya mchawi ni kumsema hadharani .dada mtu ongea yote ajulikane ubaya wake mtu anadhulum miloni 8 tena unaenda fanya sherehe? Rudisha fedha ya wenyewe. Ndio uungwana
@YunisJerald2 күн бұрын
Zama usimjibu kimtandao kaa kimya
@GdFf-ik2eo2 күн бұрын
Sikiliza mdd Bora ungemsutiri ndg yako ungemsamehenna pia ungeyamakixia kifamilia yaishe siyo hivyo kutaabika mtandaoni siyo vzr
@amrikagambo681Күн бұрын
Nahisi mdogo mtu yu tayari kupatanishwa ndo maana hata alipopata taarifa za birthday ya dada yake kwa watu baki alithubutu kumpigia simu dada yake na akahudhuria kwenye shughuli. Binafsi nimwombe ZAMARADI atumie ukubwa wake kuyamaliza haya. Mungu awatangulie katika mahusiano Yao🤲 Aaaaamin
@zakiamseka96982 күн бұрын
Maneno hayo ni mageni kwa wageni jiijin usituchoshe
@farahali6041Күн бұрын
alafu huwa amna mahali kwa kuongea maneno yenu mpaka mitandaoni ila nyia hamna akili kweli ujinga tu
@fatumamonero60882 күн бұрын
yote ya nini jamani
@saidmasoud9004Күн бұрын
Ummy, you are too kind people misuse it your kindness . Don't trust anyone.
@JumaMashima-r4k11 сағат бұрын
Mbona unasoma umeandikiwa
@fediliaulomi49692 күн бұрын
Suluhu ya ndugu sio mitandaoni acha upumbavu
@hassanabdala73832 күн бұрын
Sasa kuanikana mitandaoni ndio undugu
@eaglecrown11012 күн бұрын
Hamna vikao vya familia huko kwenu??? Ukiwa na lidogo kama hili ni kazi kweli 🤔
@faithkaganda-k3s2 күн бұрын
Tumefunga na Martha 2mefungua na boabab hatujakaa sawa tunaendelea na Zamaradi😮😮😮😂😂😂😂
@Fear_Allah3942 күн бұрын
Baadhi ya ndugu hua na roho mbaya na vinyongo sana mwisho wake ndio huu. Huona wadhalilishane mitandaoni
@ZuwenaHassani-y8qКүн бұрын
Mmegeuza kiki asaivi tumewachoka kwaiyo unavyotuhadithia ndo tufanyeje kakaeni na familia zenu msuruishe uko